TAZAMA BINTI ALIEOLEWA KWENYE FAMILIA YA KICHAWI MZAZI WAKE ASEMA MAKUBWA
Вставка
- Опубліковано 7 січ 2024
- TAZAMA BINTI ALIEOLEWA KWENYE FAMILIA YA KICHAWI MZAZI WAKE ASEMA MAKUBWA
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig
Baba kiboko ya wachawi naitwa daniely yakobo nipo chalinze pwani baba natafuta nauli nije na familia yangu kanisani kwako nina shida kubwa sana kifamilia maradhi yanaitesa familia yangu baba naomba maombi yako.
Amen
Amina baba naomba utabr kuhusu maisha yangu Kuna changamoto
Naomba msaidie mwanangu apate kazi
Bwana Yesu asifiwe,naomba uhamisho wa haraka kwenda ofisi itakayorudisha utukufu kwake Mungu.Ameen
Amina baba. Tunakukubsli Dana mtumish.
Mimi ninashida ya kutokupata mtoto mpaka sasa miaka 14 nahangaikia uzazi nabii naomba nisaidie
Ameen 9:51
Mungu ukutie nguvu
Nabii shikamoo mm naitwa neema naishi arusha baba usichoke nabii
Amém babá mchungaji kiboko ya wachawi nipo msubinji yani mozambique 🇲🇿 natafuta nauli ninje natesek San katk maisha yangu 😢😢😢😢😢
naomba unitabilie mtumishi wa mungu
NITAKUJA KIBOKO YAWACHAWI WEWE NDO KIBOKO YAO KWELI 💯MUNGU AKUZIDISHIE🙏🙏
Baba kiboko ya wachawi,Mungu akulinde.
Mungu ajitukuze mutumjshi kwako kwaviwango vyajuu sana
Amina... mtumishi naomba unisaidie. Nna mzaz mwenzangu alikufa mazingira ya kutatanisha nisaidie mtumishi wa mungu. Nipo kilimanjaro
Baba nitabilie
Barikiwaaa baba mungu akutunze Niko Arusha baba hapo lazima nifike
Nabii wa Mungu mtoto miaka 9 wataka kumfanyia upasuaji kwenye kokwa zake. Anashindwa kutoa mkojo. Nabii naomba unisaidia.
Mtumixhi wa mungu bwanayesu asifiw ninashida biaxharayangu haiendi jinsi ninavotak nikiuza nikipiga mahexab hela sion hela
Amen mungu akubariki niombee mungu anifungue nipate kazi sahihi
Amina baba
Baba kuna changamoto nyingi sana kwenye maisha sana naomba unisaidie nakesho
Nikuja ibadani
Amina baba napokea kwa imani niombee baba nipate kazi nipo arusha
Naomba unisaidie Kwa ilo
Ubarkiwe baba na pia niombee nipate mafanikio katka maisha yangu naishi longido nakufuatilia kwenye UA-cam
Amina yangu
Amina baba naomba udusaidie baba na famillia yangu tunateseka sana tunateswa dusaidie
Najiungamanisha na madhabahu haya kila anaepokea uponyaji na mimi nipokee wa jina la yesu ameeen
Aamen baba nabarikiwa mnoo Mungu skulinde🙏🙏🙏
Naomba unitibiri bab,,,
Amina kuanzia leo namimi kila uchawi uniondokee
❤❤❤❤
Aminaaaaa mchungaji najiunga na madhabau hii. Mtu anakuchukia pasipotaraji sababu ni Kheri kumeonyesha ubaya huo huo kuliko kujipendekeza🙏
Amina Mtaji . Wa biashara roho ya kumcha Mungu
Amen Baba🙏🙏🙏
Hapo sawa sawa man of God kamau kutoka kenya❤
Nina jiunganisha na madhahu hiyo. Mimi ni mzaliwa wa kigoma lakini ninaishi moshi. Ninataka yesu afungue familia yetu pamoja na mwanangu kwa jina la yesu❤❤❤❤
Amen baba
Naomba afunguliwe mtumishi.RICHARD RUTEBEKA
Bàba nabii naomba unitabirie mmi na famila yangu
Ameen
Na wazazi wangu niwagonjwa
Amen.baba
Baba ww katika watumishi ww nikiboko nikija na jua shidazangu zitaisha Niko Arusha niombee Safari yangu ikawe heri
Naomba uniombee nipate kazi Nabii asante baba
Baba naomba nisaidie maisha yangu yamehalibika sana baba
Baba bwana yesu asifiwe naomba unisaidie Familia yangu imehangaika Sana matatizo hayaishi
Hapo sawa man of God...kamau kutoka Kenya.
