MAAJABU FUNGUO YA BAJAJI YATABIRIWA KUWA YA GARI LA KIFAHARI NA KIBOKO YA WACHAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 107

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 7 місяців тому +2

    Ameeeen. Huo miujiza unikute na Mimi hapa burundi. Wanao niita mchawi wooote baba yangu kiboko ya wachawi wakate moto nachoka

  • @ZainabuAlly-cc4ef
    @ZainabuAlly-cc4ef 6 місяців тому +1

    Uko vizuri mtumishi naomba nami uniponye mguu wangu nanyumba yangu nakizazi changu nafamiliya yangu

  • @MaryElias-jp2hc
    @MaryElias-jp2hc 3 місяці тому

    Mtumishi big up👍👍👍👍👍

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 21 день тому

    Wafe wachawi wote kwa jina la Yesu kama neno la Bwana lisemavyo usimuache mchawi aishiii ✅

  • @ZainabuAlly-cc4ef
    @ZainabuAlly-cc4ef 6 місяців тому +1

    Amina baba mungu akupe maisha marefu uendelee kuwasaidiya watu

  • @KissaMwalongo
    @KissaMwalongo 2 місяці тому

    Mtumishi wa Mungu naomba nisaidie nashindwa cha kufanya nisaidie si mimi wala uzao wangu amae kasimasima kumsaidia mwenzio nisaidie baba

  • @user-og7ni7bq2d
    @user-og7ni7bq2d 4 місяці тому

    Aminaaa baba mtumishi wa mungu endelea kuwauwa wachawi wote wanatutesa sana wanao kupinga wote ni wachawii tuu wanaumia unavyoharibu KAZI zao na Mimi nakuja dar ❤❤❤

  • @user-xk9io9kc9z
    @user-xk9io9kc9z 3 місяці тому

    Amina poster,naomba uwaombee wadogo zangu na ututabirie maisha yao

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 21 день тому

    Muondoe Amen

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 21 день тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥kwa jina la Yeeeeesu

  • @user-qy4br4dn9s
    @user-qy4br4dn9s 5 місяців тому +2

    Baba nakuamini kiboko ya wachawi one love naitwa said

  • @NEEMANGULELE
    @NEEMANGULELE 2 місяці тому +1

    Bwana asifiw Baba naomba uniomba niw nahekima mafanikio ktk Manisha yangu na nimtukie mungu.amina.

    • @ngenabuloze9984
      @ngenabuloze9984 Місяць тому

      Baba namimi apa nisaidie kizungu zungu baba sijuwi niede wapi

  • @FfFf-yb9cp
    @FfFf-yb9cp 6 місяців тому +1

    Amina mtumishi wa mungu .mungu azidi kukuinua natama sana unisaidie na maombi paster juuu mm napitia mtihani wa maisha yangu paster na naomba uweke namba ili tupate kuwasiliana niko kenya nikifuatilia injili yako.

  • @user-rf6gw9pn2x
    @user-rf6gw9pn2x 3 місяці тому

    Mtumishi wa mungu naomba unikumbuke na mie nifanyikiwe kupiti jina la yesu christo

  • @SuzaneKimaro
    @SuzaneKimaro 3 місяці тому +1

    Nabii kiboko yawachawi shalom mtumishi waMungu naomba unisaidie Mimi SUZANE nauza gari haliuziki kabisa nauza nyumba haiuziki kabisa naomba msaada wk

  • @user-er5hr1od6k
    @user-er5hr1od6k 3 місяці тому

    Amen Amen Amen 🙏

  • @user-uz6yx4jb8p
    @user-uz6yx4jb8p 6 місяців тому +1

    Nabii amina nimefatilia maombi yako ila kuja daa siwezi naomba uniombee familia yangu nyumbani kwetu kuna mafarakano nina ndugu zangu wawili ni walevi nisaidie

  • @user-gm4qi3nn9n
    @user-gm4qi3nn9n 4 місяці тому

    ❤❤❤ asante Sana baba nabii kiboko ya wachawi from omani nakupata vizuri

  • @marrykimaro9792
    @marrykimaro9792 6 місяців тому +1

    Mungu Ni waajabu Sana hapa hakuna kumpoint mtu Bali Ni Mungu amempa Nabii karama ya kupindua wachawi

