Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

PART1:KIJANA ALIETONGOZA MWANAMKE FACEBOOK NA KUFUNGA NAE NDOA NA KISHA KUJA KUGUNDUA NI JINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 сер 2020

КОМЕНТАРІ • 270

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 роки тому +31

    Amkeni kumekucha wa 23 Nikita comment kuanzia 24 lazima nikute like hapa kwangu
    Haiwezekani ukoment bila kulike mzee

  • @susanejd7775
    @susanejd7775 4 роки тому +5

    Davistar nna khofu hii kuhoji hao watu wenye majini. Isijekua jini mmoja akakupenda ikawa balaa. Tutakosa uhondo😂😂😂

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 роки тому +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @abdillahkhamis4303
    @abdillahkhamis4303 4 роки тому +27

    Mm leo wa kwanza naomba like zenu nikanunue maandazi

  • @dianathomas6175
    @dianathomas6175 3 роки тому +2

    Duh kuanzia leo sitaki kutongozwa mtandaoni

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому +1

    Kk Davi, wabongo mnapenda sana mapenzi ndipo wengine huishia pabaya siku hiyo hiyo mahusiano dhuu😄😂😂😂

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 роки тому

    Mr Facts hongera kaka Kwa Kazi yako Mzuri ❤️

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 4 роки тому +3

    Shukran kwa juhud zako
    Mungu akutangulie kwa kila unachokifanya

  • @fadhiliswalehe9286
    @fadhiliswalehe9286 4 роки тому

    Fb hatari mwaya yuwakuta binti kajiremba full mapoda yuwaonekana muzuri avutia saaana yuwampenda mwisho yuwakutana nae na kudate nae kumbe wengine ni majini.dv masta we respect u bro

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому

    Kk Davi, unauliza kama ni mzuri, mzuri utakuja pata na ww ujue😄😂😂😂

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +5

    Majini yametapakaa sana nchi za uarabuni na maeneo ya pwani. Inahitaji umakini mkubwa na uwepo wa nguvu za Mungu unapoishi hayo maeneo.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +1

    Haha MR FACTS 😜😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti alikuwaa mzuri mzuri Haha
    Mwanaume mubishi hangekubali atoke guest namwanamke bila hilo tendo😜😜😜😜😜😜 watoto wakiume mwapenda warabu mana weupeèeeeee Haha tena wewe anakutumia hela ya mahari wewe faster UKAKUBALI ZALI NA METALI

    • @mashamramba3461
      @mashamramba3461 4 роки тому

      Kkkkkkkkk !! Like this . Mr fats anauliza alikuwa msupaa ? Kkkkkkkkk !! Of course alikuwa ridhoo

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 4 роки тому +1

    Safii sana nategea nikiwa Dubai sonapur . Nasubiria part 2

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 роки тому +17

    Mitandao ni mizuri napia ni mibaya tujihadharini sana napia tusimame na Mungu

  • @mariethamarietha3527
    @mariethamarietha3527 4 роки тому

    Napenda sana story nzuri kama izi😘😘

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +6

    Nina hamu ya muendelezo simulizi nzuri sana.

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 роки тому

    Pole sana 🙏🙏

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 роки тому +1

    Duh Majini haya yanatualibia watoto zetu wa jinsia zote dooo mungu tusaidie watoto zetu

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 4 роки тому +1

    Tendo ra ndoa au tendo la uzinifuuuuu???? Wajameni mpoooooooh🤣🤣🤣😍😍😂

  • @mwesigwaannte1658
    @mwesigwaannte1658 4 роки тому +1

    Davi uko poa sana na kazi zako hivi majini wote wanakua kwa mfano wa kiarabu na ndio vijana wanapenda warembo Davistar kua makini na warembo

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 4 роки тому +1

    Wanaume mmjifunze mmezidi mtu akikuomba tu urafik huyo kashafika in box Mara wap iyo Mara nimekuelewa Mara nakupenda jifunzen hapa

