PART1:MWANAUME ALIEKUBALI KUHARIBIWA KIZAZI ILI APATE UTAJIRI WA KICHAWI/NILIKULA KORODANI ZA MAITI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 161

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому +8

    Unaenda fwata utajiri sai unakosa nguvu SubhanahAllah heri niuze mihogo tu, manake kipato cha kichawi sio kizuri ni majanga tu

  • @mwesigwaannte6751
    @mwesigwaannte6751 4 роки тому

    Davistar Asante kwa kazi nzuri

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 роки тому

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому

    ,
    Watatuuu.....Asantee davii

  • @amirymtanga1917
    @amirymtanga1917 3 роки тому +2

    Nakubar sana kazi zako bro
    Mungu akulipe

  • @sarahkhwaka2864
    @sarahkhwaka2864 4 роки тому +2

    As young generation let's follow what the word of God says and work with our hands while trusting in our Lord Jesus Christ we will be blessed.The word of God says sake first the kingdom of God and everything will be added into you.

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 роки тому

    Asante davi😘siboeki kabisa

  • @mbwanaomary4504
    @mbwanaomary4504 4 роки тому

    Mm namba 3

  • @pettiecranwel7588
    @pettiecranwel7588 4 роки тому

    Uko vizur kweny kaz yako davistar big up sana brooo

  • @sakinaally6572
    @sakinaally6572 4 роки тому +1

    Pole sana majuto mjukuu dv mludishe tena ntumeeeeee

  • @shukridjibril6848
    @shukridjibril6848 4 роки тому

    Noma

  • @azizasayi97
    @azizasayi97 4 роки тому

    Hodiii Dv wangu endelea kutuelimisha👍

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 роки тому

    Tamaaa Mbaya

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 4 роки тому

    Du pole Sana majuto ni mjukuu

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 роки тому

    Daaa mungu turumie kizazi chetu Yallaabyy Daaa AISSEH mungu tulindie kizazi hiki cha leo

  • @aminabhitalio8143
    @aminabhitalio8143 4 роки тому +2

    Mr facts ww ni bonge la handsome

  • @mwidadiabdalla3564
    @mwidadiabdalla3564 4 роки тому

    Pamoja mzee Baba

  • @shakiraabbas7538
    @shakiraabbas7538 4 роки тому

    Daaaaaaa eee bana eee ila pole kaka🙏

  • @muhsinsman8631
    @muhsinsman8631 3 роки тому

    Nakukubali

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 роки тому +4

    Munguakubariki Mtu Makinii💪🔥🔥♥♥ ::::Duh pole YAKE Maisha haya ukoseMali upateAkili DahMwambaa ndio basiii sanaa sasaa utaishi vipiii maisha haya🙆 korodani umezikaangia kiepe😥😭Mungu wanguUtafutaji ganihuuu wa kujitoaaa hiviiiDuh mwambaaaaapoleeeww

  • @linuxlipawaga1696
    @linuxlipawaga1696 3 роки тому

    duuh polee ndg

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 4 роки тому

    Pamoja sana davistar

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому

    Mpaka ukatumia madawa pole sana kk

  • @goodgood9370
    @goodgood9370 4 роки тому +1

    No 1 leo nimejaribu

  • @saudamafita9179
    @saudamafita9179 4 роки тому

    Watu wako makin sanaaa sijui Lin nitakuwa wakwanza

  • @chumbeboy9632
    @chumbeboy9632 4 роки тому +1

    Dah yani huyu kakosa ya kuchagua dah kwa kweli awe pole 😂😂😂😂mana mbali na kumkosea mungu we mwenyewe umejipa adhabu ya maisha

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому

    Tamambaya

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 роки тому +2

    Kweli dunia ina mambo meng yaan kila kukicha mambo yanazid kuwa motoo...ila binaadam tunapenda sana kupata pesa kwa njia za mkatoo bila kujua madhara yatakayokuja kutupata badae

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 4 роки тому

    sawa

  • @salumbunga240
    @salumbunga240 4 роки тому

    Davista kijan wako hp mtu mwenye utu wang respect 👊

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 роки тому

    Kama.umeon mtu anafagia kama mm gong like twende saw ya makusud hayan pole kijana part 2

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому +1

    Ndani

  • @kipenziali6966
    @kipenziali6966 4 роки тому

    Sauti brother

  • @zuchukhan8751
    @zuchukhan8751 4 роки тому

    Davistar mata mtu makini💪

  • @naomiakoth2958
    @naomiakoth2958 4 роки тому +7

    Davista work on the background sound not necessary

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 4 роки тому +1

    😀😀😀😀😀 nacheka kama mazuri yani utolewe kizazi daah acha TUKUFOKEE WATOTO wa wanaume wenzako maana umeyataka mwenyewe

  • @faimaomary8914
    @faimaomary8914 4 роки тому

    Duh!