  • @fatumamichael5664
    @fatumamichael5664 6 місяців тому +1

    Amina. Baba mungu akutunze Mimi nakuja wiki hi na mtoto wangu

  • @febroniajoas4997
    @febroniajoas4997 5 місяців тому +2

    Nabii wa mungu kiboko wawachawi nakuamini Baba nitabilie mwanangu Yuko wapi yupo hai

  • @geofreygeorge9612
    @geofreygeorge9612 4 місяці тому

    Amina hakika Mungu ni mwema endelea kushusha upako.

  • @NyiranezaWarda-bk1yn
    @NyiranezaWarda-bk1yn 3 місяці тому

    Amen amen tuombeye nasisi Mungu asitupite 🙏🙏🙏

  • @MagrethMfuko-ni7er
    @MagrethMfuko-ni7er 3 місяці тому +1

    Naitwa magreth norman mfuko naomba niombee mimi na mzazi mwenzangu benjamini michael kajale tufunge ndoa baba

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 21 день тому

    Wewe ni nabii wa Mungu kabisa, Mungu akulinde kokote ulipo Daddy

  • @ZainabujelemiaZainabujelemia
    @ZainabujelemiaZainabujelemia 2 місяці тому

    Amee pastor nakukubar naomb umsaidie mwanang chond

  • @mwazongawashe5721
    @mwazongawashe5721 4 місяці тому

    Amen amen, nikupumbe na mimi mtumishi wa mungu niko mexico na napitia mambo magumu baba

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 5 місяців тому +1

    Ukitakakujua kuwa hawa siyo watumishi wa mungu makanisa yao hawakemei uvaaji usiyomfaa mungu.Pia mahubiri hakuna zaidi ni matamko na habari za nimeoteshwa ndiyo ujue kuwa hawa hawamwakilishi mungu

    • @lulumatawalo7805
      @lulumatawalo7805 4 місяці тому

      Huduma hazifanani,neema hazifanani.Huyu ni nabii,unaelewa chochote juu huduma ya kinabii?Mmezowea mahubiri ya story tu madhabahuni kwamba Yesu anaponya,lakini watu wanaingia kanisani na magonjwa yao halafu wanatoka na magonjwa yao! Yesu alisema ; "Aniaminiye mimi,kazi nizifanyazo mimi naye atazifanya,naam na kubwa kuliko hizo atazifanya ".Watu wanataka kumuona Mungu aliye hai anayetenda, sio story.Kuna wakati wa kujifunza neno na kuna wakati wa kuwatua watu mizigo waliyonao.Usilolijua funga kinywa,maana unaweza dhani kwamba unapambana na shetani,kumbe unapambana na Mungu aliye hai!.

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 7 місяців тому

    Hallelujah. Be blessed Man of God

  • @DmMh-kl4bz
    @DmMh-kl4bz 3 місяці тому

    Naomba uponyaji nabii wa Mungu unifungue maisha yangu

  • @AgnesJohn-cx2hy
    @AgnesJohn-cx2hy 2 місяці тому

    Mimi naitwa Agnes naomba uniangaliye mambo yangu hayaendi napambana kufanya kazi kweli lkn hakuna ninacho kipata pesa zinapote pesa hazishikiki pastor

  • @estermmbando6312
    @estermmbando6312 4 місяці тому

    Mtumishi naomba unisaidie nyumba yangu ilivunjwa vioo nomba unisaidie pia kaka zangu nao hawaja simama pamoja na watoto wa kaka wa kaka zangu mtumishi nisaidie

