PART5:KIJANA ALIEPENDWA NA JINI KUWA WAPENZI/AMENIHARIBU NGUVU ZA KIUME/NINAE SIJUI NAMUACHAJE

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 277

  • @allyjuma142
    @allyjuma142 4 роки тому +8

    brother davistar umekuxhinda uzalende mpaka unacheka wngp walie mona brother davistar anache wgonge like hp chin

    • @aishakama1279
      @aishakama1279 3 роки тому

      Aisee konde boy umenikosha naona brother Davistar unacheka kizungu

  • @Footballer-1992
    @Footballer-1992 4 роки тому +12

    Daa hii kweli nimecheka sana! Hali ya Dunia bro! But Mungu atazaidia!. Jamaa anajua kusimulia kweli.

  • @ashaalfrd8383
    @ashaalfrd8383 4 роки тому +13

    Unaamini kuwa yesu ni bwana na mwokozi wetuu , nenda kanisanii uongozwe Sara ya toba na uombe na uhudhurie ibada kanisan za maombii mm naamini utafunguliwa waganga utapoteza tuu muda na pesa

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 роки тому +5

    Siwawezi yaan nlikuwa nategea lakin dk 1 tu mmenipita kama mshale kulen like bs

  • @davidsolomon5240
    @davidsolomon5240 4 роки тому +4

    Brother Mfaume!Nakushauri, tafuta kanisa lenye watumishi walio waaminifu,utaombewa Kwa jina YESU na utapona,Huyo Mamu ni Shetani tu hana mpango wote! Blessed!

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      Kbs hakuna jambo linalo mshinda Bwana YESU.

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 роки тому +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому +5

    Ntiespecti kama mtu kaskia hilo neno😂🤣🤣🤣

  • @hamadikassim3091
    @hamadikassim3091 4 роки тому +18

    Wakwanza nmewahi, 🇧🇭 gonga like kwa mfaume

  • @zunirasalim7660
    @zunirasalim7660 4 роки тому +3

    @davister part 6 iwapi

  • @luqmanmohamed9198
    @luqmanmohamed9198 4 роки тому +2

    Mr Fact nakuloveee sana bro kwa kazi

  • @oscardickson7396
    @oscardickson7396 4 роки тому +2

    Big up ..

  • @abdallasalum2509
    @abdallasalum2509 3 роки тому

    Pole sana kaka

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 4 роки тому +2

    Thanx Davista

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому +10

    Watakula nin? watakula ming'oko🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 роки тому +4

    🤔 mtu mwenye hajakutwa na mambo kama hii ikimwemo namimi tumshukuru sana MUNGU Wetu kwa kutulinda Jamani 🙇 Davistar pia we MUNGU Akulinde kwa Neema yake

  • @joharijumajohari6417
    @joharijumajohari6417 4 роки тому

    pole sana kaka

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 роки тому +2

    Wakwanza,,,njoon kaja🤝

  • @martalositotiktok6590
    @martalositotiktok6590 4 роки тому +2

    Tamu

  • @mwidadiabdalla3564
    @mwidadiabdalla3564 4 роки тому +3

    Pamoja mzee Fact

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 4 роки тому

    Leo Tena Mr. Facts

  • @zuchukhan8751
    @zuchukhan8751 4 роки тому +2

    Davistar twende kazi kk hiyo story nzuri 👌alafu ana nifurahisha 😃anavyo zungumza hicho kibangu nangu😂😂😂

  • @salisali3738
    @salisali3738 4 роки тому +3

    Baba watoto hilooo!!! Davistar chunga hapo asije tokea ukaitwa shem mambo

  • @shadiahussein101
    @shadiahussein101 2 місяці тому

    Duhhh hiii kazi sana

  • @azizasayi97
    @azizasayi97 4 роки тому +2

    Leo nmewahiiii oyoooooo Dv lov u

  • @salumbunga240
    @salumbunga240 4 роки тому

    Davistar kijan wako hp mtu mwenyew utu wang respect 👊

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 4 роки тому +2

    sawa

  • @faridashayo7761
    @faridashayo7761 4 роки тому

    Nimecheka sana Leo davi

  • @angelokihaka8363
    @angelokihaka8363 3 роки тому +2

    We kaka Davi mbona kama huyo #Mfaume ni saa_mbovu😂😂😂 sio bure huyu anafrah kuwa na jini jamn🤣🤣

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 4 роки тому +2

    Wa kwanza leo

  • @zeboytv7043
    @zeboytv7043 4 роки тому

    Ntotoo🔥

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 роки тому +2

    Kama Hadithiii vile ilapooole Mwaya pole kaka MtottMamuuu huyuFisadiii. Kaka kondeBooooy. 👊👊 Davista akichekaaa mimiNachekaaa Piaaa sijuh kwaniniii😃😃

