MAMA ALIYEFIWA NA BABA YAKE AFUFULIWA NA NABII KIBOKO YA WACHAWI/MAITI YAFUFUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • MAMA ALIYEFIWA NA BABA YAKE AFUFULIWA NA NABII KIBOKO YA WACHAWI/MAITI YAFUFUKA
    #church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

КОМЕНТАРІ • 360

  • @josephinemasaki-zv7te
    @josephinemasaki-zv7te 4 місяці тому +3

    Mungu Naomba usiruhu msiba Wala mauti ktk family yangu waponye wazazi wangu baba na mama

  • @ElizaMolle
    @ElizaMolle 3 місяці тому +3

    Baba mungu akuzidishiye miaka wanawo kusema vibaya niwachawi tu ila wauwe woooote

  • @marrykimaro9792
    @marrykimaro9792 9 місяців тому +5

    Nakupenda Sana baba na nakuaminia Sana pastor Mungu was mbinguni azidi kukutunza

  • @marrykimaro9792
    @marrykimaro9792 8 місяців тому +3

    Nabii Mungu Skype maisha marefu baba.Wanaokusema vibaya hawajielewi.Nabii Mungu amekuleta Tanzania kwa maksudi maalumu baba.Nabii naomba uinue familia yangu tuondoe kwenye magonjwa misiba na umaskini.Ninakupenda Sana Nabii.Mimi Simbo Kimaro

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 9 місяців тому +3

    Baba Mungu nakuomba ajira na biashara kwa watoto wangu ktk jina la Yesu Kristo Aliye Hai Amen

    • @WinfildaReginali-db4hg
      @WinfildaReginali-db4hg 2 місяці тому

      Nimeanza kukubali nabii pastor. Namimi Nina shemej wangu amekufa tukamzika Ila Cha kushangaza watu wanamuona. Tunaomba msaad wako

    • @WinfildaReginali-db4hg
      @WinfildaReginali-db4hg 2 місяці тому

      Anaitwa Arikadi petr

  • @AlbinaDonald
    @AlbinaDonald 9 місяців тому +10

    Baba mungu anazidi kukutumia naomba ufuue mtoto wa Aliekua mpngaji wangu amezikwa leo amefariki gavula kwa kuumwa nakichwa tr 8/01/2024 alikua aingie fom 1 Emungu muonee huruma mama huyu

  • @marrymwashinga1942
    @marrymwashinga1942 7 місяців тому +9

    Watu wa mungu wanaangamia kwakukosa maarifa,,mungu atupe macho ya rohoni😥😥

  • @prophetgervasebenard7486
    @prophetgervasebenard7486 Місяць тому

    Powerful Jesus Christ is Lord! Wafu wanafufuliwa🔥🔥 .🙏

  • @NeemaWpeter
    @NeemaWpeter 3 місяці тому +1

    Shalom mtumishi, naomba uniombee ninashida ya afya mwili wangu wote hauna amani baba.

  • @JackZulaDaJaime
    @JackZulaDaJaime 9 місяців тому +3

    Amini mungu yupo Kama alie mfufua yesu Lazaro basi n yeye amepewa unguvu izo

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 9 місяців тому +1

      uongo mtupu na ni ujinga msindwe nyie alifufua 2 ni Mungu nonsense pastor

  • @BarakaSagamba
    @BarakaSagamba 2 місяці тому +1

    Amen baba naomba niombe niweze kupata ajira ya jwtz mwaka huu

  • @HappyJacob-r5j
    @HappyJacob-r5j 9 місяців тому +9

    Niwewe pekee nabii kiboko ya wachawi nakuamini pakuwa fufuwa watu, amen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 9 місяців тому +2

    I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive powerful

  • @EsterShirima-vr7cv
    @EsterShirima-vr7cv 2 місяці тому

    Mungu naomba ufufue uchumi wangu na upigane na mapepo yanayotaka kuangamiza familia

  • @FaithOpondo-cm8bl
    @FaithOpondo-cm8bl 4 місяці тому +1

    Amen

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 9 місяців тому

    Bwana Yesu Kristo namwombea Grace aondolewe wachawi wote dhidi yake Amen

  • @DAUDGASPER-vm3kk
    @DAUDGASPER-vm3kk 3 місяці тому

    Aminaa

  • @DAUDGASPER-vm3kk
    @DAUDGASPER-vm3kk 3 місяці тому +1

    Aminaa 2:42

  • @MamaTash-e1z
    @MamaTash-e1z 9 місяців тому +3

    Amen my spiritual father

  • @CuttyZerish
    @CuttyZerish 9 місяців тому +7

    Lakini huyu mama kafiwa na baba asubuh na anazikwa mda ambao huyo mama amekuja kanisani😂 nguvu za kuja kanisani mda huo kapataje!!🤔🤔🤔

    • @kashurusho863
      @kashurusho863 8 місяців тому

      Akuna anayemjua huyo mama kweli atupe ukweli wa mambo

    • @godspromisetv6503
      @godspromisetv6503 5 місяців тому

      ​@@kashurusho863mbona kwenye msiba nasikia tu sauti ya watu 2 tu?

