PART1:KIJANA ALIEPENDWA NA JINI KUWA WAPENZI/AMENIHARIBU NGUVU ZA KIUME/NINAE SIJUI NAMUACHAJE

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 294

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 3 роки тому +36

    Wangap wanapendaga story za majin kama m

    • @madindamakambo574
      @madindamakambo574 3 роки тому +1

      Nipo

    • @innocentrichard2945
      @innocentrichard2945 3 роки тому +1

      Mm apaaa jini

    • @isaacwaweru5297
      @isaacwaweru5297 2 роки тому +1

      Mimi...stori hizi...zinatupendesha Ma jini..sikuhizi na mimi nataka jini kwaju mashariki nayaweza ikinipatia Range Rover 2022😋😁🤣🤣🤭😂😂🤔😂

    • @mosesjohnswilla9926
      @mosesjohnswilla9926 3 місяці тому

      Mimi napenda story za watu waliotafuta uchawi kulipiza kisasi

  • @hamadikassim3091
    @hamadikassim3091 3 роки тому +52

    Napenda huyo jamaa anavyosimulia... Gonga like kutoka bahrain🇧🇭

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 3 роки тому +7

    Ukiona Davistar anacheka juwa story ameipenda

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 3 роки тому +8

    Mamboooo ni hiviii🔥🔥🔥 Mungu mwenyezi akulinde na Shari na mazimwiya Dunia mr DM💪💕

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 3 роки тому +11

    Hahahahahahaa Davistar naona unaenjoy na huyoo nsela anavosimulia

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +1

      🤣🤣

    • @beckooh
      @beckooh 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @albeleenalberto158
    @albeleenalberto158 3 роки тому +12

    Naomba like jaman sijawahi kupata

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 роки тому +10

    Ntonto nzuri, Hafu ndogo ndogo 🤣🤣🤣🤣

    • @fabylyimo300
      @fabylyimo300 3 роки тому +1

      🇺🇸🇺🇸🇺🇸😂😂😂😂😂😂wakufanya kazi benk😂😂😂

    • @emmanuelmachibya2034
      @emmanuelmachibya2034 3 роки тому

      Watani zangu wanazingua sana 😜😜😜

    • @innocentrichard2945
      @innocentrichard2945 3 роки тому

      Alafu mm nakubali tuu tabiaa gaani ata kunsindikiza hamnaa

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 3 роки тому +10

    Tuned 🇰🇪

  • @mkanamc8341
    @mkanamc8341 3 роки тому +6

    hapo Mahuta ni wilaya ya Tandahimba sio Masasi👍..2gether

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 3 роки тому +4

    Love from #Ntwara(in konde voice) Mtwara..
    Salam zangu zimfikie #Njomba Nchumali popote alipo ni mimi mpwa wake Ngeni Rachimi....😅

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 роки тому +3

    Hawa wanaoonesha Sura at least wanaweza wakawa wakweli

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 2 роки тому

      Kabisaaaa sio wale wa kijificha wana unga unga maneno tu

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 3 роки тому +1

    Ntonto nkali Ntonto nzuri

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 3 роки тому +24

    Sijawah ona mtu akaja kutoa ushuhuda kama jini kamsaidia 😂😂😂😂😂😂wotee wamechoka jamani majini ni roho chafu awawezi saidia binadamu maana awajaumba kitu na awana mali yyte ile ata waganga ndo ivyo ivyo.....Mungu pekee ndo mtoaji maana yy ndo mwenye uwezo huo wa kumbariki mwanadamu. Jini akija duniani jua amepewa kazi kuja kualibu ulimwengu

    • @kareemalamoody6345
      @kareemalamoody6345 3 роки тому +1

      No Kuna tofauti baina Yao wako wazuri na wabaya

    • @madindamakambo574
      @madindamakambo574 3 роки тому +1

      At a Freemason si majin na yana pesa kibao

    • @madindamakambo574
      @madindamakambo574 3 роки тому +1

      At a Freemason si majin na yana pesa kibao

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Рік тому

      Unajidanganya mwenyewe

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Рік тому

      ​@@kareemalamoody6345 hao wazuri walikusaidia nn acha kupotoshana ujinga

  • @salumbunga240
    @salumbunga240 3 роки тому +2

    Davista kijan wako hp mtu mwenye utu wang respect 👊

  • @mahmoudmussa8
    @mahmoudmussa8 3 роки тому +12

    No 11
    Wekaa Like hapaaa

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 роки тому +2

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @mgazamarigazah6063
    @mgazamarigazah6063 3 роки тому +5

