Mm nimependa hapo zukhaira alivyotoa dawa kumtibu kakake, yaani miaka 12 kitandani ila akapona kwa siku 3 tu kweli watu tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Na kwa wale wanaopenda kwenda kwa waganga wajue asilimia kubwa ya waganga ni wanga. Na km utachunguza ktk story nyingi za watu. Walio enda kwao kutafuata utajiri. Wameambiwa watoe kafara ya roho za watu (vikoa) kwa mashetani ya kichawi. Hata wanga wanawapa kafara km hizo mashetani yao ya kichawi. Na madhara mengine waganga baadhi yao ni wezi wa nyota za watu (bahati au mafanikio). Wanaichukua nyota yako anauziwa tajiri unajiona hupoi unazidi kudhoofika kumbe unatumiwa mtihani. Lakini kuenda kwa mganga kutaka tiba au dawa km mtu Ana matatizo hasa ya mauzauza sio kosa. Maana ukiwa una matatizo ya kichawi utafanyiwa duah au maombi inategemea na imani ya dini yako. Maana uchawi vizuri utumie na dawa za kienyeji. Jambo baya au kosa ni kuenda kumfanyia mtu ubaya (kumroga) au kutizamia (ramli au kuaguliwa) ndio dhambi. Halafu hiki kizazi cha JEJE kinaamini sana mchezo huu wa kuaguliwa. Na hui mganga au ustaadh km hujui kuagua huyo unae muambia akuague yeye haielewi hali yake 😀. Miko ya mganga ni kuficha siri hata km ataona hatakiwi kusema maana atagombanisha watu mf: Kaka yko mchawi au mjomba yko ndio mbaya inakua fitna. Kwa sie waislamu tumeusiwa na Mtume wetu Muhammad swala wallahu alaihi wasalam mganga atakaposema jambo hata km likatokea basi tuone km amebahatisha tu. Tusimchukulie km Mungu mtu anajua kila kitu hapo tutakua tumeingia kwenye mtego wa sheitwani (ibilisi) namalizia MCHAWI NI MTU YOYOTE MWENYE ROHO MBAYA KWAIYO BINAADAMU TUPENDANE HASA WANA FAMILIAR
Binafsi vitu kama hv nilikua naskiaga tuu zaman wala sikua najua hata kama kweli lkn sikuhz na mitandao twajionea mengi kwel dunia imebadilika sana aya c tunaenjoy tuh 😊big up Davistar mata media
Alafu kaja anasema anataka kukusaidia then kaua mama ako😂😂😂😂😂jamani amna jini anae weza saidia binadamu majini wanakuja duniani kualibu ulimwengu tuu amna jini wala mganga mzuri duniani na mbinguni lzm muelewa ilo amna jini zuri jamani izo ni roho chafu zinakuja kualibu ulimwengu na kupeleka watu motoni 😥😥😥😥😥😥😥inauzunisha kweli jamani.....
Zakii jini ndo zeto ...Mr DM uko vizuri Asante bro kwa kutuletea story za kijini Mana mm natamani nimpate jini ila kwa simulizi iziii aaah wacha tu wakae tu
Siyo yeye tu ukweli ata Mimi majini ya singekua na wivu ningevuta jini moja nikae naye sasa sema haya pendi michepuko ila niwahaminifu Sana wao kwenye mahusiano 🤣🤣🤣🤣
Samahani Mr Fact naomba siku utakapokuja kumuhoji yule mganga wa majini basi umuulize swali hili , je kuna binadamu wasio logeka kichawi na hata kuingiwa na majini au kukubwa wapitapo njiani ?
Kwani majini hawajui kuwa sisi Binadamu hatuna shukrani wala fadhila iweje waje wafanye mahusiano na sisi? Sisi ndio Binadamu tunawezana wenyewe kwa wenyewe 😀😃
ANYWAY SAWA DM LAKINI SIO LAZIMA KUFUPISHA KWA NJINA NDO ULETE MAANA YA LOGO UNAWEZA KUTAFUTA LOGO MOJA KALI SANA ILA DEVISTAR MATA IKABAKI KAMA SLOGAN AU MOTOR YA KIEELEZI KIKUBWA SALUTE KWAKAZI YAKO
wanawake hawapendi na majin kwasababu mwanamke kaubwa katikaemfumo wa kila mwez lazima apate hedhi kwaiyo majin hawapend uchafu na hata wanaume ili upendwe na jin bac huwe msafi wa kimwili mpaka nafs kwamaana ukiwa sio mdhinifu yan maana yake uwe unaweza kukaa hata miez mitatu au minnee iyo iwe kawaida yako yan lakin leo hii mtu week tu bila kutiwa au kutia ajisikii sasa tulud kwa wanawake wanawake kunavitu vingi sana ambavyo vinawafanya msitongozwe na majin kwasababu kama tulivyo ongea majin hayapend uchafu lakin unamkuta mwanamke ananywelee kichwan anadhin alafu anaoga lakin maji utosin haya mfiki wala kwenye kucha ayamfiki couse ana zile kucha za bandia kwaiyo inakuwa mala moja moja sana wanawake ambao wako neture kwenye mili yao lakin wengi wao wote dubliketi
Iz too much wa bongo Kila mtu kapendwa na jini mbn waarabu huku siwasikii stor za maJini inamaana majin na shirik ziko Africa tuu ,,, n wazi Africa tumejiachia Sana kias Majin watutawale.