    • @isayachawinga1005
      @isayachawinga1005 4 місяці тому

      😅😅😅😅 nacheka kama mazuriii

    • @mrchamy2022
      @mrchamy2022 2 місяці тому

      Kuna mda nawaza daaah nashindwa kwenda kanisani

    • @juliusmwiburi8117
      @juliusmwiburi8117 2 місяці тому

      Tunapigwa san bora umegundua na ww

  • @LaurentLwena
    @LaurentLwena 5 місяців тому +1

    Amina mtumishi
    Tabili juu yangu
    Naitwa laurent lwena

  • @DullahSelemani
    @DullahSelemani 6 місяців тому +1

    Fanya kazi ya mungu tupone naitwa muhidini selemani nisaidie mtumishi

  • @DeusiMangu
    @DeusiMangu 8 місяців тому

    Nakufuatilia baba,hakika mungu anaweza ,kupitia maombi yako naomba huu mwaka usipite bila kupata ajira,mwaka wa 9 nasubiri ajira ya ualimu bila mafanikio,napokea muujiza kupitia maombi yako baba amen

  • @MundekeSaid
    @MundekeSaid 9 місяців тому +1

    Amina baba

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 9 місяців тому

    Bwana Yesu Kristo naomba uniondolee wachawi wote dhidi yangu na watoto wangu na wadogo zangu wote

  • @NeemaWpeter
    @NeemaWpeter 3 місяці тому

    Amina

  • @MichaelMwambene
    @MichaelMwambene 6 місяців тому

    Amena sana unangusa wengi nami futa machozi yangu bwana uniponye fangasi pamoja uvimbe wa shingo

  • @ManenoSimkoko-df9yj
    @ManenoSimkoko-df9yj 9 місяців тому +1

    Ameni baba

  • @aminamollel3571
    @aminamollel3571 9 місяців тому +9

    Mtu kafiwa na baba yake badala aende msiba anakuja kanisani mmh mbona hapa sielewi,Ee Mungu tusaidie tupe macho ya rohoni

    • @DELAVEGA-c5x
      @DELAVEGA-c5x 9 місяців тому +2

      Matapel hayo hyo ni kamali inachezwa mjini shule

    • @designdesign4426
      @designdesign4426 7 місяців тому +1

      Mjini maisha magum

    • @leahchuwa7097
      @leahchuwa7097 5 місяців тому +1

      Huelewi kwa nini aende kanisani badala ya msiba. Ni wewe huna imani mwenzio amekimbilia penye msaada.

    • @neemamefali2319
      @neemamefali2319 4 місяці тому

      Imani ni kitu kingine huwezi jua kwann amefanya hivyo

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 2 місяці тому

      ​@@designdesign4426😂😂😂😂

  • @NyamhangaRhobi
    @NyamhangaRhobi 5 місяців тому

    Nabii mungu azidi kukutumia kuokoa watu,naomba na mimi umuokoe mwanangu amepinda mgongo kama upinde na hawezi kutembea huu mwaka wa tatu

  • @josephinekwamboka2360
    @josephinekwamboka2360 9 місяців тому

    Sharom amen amen iam a Kenyan natamani kufika huko tazanzania naomba direction amen

    • @erickjoseph8292
      @erickjoseph8292 5 місяців тому

      Panda Basi njoo dar es salaam shuka Magufuli stand , panda daladala linaloenda Buza Kwa lulenge bus stand, than ask bodaboda to kiboko ya wachawi church.

