Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

PART2:KIJANA ALIEOA JINI AKIDHANI NI BINADAMU NA KUZAA NAE/AMEUA MAMA ANGU/WANAKUJA SAA 6 USIKU TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 кві 2021

КОМЕНТАРІ • 143

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 роки тому +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @zamdakimaro2973
    @zamdakimaro2973 3 роки тому +4

    HII STORY TAMU BALAA ILA KAKA ANA MOYO SANA NA INAVYOELEKEA KUNA UZITO FLANI ALIWEKEWA JAMANI DA

  • @cecycecy3610
    @cecycecy3610 3 роки тому +4

    hivi huko
    mgumu kuna nn wajameni
    heee🤸🏾‍♂️🤸🏾‍♂️😂 si kwakina zabroni wajameniii eeh mara huko

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      😄😄😄😄😄😄😄

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      Kwakina mxee wamikakati

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 роки тому

      Acha tu cecy cecy sio mahali pakukaa nilitoroka Nika acha kazi Kijiji kimoja kinaitwa mobuki nibalaa uko😅😅😅

    • @cecycecy3610
      @cecycecy3610 3 роки тому +1

      @@gmdecoration6044 niambie koma mtoto wadada kunashida gan hasa wameendekeza shirik sana nn

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 роки тому +3

    Kweli umemuliza swali zuri sana

  • @carrenchigulu5712
    @carrenchigulu5712 3 роки тому +3

    Huyu jamaa angeponea tangu mwanzo kama angemsikiliza mamake but yeye alitaka kujua hatimaye

  • @anthonkephasglobalmedia7406
    @anthonkephasglobalmedia7406 3 роки тому +2

    Togather

  • @kingxule6562
    @kingxule6562 3 роки тому +1

    nimeipenda bt huyo jamaa hakuwa dereva bt alikua tanboy coz dereva kwenda nje ya nchi hata kwenu au kwako ushindwe kuweka umeme 🙈🙈🙈🙈

  • @abdallasaleh2303
    @abdallasaleh2303 3 роки тому +2

    Nami wa no 5 mr Dvst 2gether

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 3 роки тому +3

    Jaman kale ka hela ka davister msisahau nawakumbusha tu

  • @beautyshine935
    @beautyshine935 3 роки тому +2

    Story mzuri🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @catherinewanjiru7136
    @catherinewanjiru7136 3 роки тому +1

    👍👍

  • @zaynabyusuf4324
    @zaynabyusuf4324 3 роки тому +3

    Nilikuwa naingoja

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 3 роки тому +2

    Kama unaelewa msimuliaji madawa ya kulevya anayoyasema ni pombe piga👏👏

  • @yjoo9807
    @yjoo9807 3 роки тому +1

    Jamaa muongo. Hajatoka kuangalia Europa hyo saa saba, jumapili hamna europa!

  • @kelvinpeter5666
    @kelvinpeter5666 5 місяців тому

    😮

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 3 роки тому +2

    Kumbe hii story ni ya juzi juzi tu daaah haya mambo yapo kwelii kumbe

  • @kelvinpeter5666
    @kelvinpeter5666 5 місяців тому

    Yesu mfalme Mungu mkuu

  • @ambrosekizidio8976
    @ambrosekizidio8976 2 роки тому

    Uongo huu. Haongelei juu ya mtoto.

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 роки тому +2

    Mzee wa bakora

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +1

    Daaah wavijana wabongo mbona muna ushuja sana ya kuishi na warembo majini?

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 3 роки тому +1

    Eti majini ni mazuri kweli? Mh atari sana kwa wengine

  • @kishoamakomo8939
    @kishoamakomo8939 3 роки тому

    Jina la Yesu Kristo Bwana linafanya Kaz kwa wadhambi na wasio wadhambi

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 3 роки тому +2

    Duniani kuna mambo

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 роки тому

    Izi ndio napenda

  • @sandechiposi513
    @sandechiposi513 3 роки тому

    Naona kama hiyo stor niyakutunga napia uyo jama hayuko vizur anamapep

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 роки тому +1

    Stry nimeipenda hii taam kaka davistar muulize huko miguun kwake kulikua vipi namavazi yake yalikua vp

  • @issamgendi8679
    @issamgendi8679 2 роки тому

    Broo usichoke kutuletea stori mbali mbali kipindi chako ni shule

  • @jzeltv.3036
    @jzeltv.3036 3 роки тому +1

    watano leo

  • @hikmajeyz5072
    @hikmajeyz5072 3 роки тому +1

    Vipi hali yako davis,bro nlikua naomba unitumie namba ya pastor dan.Nimemmis sana mtuwangu na cimuoni kwa media kwani yuko wapi nowadays?