  • @khadijajuma1408
    @khadijajuma1408 4 роки тому

    Subhna Allah
    Jamani

  • @csongole5799
    @csongole5799 4 роки тому +4

    Weee kaka tii Shelia usiwe mkaidi baba mungu atakusaidia

  • @sheikhabdallahiddi3350
    @sheikhabdallahiddi3350 4 роки тому

    nakushauri ,weka nyumba Safi fukiza udi asubuhi na jioni, nashikamana na ibada kilakitu kitakua sawa,

  • @johnnelson5089
    @johnnelson5089 4 роки тому

    Mr Davista nakukubali kwa kipindi hiki ,

  • @Kitungano7
    @Kitungano7 2 роки тому +2

    Okoka

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    ✌️👊

  • @irambonaelkhamissi3443
    @irambonaelkhamissi3443 4 роки тому +6

    Kafariki,,ntumeeee!!!

  • @DicksonDaniel-ed9cn
    @DicksonDaniel-ed9cn 9 місяців тому

    Iko powa

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 4 роки тому +3

    Ntoto nkali ntume mbona hela sina siyo ming'oko huu mpunga na nyama,

  • @shanyabdul2386
    @shanyabdul2386 4 роки тому +3

    Wa 7💃💃💃

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +2

    Ming'oko daah umenikumbusha mbaliiii....😂😂😂😂😂masasi moja iyooo...nachinduri 😂😂😂😂😂nimekumbuka kwetu jamani

  • @wildatmsellem7531
    @wildatmsellem7531 4 роки тому +1

    Hahha nimecheka balaa eti achumani but pole sana

  • @faridashayo7761
    @faridashayo7761 4 роки тому

    Nikimkumbuka mtoto amina,, acha mawazo yakipumbabuuu Hahahahahaha mbavu zangu

  • @benahdesigner
    @benahdesigner 4 роки тому

    Ntoto nmfor love

  • @shainnakamoto5310
    @shainnakamoto5310 2 роки тому

    Mfaume mtoto wa kiume shababi 😆🤣 napenda vile waongea 😅😂🤣👍

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому

    Kweli huyu kk kafanya makosa yy mwenyewe, na pia huyo jini alikuwa anakubali makosa yote na anamsamehe Faume ila pia ukiambiwa kitu usifanye juwa unaambiwa hivo kwa ajili gani manake huyo alikuwa hapendi uchafu pole sana kk Mfaume

  • @jonassilvester4325
    @jonassilvester4325 4 роки тому

    Yes muendelezo

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 роки тому +2

    Cha kufanya we Anza kiswali Sara 5 Tena kua msfi ghetto atakuja akija we mwombe Sana majini hua waelewa atakusamehe na huyo anaonekama no jini mzuri

  • @khadijagundumu6210
    @khadijagundumu6210 4 роки тому +3

    Wakwetu kabisa uyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍

  • @OmarMohamed-cb1tu
    @OmarMohamed-cb1tu 4 роки тому +4

    😂😂 Npungaaa

  • @ahshbsbx2991
    @ahshbsbx2991 4 роки тому +2

    Achumanii jamanii me nimecheka mpaka basii ila story mzurii san

  • @saidali4804
    @saidali4804 4 роки тому

    Othman anazenguaa

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +2

    Wakwanzaaa...Njooniii

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 4 роки тому +4

    Stor nzur Ila msimuliaj ndio anavyongea ivyo🙆

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 4 роки тому +4

    Achumani kaja uku mkowapi

  • @emelensianachitalula3999
    @emelensianachitalula3999 4 роки тому

    Na mini wa kwanza leo

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mfaume vituko wewe doooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Wewe pia gubu kweli sasa siku tatu tuuuu eti ulienda nikajua umeniacha huruu😪😪😪 hapo sasa hakuna chakuzaaa kwann hukumsikizaaa jini wakoo hilo tatizo naloooo
    Azabuu ngumu waaaaa watu kufa mashine haifanyi tena asikuone namwanamkeee🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️yoteee hayo uliyataka Ila pole

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 роки тому

    Duuh pole kijana

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 4 роки тому +2

    Wakwanza

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 роки тому

    Do bro pole yamekufika kweli 💔💔

  • @hopedigitalmedia34
    @hopedigitalmedia34 4 роки тому +3

    Et au watakula ming'oko au makopa hayo daah

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 4 роки тому +3

    Pole sana,
    Ila kama una Akili Okoka, jini hajawahi msaidia mtu. Atakutesa tu mwisho atakuua!
    YESU tu kiboko ya maji yote!