My davistar tuko pamoja tunaendelea kujifumza
Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up
Yeah ur right
Mm nimependa hapo zukhaira alivyotoa dawa kumtibu kakake, yaani miaka 12 kitandani ila akapona kwa siku 3 tu kweli watu tunaangamia kwa kukosa maarifa.
P
Beibiiiii..kazi nzuriiii💞💞
Yaani wanaume mjirekebishe huwa mnapenda kufanya mapenzi na wadada kwa siku moja tu au hapohapo.. ndiomaana majini yanawangia kirahisi.
Wa 11 kaka Dv Asante tupo pamoja
Na kwa wale wanaopenda kwenda kwa waganga wajue asilimia kubwa ya waganga ni wanga. Na km utachunguza ktk story nyingi za watu. Walio enda kwao kutafuata utajiri. Wameambiwa watoe kafara ya roho za watu (vikoa) kwa mashetani ya kichawi. Hata wanga wanawapa kafara km hizo mashetani yao ya kichawi. Na madhara mengine waganga baadhi yao ni wezi wa nyota za watu (bahati au mafanikio). Wanaichukua nyota yako anauziwa tajiri unajiona hupoi unazidi kudhoofika kumbe unatumiwa mtihani. Lakini kuenda kwa mganga kutaka tiba au dawa km mtu Ana matatizo hasa ya mauzauza sio kosa. Maana ukiwa una matatizo ya kichawi utafanyiwa duah au maombi inategemea na imani ya dini yako. Maana uchawi vizuri utumie na dawa za kienyeji. Jambo baya au kosa ni kuenda kumfanyia mtu ubaya (kumroga) au kutizamia (ramli au kuaguliwa) ndio dhambi. Halafu hiki kizazi cha JEJE kinaamini sana mchezo huu wa kuaguliwa. Na hui mganga au ustaadh km hujui kuagua huyo unae muambia akuague yeye haielewi hali yake 😀. Miko ya mganga ni kuficha siri hata km ataona hatakiwi kusema maana atagombanisha watu mf: Kaka yko mchawi au mjomba yko ndio mbaya inakua fitna. Kwa sie waislamu tumeusiwa na Mtume wetu Muhammad swala wallahu alaihi wasalam mganga atakaposema jambo hata km likatokea basi tuone km amebahatisha tu. Tusimchukulie km Mungu mtu anajua kila kitu hapo tutakua tumeingia kwenye mtego wa sheitwani (ibilisi) namalizia MCHAWI NI MTU YOYOTE MWENYE ROHO MBAYA KWAIYO BINAADAMU TUPENDANE HASA WANA FAMILIAR
Binafsi vitu kama hv nilikua naskiaga tuu zaman wala sikua najua hata kama kweli lkn sikuhz na mitandao twajionea mengi kwel dunia imebadilika sana aya c tunaenjoy tuh 😊big up Davistar mata media
🎉tatizo unauliza sana maswali alafu ujui at kuuliwa waache watu wajieleze wenyewe bana
Umemkuta ila kwasasa hayupo kiswali noma😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Asante davistar good job💐💐💐
Alafu kaja anasema anataka kukusaidia then kaua mama ako😂😂😂😂😂jamani amna jini anae weza saidia binadamu majini wanakuja duniani kualibu ulimwengu tuu amna jini wala mganga mzuri duniani na mbinguni lzm muelewa ilo amna jini zuri jamani izo ni roho chafu zinakuja kualibu ulimwengu na kupeleka watu motoni 😥😥😥😥😥😥😥inauzunisha kweli jamani.....