  • @marrymenas
    @marrymenas 4 роки тому

    Davistar mata 😍❤ achia cm yako nikucheki wasp pls!

  • @lissapoul5227
    @lissapoul5227 4 роки тому +1

    Hehe eti kutoka kwenye familia ya kitajir😅😅😅😅😅

  • @lydiajohn4601
    @lydiajohn4601 4 роки тому

    Muombe mungu atakusaidia

  • @shanyabdul2386
    @shanyabdul2386 4 роки тому

    Hello...wazma wote

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 4 роки тому +16

    Kwahiyo davister ulivoskia mamu yuko around ukastisha na kutumalizia story

  • @dsgroup6093
    @dsgroup6093 4 роки тому +2

    Najifunz mengi sana kupitia hii channel

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 4 роки тому

    Najifunza Mengi

  • @dullermzungu3060
    @dullermzungu3060 4 роки тому

    Duller Mzungu hapa

  • @hamadikassim3091
    @hamadikassim3091 4 роки тому

    Nimechelewa na 1 hour, gonga like

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 4 роки тому

    Ghii mungu akupe nini kakangu pole sana ila sisi wazazi wa kike tuache kudekeza watoto mtoto akikosa apewe adhabu sio kuanza kumuona mumeo hapendi watoto waona sasa

  • @mahmoudmussa8
    @mahmoudmussa8 4 роки тому

    No 14

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому

    Pole yaniuna kosa sitalehe kubwa kulikozote😔😔

  • @awadhirajabu2606
    @awadhirajabu2606 4 роки тому

    Ukweli Usio Na Uhongo Tumalizie Stol Ya Mrembo Maliyam Mana Safari Na Mziki Na Ile Stol Ni Mziki Safi Sana

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 роки тому

    Da jamani mtihni kwakweli pole sana

  • @salvatorykyakwe8606
    @salvatorykyakwe8606 3 роки тому

    Daaaah maisha haya duh

  • @fasanitztiri5371
    @fasanitztiri5371 3 роки тому

    Maisha haya🤔

  • @basiltobiasi6047
    @basiltobiasi6047 4 роки тому

    Tupo pamoja mkuu davista matta

  • @chumbeboy9632
    @chumbeboy9632 4 роки тому

    Leo wa 6 dah poa sana

  • @abassmchonjo6635
    @abassmchonjo6635 4 роки тому

    Pesa.zakichawi.zinarangigani?.pesanipesatu

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 роки тому +1

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu waukweli ulipo nipo

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому +2

    Asante sana kaka Davister kwani napata elimu ya kutosha kupitia channel yako

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому +1

      Yaani mim tangu niijue hii channel sijutii chaji yangu wala simu yangu

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому

      @@dorcaskidoti249 uko kama mm daa aki

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      @@hebronsdaughter1661 Davistar katukamata🙄🙄🙄

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому

      @@dorcaskidoti249 😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      @@hebronsdaughter1661 sijui katupulizia nini kila mtu anaeijuwa hii channel hajutii kbs.

  • @marymary6758
    @marymary6758 4 роки тому

    Utajir kax jmn khaa

  • @badymsuya6093
    @badymsuya6093 4 роки тому

    Duh

  • @princesssway1396
    @princesssway1396 4 роки тому

    Davista am back

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 роки тому

    Duuuhhhhh watu mnawahi humu kahhh

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 роки тому +2

    Ya Allah wanusuru vijana wetu maana huu utajir

  • @mwatimeabdallah7945
    @mwatimeabdallah7945 4 роки тому

    Nimekuwa namba nne leo oyoooooo

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +1

    Wazee wa kujikaanga mpo, mtu unaomba kuhasiwa duh pole xana

  • @rastamabuki185
    @rastamabuki185 4 роки тому

    Mamuu ndo tamu

  • @kukuutadasa5935
    @kukuutadasa5935 4 роки тому +1

    Wa4 leo🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮watu mna comments hamjaona MWisho hahhahhaahha🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 4 роки тому