    "Nchumba"

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +6

    Kuweni makini ndugu zetu sikuhizi nikubaya usimtamani kila umuonae kwani huwezi jua yy ni nani

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 3 роки тому +13

    Nimefika 🇰🇪 watching from 🇧🇭

  • @salhaoman5002
    @salhaoman5002 3 роки тому +2

    Mmakondee mwenzanguu uyoo, anaitwa Mariam... Baaaa naomba unipe namba zako za simuu, siwezi kutoa no kwa ntuu nsiyonijuaaa....

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 3 роки тому +2

    Duuh pole Sana mfaume
    Insha Allaah mollaah hatakusaidia hutapona Insha Allaah

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 3 роки тому +3

    Pigaaa kelele kwa wamakondee 😀😀😀😀

  • @rajabhamis7595
    @rajabhamis7595 3 роки тому

    Mzee mzima unajitoa Sana kuwafuata walengwa wa kipindi chako...
    #Usikate tamaa Amini kesho yako ipo.

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 3 роки тому +2

    Ntoto nzuri sana siyo wa kufanya kz za ndani anatakiwa afanye kz bank

  • @princessvyona994
    @princessvyona994 3 роки тому +1

    Hata anaongea kama hizo majini wanaita babu,pole kaka

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 3 роки тому

    WaAah kweli aya mambo yako kabisa kitambo ilikua kama movie waiting for nxt part anasimulia taraatibu ulimtamani yakakukuta kwa uwanja.

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 3 роки тому +2

    Asante tupo pamoja

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 3 роки тому +2

    Nimewahi Leo WA kwanza kimakini

  • @user-wb4fg8je4v
    @user-wb4fg8je4v 6 місяців тому

    Pole sana mfaume

  • @basiltobiasi6047
    @basiltobiasi6047 3 роки тому

    Nakubali sana kazi zako brother davista matta Mr fact

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 3 роки тому +1

    Ntoto nzurii

  • @kijahnikwelinyalinga1740
    @kijahnikwelinyalinga1740 3 роки тому +1

    Hakuna mahusiano baina ya jini na bina adam,maisha ata akupe nini mwishowake nimateso,na hakuna jini zuri duniani

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 3 роки тому +3

    Dah watu mnawahi mno Ila majini nayapenda Sana Ila wazuri tu

  • @masibosvlogmasibos9738
    @masibosvlogmasibos9738 3 роки тому

    Nzuri Sana story pliz Pt2 isi chelewe

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 3 роки тому

    Safi sana simulizi, kk Davi anacheka tu kwa simulizi

  • @alifadhili6056
    @alifadhili6056 3 роки тому +1

    Hao tushafika safi mr facts

  • @yasinhamis1504
    @yasinhamis1504 3 роки тому +1

    Daahh hiyo issue Ni mtwara nyumban aiseee ...sehem gani hiyo kusud nimfollow huyo mwamba anipe details zaidi ....Mmi nko mtwara mjin hapa

  • @damg4332
    @damg4332 3 роки тому +2

    Ety mtoto mzuri tena dogo dogo tuu,sio wale wa makamu🤦😅😅😅😅😅😅

  • @amadybakari8952
    @amadybakari8952 3 роки тому +1

    Mahuta haipo masasi mzee

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 3 роки тому

    Basi sawaaa ntoto akaondoka

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 роки тому +2

    hahahh
    nmekaa nachek san jamaaa navyo ipambia story mtoto swala tano halaf yy cıo swala tano ıtakuajee!!!!
    ila pole sana!
    mm ninaushar hawa species za Mtwara wangejijua wangeingia kwenye sanaa za kuchekesha kwa kuwa wao n the great comedians kwa ongeaji wao tu unafurahi
    leo ndan ya mfaume- mariamu
    yule wa mashalaiti fresh!
    from +90552