  • @theopistermganwa4378
    @theopistermganwa4378 4 роки тому

    Davister mater unaamsha ari za maisha ya watu. Mungu akubariki

  • @barakamanu1514
    @barakamanu1514 2 роки тому

    asante kwa kutufungua macho

  • @naomiakoth2958
    @naomiakoth2958 4 роки тому +1

    Part 2 plz

  • @zeynabomar7151
    @zeynabomar7151 4 роки тому

    Story tam sanaaa big up davister

  • @salumbunga240
    @salumbunga240 4 роки тому

    Davistar kijan wako hp mtu mwenye utu wang respect 👊

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 Рік тому

    Part 2 please

  • @hancboy8882
    @hancboy8882 3 роки тому

    Davista jaribu kuweka video moja ikawa full kulik kuweka part 1 na 2 na mpaka 3 nk.

  • @zeituninuru5632
    @zeituninuru5632 4 роки тому

    Davister much love for u

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 роки тому +3

    Sahio unaringa nimepata kumbe umepatikana doh pole mdogo wangu

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Davix tunaomba part 2 ukichelewa nakuxhuxha kixhipa mzee. Tena LA kilo 20 kama kindoo

  • @nellyrhn4349
    @nellyrhn4349 4 роки тому +2

    Njomana situmianagi invitation kabisa maana Facebook niatari.

  • @idrisanaumanga6410
    @idrisanaumanga6410 4 роки тому +1

    Daah, hii itakuwa poa

  • @shababygirlshambuwa8388
    @shababygirlshambuwa8388 4 роки тому

    Ndio mukome kutongoza tongoza ovyo munakwama wapi nyinyi wanaume badala ya kutongoza jirani yako unae mjua waenda tongoza wa mitandaoni ....
    Pole mwaya

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому

    Aaah Fb hivi duh kuanzia Leo xtaki urafiki na mtu ambae cmjui kumbe na haya yamo duh kubwa kuliko

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 4 роки тому +1

    Inaonekana nzuriiiiii

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 4 роки тому

    Pamoja sana bro

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 роки тому

    Davistar yaan umeniteka kila nikiamka nachunguli youtube umetuletea nn part two tafadhali

  • @yusrtv2622
    @yusrtv2622 4 роки тому +1

    Sio kweli munatuzungua jamaa nimemsoma nimuongo sana anaonekana katunga story

  • @omaryrjohn65
    @omaryrjohn65 4 роки тому +1

    Haya mimi wamwisho kucoment

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 роки тому +2

    Jamani mpaka tunaishi na uwoga sasa 😭nashkuru facebook sipo mm ni utube na whatsapp tosha

  • @aishajeffah7360
    @aishajeffah7360 4 роки тому +6

    Daah Aisha tena jamani nimeshituka balaa mm mwenyewe ninae mpenzi wa Facebook vile vile na hatujaonana duuuh mambo hayo 😂😂😂😂Aishaaaaaa

    • @hamisihassan2620
      @hamisihassan2620 4 роки тому +2

      Kuwa makini na usimutumie picture za t.. p..

    • @aishajeffah7360
      @aishajeffah7360 4 роки тому +2

      @@hamisihassan2620 nahofia kuwa anasema mm pia ni jini coz jina la huyo jini ndio hilo langu sasa 😂si nitakataliwa tu ataona ndio wale wale

    • @hamisihassan2620
      @hamisihassan2620 4 роки тому

      Kabsa

    • @aishajeffah7360
      @aishajeffah7360 4 роки тому +1

      @@hamisihassan2620 😂😂😂duuuh 🤔

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 4 роки тому

      Aisha... Shauriako jina litie mbwebwe ashley frm today wasije wakakuita jini🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +1

    Mambo yamtandao nilikoma mtu anakuambia anakupenda kumbe anatumia picha yamtu mwingine hapo ndonilikoma hata kueka picha yangu naogopa hata mtu akini reqst mpka niingie kwa wall yake nitixame kwaza ila mm kurest mtu mybe niwe nashidaa naye lkn hivi hivi 👐👐👐👐👐👐 😂😂😂😂😂😂😂😂.
    UZURI WAMWANAMKE SIO SURA KAKA TABIAAA TUUUUUUUU UPOOOOO haya endeleeni kuwatafuta huko mtandaoni