  • @user-fd2wn1vy4o
    @user-fd2wn1vy4o 7 місяців тому +1

    Baba nitabirie maisha yangu siyaelewi

  • @FaridaMohamed-lu4xw
    @FaridaMohamed-lu4xw 3 місяці тому

    Bwana Yesu asifiwe. Naitwa Farida naumwa nisaidie baba

  • @estermmbando6312
    @estermmbando6312 4 місяці тому

    Mungu atusaidie maana duani inamambo magumu

  • @NyiranezaWarda-bk1yn
    @NyiranezaWarda-bk1yn 4 місяці тому

    Tabiri baba

  • @user-em5tg2zz2v
    @user-em5tg2zz2v 5 місяців тому +1

    Nisaidie mtumishi kijana wangu anaumwa anauvimbe kwenye ubongo

  • @rithanickolaus2881
    @rithanickolaus2881 2 місяці тому

    Nabii tabili maisha yangu naitwa ritha mwakasege nakaa kisemvule

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 21 день тому

    Prophecy Daddy kimeumanaaaa

  • @Emanuel-hl2jh
    @Emanuel-hl2jh 6 місяців тому +1

    Kaz nzur sana

  • @liliandamian1944
    @liliandamian1944 2 місяці тому

    Mm naomba uniangalizie maisha yangu

  • @JuliethMunish
    @JuliethMunish 4 місяці тому

    Amina baba naitwa juliana naomba unitabirie baba

  • @HildaShoo
    @HildaShoo 3 місяці тому

    Baba naomba unisaidie kuwaombea watoto wangu hawana mielekeo linguine naomba uniombee juu ya uchumi wangu

  • @evamsuya8869
    @evamsuya8869 7 місяців тому

    Amiina baba mungu wa mbinguni akutunze

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 5 місяців тому +1

    Mungu atusamehe kwa matendo haya,tunadanganyika kirahisi sanaa

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 5 місяців тому +1

    Mtumishi naomba maombi Yako Nina tatizo la MOYO kutanuka

  • @user-dp2fd6bd1p
    @user-dp2fd6bd1p 7 місяців тому

    Na kukubali Sanaa baba

  • @AngelaMbeba
    @AngelaMbeba 3 місяці тому

    Nabii nitabilie mguu wangu umeota kimfupa nikitenbea Zapata maumivu naomba niinuke tena

  • @EmmanuelKisange
    @EmmanuelKisange 2 місяці тому

    Mimi naitwa EMMANUELI kisanga naomba uniombee nipate kazi

  • @JaneMavika
    @JaneMavika 4 місяці тому

    Niombee baba naitwa jane maviks

  • @FatumaMata
    @FatumaMata 4 місяці тому

    Nabb na mm naumwa upande 2:39 mmoja na mgongo pia

  • @user-en2cd7ul9e
    @user-en2cd7ul9e 4 місяці тому

    Nabii nisaidie

  • @AgnesJohn-cx2hy
    @AgnesJohn-cx2hy 2 місяці тому

    Mimi naitwa Agnes Niko manyara mtumishi naomba unisaidiye nimefungwa kiuchumi Kila ninacho kufanya hakitoki

  • @joycewilliam3469
    @joycewilliam3469 3 місяці тому

    Bwana asifiwe baba naomba unisaidie na mimi ninashida

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 7 місяців тому

    👏👏👏👏👏

  • @JayMusic-fd7dm
    @JayMusic-fd7dm Місяць тому

    Nabii tabirjuu yangu mimi abraham eliuze mgonja

  • @agripinagasper-ts1yx
    @agripinagasper-ts1yx 7 місяців тому

    Daddy nakuelewa Sana❤

  • @estermmbando6312
    @estermmbando6312 4 місяці тому

    Mtumishi naomba umkumbuke kaka yangu aliye potea mwaka wa tisini mpaka leo

  • @ngenabuloze9984
    @ngenabuloze9984 3 місяці тому

    Baba nikumbuke na mimi

  • @ZainabujelemiaZainabujelemia
    @ZainabujelemiaZainabujelemia 2 місяці тому

    Nabii kibok yawachaw nakuomb.umfunguwe anasnguk anaraha yadunia nakupmb.nabii msaidie