    • @MOSAMYOG
      @MOSAMYOG 2 місяці тому

      Hio ni scipt imeandaliwa sio kweli 😂😂😂😂😂

  • @dottokulwa7075
    @dottokulwa7075 9 місяців тому +1

    Hatali sana naona kama nindoto kwamala yakwanza leo nimeshangazwa nakupenda sana kiboko yawachawi

  • @CelinaAmbele
    @CelinaAmbele 8 місяців тому

    Bwana Yesu asifiwe nabii naitaji maombi Yako maana changamoto. Nayoipitia naisi kukataa tamaa majaribu yamekuwa meng peke yangu siwez kila mwaka nnn mmm tu nabii nafukuzwa kazi naomba unisadie nabii naitwa james

  • @SakinaWanjemu
    @SakinaWanjemu 2 місяці тому

    Ameen

  • @democritenzoisaba9117
    @democritenzoisaba9117 3 місяці тому

    Ubarikiwe mchungaji

  • @mishiShabani-rt1vg
    @mishiShabani-rt1vg 4 місяці тому

    Asante kwa kuKomboa baba maisha yetu

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c 3 місяці тому

    Mathayo 22:29
    [29]Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
    Jesus answered and said unto them, Ye do err, not knowing the scriptures, nor the power of God.

  • @MiriamIbobo
    @MiriamIbobo 2 місяці тому

    Najiconne na Hilo ombi katika jina la Yesu

  • @ElizabethBahati-l2e
    @ElizabethBahati-l2e 6 місяців тому

    Amen mungu akubariki unagusa wengi

  • @ochumanrashidi
    @ochumanrashidi 4 місяці тому

    baba nimekuwa mtu wamatukio yaajabu sana baba naomba niokoe baba nabii

  • @christinalyamuya5175
    @christinalyamuya5175 3 місяці тому

    🎉Paster kemea ushoga Tanzania wajukuu wetu wametekwa na watu wenye pesa kutoka nchi za nje pia kemea ushoga na usagaji .Hiyo pia ni njia ya uchawi Mungu akubariki Sana

  • @KadumaJose
    @KadumaJose 2 місяці тому

    Ameni

  • @mariamariavicety4006
    @mariamariavicety4006 8 місяців тому

    Amina hakika mungu anaweza

  • @peje-gm1lo
    @peje-gm1lo 7 місяців тому

    ❤❤saf sana mtumishi nikiludi nitafika apo

  • @EdinaKagoma
    @EdinaKagoma 4 місяці тому

    Baba mume wangu amepata ajari kwa njia yakutatanisha amefariki nisaidie

  • @CelinaAmbele
    @CelinaAmbele 8 місяців тому

    Bwana Yesu asifiwe nabii naitaji maombi Yako maana changamoto. Nayoipitia naisi kukataa tamaa majaribu yamekuwa meng peke yangu siwez kila mwaka nnn mmm tu nabii nafukuzwa kazi naomba unisadie nabii naitwa james baba

  • @DoanaJoseph-yv6bx
    @DoanaJoseph-yv6bx 6 місяців тому

    Daina nataka nipate koneksheni sahiii katika maisha yangu

  • @DoanaJoseph-yv6bx
    @DoanaJoseph-yv6bx 6 місяців тому

    Daina nataka nilipwe haki zangu zote hata zile nilizodhurumiwa nilipwe na mume wangu Apate safali kazi joseph

  • @frankditrick3109
    @frankditrick3109 2 місяці тому

    Duh

  • @GabrielIsaya
    @GabrielIsaya 2 місяці тому

    Amina baba nataka.mtoto

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 8 місяців тому

    I received

  • @DoreenAkiyoo
    @DoreenAkiyoo 7 місяців тому

    Mtumishi Naomba muomb baba yangu anaumwa presha

  • @Malkia01
    @Malkia01 4 місяці тому +1

    Jmn huy kibok ya wachawi hadi uje kumuona ushapita kwa mashemasi wanakusany maokot had uonane nae unabak mtupu 😢

  • @JofreyJulius-uj3yz
    @JofreyJulius-uj3yz 3 місяці тому

    ❤❤❤

  • @Stewart-l6t
    @Stewart-l6t 8 місяців тому +1

    Jamani mungu anawaona

  • @sophiasalehe7353
    @sophiasalehe7353 6 місяців тому

    Wao wanaokuongerea vibaya wait ndio wachawi nguvu na uweza unatoa kwa mungu endelea kutuponya

  • @ZannahMadame
    @ZannahMadame 3 місяці тому +1

    Barikiwa baba

  • @WitnessHassan-gy3rz
    @WitnessHassan-gy3rz 8 місяців тому

    Ameeen

  • @mosesmussa2096
    @mosesmussa2096 9 місяців тому +2

    Mungu Ni Mkuu Hakika

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 9 місяців тому

      Kunaukweli hapo?vitu vya Mungu inautaratibu wake na malengo yake. sasa hii Mimi sijaiamini kabisa.waje watoe ushuhuda kama ni kweli

    • @mosesmussa2096
      @mosesmussa2096 9 місяців тому

      @@samwelmatemu8873 Mambo Ya Mungu Hayachunguziki Kaka Ila Kwenye Simu Kasema Baba Ake Kaamka

