PART2:MWANAUME ALIEISHI NA JINI NA KUPELEKWA CHINI YA BAHARI/NILIOA MWANAMKE ALIEKUFA /HANA KICHWA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 151

  • @hamadikassim3091
    @hamadikassim3091 4 роки тому +13

    Davistar muendelezo tafadhali... Hii story imebamba, likes zenu kutoka bahrain🇧🇭

  • @mariammotera6901
    @mariammotera6901 4 роки тому +6

    Asante sana davistar kupitia channel hii nimejifunza mengi umenifumbuwa macho,,, na kunifanya niendelee kuwa Karibu sana na Mungu wangu,,

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому +16

    Kwa hiyo wazungu tabia zao kama majini mahaba mana ukipendwa na mzungu haruhusu uowe na mke mwengine awe yeye to na hata ukizaa na mzungu bas watoto wataish ulaya mwanamke hatokubali watoto wake waish Afrika. Wazungu tabia zao kama majini mahaba

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 роки тому +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 роки тому +11

    Msimuliaji yuko vizuri muda wote anatabasam yaani mtu unasikiliza mpaka utaman isiishe

  • @kbdk3065
    @kbdk3065 4 роки тому +13

    Nilikuwa nasubiri hii story ndo nilale kutoka 🌏🇱🇷🇱🇷🇱🇷.

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 4 роки тому +3

    Kaka davis ukopoasana nakukubari sana story ikosafiii ila yule brother wa julieth hana story nyingine make alikuwa ananichekeshasana alikuwa anavitukodah 👍👏👏👏👏💯✅

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 роки тому +4

    Maana sisi huku duniani tunaishi NA majini tusitili yaarabi 🤲🤲🤲

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Рік тому

    MY BROTHER DAVISTAR MATA MY DUA ALWAYS WITH YOU UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 .TELL UR FRIEND I LOVE HIS STORIES 👋 ONE DAY I WILL COME TO VISIT YOU INSHALLAH IN TZ MY BROTHER DAVISTAR MATA REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 🙏 💙 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @zaynabyusuf4324
    @zaynabyusuf4324 4 роки тому +10

    Yan anafurahia kabisaa haya maisha yake na demu wake jinni

  • @evadotv9528
    @evadotv9528 4 роки тому

    Safi sana anajua kusimulia

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 4 роки тому +1

    Kwakweli huyu jamaa tokea part 1 anavyo isimulia hii simulizi unaweza kuhisi au kusema alijipanga na maisha hayo kwamba akijakupata kiumbe wa aina hii nini afanye . Story tamu sanaa

  • @wasafishadrack8398
    @wasafishadrack8398 2 роки тому

    good job 🇨🇩🇨🇩

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому

    Pole sana kaka yngu

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 4 роки тому

    Waiting for part three👌

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 4 роки тому +9

    Msimuliaji ana batasamu huyo 😂😂

  • @towettcheptoo3047
    @towettcheptoo3047 4 роки тому +1

    Watching live from 254 city

  • @rehimamohamedi634
    @rehimamohamedi634 4 роки тому

    Yeeeah🤗

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 роки тому +1

    Ahsantee Davistar kwa part2

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 роки тому

    Mtu makini katika ubora wako Asante Kaka dm kwa kutuelimisha

  • @germainndayishimiye8684
    @germainndayishimiye8684 28 днів тому

    Hatari sana

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 роки тому

    Tuned 🇰🇪

  • @azizasayi97
    @azizasayi97 4 роки тому

    Kaka Dv lov Sana story zako uishi maisha marefu

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому

    Jamaa mpole sana

  • @pillyomary6127
    @pillyomary6127 3 роки тому +1

    Jamani watu wabuguruni tuwe makini Sana tunaishi naokumbe😄😄😄😄😄😄mungu uyu jamani

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 роки тому

    Aah leo li broo davista limecheka 😀😀😀😀😀

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 4 роки тому

    Story nzuri sana 🇪🇸🇪🇸

  • @luqmanmohamed9198
    @luqmanmohamed9198 4 роки тому

    Mr fact ww mchokozi sana bro

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 роки тому

    Mungu atunusulu na mitihani kama hii Inshallah

  • @salumbunga240
    @salumbunga240 4 роки тому

    Davistr kjn wako hp mtu wenye utu wang respect 👊

  • @thumakajo9518
    @thumakajo9518 3 роки тому

    story tamu

  • @Footballer-1992
    @Footballer-1992 4 роки тому

    Ndio nimeongoja Sana Mtu Makini

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 роки тому +1

    Haiishi hamu kuisikiliza👍

  • @goodgood9370
    @goodgood9370 4 роки тому +1

    No 7

  • @faithlondo2347
    @faithlondo2347 4 роки тому +1

    Thank you Davista, was waiting for it....