  • @rahmamusa9627
    @rahmamusa9627 4 роки тому

    anasema. vizur hayomeno

  • @shammxtv5608
    @shammxtv5608 4 роки тому +2

    🤣Nachka uko kuongea

  • @jullykim8654
    @jullykim8654 4 роки тому +3

    Nani ana no.ya uyo dogo apo

  • @muddymohammed9039
    @muddymohammed9039 4 роки тому

    Hahahaha et au watakula ming`oko?

  • @sharonenson
    @sharonenson 3 роки тому

    Davista ukimaliza story uwe una andika mwisho

  • @azizamohd5728
    @azizamohd5728 2 роки тому

    Hii part 5 nimeirudia sana hapo mwanzoni

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 4 роки тому +3

    Achumani mkaidi hachikii

  • @mussajuma3100
    @mussajuma3100 4 роки тому

    Story inastikitisha but inafurahisha!!!

  • @hellenmanzi4740
    @hellenmanzi4740 4 роки тому +3

    Napenda anavyoongea jamani

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +3

    Duuh aisee pole duniani kunamengij...sasa wewe nawewe ulikubalije?😭Mwombe na Mungu akuvushe

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 роки тому +3

    Achumman

  • @thomasmwakatobe8207
    @thomasmwakatobe8207 3 роки тому

    Duuuh!! Bila Yesu hapo ndugu utateseka mpaka ukome.

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 роки тому

    Ming'oko na chumvi tamu sanaaa

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 роки тому

    😃😃😃😃😃

  • @pillyomary6127
    @pillyomary6127 3 роки тому

    Kaka wee cheka maana mm nimecheka mpk nimelia wallah

  • @csongole5799
    @csongole5799 4 роки тому

    Jaman kafuraaaa

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 роки тому

    Njoo kanisani ufufuo na uzima utafunguliwa pole sana mufalme

    • @barbranabakooza9589
      @barbranabakooza9589 4 роки тому

      Weeeee unachekesha nn huyo jini sio mapepo wachafu huyo km binadamu hatoki ngooo cheza nn

    • @suleymanally4729
      @suleymanally4729 3 роки тому

      @@barbranabakooza9589 we unatak mwenzio aumizwe nyie hamtoi mapepo Bali mnazidish mapepo

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 роки тому

    Mtoto mam atakuonyesha vituko mufalme

  • @RahmaRahma-xp9jr
    @RahmaRahma-xp9jr 4 роки тому +7

    Davista nauna unapepesa macho m mtoto mamu kapita ujamuona 😂😂

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 3 роки тому

    Ntoto achuman kaingia ngileee😂😂😂

  • @mwanaulaaula8856
    @mwanaulaaula8856 4 роки тому +2

    Duh

    • @gaumzamilu7735
      @gaumzamilu7735 4 роки тому +1

      Kumekucha amkeni mfaume amerudi njoooni

    • @gaumzamilu7735
      @gaumzamilu7735 4 роки тому

      Hayahaya wale wa mingoko na chinduli mpoooooooo

  • @erickmoses6395
    @erickmoses6395 4 роки тому +2

    Achuman jamani kala dozi ya kichomi 😀😀

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 3 роки тому

    Ujitambue

  • @lillianeriksson8183
    @lillianeriksson8183 4 роки тому

    Davista nchumba umemwona hapo😆😆😅😅

  • @shaibumwegero5085
    @shaibumwegero5085 3 роки тому

    daaa, ndio utaishi hivyohivyo......mhm

  • @munababy1385
    @munababy1385 4 роки тому

    Poa sana

  • @eligiusvitalis3504
    @eligiusvitalis3504 4 роки тому

    Naomba kuliza Jamani Je haya mambo anayosimulia ni kweli au niongo Jamani sababu story kama hizi mara nyingi zinakua kwenye movie sasa hiyo miujiza inafanyikaje???

  • @Fatima-sv5gp
    @Fatima-sv5gp 4 роки тому

    😂😂😂Baba watoto

  • @likeothers2498
    @likeothers2498 4 роки тому

    Npenda vile akisema sinamehe😀😀

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому +2

    Kuwahi sio mchezo wacha niskize kakangu hapa yanayo msibu

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому +2

    Ana raha huyu jamaa 🤗🤗🤗

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 4 роки тому +1

    😢😢😭😭😭😭

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 4 роки тому

    Ntoto nan for love kishenzi 🤣🤣🤣

  • @kimwilliam6948
    @kimwilliam6948 4 роки тому

    ahahaha!! kafariki ntumee

  • @muaminhakizimana1671
    @muaminhakizimana1671 4 роки тому +2

    Hiiimoja nimeshindwa kuelewa jameni 🇧🇮

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому +3

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mfaumeeeee