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 роки тому

      Mashalaiti hhhh tumemkumbuka

    • @jasminswedi1573
      @jasminswedi1573 3 роки тому

      Umenikumbusha Yul wa masharaiti😀😀😀😀

  • @mkwajumfupidalo6512
    @mkwajumfupidalo6512 11 місяців тому

    😂😂😂 i like the accent tuned from Doha

  • @khadijashebe2750
    @khadijashebe2750 3 роки тому +3

    1st viewer

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 3 роки тому +3

    Ila una moyo kumfukuzia demu wiki2 😉 kweli we bwana mbishi yani mi nimezidisha sana kwakumweshimu uyo dem siku tatu wewe wiki 2 unalifukuzia tobo 😂😂😂 😂😂😂😂

    • @chiffjastini1196
      @chiffjastini1196 3 роки тому +2

      Mi mbili tu Kama jau na sepaa nanjia

    • @emmaraphael5982
      @emmaraphael5982 3 роки тому +1

      😂😂😂😂😂eti tobo

    • @maxjofrey70
      @maxjofrey70 3 роки тому +1

      @@emmaraphael5982
      Yani aya matobo yana tuchanganya sana sisi wanaume yani 😂😂😂😂😂

    • @maxjofrey70
      @maxjofrey70 3 роки тому +1

      @@chiffjastini1196
      Yani mabahalia ndivyo tunavyo fanya sio wiki 2 wee kwanza ilo tobo analo pekeake yani tena uyo mwanamke mfano amezingua alafu akipita tena kudadeki natema kohozi kila nnapo muona 😂😂

  • @babarahmababarahma60
    @babarahmababarahma60 3 роки тому +1

    Masasi moja hiyo

  • @emmanuelsamson8284
    @emmanuelsamson8284 3 роки тому

    hyo ntonto nzuriiii

  • @abdikapinga4791
    @abdikapinga4791 3 роки тому +1

    Mtu wako makini ....tupo pamoja kaka from kigamboni,dar-es-salaam.

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 3 роки тому +6

    Pole kaka hila nachukia hawa watu naomba like kimekuwa chakula hahaha mie siwapi ng'oo kwangu noooo

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 3 роки тому

    Good job bro.

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 3 роки тому +1

    napenda hiyo lafuz yakimakonde ❤❤🎤

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho 3 роки тому

      Kumbe hii lafuz ya kimakonde nikifikiriya ya kipemba😂

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +4

    Nimewahi

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 роки тому +2

    "Ntoto nzurii...kilasiku anabadilisha Pafyuum"

  • @sulesenko6224
    @sulesenko6224 3 роки тому +1

    Ntoto sio wa kufanya kazi za ndani uyo ntoto nkaliii

  • @rockyjr6314
    @rockyjr6314 3 роки тому +2

    Nchumba

  • @sherrymamakeboiz2256
    @sherrymamakeboiz2256 3 роки тому +1

    Better late than never.......like my komenti

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 роки тому

    Mmmhhh dev 🌟 jiangalie maana siyo km alikuwa mchaw bas katembea na Jin hao ndiyo watu unao wahoji Sana ,,,nawas was sije wakakuzingua maana wanakusikia Majin utatekwa,,, hahaha

  • @OmarMohamed-cb1tu
    @OmarMohamed-cb1tu 3 роки тому +1

    Maisha angu ya aenda vizuriii ela napata aa swaaaaa

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 3 роки тому +2

    Ukikimbia nchale'na ukisimama nchale

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому

    Mbona ntoto nkali nzur ndogondogo wamakamo hahaha taha sana. Mm ningechek mpknkaanguka

  • @saidbakar3595
    @saidbakar3595 3 роки тому +1

    Pamoja sn sibanduki mzee

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 роки тому

    sawa

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 роки тому +2

    Inaelekea watu wa Mtwala sio Wabantu maana hiyo rafudhi yao si ya kawaida.😳😲😳

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому +1

    Davistar anachek San sem anajifich t

  • @kulthumsaif8996
    @kulthumsaif8996 3 роки тому

    Ntoto Ntoto jamani raha ilioje kucheka kwa sana🤣🤣🤣😂😂

  • @allyjuma142
    @allyjuma142 3 роки тому

    davister uko vzr

  • @salehfarid1003
    @salehfarid1003 3 роки тому +3

    Amefanana na dulamakabila... na anaongea ukwel kabisa 🤙🤙

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐wanaumeeee bn eti mtoto mxuri ndomana mwaangukia majini