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 3 роки тому +1

    Tuko pamoja na Mr DM

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 роки тому

    Na mtoto alikuwa anaitwaje?.au ulimpa Jina gani?

  • @ambrosekizidio8976
    @ambrosekizidio8976 2 роки тому

    Mbona mpaka sasa haongelei mtoto. Ama jinsia ya mtoto.

  • @danhoboi1113
    @danhoboi1113 2 роки тому

    Jmaaa muongo uyu europ ya saa 7 iyo sjawai iona tng nzaliwee tena j pili duh

  • @livingwaterchurchmbulukahama
    @livingwaterchurchmbulukahama 3 роки тому +1

    Mimi pia nipooooo

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 роки тому +1

    MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo

  • @danhoboi1113
    @danhoboi1113 2 роки тому

    Jmaa katupiga chogi nying uyuu ngj nimkatae nkamskiliziee ata zabron njikumbusheee tu

  • @msalimsali6989
    @msalimsali6989 3 роки тому +2

    Davista davista davista matA nimekuita mara 3 angalia story za kutuwekea hiii inaukakas sana tena haina ukwwlii hiii

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 3 роки тому

      umelazmishwa kuangalia, ww km hupndi tafta rwanda magere urudie kuangalia

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @florencerose859
      @florencerose859 3 роки тому +1

      Kama hii story haina ukwueli basi utulete ya kwuako 🤣🤣🤣

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

      @@pilimusa7770 angalia mbavu zisivunjike my

    • @msalimsali6989
      @msalimsali6989 3 роки тому +1

      @@florencerose859 ujumbe umefika ntaangalia ila ukweli ntasema pia bando langu simu yangu ww unawashw na nn mzee em chukua tym

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 роки тому +1

    I'm so let 😄 ju ya kupika iftar 😅😅

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому +1

      🤝🤝😂😂😂

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому +1

      @@IGL-x1d 😂😂😂

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому +1

      @@somoeawadh7774 😂😂😂😂😂😂😂

  • @innocentrichard2945
    @innocentrichard2945 3 роки тому

    Sie majini tunacomment waap

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 3 роки тому

    Alizaa mtoto wa jinsia gani

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 роки тому +1

    🙄🙄🙄🇰🇪

  • @tututz100
    @tututz100 3 роки тому

    TENA

  • @ambrosekizidio8976
    @ambrosekizidio8976 2 роки тому

    Dah! Mtoto zaidi ya muhuni. Makubwa.

  • @asiamussa3780
    @asiamussa3780 3 роки тому

    Naangalia huku naogopa!!

  • @msalimsali6989
    @msalimsali6989 3 роки тому +3

    Hii story nina mashak nayo sana

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 роки тому

      Kumbe na wewe umeanza kuona!

    • @msalimsali6989
      @msalimsali6989 3 роки тому

      @@suleimanmustapha101 duuuh ndio hvyo

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 3 роки тому +1

      hujalzimishwa kuangalia, tafta ya mzee wabakora urudie, tuczinguane asee

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому

      @@suleimanmustapha101 😀😀😀😀🇪🇭🇪🇭

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 роки тому

      @@msalimsali6989 unasikiliza kusogeza muda

  • @rosemarry2020
    @rosemarry2020 3 роки тому +1

    Mbona kama hii story co ya kweli??

    • @tatuhongeranurushaus485
      @tatuhongeranurushaus485 3 роки тому

      Ukiona so ya kweli pita kushoto 🤔🤔🤔🤔🤔tuache sisi tusikilize

  • @IGL-x1d
    @IGL-x1d 3 роки тому +1

    Watu wngu njooon mambo tayar ❤❤🇪🇭🇪🇭

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 роки тому +1

      Nimefika

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому +1

      @@fatmamucha4419 Nmefurai kukuona wngu❤❤❤❤

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 роки тому +1

      @@IGL-x1d nimefika wa kimataifa wangu!

