Bwana yesu asifiwe jaman kwamajina naitwa aisha selemani mwenyeji wa dar salaam lakini kwasasa niko omani naumri wa miaja 20 nateseka sana mimi pamoja na familia yangu nabii kiboko ya wachaw naomba unisaidie kama kuna nguvu zagiza zinazo notesa mim na familia yangu naomba hao eachawi wote iwateketeze katiks jina la yesu
Baba wewe ishi TU huna baya kwangu Mimi umenipa kibari na uponyaji wa ndowa yangu bado haijatokea ila naamini itakuwa natoka Zanzibar nakuja Ibadan namaanisha
Huyu jamaa ni mjinga wa mwisho kabisa aiseee hivi hao waumini wake sijui wana akili gani hivi kweli kabisa wanashindwa kabisa kushtukia hayo maigizo kweli hao ni kondoo
BARIKIWA sana mtumishi wa Mungu ALIYE hai
Tabit nasisi
Baba naitwa Eliza naomba unitabirie
Naomba mjuku angu Alick apoke uponyaji huko aliko nyumbani Malawi Amen
Bwana yesu asifiwe jaman kwamajina naitwa aisha selemani mwenyeji wa dar salaam lakini kwasasa niko omani naumri wa miaja 20 nateseka sana mimi pamoja na familia yangu nabii kiboko ya wachaw naomba unisaidie kama kuna nguvu zagiza zinazo notesa mim na familia yangu naomba hao eachawi wote iwateketeze katiks jina la yesu
Nabii nisaidie
Bwana yesu asifiwe nimekuelewa sanaaa binafsi ninamatatizo ya tumbo silielewi (2) watoto na baba yao wafunguliwe
Daddy nami niko Bujumbura ninakufata 100/100
Baba nabii naomba unitabirie baba familiayetu atuelewani upande wakwa baba na kwa mama pia nitabirie nabii.
Amina
Amina amina baba
Baba wewe ishi TU huna baya kwangu Mimi umenipa kibari na uponyaji wa ndowa yangu bado haijatokea ila naamini itakuwa natoka Zanzibar nakuja Ibadan namaanisha
Mungu fungua njian zangu
Piga spana Mtumishi.
Yani watu mume pigwa upofu wamacho bilakujua
Namm piya uchumi wangu
Huyu jamaa ni mjinga wa mwisho kabisa aiseee hivi hao waumini wake sijui wana akili gani hivi kweli kabisa wanashindwa kabisa kushtukia hayo maigizo kweli hao ni kondoo
Naomba namimi uniponye nisaidi baba
🙏🙏
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nitafanikiwa kwa lazima
Naomba nitabirie baba
Baba naomba msada wako
Mchongo majizx
Ntapataje namba za mtumishi nashida
Mjini kisomo.
Rehema ipite