  • @ConfusedBlini-vp6wf
    @ConfusedBlini-vp6wf 7 місяців тому

    Namm nisaindie mtumishi

  • @CathelinYeremiah
    @CathelinYeremiah 2 місяці тому

    Baba naomba unisaidie na mimi naomba muujiza unikute nakuomba

  • @gabrielmaina1248
    @gabrielmaina1248 7 місяців тому +1

    Baba nisaidie tafadhali nko Kenya nko n shinda nyingi Sana nisaidie tafadhali

    • @nelsonnyamle
      @nelsonnyamle 5 місяців тому

      Huyu ni tapeli wewe soma maandiko utayajua mengi kuhusu huyu mtu

  • @user-xm7ce5jh2k
    @user-xm7ce5jh2k Місяць тому

    Namie naomba wachawi wananitesa myaka MINGI wafe

  • @user-sn2jf5cg6z
    @user-sn2jf5cg6z 7 місяців тому

    Mtumish mm nina shida

  • @marryfelician1426
    @marryfelician1426 4 місяці тому +1

    Yaani huwezi kuamini kwa haraka Mimi alinijua kila kitu cha maisha yangu bila kumwelezea chochote huyu nabii ana Karama zake kwa kweli

    • @sophiasophia6500
      @sophiasophia6500 3 місяці тому

      Nataka number tu sister niokeha na yeye

    • @najmqhamisi5637
      @najmqhamisi5637 3 місяці тому

      Mimi Niko mbani sijui nitapatake aki wachawi niwegi sana hapa kwetu wanataka mkumuhua mama

    • @GraceKatsozi
      @GraceKatsozi 3 місяці тому

      Plz daa mm natoka kenya wafanyaje huruma sadaka

  • @Alfoncemsigara
    @Alfoncemsigara 3 місяці тому

    Mtume shikamo naomba nisaidie nashi kahera sifanyimare ngo naomba nisaidie

  • @elizabethisanja4900
    @elizabethisanja4900 4 місяці тому

    Ba b nimeteseka na uchumi miaka kumi natatu

  • @jasmineomary4325
    @jasmineomary4325 7 місяців тому +1

    Jamani huyu mchungaji mi namuaamini asilimia 10000

  • @HildaShoo
    @HildaShoo 3 місяці тому

    Pasta naomba unisaidie nilipwe hela zangu

  • @HELENKAPITA
    @HELENKAPITA 7 місяців тому +1

    Onesha video.zako za ushuhuda mpaka mwisho mimi nafuatilia sana lakini baada ya ushuhuda tunaomba utupe mwendelezo

    • @user-nf8gk5fi6c
      @user-nf8gk5fi6c 7 місяців тому

      Fatilia ibada yake utaona utaona ushuhuda wote

  • @MeshakShedrack
    @MeshakShedrack 3 місяці тому

    Kiboko ya wachawi niombee.nipate pesa kila siku wachawi wafe

  • @ezekielmasune8285
    @ezekielmasune8285 3 місяці тому

    Naitwa ezekiel masune toka dodoma nitabilie na mimi

  • @Tatufrancis-cc7yd
    @Tatufrancis-cc7yd 2 місяці тому

    mtumishi na matatizo mwanangu era zimepotea mazingira ya kutatanisha ataaerewi afanyeje naoba nisaidie

  • @eliebakuka9727
    @eliebakuka9727 6 місяців тому

    Mabii na furafiyaka na tuna kwanza abayo Mungu anaku tumikisha ika baba hambiya mtu wa sound keyboard Iko na sound vibaya kama ataweza reduce una weza kuwa viziri

  • @MengiMunishi
    @MengiMunishi 4 місяці тому

    Nabii ondoa uchaw juu yangu😂

  • @user-nz1nx5kh7g
    @user-nz1nx5kh7g 7 місяців тому +1

    Baba nitabirie nko Kenya ndoa imevunjika nisaidie baba bwana ametekwa na madawa na mwanamke mwengne ili amlele mtoto wake wangu tuliezaa naye hawalei angusha huyu mwanamke anaitwa alice