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому +1

      Tuko sweetheart

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому +1

      @@suleimanmustapha101 Nmefurai kukuona wngu❤❤❤❤

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому

    Sijui huwa mnafugwa akili au nini kanisa la Malisa liko hapo nje mbona huendi uishi huko

  • @jennjaja1586
    @jennjaja1586 3 роки тому

    😂😂😂

  • @chazgunda5823
    @chazgunda5823 3 роки тому

    Ivi awa wanaosali kwa marisa si ndo wale wa bm maziwa au ni tofauti? Wanakuwaga Waongo wale......😂

  • @djmtengwatz1099
    @djmtengwatz1099 3 роки тому +1

    Ujampiga Bakora Za Kimkakati😊

  • @IGL-x1d
    @IGL-x1d 3 роки тому +3

    Alhamdulillah w kwanzaa 😂😂💃💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 роки тому +1

      Hongera beby.. ❤️❤️❤️❤️

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 роки тому

      Hongera

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому

      @@Teacher_01 Assnte wngu❤❤❤❤

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому

      @@fatmamucha4419 Asante wngu ❤❤❤

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому

      @@Teacher_01 mmeshndaje wote❤❤❤❤❤

  • @agnesmwaizinga5401
    @agnesmwaizinga5401 3 роки тому +1

    Maajabu hayo katoto kalikua mara that that😱

  • @bisunmwamini6993
    @bisunmwamini6993 3 роки тому +2

    Story haina uhalisia uyu muhongo!mara anatumia pombe mara madawa ya kulevya!madawa ya kulevya na pombe haviendani kabisa!haya ni matangazo ya biashara za makanisa!mwisho wa movie maziwa ndo Sterling, nyie subirini mtaona!waelevu pekee ndo watakao nielewa!!

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 роки тому +1

      Kitu chchte ambacho kinakufanya akili yako inakuwa tofaut n dawa za kulevya cz zina alcohol

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 роки тому

      Inategemea nadawa yakulenya gani Kuna wanao tumiya bangi napombe zinaenda kamazote pia pia ukila miraa Yani mirungi na konyagi k vant unaenda kinoma anasema nadawa gani ndio tatizo 🙏🤝

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 роки тому

      @@hamadwaziri121 nimekuelewa kaka nikweli

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 роки тому +1

      @@gmdecoration6044 mm naona anazungumzia pombe ila kaongelea kama dawa za kulevya kwa umri ambao ameusema angekuwa anatumia dawa ambazo unazimaanisha asingekuwa hvyo na kwa huo mli kwa huo wakat

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 роки тому

      @@gmdecoration6044 blessing brother

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +3

    Mwezi mmoja.mtoto.amekuwa barobaro hapo ndoutatafutaa usaidizi

    • @IGL-x1d
      @IGL-x1d 3 роки тому +1

      Umeona eee😀😀🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому +1

      @@IGL-x1d mm hapo ningezimia tuu hakuna lingine

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

      @@nurafedrick378 kabsa 🤔🇪🇭🇪🇭

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому +1

      @@nurafedrick378 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому +1

      @@pilimusa7770 kweli da anamoyo mm sina

  • @gmdecoration6044
    @gmdecoration6044 3 роки тому +1

    Jamani mikoa yakandaziwa nawasalimu nilitoroka bila kumaliza kazi sehemu moja inaitwa simiyu Kijiji cha mobuki mtoto alitaka kuchukuliwa na fisi tukiwa tunaona Kanda yaziwa Mungu awaangaliye tu kisiwa Cha saa nane kilichotukuta anajuwa Mungu tumsikilizie tu story namba nyingine sumbawanga chanji,kantalamba, kizwite anayeenda awe nanizamu mwenye kuelewa na anielewe 🙏🙏

    • @hancymachibbula4355
      @hancymachibbula4355 3 роки тому +1

      Taraarifa kidgo, Mwabuki ni Kwimba Mkoa wa Mwanza siyo Simiyu.

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 роки тому

      @@hancymachibbula4355 napokea ilawenyeji wetu walikuwa wanasema ni simiyu nashukuru kwakutuelewesha🙏🙏

    • @chollogangstar3183
      @chollogangstar3183 3 роки тому

      Naishi sumbawanga na hakuna jipya

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +1

    Daaah wavijana wabongo mbona muna ushuja sana ya kuishi na warembo majini?