  • @alimohamed4712
    @alimohamed4712 3 роки тому

    @davistar kwenye tendo la ndoa hua lazima uulize ilikuaje 😀😀

  • @kahlidkahlid7789
    @kahlidkahlid7789 3 роки тому +1

    Mambo ayo jamani mmakonde utamu leo

  • @shainnakamoto5310
    @shainnakamoto5310 3 роки тому +1

    Na kwambia Kiswahili nayo Geto boy😂🤣🤣🤣

  • @bingwa4039
    @bingwa4039 3 роки тому +1

    Hili geto anakaa msela sio paka 😁😁😀😁😂

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 3 роки тому

    Huyo jn nadhan ni juliet's tuu ..swali atauliwa ajeaache kusubua vjana

  • @johnchale1073
    @johnchale1073 Рік тому

    Chinga sio tendo la ndoa bali tendo la uzinzi😂

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому

    😂😂😂😂 Napenda unavyo simulia maana inaonyesha kama ulipenda kweli

  • @kahlidkahlid7789
    @kahlidkahlid7789 3 роки тому +2

    Devs unacheka mmakonde anakuchekesha kiswahili

  • @maryamoman1370
    @maryamoman1370 3 роки тому +1

    Second

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 3 роки тому +1

    Davistar tumekutek wana kusin duuh part 2 tafadhar

  • @hamiszubeir1095
    @hamiszubeir1095 3 роки тому

    Tunakubali mikasa DM

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 роки тому +3

    Kwa hiyo huko bongo watu wengi wao ni mazimwi . Au misukule .da vista hebu nenda na zanzibar au pemba .huko ndio gining haswa

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 3 роки тому +2

    Gheto la nseraaaaa😂😂 hawa watu burudan sn wallh

  • @dullermzungu3060
    @dullermzungu3060 3 роки тому

    Duller Mzungu hapa

  • @saidsuleiman2885
    @saidsuleiman2885 3 роки тому +1

    Ndugu yke dula makabila huyu

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 3 роки тому +2

    Azana inatoka waaaaahh🤣🤣😂

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 3 роки тому +1

    Kwani Majini Wote Wanapenda Perfume Najifunza Kupitia Hii Kipindi

  • @bonniebaraka
    @bonniebaraka 3 роки тому +4

    kuna faida gani kuwa wa kwanza kila siku- tuambiane ???

    • @zulfakamwenga5354
      @zulfakamwenga5354 3 роки тому +2

      Hata mm nawashangaa, wengine wataka na like,,

    • @aishabeka5562
      @aishabeka5562 3 роки тому +2

      Wananikera Sana hao watu yaan utafikir wanalipwa

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 3 роки тому +2

    " Ntu na ntu" pole napenda unavyo oongeah

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 10 місяців тому

    Msimlizi mzuri

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 роки тому +3

    Wacha ni angalia kwanza ndio Nije kucomment

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 роки тому +1

    sasa huyo ndiye mmakonde lakini si yule aliyepita mtu wa sound

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 3 роки тому +1

    Davistar kwanini kwangu kwanza notification inakuja part2 then part1?🤔

  • @aboudjuma523
    @aboudjuma523 3 роки тому

    Ntoto nzuri halafu ndogondogo😆😆😆

  • @jamespius3377
    @jamespius3377 3 роки тому +1

    Wa 3 leo nimewai

  • @josephjoshua1177
    @josephjoshua1177 3 роки тому

    Daaa jamaa kanichekesha sanaaaa

  • @raphaelhumbi4551
    @raphaelhumbi4551 3 роки тому +1

    Kama umesikia figisi gonga like hapo 🚒 🚒 🚒

  • @naomioman9794
    @naomioman9794 3 роки тому

    Hodiiiiiiiiiii🔥🔥🔥

  • @amrimagambo7902
    @amrimagambo7902 3 роки тому +1

    Mahuta ni masasi au tandahimba

  • @joharkipemba9244
    @joharkipemba9244 3 роки тому

    Siwezi kutoa no zasimu kwantu nsiojuaa😀😀nacheka Kama mazuri

  • @husseinbarahau5253
    @husseinbarahau5253 3 роки тому +4

    Duuh kutongoz tongoz uku

  • @ngwenjumedia8537
    @ngwenjumedia8537 3 роки тому

    Nikamdondoshea mezani pale bwaaa.... Baba kubambanya nakuelewa sana mzèe

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 3 роки тому

    Akaniambia basii sawaaaaa