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 роки тому

    Subhannallah

  • @maryamoman1370
    @maryamoman1370 4 роки тому +1

    Ogopeni saana mitandao ya kijamiii ni hataree

  • @naythardarling1115
    @naythardarling1115 4 роки тому +1

    Dah! Wanaume mna tamaa sana dah!! Ushirikina nyie kuuwawa watu kwa utajiri nyie kuzini na watt wenu nyie yaan punguzeni tamaa mbona xx wanawake tumekubali kuchoma mihogo vitumbua ili mradi tupate vya halali bado hapo hapo tuna wahudumia wanaume jaman mbona amridhiki wanaume??

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 3 роки тому

    Tuma hizo friends request hii pande [nchi jirani], covid19 ime mess economy yetu. Hiyo deal ina weza boost mambo kwetu huku.

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 4 роки тому

    ndani

  • @zunirasalim7660
    @zunirasalim7660 4 роки тому

    Duh Tanzania Kuna mithihani subhana ALLAH

  • @marudraw5306
    @marudraw5306 4 роки тому +1

    😂😂😂😂😂 jamani FACEBOOK 😂

  • @nyendochamwela3031
    @nyendochamwela3031 4 роки тому +3

    Daah. Leo na Mie Niko top ten. Namba sita hapa.

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +1

    Mura mbona unaona aibu?

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому

    Milion mbili ya tz hiyo pesa zuri yakuoa mtoto wakitajiri😂😂😂😂😂😂😂😂 hujawaiishika hiyo hata unachanganyikiwaa kwaza

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 4 роки тому +1

    Wapo waliofanikiwa kupata wenza wao kwenye facebook ila huyu akuwa na bahati maskinii akakutana na jini... Yani majini awatulii ujinini kila siku kusumbua binadamu😩😩

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому +1

      Binadamu wenyewe wanawapa nafas ndio maana Sisi family yetu amna mwenye majini tangia nimezaliwa mpaka sasa sijawah muona mtu ktk family yngu ana majini sijawah....majini yamewatawa wale wanao penda kwa waganga

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 4 роки тому

      @@euniceeunice7680 kumbeee ni kweli haki unachosema hao majini wana watu wao

    • @rizikikitoki3348
      @rizikikitoki3348 4 роки тому

      Nimecheka na comment yako

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 роки тому

    Hapo sasa😁😁

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 роки тому

    Daah Umenistua na hilo jina la Aisha uwiii

  • @badymsuya6093
    @badymsuya6093 4 роки тому +1

    First

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 3 роки тому

    Facebook kuna majini mbona mi sikutani nayo? nahitaji kuonana na jini

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 3 роки тому

    Majini wako mtandaoni? Tanzania mta tumaliza. Kenya tuli ona Internet kitambo na bado sijawai skia kama hiyo. Team mafisi confirm kama ni ukweli.

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 4 роки тому +2

    Yani hyu Davistar anavopenda story za Majini...wanakuzoom wenyewe Ujue 🤣🤣 angalia usije na ww ukaangukia kwa Dada Jini.

  • @aminamzurtz5263
    @aminamzurtz5263 4 роки тому +3

    Nataman kujua jina kamil la yuyo dem jin nimsach fb not mwone🙄

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 роки тому +2

    Iyimitandao inamambo mengi

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому

    Haaa haaa haaa 🤣🤣🤣🤣mahali anatoa muolewaji😁😁😁😁😁

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 4 роки тому

    Ngoja nisikilize somo apa maana na mm facebook uwa najichanganyaga

  • @victoriamwalonde8626
    @victoriamwalonde8626 4 роки тому

    Hatari

  • @shukridjibril6848
    @shukridjibril6848 4 роки тому

    Eeh pole

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 роки тому +2

    Tunasubiri part2 hii story nzuri 🙏🙏

    • @wantangosaimon5295
      @wantangosaimon5295 4 роки тому +1

      Hivyo ndo mnavyotaka ila xtory za kwenu mmeatamia, mbona ulikataliwa ukataka kujinyonga mbona hutuadisii hahahaaa

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому

      Naingoja pia yaonekana kuwa nzuri

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      @@wantangosaimon5295 DM hajarejesha majibu bd ombi langu liko kwa Mrs Davistar.