  • @user-jv7ni1ho2x
    @user-jv7ni1ho2x 7 місяців тому

    Nabii tabiri maisha yangu naitwa johari mshama kutoka tegeta

  • @benganabenjamin3304
    @benganabenjamin3304 4 місяці тому

    Najiunganicha na maombi iyi na omba kwako mtumichi wamungu unisaidiye na mimi

  • @user-nl4jx2zw6e
    @user-nl4jx2zw6e 6 місяців тому

    Hatanamimi kwahupigaji huwo wagidari ningecheza

  • @jenifercynthiakazimoto5392
    @jenifercynthiakazimoto5392 4 місяці тому

    Huyu mchawi alivyoiona hyo chupa kwa mama mkwe kaamua bora azimie tu hakuna namna😢

  • @berthamsema
    @berthamsema 4 місяці тому

    Baba nisaiddie kuna mtu kanitap epeli

  • @user-nz1nx5kh7g
    @user-nz1nx5kh7g 7 місяців тому

    Baba hta mim nko Kenya nalia baba napitia haya haya nayoyaona mwanamke amenifanyia hvyo hvyo amenitenganisha na baba watoto wangu akamchukua yeye nimeblokiwa sisaidiw watoto hatuogeleshwi simu ananitumanishia message akinitukana wanangu anawaita mambwa ilihali amebaki yeye alelewe mtoto wake aliyekuja naye sahii ni miez will kutoka amchukue nisaidie sna uwezo wakufika huko kwenu

  • @furahanorbert7843
    @furahanorbert7843 2 місяці тому

    Napataje namba ya huyu Nabii

  • @LatifaSelemani-ft8of
    @LatifaSelemani-ft8of 3 місяці тому

    MUNGU WA MTUMISHI WA KIBOKO YA WACHAWI NIFUNGUWE TUMBO LANGU NIPATE MIMBA YA WATT PACHA KIRAHISI SANA AMINA.

  • @user-go4ed9lr5m
    @user-go4ed9lr5m 6 місяців тому

    Na itwa Claude baba namiye nitabiriye

  • @StevenPeter-nm4us
    @StevenPeter-nm4us 3 місяці тому

    Nabii naomba umsaidie mama anasumburiwa na miguu tokea 1992 ndio imemuanza naomba miujiza yako

  • @user-gm4qi3nn9n
    @user-gm4qi3nn9n 4 місяці тому

    Wanaume mnavyoowa wake wenza ndo mnaongeza matatizo

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Місяць тому

    Mnaowaowa nini? Ndo mwishowake mnakutana makubwa.

  • @julieringo4360
    @julieringo4360 7 місяців тому

    Baba nakuaminia afe mara 7 yaani cha moto watakiona

  • @chackszephaniah592
    @chackszephaniah592 7 місяців тому

    Maua yk nabii naja soon maana naona uponyaji juu yng kupitia ww

  • @apostlemagdalenakongera1238
    @apostlemagdalenakongera1238 3 місяці тому

    Nina madeni na Sina Kwa kupata pesa neema iliyoko ndani yako nabii inipatie pesa ndani ya siku tatu

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 7 місяців тому

    ACHENI UPUMBAVU HUBIRINI NENO

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 7 місяців тому

    Safari hii kitaeleweka kwa wachawi👊👊👊🤣🤣🤣🤣

  • @Mhinambasha-yh6oc
    @Mhinambasha-yh6oc 7 місяців тому

    Nlikuwa siamini hii miujiza mm nlidhani unaponti watu wako na kuwatendea miujiza lkn jp ya trehe 21 nlibahatika kufika nakushuhudia kwa macho yangu yaliotendeka

    • @ElizabetMbwana
      @ElizabetMbwana 4 місяці тому

      Msionge msijekupata hukumu, Kisasi ni cha MUNGU

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 7 місяців тому +1

    Ujinga mtupu Mhubiri Yesu Kristo acha mambo ya Duniani

  • @AgnesJohn-cx2hy
    @AgnesJohn-cx2hy 2 місяці тому

    Mimi naitwa Agnes naomba uniangaliye mambo yangu hayaendi napambana kufanya kazi kweli lkn hakuna ninacho kipata pesa zinapote pesa hazishikiki pastor

  • @chissolamujingasolange1183
    @chissolamujingasolange1183 7 місяців тому +1

    Baba naomba nitabiriko kwenye ndowa yangu inakosa Armani