WATU WALIOFANIKIWA WALIZINGATIA MAMBO MATANO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 76

  • @miriammohamed2005
    @miriammohamed2005 10 місяців тому +2

    Pastor may God bless you,am Miriam from Kenya,tangu niaze kusikiliza mahubiri yako ukristo wangu umechange my kids wamechange, you have been sent by God to help His people,am very thankful for your sermons

  • @Joy-mm1ut
    @Joy-mm1ut 5 місяців тому +2

    Amen ..I'm always blessed kila nikiwatch vedio zako

  • @JaneNagagi
    @JaneNagagi Рік тому +1

    Umbarikiwe mchungaji somo n nzuri umenibariki

  • @ruthwambui3658
    @ruthwambui3658 Місяць тому +1

    Watching in Dec2024 from Kenya. What touched me the most was that God has given US EVERYTHING we need for success. N because of that at the end of the video I had TWO ideas on how to capitalise on what God has already given me.

  • @ankoojodemba649
    @ankoojodemba649 Рік тому +1

    Napenda sana mahubiri yako your my hero.

  • @jimmyfaliala5460
    @jimmyfaliala5460 2 роки тому +1

    Asante pastor Kwa mafunzo mazuri ya kutuhimiza kimahisha katika malengo .i am bless a lot🙏

  • @rukundoclementine6472
    @rukundoclementine6472 3 роки тому +2

    Asante sana pastor nimesha Annika yangu kabisa irisoma rinafaa kwa watu wengi sana 🙏

  • @joycemayila4835
    @joycemayila4835 3 роки тому +1

    Mungu akubari pastor tunabarikiwa sana

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 3 роки тому +3

    Ubarikiwe sana pastor kwa masomo mazuri

  • @aksantimangala9254
    @aksantimangala9254 2 роки тому

    Tunawashukuru saana ndugu zetu wa mahubiri tv hebu mtuhusishe nasisi kwa mafundisho hayo.

  • @barnabaabery5060
    @barnabaabery5060 2 роки тому

    Kwamajina naitwa Balinaba Abeli hakika nimebalikiwa namafundisho yako nimeamini Mbaga wewe ninabii wamungu make hua nikitazama mafundisho yako nahisi kamavile nina fundishwa namungu wetu hakika mungu anazungumuza nasi kupitia kinywa chako nakuombea Mbaga mungu akupe maisha malefu sana naikiwezekana natoa lobo ya uaiwangu ili mungu akuzidishie

  • @daudiyakobo840
    @daudiyakobo840 2 роки тому

    Wow i get something ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @Lizzymwita
    @Lizzymwita 11 місяців тому

    Amina past mungu akubariki

  • @efraimmichael1202
    @efraimmichael1202 Рік тому +1

    Amen thank you pastor.

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 2 роки тому

    Ahsate mungu akubariki mtumishi nimejifunza kitu kimpya hapa.

  • @jumakija9929
    @jumakija9929 3 роки тому

    Ubarikiwe pastor kwa somo zuri

  • @greysonombeni179
    @greysonombeni179 2 роки тому

    Nimebarikiwa na somo hili Pr Mungu aendelee kutumia vyema ili wengi waandaliwe kwa uzima wa milele

  • @graceymaghema2753
    @graceymaghema2753 2 роки тому

    Amen Amen Pastor tunashukuru kwa mafunzo mazuri

  • @ZittoKundaeli
    @ZittoKundaeli Рік тому

    Ameeeeen sana mtumishi wa MUNGU

  • @annavictar9390
    @annavictar9390 3 роки тому

    Mungu akupambanie zaidi mtumishi ujumbe unafika vizuri sana

  • @magezimedard3572
    @magezimedard3572 3 роки тому

    Pr ubarikiwe sana. Ila ninaombi moja kwamba ufundishe na somo kuhusiana na mafuta ya alizeti, tangawizi.lakini pia na solution maana kuna makosa mengi ya kiafya tumeyafanya.

  • @HarshBwiru
    @HarshBwiru Рік тому

    ubarikiwa sana mtumish

  • @ShadrackSanga-jj8pw
    @ShadrackSanga-jj8pw 9 місяців тому

    Great sms ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @antipascann2797
    @antipascann2797 3 роки тому +2

    Barikiwa Pastor Mbaga,hakuna kitu nafurahia kama notification ya post mpya ya mahubiri.......hadi natamani kila muda uwe live uhubiri tu

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 3 роки тому +1

    Nakuelewa sana pastor ubarikiwe

  • @edwinmabagala2292
    @edwinmabagala2292 3 роки тому

    Amin PR.Mbaga ,Baba yetu wa mbinguni azidi kuyatimizA mapenzi yake kupitia kwako na akazidi kukuangazia nuru ya uso wake na kukuhifadhi na kukufadhili.

  • @juliethylukindo2132
    @juliethylukindo2132 2 роки тому

    Duuuuu! Mchungaji nimekuelewa kwasomo zuli Asante mungu akubaliki🙏🙏🙏🙏

  • @petroelibarick5945
    @petroelibarick5945 3 роки тому +2

    Mungu akubariki mtumishi wa Yesu

  • @msilanganashon5330
    @msilanganashon5330 3 роки тому

    Asante sana pastor kwa mahubiri mazuri

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 3 роки тому +4

    Asante pastor for opening our eyes and I was ready writing done everything I wanted in this year. I need to learn that kitu kipy every day.

