Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

PART2:KIJANA ASIMULIA MAHUSIANO YAKE NA JINI ALIEUA FAMILIA YAKE YOTE NA KUMTIA UPOFU/KWAKE MAKUBURN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2020

КОМЕНТАРІ • 129

  • @latifajanja2375
    @latifajanja2375 4 роки тому +4

    Kwa imani yangu inavyoniambia ni akuna chochote duniani chini ya jua kilicho na uwezo zaidi ya mungu unachotakiwa kufanya ni kumrudia mungu tuu kwa dhati rizki anatoa atoi binaadam wala jini rizki anatoa alietuumba so muombe sana mungu yote yatakwisha na utarudi kama zaman na utaishi maisha ya furaha

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 роки тому +8

    No 1 Kila kitu yaani ku like ku comment na kuvyuu
    Like kwangu zoote wakuu maana nimefanya kazi ya ziada kufika hapa maana nimeshinda data wazi baada ya kusikia story za bi khaira mdogoake julieth wa Jay 17 na ndio dadake Mamu

    • @davistarmattamedia669
      @davistarmattamedia669 4 роки тому

      ⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA
      ua-cam.com/play/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA.html

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 4 роки тому

      Wana kaa wame fanana na juliet

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 роки тому +4

    Siwezi mwabudu jini hata siku moja..Nitamwabudu Yesu mwana wa Mungu alie hai daima na milele 🙏🙏

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 4 роки тому

      utamuabudu baba mtoto 🤔🤔🤔

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      @@khadijaomari9344 🙄🙄🙄

    • @meisme7540
      @meisme7540 4 роки тому +1

      Mwabudu Mwenyezimungu muumba ardhi na mbingu na vyote vilivyomo ndani yake

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 роки тому +2

    Jini sio Mungu hatakama ananguvu ya kukutia maradhi bado kuna Mungu. Kasomewe Dua na wewe mwenyewe ufanye ibada na uwe unamuomba Mungu akuepushe kwenye haya matatizo. Zipo Dua za kuuwa majini na kutoa mikosi ya kijini na husda zao. Tafuta mashekhe, ustadhi wakusaidie inshallah utapona Kwa uwezo wa Allah. Majini pia wanaomba Mungu iweje wewe ushindwe? Quaran ni tiba fanya tiba kupitia Quran.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 роки тому +7

    Hakuna kitu kinaniuma kama Majini wanavyo tuuwa binadamu! Nanyinyi kaka zetu mnawakaribisha wenyewe kwa kupenda mteremko. Achaneni kujenga urafiki na majini kwasababu hao ni maadui zetu na waliapa mbele ya Allah kuwa sisi Binadamu ni maadui zao.

    • @kiddrc353
      @kiddrc353 3 роки тому +1

      "Enendenyi nyinyi kwa mkawe maadui"(mola anamkusudia ibilisi(mwenye asili ya kijini) dhidi ya adam )ispokua mashaitwani hutokana na watu na majini hivyo kuna majini wema na wabaya ikiwa utamkaribisha jini mbaya tambua ana Mabaya yake na mazuri yake vivyo hivyo jini mwema ana mazuri yake endapo mtaishi ndani ya makubaliano(sheria)ila ukienda kinyume hata yeye utamuona mbaya kwa atakavyokufanya kwani hawa c viumbe wa longo longo kama binadamu ."onyo uctake kuishi nao kwa tamaa zako za kidunia ni hatari kama huna lengo"

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому +11

    Tafuta shekh usomewe Rukya duwa kwa kawachoma majini mahaba na majini na mashetan hata wanga. Hakuna chengine mana kama kweli umepata mitihani hiyo bas itakuwa amekuwachia nuksi to huyo na hiyo sihri inaondoka kwa kisomo cha qur'an .hata kama mkiristo hata asie na dini bas mdawa ni qur'an

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 4 роки тому +4

    Huyo zuhaira alikuja na nia yakukuangamiza majini hawana uzuri au msaada wwte kwa binadami mregele mungu shika ibada na inshaAllah mambo yatafunguka

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 4 роки тому

      sahiihi kabsaa dada Amina
      Hawa majin wanamakusudıo yao kwa wanadamu hakwezekan bndamu akaısh na jini et mahusiano mazurıı ! Hakunaaaaaa!

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 роки тому

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +4

    Kanisani ndo msahada mkubwa ukajitoe vifungo na ukafunge milango ya mapepo baada ya kufunguliwa na vifungo ndipo mambo yko yataenda sawa bila ivyo kaka utajisumbua maana uyo jini alitumwa kuja kualibu maisha yko na kafanikiwa...pole sana aiseee

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +3

    Duuh aisee pole Sana...Nenda kwa M/Mungu ndio jibu pekee kwako

  • @latifahissa8581
    @latifahissa8581 4 роки тому +2

    Asilimi nyingi ya watu wanaofatwa na majini ni watu wa maisha ya hali ya chini ndiomana wanawatawala kwa mali na pesa

  • @ednacelemon5950
    @ednacelemon5950 4 роки тому +3

    Huyu kaka amenishutua kuomba no ya mtu anayeishi makaburini.