Zakii jini ndo zeto ...Mr DM uko vizuri Asante bro kwa kutuletea story za kijini Mana mm natamani nimpate jini ila kwa simulizi iziii aaah wacha tu wakae tu
😂😂😂
@@maidevrasumbura1880 hhhhh
Unamatatizo ww unamtamani Jinii?? Pole sana
Siyo yeye tu ukweli ata Mimi majini ya singekua na wivu ningevuta jini moja nikae naye sasa sema haya pendi michepuko ila niwahaminifu Sana wao kwenye mahusiano 🤣🤣🤣🤣
@@fredichaki4868 umekwisha yaitee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakupenda sana davistar Mata big up
Jamaa anauliza maswali yenyewe kabsa hongera 🙏🙏
Et kufresh maindi ndio nn😀😀😀
Safarihii davista uwatembelee waganga wote dar upate story zaidi
Nimewaiiiiii💃💃💃💃💃👏
Story nzuri jamani wacha tuendelee kujifunza kupitia kwa wenzetu
Mtot amaizing 😅😅😅😅
😂😂😂
Wakumi na mbili leo
Davistar kijan wako hp mtu mwenye utu wang respect 👊
Samahani Mr Fact naomba siku utakapokuja kumuhoji yule mganga wa majini basi umuulize swali hili , je kuna binadamu wasio logeka kichawi na hata kuingiwa na majini au kukubwa wapitapo njiani ?
Hakika broo nakuona sehemu we ni zaidi mirad ayo
😂😂😂😂😂😂😂
Haaaaaa
Majini bwana hawachagui mwanamme sisi binadamu wenyewe tunachagua wanaume hatuvamii kila mwanaume 😂😃 sijui kaka zao wa kijijni hawawafikishi 😅
Hhh not funny
😁😁😁😁
Jini km jini🤭😎😳dede😹
Coco majini yapo jamani hata mimi nili meet mmoja wao ⛈
Weeh kweli embu nifuate inbox 0693782018
😅
👏👏good jobs
Kweli kilamtu anapitia mashaka yake
Huyo jamaa mwongo. Mtu mzima km wew utafutiwe mke, hayo mambo yalikuwa miaka ya nyuma. Sio 2020
*Nakubali kazi mtu makini*
Nami reo namba 2Lik
Pole sana dede kwa yalio kufika
Watching from Paris France 🇫🇷 story nzuri MR FACTS big up bruv.
Majin uwaga wanamapz ya Dhat awangalii pesa uyu uson jins alivyo ata akimbiwa na she nakupenda anajua anadanganywa
Jini kampenda mtoto wa remi ongala duuu
Jamanii😂😂😂😂Mwenzio kafresh maindi
Dhu nimechelewa leo kidogo ila fresh tu Davistor tupo sambamba
Subhanallah
Dah kweli dunia ina mambo mhm
Good job davistar nasubiri part2
Hayahaya kumekucha wamerudi tena wenye majini yao
Duuuh zukhaira balaa 🤔🤔
hv hakuna jina mkiristo🤔
SHIRT YA KIHINDI...
Kwani majini hawajui kuwa sisi Binadamu hatuna shukrani wala fadhila iweje waje wafanye mahusiano na sisi? Sisi ndio Binadamu tunawezana wenyewe kwa wenyewe 😀😃
🤣🤣🤣🤣🤣
Leo umechangamka davistar hadi lahaaa nakubal sana
ANYWAY SAWA DM LAKINI SIO LAZIMA KUFUPISHA KWA NJINA NDO ULETE MAANA YA LOGO UNAWEZA KUTAFUTA LOGO MOJA KALI SANA ILA DEVISTAR MATA IKABAKI KAMA SLOGAN AU MOTOR YA KIEELEZI KIKUBWA SALUTE KWAKAZI YAKO
Mtt mzur kwel kwel kumbe mdudu
sawa
Davista ni Mchawi aliegraduate bado kuapishwa tu. Maana elimu aliyonayo kuhusu uchawi ni masters degree
Hii story sijui nilikuwag wap
I love your shirt today. By the way I'm a woman, don't be fool by the name I'm using. 😀😀
Ok vzr
Tuma sehem ya pili
Pamoja
David nataka ni invest vipi u shareholder....
Tuned .................
@davister part 2 vipii
Majini yana mambo
Aisee wenzangu na mie wapendwa totoz majin yanatuhusu
Brother mbona haumalizii ya dogo mfaume?
