PART1:KIJANA ALIYEFUNGA NDOA NA JINI NA KUPEWA UTAJIRI WA MAJINI AELEZA YALIYOMKUTA/MAJINI BAHARINI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 33

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 роки тому +2

    Pamoja saana Mr every

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 роки тому

    Pamoja sana the golden boy

  • @candyberger5097
    @candyberger5097 2 роки тому

    Waching from Germany

  • @chriscao9828
    @chriscao9828 2 роки тому

    Story tamu sanaa...japo inasikitisha

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 роки тому +2

    Watu wanateseka sana

  • @fgbhgfchg5358
    @fgbhgfchg5358 2 роки тому +1

    Unatuletea matapeli

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 роки тому +1

    mbona story humalizii ya yule wa shinyanga na yule dada wa UK

  • @bonnycostacosta7339
    @bonnycostacosta7339 2 роки тому +1

    Tuko pamoja

  • @fgbhgfchg5358
    @fgbhgfchg5358 2 роки тому +1

    Km tapeli tujue okay,, km atnatumia kazi hii kutapeli, sasa wewe unaleta watu matapeli jamani

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 2 роки тому +2

    Ndugu awana uruma wanachukuwa mali za yatima ndo lahana izi

  • @fgbhgfchg5358
    @fgbhgfchg5358 2 роки тому

    Km awezi kazi arudishe pesa

  • @jongoathumani3690
    @jongoathumani3690 2 роки тому +1

    Tanga kunani sheby alawi tuko pamoja mkuu

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 роки тому +2

    Story ya makofia uxiiweketena ana jiona supa star uki iweka xifatilii tena na wewe una jipendekeza kwa makofia achana nae

  • @nassorhamad7555
    @nassorhamad7555 Рік тому

    Uongo mtupu mtu mmoja unastory kibao

  • @josephjames4587
    @josephjames4587 2 роки тому

    Story ya anania vipi mbona hautupi mwendelezo

  • @edwardshirima3284
    @edwardshirima3284 2 роки тому +3

    story zako ambazo azina mwendelezo

  • @tututz100
    @tututz100 2 роки тому +1

    SIRI ZOTE KUHUSU

  • @ambassadorkatemeambassador2840
    @ambassadorkatemeambassador2840 2 роки тому +1

    Mmmmh 😳 htarrrrr, sheb nipo kwa minchi nina story

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  2 роки тому

      0652992690 nicheki WhatsApp

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 Рік тому

      Duuuuh ndugu wabaya kufa na kuzika mjomba kauza nyumba daah maisha aya pole sn

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 роки тому

    jamani mbona watu wanapenda kudanganya watu mie nimezaliwa ziwa tanganyika kasanga..nimevua ziwa tanganyika ziwa rukwa ziwa Victoria..bahari ya hindi mchana na usiku...tena nikiwa mdogo miaka..11..mpaka miaka..20 hii miaka 9..yoote nilivuwa..hata kama nafanya kazi gani nzuri lazima nikavuwe..ni kweli baridi ya baharini kama hujaizowea..kesho lazima uumwe..hii kwamba wa vuvi wanatumia uchawi nakataa kabisa

    • @captainndoxy5769
      @captainndoxy5769 2 роки тому

      Wewe ulikua hutumii wapo wanaotumia daily sema we hujabahatika kukutana nao kama upo Mza njoo kijiweni nikupeleke Ukaone kwa macho yako

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 роки тому +1

      @@captainndoxy5769 mie sasa ivi nipo south Africa na nikiwa sielewi naenda Durban kuvua..nimevua kunduchi mbweni unununio.. bagamoyo feli sijaona hiyo kitu sema ukelewe niliona kweli wanaroga kwenye mitumbwi

    • @jackisonluvanda8088
      @jackisonluvanda8088 2 роки тому

      Imani yake ndogo

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 2 роки тому

      Shukuru Mungu Nyota yako haikutakiwa, hii ni sawa na kuishi mtaani kwako toka uzaliwe mpaka unakua Mtu mzima usiweze kujua kama Mtaani kwako kama Kuna Mchawi na kama hawana shida na wewe watakuacha mpaka Muda wao ukifika lazima wakufanye Msukule kama huna Yesu. Nje ya hapo Nyota yako haina kazi na hao Watu unakua kama Galasa tuu kwao. Haya mambo kama huyajui usibishe mshukuru Mungu akuweke mpaka utakapo pata Neema ya Uponyaji nje ya Hapo wewe ni Msukule Mtarajiwa

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 роки тому

      @@charlesmapunda5905 msukule mtarajiwa mie??

  • @fgbhgfchg5358
    @fgbhgfchg5358 2 роки тому

    Davistar mti mkavu kachukua pesa kazi ataki kunifanyia wala ajibu

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ulimtumia kiasi gani?

    • @Kalssambabo-gv6uh
      @Kalssambabo-gv6uh Рік тому

      Mmmh

    • @Kalssambabo-gv6uh
      @Kalssambabo-gv6uh Рік тому

      Yani hawa waganga wakujitangaza hata hawaaminiki bora kama yule anae sema alikua mganga hadi kuzim kidg utMuamnini lakini huyo mti moavu hadi nimuone kwa macho yangu

  • @ashastromfors5385
    @ashastromfors5385 2 роки тому

    Mwendelezo weka hata mbili mbil Kila siku