Ameen Nabii kiboko wa wachawi
Amen mungu akulinde namini nami nitapona tu
Amen Amen Amen pastor
Bwana yesu asifiwe mchungaji wng...
Me naitwa Devotha Michael Mtenga
Baba naomba unisaidie Nijue anaye niroga mchungaji wng
Ameeeeeeen baba
Amina
Wokovu unapatikana kwa kumfunua Kristo Yesu... Unabii lazima umtukuze Bwana Yesu
Hakika ibada ya jana ilikuwa fire,Mungu azidi kukuinua baba
Mungu akubaliki sana nabii naomba niombee ninachangamoto kwenye ndoa yangu .naitwa Claudia yohana nipo dodooma
Ukweli baba mimi naenda mbio nyingi Sana
Amen 👏👏
Amen mtumish
Ameeeeeeeeeen
Amen PST
Mungu Azid Sana kukubariki Baba kiboko ya wachaw wanyooshe Baba wanatutesa
❤❤❤😢
Nabii tabiri juu yangu
Àmen and amen
Baba naomba unisaidie, baba angu amefariki kifo cha ghafra ,nisaidie baba
Najiungamisha kwenye madhabahu hii je iko wap na mm naishi mbez ya kimara naelekezwe jaman......pombe imenishikilia maisha yangu
Nabii wa Mungu naomba nisaidie
Ameeee
Ubalikiwe sana
Baba mungu akuzidishie miaka mingi maan Mimi nakufatilia kwa yutbu nafunguli pia
Baba ninamuunganisha na madhabahu inayo jibu. Nina omba mungu wa madhahu hiyo ampe kazi mwanangu jastin kwa jina la yesu.
Kweli Bb
Nabii naomba umkumbuke mme wangu Emanuel anaumwa mgongo miez 7 na shemeji yangu amepata ajali juma pili Yuko haisi yuu baba naomba maombi yako baba
Amen 🙏
Naish mwanza naitwa Masele Nina shida nabii wanangu watatu wasichana hawajaolewa lkn wametulia,baba kakimbia mji na maradh ya presha yananisumbua nisaidie
Baba nizaidi nimepigwa kiuchumi
Nabii naomba utabir juu yangu
Baba naomba maombi yako uchumi npia watto wangu awakovizur darsani
Bwana yesu asifiwe kanisan lenu liko wap?
Watu ninaowadai haki zangu na watoto wangu nawatumia salamu warejeshe kila kilicho changu kwa jina la Yesu moto uwawakie wakosa amani mpaka warejeshe ndani ya siku saba
Nabii Niko tayar
Lord help us in Jesus might name
Ndiyo nabii
Baba nina tatizo tumbo linaniuma naomba msada uniombe baba naishi Malawi
Na sisi tulio mkoani mishuma tunptaj baba
Wewe ndy nabii wa kweli tutakuja tu
Mungu atu saidie waja wake
Nabi mungu wako anisaidiye tangu kuzaliwa kwangu mpaka iyo siku sija wayi kuishi maisha kama wengine nina bahati mubaya sipendewe na watu baba yangu uni saidiye maisha yangu siyo vema unapo bariku watu uko nami uni bariki sina wakunisaidiya nikazaa na mume cherti ani ache ni ko saa njo etumbu nangai
Naomba umuombee dadaangu aitwae ANNA JOSEPH GONZA anauhitaji wa kupata mtoto , NAOMBA UMUOMBEE
Baba natseka napulesha inafika 229 nasindoye mimijoyce sslseme
😊
baba nashida yauchumi
Naomba umuombee binti yangu neema kila anachofanya hafanikiwi hana kazi biashara mchumba wala crochete nisaidie
Matrida niombee baba nipate kazi na mume
Nabii mm Jacklin naomba uniombee Sana baba na dada yangu Flora ameolewa tanga anateseka Sana baba nisaidia
Si fani kiwi
Ni kweli baba sema tupone
Nabii naomba maombi kwa watt wangu Noeli na Kristna
Mchungaji kijiko ni 🔥🔥
nisaidie jamani naumia nina uchungu san