Nmewahi Leo
Tupe tupe mkuu pamoja xana
Dede navojua ni jina lakumwita mpenzi wako dede wangu nakuhezaa mno😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kwetu lkn kwenu nijina kawaidaa tuende broo ikawaje ulipona..mtandio wakike👩💻👩💻👩💻sasa mtandio ulikufurahisha ukaona uokote ukakosaa kujiongezaa kiakili hapa ni beach 🤨🤨
💃💃💃
mbona wanawake ni wachache wanaume 2 ndo wanafatwa na majini 🌚
wanawake hawapendi na majin kwasababu mwanamke kaubwa katikaemfumo wa kila mwez lazima apate hedhi kwaiyo majin hawapend uchafu na hata wanaume ili upendwe na jin bac huwe msafi wa kimwili mpaka nafs kwamaana ukiwa sio mdhinifu yan maana yake uwe unaweza kukaa hata miez mitatu au minnee iyo iwe kawaida yako yan lakin leo hii mtu week tu bila kutiwa au kutia ajisikii sasa tulud kwa wanawake wanawake kunavitu vingi sana ambavyo vinawafanya msitongozwe na majin kwasababu kama tulivyo ongea majin hayapend uchafu lakin unamkuta mwanamke ananywelee kichwan anadhin alafu anaoga lakin maji utosin haya mfiki wala kwenye kucha ayamfiki couse ana zile kucha za bandia kwaiyo inakuwa mala moja moja sana wanawake ambao wako neture kwenye mili yao lakin wengi wao wote dubliketi
Maidevra sumbura unq balaa ww umewaza nn mpk umesema hivyo duh!! 😬😬Bora awafate wanaume tuu na c wanawake akuuuu🙉🙉🙉🙉🙈🙈🙈
@@purechuse unapenda majini?
@@purechuse sawa 😂😂😂maneno kuntu sijiu kweli 🏃🏃🏃
majini wanawake ndo mazaifu kuliko unavyo zani
👍👍👍
Saa saba mida ya majin wanapenda kuwakumba wanadam
Wamwisho zuhaira
Warabu wa pemba tunajuana kwa vilemba, Mwana alikua anaenda kula bangi yake🤣
Iz too much wa bongo Kila mtu kapendwa na jini mbn waarabu huku siwasikii stor za maJini inamaana majin na shirik ziko Africa tuu ,,, n wazi Africa tumejiachia Sana kias Majin watutawale.
Tatizo tamaa ya pesa
Wapo sana labda kama ujawai kusikia
hao warabu pia wana kumban nayo Sema hawaongei wanamalizan nayo kimy kimya
hao sindio wenyewe, hapigi tu hizo story lakin wanafahamu sawa sawa
@@Mpakauseme wapuuzi warabu tena wanatengeneza majini kwa mikono yao....haya mambo uyasikie tuu usiombe uyashuudie
Mweusi huyooo Hadi rahaa
Joto kaliiii??
My Jesus please help your people
Sitori mbaya jamaa hajuwi kujieleza ovyo kabisa
Zukhaira ndio mpango mzima....
Upo vzr San lala Davistar
Mi wamwisho
Bandika Bandua...Twende Davista...
Duu ngoja ni coment kwanza kabula cjaangalia maana kidogo nimewahi ni wa 41 haaaaaaa
Kwaiyo mimi ndo wa 83?😥😥😥😥
Mtu makini niunge kwenye grup ya wasapu ya simuliz,,,0759036028,,,au nomba utaratibu wa kujiunga
Na ushey..hahaha
No 9
Jamaa mbona haangalii camera?
Leo nimewahi mm napenda story zaka kwakuwa unaenda mikoa mbalimbali kutafuta story tufanye mchango uwe unapata nauli ya safari davistar
Nikweli kbs. Hata mchango wa kununua vile vimaiki vidogo viwili anaumia mkono kushika maiki mda mrefu.
Shukrani sana na jukumu la kuanzisha hilo group nawaachia nyinyi wenyewe kama mashabiki mimi nitawasaidia kuwataarifu wengine
@@DavistarMataMediaDM umoja ni nguvu nina imani utapata vimaike vidogo.. ukilidhia utaweka number ya kutuma pesa..Shukrani.
Huku kuview Kila content anayoweka na mchango toshaaa,anaingiza hela mwenzio
@@zaynabyusuf4324 😂😂😂😂😂
Joni nazo bana hazionagi wanaume wazuri?
Majini hawajuwikuona uzuri wamwanadamu sizinicaguwe mimi
Na mimi naona ivi awaonagi wanaume wazuru km uyo hahahahaha
Majini wote ni wabaya ..wanavaa sura nzuri ili kuvutia wanaume ila kiundani ni wabaya
Jin anacheki nyota ,,ukiwana nyota nzuri haijarish ataukiwa sokwe,,kwao nyota ndo ishuuu (hawajali utajir wala sura ya mtu)
KunisAgatishiA
P
Wa kwanza
Si hamorapa huyu?
😂😂
Hapana
Hapana Bwana harmo rapa ni kidg dogo
Chingq
Majini yana mambo