  • @kitkat-pr4mv
    @kitkat-pr4mv 4 роки тому

    Part 3 plzzzzzzzzz

  • @naomiakoth2958
    @naomiakoth2958 4 роки тому

    Part three plz

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 роки тому

    Riziki mambo yamekwiza habiby wangu

  • @ylosvijevana6815
    @ylosvijevana6815 4 роки тому +1

    Huyo jini anaomekana mstaarabu sanaaaa...

  • @mkutemtoyi3636
    @mkutemtoyi3636 4 роки тому

    No 14

  • @rehimamohamedi634
    @rehimamohamedi634 4 роки тому +1

    Just waiting ☹

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому

    Mmhh hajafa kweli huyo dada...uwiiiiiiiiii

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому

    Hoi hoi utamu mpupu

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 роки тому

    Dah binadamu bana Hatari katika story zote Mr Davi Hii Hutaki imalize

  • @aishamustapha7381
    @aishamustapha7381 4 роки тому

    Duh imeishia patamu.tunasubili part 3 kwa hamu

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️tamaaaaaaa hahaha mwanaume utosheki wakutana namwanamke bila ruhusa yajini haha

  • @susankomu8978
    @susankomu8978 4 роки тому

    Normb 11

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому

    Davistar Wapenda viswali vizuri 😅

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 роки тому

    Nasubir number 3

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 роки тому +1

    Duh nasikiaga sikuaga nikajua hadithiii kumbekweli ila kaka moot wakowa chumaMi siwezi kuishi na jinijamaniii nitakufa dk0

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 роки тому

    Mungu wangu EEEE kijana ulijikamilisha kweli NA ulipata ujasili

  • @michaelfrancis1959
    @michaelfrancis1959 4 роки тому

    Kali

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      Midume inapenda kulelewa nyie mtakufa na vitu vya bure. Nakutamani wadada msiowajuwa.

  • @jacklineakoth1016
    @jacklineakoth1016 4 роки тому +1

    Davistar tutafutie, yona, ayubu na Daniel naye atusimulie jinsi alivyoo kaa na, Simba bila kuliwa

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Aisee hizi xtory znatufundixha Vitu vingi kumbe mtaani humu wamo saa nyingine tumepanga nao humu duh

  • @mrgodfreyg2501
    @mrgodfreyg2501 4 роки тому +1

    Jamani watu tunapenda story za majini kwanini lakini au kwavile tunasikia kuwa wanajigeuza geuza ndiomaana tunawapenda😝

  • @shkjumaa7270
    @shkjumaa7270 3 роки тому

    utahira

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 3 роки тому

    Mungu aninusuru kuonana nahao viumbe

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому

    Dooh

  • @awadhirajabu2606
    @awadhirajabu2606 4 роки тому

    Uyu Jamaa Alikua Muoga Sana Tena Sana

  • @zeramohamed9672
    @zeramohamed9672 3 роки тому

    Mimi naona hadhisi tu

  • @dotosalim5090
    @dotosalim5090 4 роки тому

    Wakumi leo

  • @sekelamwambomanabiiwakwwli8559
    @sekelamwambomanabiiwakwwli8559 4 роки тому

    Nimewai kidogo leo

  • @mercybritney3970
    @mercybritney3970 4 роки тому

    Kwani akuna part 3 ya hii🤔🤔

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 4 роки тому

    Part3 ikowap??

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Aaah sasa c angekunulia nyumba mzee au wew ni kula mzigo tu?!

  • @simenyasikhulu
    @simenyasikhulu 3 роки тому

    Hakika maajabu ni mengi ulimwenguni.

  • @madinaumutoni6640
    @madinaumutoni6640 4 роки тому

    Davista unacelewa🗣️

  • @haskao77
    @haskao77 3 роки тому

    Kwa hiyo wadau maamino hii story?