  • @anithamsery1720
    @anithamsery1720 8 місяців тому

    Mungu nipe pesa kwa njia rahisi niende nikaonane na nabii kiboko Cha wachawi wote

    • @designdesign4426
      @designdesign4426 7 місяців тому

      Nenda katapeliwe unazani utamuona bila pesa

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 9 місяців тому +5

    Ase Mimi naangalia maigizo mwenye nacheka hahaha

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 9 місяців тому

      maigizo haya

    • @pendorobert3552
      @pendorobert3552 9 місяців тому

      Ww ni mm kabisa niko nacheka tu hapa eeh MUNGU tusaidie

    • @marrymwashinga1942
      @marrymwashinga1942 7 місяців тому

      Maigizo ya viwango😂

    • @Joycenangonga
      @Joycenangonga 5 місяців тому

      😂😂😂 watu ni wasanii sana na mbinguni ni mbali sana

    • @bimkubwaomar3224
      @bimkubwaomar3224 5 місяців тому

      Nimecheka hapo alipomuambia amwagie maji bila kupewa maelekezo

  • @GodwinNozgan-ol7yk
    @GodwinNozgan-ol7yk 8 місяців тому

    Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen and Amen ❤❤

  • @AbdulrahmanUbaa
    @AbdulrahmanUbaa 8 місяців тому +1

    Wee kataa Mauti ila Mauti yanakuja afu ivi kweli Mungu akazungumze na ww kwamba Mungu amekosa kazi au wewe waibie wenzako ila kesho inshallah utakutana na Allah zen utajibu

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 2 місяці тому

    Wee mkongooo utafika mbali Mungu atakuaibisha kwa uwongooo wako

  • @MichaelHamis-ht3sf
    @MichaelHamis-ht3sf 3 місяці тому

    Kwani muzaa akifwa dousiede ibadani kisa kifo acha babatu hatakama mwanagu kanisani naedatu Wacha wafu wazikane wwnyewe soma diko vizuli nautafwahamu namanishani mungu atujaliye

  • @MichaelHamis-ht3sf
    @MichaelHamis-ht3sf 3 місяці тому

    Mungu akujaliye

  • @leticialawi9569
    @leticialawi9569 9 місяців тому

    Ameeeeen

  • @HeriethBernard
    @HeriethBernard 7 місяців тому

    Glory🙏🙏

  • @SabrinaMohammed-r1t
    @SabrinaMohammed-r1t 6 місяців тому

    Baba yangu Mungu azidi kukulinda

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 8 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN

  • @JackNgelesa
    @JackNgelesa 5 місяців тому

    Napenda sana mafundisho yako baba kiboko ya wachawi

  • @Juma-om7ho
    @Juma-om7ho 5 місяців тому +4

    TUNA MUHITAJI MAGUFULI JAMANI MFUFUE HARAKA AJE

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 4 місяці тому

      mmmh!!!
      na nyerere amfufue pia😂😂😂😂😂

  • @fatumamichael5664
    @fatumamichael5664 9 місяців тому +2

    Baba nisaidie namimi sijaona siku zangu miezi 5 Sasa tumbo kubwa Kama Nina mimba na mtt acheza nikienda hosptl naambiwa wanaona kivuli cheusi

  • @AnnaMwanga-j5k
    @AnnaMwanga-j5k 9 місяців тому +19

    Uongo mwingine hata haufai, umefiwa na baba unawezaje kwenda kanisaini

    • @julianakamaleki5979
      @julianakamaleki5979 9 місяців тому +3

      Mm ninakuamini nabii. Siku zote kama hujawahi kupata shida huwez jua kama shida huwa zipo. Tusaidie watu tunapitia mengi mnoo. Kila mmoja na shida zake.

    • @NizerMgombele-xn5hb
      @NizerMgombele-xn5hb 9 місяців тому +3

      Nyie wapumbavu msioamini watu wanapona nyie mnasema maigizo basi fanyeji original mlionayo nyinyi fanyeni original watu wawafuate, mko tayari kuwazika wagonjwa wanakufa sio kuponywa mimi naamini nyie wachawi kila kitu kizuri ni sheteni mungu awasaidie

    • @JoyceSelwin-gt3po
      @JoyceSelwin-gt3po 7 місяців тому +1

      Wajinga nyie msitake tuwatukene mme msikia nabii vizur au umekulupuka

    • @JoyceSelwin-gt3po
      @JoyceSelwin-gt3po 7 місяців тому +3

      Amesema amepokea taarifa yeye akiwa apo kanisan amini wewe acha ujinga Mungu yupo na anaweza