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 4 роки тому +2

    sawa

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 3 роки тому +2

    Okoka

  • @mpjrecordsacademy
    @mpjrecordsacademy 4 роки тому +2

    No 1

    • @davistarmattamedia669
      @davistarmattamedia669 4 роки тому

      ⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA
      ua-cam.com/play/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA.html

  • @ashasiri2720
    @ashasiri2720 3 роки тому +2

    Mwenyezi mungu akufanyie wepesi Inshallah kikubwa dua 🙏

  • @is-hakayussuf9981
    @is-hakayussuf9981 4 роки тому +2

    *Dah mtu makini uko juu big up*

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +4

    Aaah xhehe unaona makabuli af unaomba namba ya simu duh pombe mbaya aisee

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 4 роки тому +3

    Da da daaaa...!!! Very sad demon is demon can not manege to stay with human being

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +5

    Yan binadamu kbs unaomba msamaha kwa jini 😥😥😥😥jini anatuogopa wanadamu maana tuna nguvu za ki Mungu endapo utamkubali Mungu...nashukuru family yngu amna aya mambo ata kidogo aiseee tumewakataaa majini mashetani vimbwengo na kila mipango ya ibris tumeikataa nayo imekimbiaaa...

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому +1

      Yani watu wengi wamepigwa upofu wa Roho wanaona jini ana nguvu kutushinda ila ashukuriwe Mungu wetu maana ametupa mamlaka ya kukemea kila aina ya pepo na kutii

    • @annameela6750
      @annameela6750 4 роки тому +1

      Kusema familia nzima mmeyakataa majn c kwel ukichunguza undan wa familia hakosekan mchawi humo ndan ukizama sana kat ya mama au baba au shangaz au bibi pande zote kwenu hakosekan mchawi ndo anaiset familia yenu mnaweza ona mnaish vizur bila mitihan lakn mbelen mtaelewa tu mkitaka kujua yaliyomo pale mnapokua mafukara mtajiuliza sn kuna nn ndo mtaielewa dunia vizur saiv ongea uwezavyo bado najua hujakua

    • @OmanOman-ik9sp
      @OmanOman-ik9sp 4 роки тому

      @@annameela6750 kweli

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому

      @@annameela6750 ulimuelewa vibaya mwenzio haja ongelea uchawi napia kilicho msikitisha ni pale alipo msujudia jini kumuomba msamaha mm najua wabaya wapo kila kona ila ukiwa na ukaribu na Mungu wabaya wote wataisoma namba maana utakua na ulinzi wa kutosha

  • @maxozone3762
    @maxozone3762 3 роки тому +1

    Hi kama ukweli !!!

  • @deofred1517
    @deofred1517 4 роки тому

    Pamoja sana Mr Davista

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому +3

    Asante kwa mwendelezo

  • @aishamustapha7381
    @aishamustapha7381 4 роки тому

    Mungu kakusaidia tafuta kazi ufanye kaka angu.

  • @azizasayi97
    @azizasayi97 4 роки тому

    Asaanteeeeee kaka Dv

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +1

    Wajua zimejaaa mdomoni kwako kaka
    Pole sana huyo hata kama nijini ama mtu wakawaida sio mtu maana amekuulia family zimaa
    WAJUA 😫😫😫😫😫😫

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 4 роки тому

    Is it that from the very word go someone has no power to detect these beings? How will you even have that peace you are looking for knowing how your loved ones died? Anyway pole sana. Davistar shukran, watu wanapata maarifa hapa, siku watapata mitandio hawataifuata ama kuiokota.

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 3 роки тому

    Pole sana kk duu lakini punguzeni kupenda

  • @goodgood9370
    @goodgood9370 4 роки тому +1

    Ohhh!!!! My God help us

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 роки тому +3

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko

  • @salumosman4056
    @salumosman4056 4 роки тому +3

    Sio mchezo aiseee,zakijini jini ndyo zenyewe 🇩🇪

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 роки тому

    Duuh pole sana dede

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому +2

    Pombe izo

  • @mundherhumaid654
    @mundherhumaid654 3 роки тому +1

    Ndugu tuache tamaa kutongoza ovyo majini wamejaa ulimwenguni ni adui zetu

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 роки тому

    Pole sana daa majini aya mungu anayaona lakini wanavotesa binadam

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 4 роки тому +2

    Mhh!! Tukusaidie kiaje we kaka,,unataka tufuatwe ama🙆🙆🙆🙆. Zidi kuomba tu kwa mungu