    Chanael hii ni bora sn kwanz inamafunzo ASA ukiyaz ngatia

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 роки тому

    Team kuchelewaa Niko hapa

  • @maryamerick749
    @maryamerick749 Рік тому

    😢😢😢😢

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 роки тому

    Hixi pesa jamani zitatoa roho za watu

  • @ashreysaid179
    @ashreysaid179 4 роки тому

    Dahhh!! Muendelezo bc.... alafu na ile ya mamu jamani Davi

    • @ashreysaid179
      @ashreysaid179 4 роки тому

      Mmhh kwa kipindi chote icho ilikuwa hajijuwi kama naniliyu yake siyooo🤔

  • @alphoncevicenti4537
    @alphoncevicenti4537 4 роки тому

    Maji hufata mkondoo ukifatilia kwenye ukoo ww c wa kwanza kufanya hvy

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    🇹🇿✌️👊

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 роки тому

    Shetani hajawahi muacha mtu salama kwa kweli,,,,

  • @ericklukumay1777
    @ericklukumay1777 4 роки тому

    Yan nikose kila kitu lakin nisikose kuchapa mashine daa Mwenyez Mungu utamwambiaje

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 4 роки тому +1

    Ntumeee tumalizie basi

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 роки тому

    inaitwa asie sikia la mkuu uvunjika guuu

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 4 роки тому

    Kisa kubwa saana majuto sasa

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 роки тому

    Siheri ungechagua namba 2

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 4 роки тому

    Nimooooo 🤣🤣🤣 🤣

  • @sjfamily8121
    @sjfamily8121 4 роки тому +3

    Davistar fanya yote bro unayo fanya but utumalizie Ile stori ya yule mwenye jini aitwae maryam

    • @ylosvijevana6815
      @ylosvijevana6815 4 роки тому +1

      Ishaisha ile mzee

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 4 роки тому

      @@ylosvijevana6815 Ile bado Davistar alikatizia alipo skia yule jini yuko pale

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому +1

      @@sjfamily8121 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ivyo viboko vya saa 12 asubuhi kila siku ataviwezaa??

    • @sjfamily8121
      @sjfamily8121 4 роки тому

      @@dorcaskidoti249 Davistar alingia baridi Kisha akaikatisha

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      @@sjfamily8121 au alimkanyaa jmn

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 4 роки тому +1

    Muendelezo wa mariam please mr fact

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 роки тому

    Sasa unapata utajiri halafu wa kuurithi hakuna inasaidia nini???

  • @marymary6758
    @marymary6758 4 роки тому

    Sehem zote anazotaja nazijua viwanja vya mwanza

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 роки тому

    Asie funzwa na wazazi hufunzwa na dunia....pole sana.

  • @bensonlameck6348
    @bensonlameck6348 4 роки тому

    Uyo jmaa inaonekana alikuwa anakunywa konyagi sana ndo maana sautii yake iko hivo

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 4 роки тому

    Maskin weee ndo basi tena ulikula bata eeeee

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 роки тому +1

    Jamani njoeni huku kuna mtu amekula corodan a.k.a kende za maiti,🙆

  • @josetambali4122
    @josetambali4122 4 роки тому

    Duuuu

  • @paulmateo4981
    @paulmateo4981 4 роки тому

    Mh

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 роки тому

    ASANTE sana kka mkubwa

  • @hassankombo4475
    @hassankombo4475 4 роки тому

    Davister umemkimbia mariam jama anakuambia yupo hapahapa arufu yake naiskia turudishe kwa mariam bhana

  • @priscalameck8700
    @priscalameck8700 4 роки тому

    Dunia hii inamambo

  • @latifahissa8581
    @latifahissa8581 4 роки тому

    Wewe mwenye tamaa ya utajiri wa kichawi vp bado tamaa unayo au???? Tamaa mbaya sana bounge la sauti ya kiume lakini dooooh!!!😨😨😨

  • @kamilyaibrahim9784
    @kamilyaibrahim9784 4 роки тому +1

    Davistar usichelewe tumskilize jamaa pumbavu

  • @florencerose859
    @florencerose859 4 роки тому

    This is madness wavijana wa ache tama, akuna hara Kama ukiwa na familiar yako hata Kama wewe ni maskini

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому

    Haya Goodluck mambo yako Haya 😂

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому

    Akili za watu wengine za bunuwasi kweli na wengine wapo nakubali kumwagwa mavi kwa tamaa .fanyani kazi nyie pumbavu kweli

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 4 роки тому

    Davista...bado ujatumalizia kwa yule Ntu wa Mawuta,hatukufika kwa yale matatizo yake ya nguvu za kiume,Ntumeee

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      Ntumeeeee prt3 mbona ipo online mda tu

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 4 роки тому +1

      Kaogopa alivo sikia mamu yupo pale alipo akaona nishida

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 4 роки тому +1

      @@dorcaskidoti249 yeah...part3 nimeisolola mpaka mwisho ila naona kama bado mengine ukiangalia kichwa cha habari ile...

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 4 роки тому

      @@fatmaalrshdii7615 😁😉😃

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      @@shenjamamzingi7950 hayo mengine utayamalizia ww😂😂😂😂😂😂..sie tunajuwa ile imeishaaa