  • @jerlaskambale5458
    @jerlaskambale5458 Рік тому

    Nabarikiwa sana

  • @singo9266
    @singo9266 3 роки тому

    Asante Mchungaji kuna kitu nimejifunza kupitia Mahubiri Tv, Nakifanyia Kazi. Mungu azidi kukubariki

  • @charlesbuzenganwa1904
    @charlesbuzenganwa1904 3 роки тому

    Barikiwa sana mtumishi

  • @doradauson1583
    @doradauson1583 2 роки тому

    Mungu akubariki kwa mafundisho

  • @williamaron1914
    @williamaron1914 3 роки тому +12

    MIMI PASTOR WILLIAM KAPETA,MIMI NAKUKUBARI SANA, SIJAWAHI KUMSIKILIZA PASTOR ANAETOKEA KANISA LA SABATO,LAKINI PASTOR MBAGA NI ZAIDI YA KANISA LA SABATO, HUYO PASTOR ANAVITU VYA ROHONI SIJAWAPATA SEHEMU, MIMI SIANGALII DINI, NAANGALIA VITU VINAVYOWEZA KUNITOA NA KUNIPELEKA MAHALI PA MAFANIKIO, MUNGU AKUPEPE NEEMA ZAIDI, IPO SIKU UTAKUJA KUHUBIRI KWETU, MIMI NIMEKUPENDA, NATAMANI NICHOTE VYOTE ULIVVO NAVYO

  • @mawazojames9729
    @mawazojames9729 2 роки тому

    ubarikiwe mtumishi,naomba ufafanue zaidi hii ya 20%/80% rule hasa hili la muda

  • @MaryKamau-u5n
    @MaryKamau-u5n 26 днів тому

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @victoriasarwat4736
    @victoriasarwat4736 3 роки тому

    Bariki wa baba Mungu azindi kukutumia

  • @jovinarymichael9572
    @jovinarymichael9572 2 роки тому

    Asante sana🙏

  • @godfreymsyomi4289
    @godfreymsyomi4289 3 роки тому

    Kiukweli pastor umenifundisha na kunifungua kwakweli wewe ni zaidi ya mwalimu Mungu akubariki sana

  • @farajangalata4473
    @farajangalata4473 3 роки тому

    Mwenye masikio na asikie

  • @nellymsigwa6997
    @nellymsigwa6997 3 роки тому

    Asante yesu kwa somo zuri kupitia mtumishi

  • @dianalee1811
    @dianalee1811 3 роки тому

    Barikiwa Sana nko mbali but huwa wanipa moyo Sana kw ijili ako

  • @sarahodemba1896
    @sarahodemba1896 3 роки тому

    Mahubiri yamenibariki Sana. Ubarikiwe Sana Mchungaji

  • @livingstonemakori2508
    @livingstonemakori2508 3 роки тому

    Barikiwa

  • @jeikary8767
    @jeikary8767 8 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @niwaelchediel4565
    @niwaelchediel4565 3 роки тому +1

    nabarikiwa sana na masomo ya pastor Mbaga je naweza kupata namba yake ya simu natamani niongee nae ili anisaidie mambo ya kiroho

  • @ananiasuleimani5916
    @ananiasuleimani5916 3 роки тому

    Pr ww unajua sana daah ukili ukiambia una milioni 200 inakupangia matumizi..

  • @PolikarpoKalua
    @PolikarpoKalua 3 місяці тому

  • @mossesjoseph2202
    @mossesjoseph2202 3 роки тому +1

    Be blessed Pastor.

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 3 роки тому

    God bless you

  • @gloryharson9302
    @gloryharson9302 2 роки тому

    Mchungaji haya mafunzo yananibariki sana

  • @sadockchubwa6369
    @sadockchubwa6369 3 роки тому

    Ahsante

  • @neemamapenzi6960
    @neemamapenzi6960 3 роки тому

    Amen and happy sabbath

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 роки тому

    Ameeen mtumishi wa Mungu

  • @lebonbasimise6814
    @lebonbasimise6814 Рік тому

    Haina sauti pasta

  • @Lizzymwita
    @Lizzymwita 11 місяців тому

    Asate mchungaji

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 3 роки тому

    🙏

  • @cyrosemutua3032
    @cyrosemutua3032 3 роки тому

    plz send me 5things unafanya kuzigatia Dio ufanikiwe nimepata hiesha

  • @ellyiyommyiy7920
    @ellyiyommyiy7920 3 роки тому

    Pastor namba namba zako

  • @miltonmwamahonje7232
    @miltonmwamahonje7232 2 роки тому

    Do

  • @mrndimangwa7685
    @mrndimangwa7685 3 роки тому

    Amen

  • @venancefrance8896
    @venancefrance8896 3 роки тому

    .

  • @imitekererezeihabanye8681
    @imitekererezeihabanye8681 3 роки тому

    Msimamo wa kanisa la Waadventista Wasabato kuhusu chanjo za Korona UMEBATILISHWA wakapatiwa mwito wa kuwa wa kipekee.
    ua-cam.com/video/UboEMJ6BR2I/v-deo.html

  • @juliusroko3051
    @juliusroko3051 2 роки тому +1

    Barikiwa

  • @jemimakengia7308
    @jemimakengia7308 3 роки тому

    Amen

  • @anthonykasambala1235
    @anthonykasambala1235 2 роки тому

    Amen

  • @MaryIkela
    @MaryIkela Рік тому

    Amen