    • @aishaha3538
      @aishaha3538 4 роки тому +1

      Hawawekei nambar.zao.sivizur.mtu.yuko.na.matatizo.ww.wapotezea.nakama sikaz yako.bas wajulishe

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому

    Pamoja sana bro

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому +3

    Unamkimbia jini utaweza🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AdilAli-lo7dq
    @AdilAli-lo7dq 4 роки тому +1

    muwache kutongoza ovyo vijana

  • @salumali3281
    @salumali3281 4 роки тому +1

    Na watu wengi siku hizi kwa njaa zao wamekua na vikundi vya kusomea watu au wanajifanya watu wa maombi. Wengine wajiita wataalamu 😀 na wala sio kweli wizi mtupu. Yaani wafanyabiashara. Na km una mtu wako wa karibu anafanya kazi hizi hana kipaji. Yaani kwa ajili ya kupata pesa tu basi ni bora kumshauri aache atafute kazi ya kufanya laa sio hivo ipo siku atakuja kujuta Mtu anafanyiwa duah hapa tz na anapansisha jini. Kibinaadamu utasema huyu kiumbe keshapanda wengine tumpige mikwaju. Kumbe jini hayupo apo yupo china 🇨🇳 anamuangalia tu yule mgonjwa huku mtu yupo tz kapandisha. Kiufupi hizi kazi zina wenyewe sio kila mtu anaziweza. Mtu awe na elimu au kipaji (kajaaliwa na mungu) na asiwe mwepesi awe mzito (ana nguvu za kiimani) sio mchezo. morning ilove you people 😍

  • @hamidibrahim5369
    @hamidibrahim5369 4 роки тому +1

    Magonjwa ya kawaida ni malaria, typhoid etc.... magonjwa zingine za ajabu ajabu sababu ni majini na Quran ndo dawa, inasikitisha muislamu akipatwa na shida kidogo eti anafata mtaalam ambayo tayari anaingilia shirk. Imani dhaifu hii na lazima turudishe imani thabiti kwa Allah na hawa majini hawata tukaribia

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 4 роки тому +1

    Sasa dede huku jua kua yeye pia ni jini mwengine ama zuhaira ndio kajibadilisha pole sana

  • @katherinejerry1251
    @katherinejerry1251 4 роки тому +1

    Da nimechelewa

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v 9 місяців тому

    Jini ni jini kila siku
    Hakuna jini mbaya au jini nzuri jini mwanzo itakuonesha upendo
    lakini mwisho wa siku utajuta
    Jini ni sawa sawa na shetani shetani atakupa kila kitu unachokihitaji afu utadhani kwamba anakupenda
    lakini mwisho wa siku utayatapika

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому

    🤗🤗🤗

  • @allykibabe8182
    @allykibabe8182 3 роки тому

    Hatr xna hii duuuh ee bwana htr

  • @hasnasaif1075
    @hasnasaif1075 4 роки тому +1

    Nimewahi kidogo

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 роки тому +1

    Number unayopiga haipo? Huyo jini alikuwa anakuchezea anavyotaka jini kanywa damu za wazazi wako.. Endepo ungesimama na Mungu huyo zuhaira asingekusumbuwa hata wazazi wako asingewauwa..Jina la Yesu ni motoooo

  • @estamapenzi4274
    @estamapenzi4274 4 роки тому +1

    Naku saidiya na maombi nothing else
    Kwasababu wewe une fungwa na Yule jini
    Na maombi ndiyo kitu pekee kinaweza kuku fungua... anyway pole sana bro😱🤔

  • @mamarose4693
    @mamarose4693 4 роки тому +1

    Huyo jini alikuja kwenye maisha yako kukuangamiza tu

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 4 роки тому +1

    Da poyee ungelijua mapema kuwa jini ungemkatalia

  • @jeaninemugisha6395
    @jeaninemugisha6395 4 роки тому +1

    Jamani Mungu atuhebushe namajini

  • @aishaha3538
    @aishaha3538 4 роки тому +1

    Bona huweki nambar zao Ili wapate.kusaidiw nakama.siyo.kaz.yako.bas.wajulishe

  • @aishaabdulrahman6995
    @aishaabdulrahman6995 4 роки тому +1

    Story ya huyu kaka nahisi muongo maana Ana unga unga

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 роки тому +1

    huyo brodher alikosa kujithamini unapo mpa nafasi jini nikosa vizuri nikumkatalia mapema.

  • @muaminhakizimana1671
    @muaminhakizimana1671 4 роки тому +1

    Okoka bilaivo hatausaidiwe aje atakufatiriya tuuu hutofanikiwa

  • @munnawwary757
    @munnawwary757 4 роки тому +1

    Awa majin wanatutesa kwakwel mung wang

  • @wisdomfitnessorganization8988
    @wisdomfitnessorganization8988 3 роки тому +2

    Jini akikuletea mazoea unavuta bangeeee tu.