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 роки тому

      @@hebronsdaughter1661 sana tena sana

  • @jonassilvester4325
    @jonassilvester4325 4 роки тому

    Duh hii noma

  • @geraldmosha7229
    @geraldmosha7229 3 роки тому

    Wapenda vitonga tupoooo

  • @nasratkibwana9827
    @nasratkibwana9827 4 роки тому

    Wapo mpaka kwenye mitandao😲😲

  • @suleymanally4729
    @suleymanally4729 3 роки тому

    Huko nyuma kun kivuli cheupe kinapitapua au cjui hamuon hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh aish kaja

  • @likeothers2498
    @likeothers2498 4 роки тому +1

    Izi story za majini nazipenda

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому

    Heheee!!!! Chumaa 😅😅😅

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 роки тому

    EEEEE WATOTO WAKIUME MUWE MAKINI KWENYE MITANDAONI NI NANGOJA SEHEMU YA PILI BRO 🤔

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 роки тому +2

    Kwenye hii mitandao majini wapo wengi

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 4 роки тому

    Mabaharia daah tunapitia mengi

  • @hassanmugire1497
    @hassanmugire1497 4 роки тому

    Tuma jina aise tumsearch kaka please 😋

  • @abdullahrashed4817
    @abdullahrashed4817 4 роки тому +1

    Leo mapema

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому

    Hii stry yaonekana tam balaa

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 4 роки тому +1

    Majin wanawapendaga wa2 wapole

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 4 роки тому

    Na wanakuwaga wasumbufu fb kutongoza 🤣🤣🤣

  • @husseinally6801
    @husseinally6801 4 роки тому +1

    huyu na uchebe hawana tofauti wote wameolewa

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 3 роки тому

    Duuuh kumekucha jamani

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 роки тому

    Kitonga hiyo yaan mpaka mahari ulipiwe bila hata kujuwa ni.mtu wa aina gan

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 роки тому

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka

  • @aishaabdulrahman6995
    @aishaabdulrahman6995 4 роки тому

    Aisha ndio mimi jini mwenyewe 😂😂😂😂😂

  • @nafulahelen6028
    @nafulahelen6028 4 роки тому

    Story ibambe parte 2

  • @maryogotiny5033
    @maryogotiny5033 4 роки тому +1

    Watu wame-sabscrbe ikiwekwa tu wanaamka nayo

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 4 роки тому

    Mmh Mambo ya FB hayooo

  • @afterx3172
    @afterx3172 4 роки тому

    Second

  • @aishamabiru7882
    @aishamabiru7882 4 роки тому

    Du hatar na fb sasahivi watu wanaongoza kutongoza watu bila kujua ninani😁😁

  • @chrisswitiness5176
    @chrisswitiness5176 4 роки тому

    Pore san kaka fb ina mambo mengi

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому

    Nmewahi Leo

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 4 роки тому

    Na watongoze tu sinwanaume wao

  • @ashamganga6636
    @ashamganga6636 3 роки тому

    Yani ww hata kama mm ningekuchuna ww hata kuingea hujui

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 4 роки тому

    Kwahiyo Facebook pia kuna majini???? Sasa hawa majini mnakuja mpaka mitandaoni mhhh

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 3 роки тому

    2012 darasa la 7,bas wee mdogo

    • @amanimanase5794
      @amanimanase5794 3 роки тому

      2012 mimi namaliza form six daah he is very young

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 роки тому

    Ni bahati mbaya hiyo , bahati mbaya aichagui popote pale ukupata

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 роки тому

    EEEEE WATOTO WAKIUME MUWE MAKINI KWENYE MITANDAONI NI NANGOJA SEHEMU YA PILI BRO

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 роки тому

    Ivi mtu unampendaje mtu mtandaoni 🤔🤔🤔 eti vitonga 😆😆😆