    • @BeltaMatius
      @BeltaMatius 7 місяців тому +2

      Labda amefarik yupokanxan

  • @robisonsadock4075
    @robisonsadock4075 4 місяці тому

    ❤❤❤🎉

  • @hillujoseph7692
    @hillujoseph7692 9 місяців тому

    Naombeni mawasiliano ya hyu nabii😊

  • @IssaRwechungura
    @IssaRwechungura 5 місяців тому

    Hongera sana. Mimi na mke wangu tunafuatilia sana ila tupo mbali Dodoma. Tunapenda kutanguliza sadaka yetu na kuomba utusaidie tumeteseka sana so chini ya miaka 30 mateso na mikosi ya kichawi, maelezo ni marefu na achungu. Tunaomba namba yako tutume sadaka yetu ndogo na utuelekeze tufanyeje maana tumekwisha kabisa hatuna uwezo na ni wazee.

  • @JohnMwinamila-gm9cn
    @JohnMwinamila-gm9cn 5 місяців тому +1

    Nabii tabili juu yangu

  • @christinalyamuya5175
    @christinalyamuya5175 3 місяці тому

    Kweli tusimdharau huyu paster jamani tumwachie Mungu yeye ndie anayejua ,kwenda kanisani ni sawa kabisa maana ndo kimbilio letu .

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 2 місяці тому

    Babaako afariki uwende kanisani wakati ingekuwa hufai naushaondoka uwongooo mtu kuliaa tu niuwongooo

  • @sikitugeorgette
    @sikitugeorgette 7 місяців тому

    Amen amen 🙏

  • @ChristinaLazaro-oy4kb
    @ChristinaLazaro-oy4kb 5 місяців тому

    Kwer kabisa amina

  • @gideonsangi161
    @gideonsangi161 5 місяців тому

    Kweli mpk YESU arudi tutaona mengi

  • @fatumamichael5664
    @fatumamichael5664 9 місяців тому +1

    Amerni

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 9 місяців тому

    Amen Amen

  • @peje-gm1lo
    @peje-gm1lo 7 місяців тому

    ❤❤❤ameen

  • @AnethMbando
    @AnethMbando 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BarakamaturaMatura
    @BarakamaturaMatura 4 місяці тому +1

    Naomba niombee

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 5 місяців тому +2

    Ww siyo mtumish wa mungu tushakugundua nenda kalim3

  • @VictoriaChilumba
    @VictoriaChilumba 5 місяців тому

    Nabii naomba utuponye na familia yangu na umfufue dada yangu alikofichwa

  • @VictoriaChilumba
    @VictoriaChilumba 5 місяців тому

    Fanya kazi ya mungu nabii tupone naitwa Victoria chilumba

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 2 місяці тому

    Daa

  • @DoanaJoseph-yv6bx
    @DoanaJoseph-yv6bx 6 місяців тому

    Nataka kupona sukali na binti yangu Apate mume na nilipwe pesa zangu nilizodhurumiwa na pikipiki zangu 2 zirudishwe nimjue Aliyeniiibia

  • @HappensMussa
    @HappensMussa 6 місяців тому

    Hakika mungu nimuweza wayote sifanautukufu ziludi kwako nahitaji maombi katk fmly ya

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 8 місяців тому

    Jaman mungu awasaihdie

  • @BenardHabeli
    @BenardHabeli 6 місяців тому

    Benard luwilo naomba niunganishwe namaomb

  • @DoanaJoseph-yv6bx
    @DoanaJoseph-yv6bx 6 місяців тому

    Daina nataka dada yangu mtumishi ufahamu wake urudishwe na mume wake Amtafute

  • @samwelycypriano1504
    @samwelycypriano1504 5 місяців тому

    iv alishawekwa kwenye friji kwel uyo marehem na alifariki lin mpaka kufikia alishwekwa kwenye jeneza kwa inavo onekana mtumish katokea congo angetupa stor kidogo kua kula congo kafufua wangap na kama vip ange kimbia muimbili bc akaokoe roho za watu jmn watu wanapumulia mipira watu wanakufa kila siku aende akawafufue jmn mbona ukristo kwa sasa umekua muvi

  • @adolfmedard5758
    @adolfmedard5758 2 місяці тому

    Mimi sishangai kwa haya kutokea. Yote yameandikwa kwenye biblia. Acha unabii utimiye.

  • @EMMANUELNGWALE
    @EMMANUELNGWALE 8 місяців тому

    Nifunguliwe na Mimi watoto wangu wawe wazima na mume wangu awe mzima