  • @juliusaria947
    @juliusaria947 3 роки тому

    Ni mungu tu kaka ndio mwokozi

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +1

    Pole xana mambo ya pwani,majini majini ndo mpango mzima

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 роки тому +1

    Ww utakuwa unatafuta mtaji wa biashara.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 роки тому +2

    Dav.
    mm nakushauri uweke na namba zao ktk screen hapoo!
    itakuwa vzr sanaaa!
    +90552 from ujerumani

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому +1

    Jini hanaga urafik wa kwel.

  • @ylosvijevana6815
    @ylosvijevana6815 4 роки тому +1

    Nimesubiri haswaa hadi part 2 itoke

  • @jjrussell081
    @jjrussell081 4 роки тому +1

    Kuna kitu na huyu jamaa ambacho hakiko sawa sawa

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 4 роки тому

    Mhhh ataree

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 роки тому +2

    😂nawaangalia2 ntaka kjua spid ya kuchat😂mpo vzr wakulungwa

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому +1

    Naona watu wengi wanasikiliza sana za hawa viumbe wengine

  • @omarsalim6330
    @omarsalim6330 4 роки тому +1

    Mr DM... nakubali jama hapa sisemi kitu 🤐🤐 tusikilieze story ...ila za kijini ndo zetu wewee

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому +1

    Dooohh Majin waadhabu Kali jaman kwn lazm kupendwa.

  • @Mimimnyamaaaa
    @Mimimnyamaaaa 4 роки тому +3

    Huyu jamaa tatzo malay we unakutana na dem from no where unashoboka😂😂😂

  • @babarahmababarahma60
    @babarahmababarahma60 4 роки тому +2

    Wa 2 japo bado sijamsikiliza huyu jamaa

    • @davistarmattamedia669
      @davistarmattamedia669 4 роки тому

      ⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA
      ua-cam.com/play/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA.html

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 3 роки тому

    Awa unaofwata kuwauliza vtu km ivyo DM Ungekua unajalibu kutafuta na ushaidi alau Kwa majiran zao au baaz yawatu wao wkalibu kupata ukwel wa ayo wnayosimulia,,,c kwauyu tu na kwawengine

  • @chujjuma2408
    @chujjuma2408 4 роки тому +1

    Ooh watu mko active

    • @davistarmattamedia669
      @davistarmattamedia669 4 роки тому

      ⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA
      ua-cam.com/play/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA.html

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 роки тому +2

    na hao majini wahivo hawajileti wanatumwa sasa tama za wavijana ndo zinawaponza.

  • @semkudfamily9222
    @semkudfamily9222 4 роки тому +2

    Team popo

    • @davistarmattamedia669
      @davistarmattamedia669 4 роки тому

      ⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA
      ua-cam.com/play/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA.html

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 4 роки тому +1

    🇰🇪

    • @davistarmattamedia669
      @davistarmattamedia669 4 роки тому

      ⏩GUSA LINK👇👇KUFUATILIA SIMULIZI YETU MPYA
      ua-cam.com/play/PLmrhBCf_RTIu44yi2zr1R02qBJ-nHJHqA.html

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 3 роки тому +1

    Ujinga Lakin huu, unaona makaburi halafu unaomba namba, duh ila wanaume kiboko

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +1

    Jamaa kafanana na harm rapa kweli

  • @kukuutadasa5935
    @kukuutadasa5935 4 роки тому +1

    Wa6. Leo
    Sasa davi ww huna mkasa wako hhahahha hata wa mausiano simbaya,🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @omarsalim6330
    @omarsalim6330 4 роки тому +1

    Zuneira uko

  • @Mimimnyamaaaa
    @Mimimnyamaaaa 4 роки тому +1

    Jamaa hajui kihadithia kabisa yan ❌
    Cheus manghala cjakuelwa lakin

    • @bethalema6310
      @bethalema6310 4 роки тому

      Msaada wa kweli utaupata kwa YESU kristo tu

    • @bethalema6310
      @bethalema6310 4 роки тому

      Tafuta kanisa la kiroho uombewe

    • @reubenbushiri1753
      @reubenbushiri1753 3 роки тому

      🙉🙉🙉🙉

    • @johnchale1073
      @johnchale1073 Рік тому

      Ridhika unachpata hiki kidogo kinatosha tunatofautiana UWEZO wa kujielezea

  • @ednacelemon5950
    @ednacelemon5950 4 роки тому +1

    Huyu kaka amenishutua kuomba no ya mtu anayeishi makaburini.

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 4 роки тому +1

    Daaaah kweli dunia inamambo shinda tamaa mbaya.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 роки тому +1

    Samahani wakati ameshauwa familia yako?mwambie na yeye akauwe ndugu zake ndio wewe umsamehe.