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому

    Yani wamkubalia jini rahisi rahisi tu mpaka wazaa nae

  • @yoldayim4492
    @yoldayim4492 4 роки тому

    mjumbe nipo ndani

  • @benahdesigner
    @benahdesigner 4 роки тому

    Kaka leta nyingne

  • @leaharusei5131
    @leaharusei5131 3 роки тому

    Nini inafanyika ndio mtu apatane na iyo shita, Ata mtu Ana swali, majabu ya ulimwengu

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 роки тому

    Doh yani kaka uliishi maisha yako mazuri na jini 😅😅😅

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 4 роки тому

    Kiranga komo,,mke wa 3 baharin mweh

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 роки тому

    Majini duniani wapo na tunaishi Nao wengi sana

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 4 роки тому

    Sasa apa anatutambia maisha yayeye nauyo demu wake au yani mana simwelewi uyu jamaa yani uyu mzinguaji kinyama.

  • @nurdintembo7480
    @nurdintembo7480 4 роки тому

    Yaa wanne leo kutoka wa 29

  • @mwesigwaannte1658
    @mwesigwaannte1658 4 роки тому

    🤔 hivi Jini akikuchagulia mke jua tu wote ni kitu kimoja

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 3 роки тому

    Uyo mke uliye muowa alikuwa wakawaida au ndio kama mke wa kwanza?
    Davistar naomba jibu

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 4 роки тому

    Duh leo nipo namb 65 simwisho huku🙄

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 роки тому

    Yaan msimuliaji anatabasamu tu

  • @ahshbsbx2991
    @ahshbsbx2991 4 роки тому

    Uogopii weee

  • @zubedahussein7301
    @zubedahussein7301 3 роки тому

    Uyu kaka nae anatamaa jini anae binadamu anae bado unataman tena duh

  • @damarismbatia2029
    @damarismbatia2029 4 роки тому

    Watu waeza dhania ni story lakini it is real the marine kingdom inatoa bidii wawe wengi kutushinda hapa duniani, so uyo anafaa deliverance kamili

    • @happyperson3016
      @happyperson3016 4 роки тому +1

      Everything is explained kwa bibilia in the book of Genesis and how they came to be on earth..damu ya yesu inatutosha

  • @faithlondo2347
    @faithlondo2347 4 роки тому

    Naniii haifanyi kaziii hahahhaa

  • @rahimjuma7293
    @rahimjuma7293 3 роки тому

    aise aliemuona shemejietu jini kapita nyuma ya mtangazaji anyooshe mkono just😂

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 4 роки тому

    Et wife wangu

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 4 роки тому

    Masikini mtoto wa watu alikufa tu sababu ya siku moja! Mwanaume lazima ahanye?

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 роки тому

    Majini ni wengi kuliko wanaadamu

  • @aboudjuma523
    @aboudjuma523 4 роки тому

    Hivi ni kwann watu wenye mahusiano na majin hawamalizagi mahusiano salama

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Yaani ndo wakwanza kusikia anafulahia mapenzi ya jini duh!?

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 роки тому +1

    Jamaa anapenda kitonga huyu😂

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 4 роки тому +1

      Kitonga ni nn nimeshaskia mpaka kwa nyimbo za kibongo i hope sio matusi

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 4 роки тому

      Mteremko kwa maana ya kwamba alirdhika nae hasa vitu vya bure alvokua anapewa

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 4 роки тому +1

      @@vaghoghontweki9827 AH... Kumbe.. Sawa sawa asante my frnd

  • @benomwazembe4765
    @benomwazembe4765 3 роки тому

    Duniani kuna mengi

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 4 роки тому

    Alimpenda mini yakampta haya

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 3 роки тому

    Shemejiii 😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    😂😂😂😂😂yani unabebwa tuu uhame sawa yani hujui lakufanyaa mpka unapangiwaa wapi utaoa Haha mara watoto hao walizaliwa lini??siku sote hunahabari nijini makubwa

  • @zaynabyusuf4324
    @zaynabyusuf4324 4 роки тому

    Hizi story ukiwa unahadithiwa unaweza dhani vitu ambavyo havipo ila,,,,,,,

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Wa 11 leo,,,, hahaha

  • @albeleenalberto158
    @albeleenalberto158 4 роки тому

    Ulikubali kuzaa vijini ambavyo havitakiwi kuonekana

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +1

    Duniani kuna mambo ya ajabu sana.