MTANDAO WA WACHAWI WALIOTUMWA KUMUANGUSHA KUHANI MUSA IBADANI WANASWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 197

  • @Mayaqueen-e8p
    @Mayaqueen-e8p 17 днів тому

    Yesu fichua yaliyo jificha katika maisha yangu na maisha ya familia yangu na univushe katika ninayopitia na kunipa maisha mapya na familia yangu,Miezi hii tunaishi maisha ambayo yesu shujaa wa msalaba ametuandalia tuyaishi, Baba kuhani Musa kristo akuinue ktk viwango vya juu zaidi na kukupa miaka mingi zaidi na zaidi🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @EmmaculateHawa
    @EmmaculateHawa 13 днів тому

    Amen,,,,,,naomba ufichuwe kwa familia yangu,,,,,na kuondoa nguvu za Giza kwa hiyo familia ,,,,na uponajiii kwa mtoto wangu kuhani Musa

  • @YuzzoAmunis
    @YuzzoAmunis 29 днів тому +1

    Yesu fichua na mimi na familia yangu mungu mkuu ulie nuru ya kweli nisaidie❤

  • @user-bp1zx1ml5e
    @user-bp1zx1ml5e 11 днів тому

    Yesu fichua nakwangu mama mtoto wangu anaitwa Ayubu ananisumbua Sana hapendi shule kabisa yesu nifichulie nimechokaa

  • @EstajanethmsafiriJaneth
    @EstajanethmsafiriJaneth 22 дні тому

    Jambo Mtumishi wa Mungu awezi kukuangusha tupo nyuma yako kwa maombi ubarikiwe na Bwana wa majeshi amen

  • @BahatiRoketi
    @BahatiRoketi 21 день тому

    Asante mtumishi maombi yk nakwangu Mimi Niko mafinga ilinga

  • @stellakussaga3537
    @stellakussaga3537 Рік тому +1

    Yesuuu fichua na yaliyo jificha Ktk maisha yangu na univushe ktk ninayopitia na kunipa maisha yangu mapya ktk miezi hii niishi maisha ambayo Yesu shujaa wa msalaba umeniandalia niyaishi ,baba kuhani na mwalimu Musa kristo akuinua ktk viwango vya juu zaidi na kukupa miaka mingi zaidi na zaidi,

  • @JohariHakimu-eu5yw
    @JohariHakimu-eu5yw 5 місяців тому +7

    Yesu fichua na kwangu najiungamanisha na mazabau hii katika jina la yesu nakufuatilia sana kuhani napambana kutafuta ridhiki ili nije nijiungamanishe nichukue kadi japo moja .maana uchumi kwangu ni mgumu sana mie nu muislamu lakini sijawah kupitwa na kila ibada kuanzia kwenye cm mpaka kwenye tv bwana yesu atukuzwe kanisa

  • @TheophilaDeodatus
    @TheophilaDeodatus 3 місяці тому +1

    Bwana yesu apewe sifa me naomba mahusiano yangu yarudi naomba niombee

  • @jovitasilasi9551
    @jovitasilasi9551 Рік тому +1

    YESU fichua na watesi wa ndugu yangu Mtaremwa wapigwe leo na kufaaaaaaa Kwa damu ya YESU naomba MUNGU umusaidie

    • @NadiaJuma
      @NadiaJuma Рік тому

      Mungu wa kuhani musa uishi milele umeniponya kansa umetishaa sana

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 місяців тому +2

    I receive

  • @SuzanaJorge-ji8bw
    @SuzanaJorge-ji8bw 5 місяців тому +1

    Amém Amém Amém Amém gratidão

  • @SmilingJellyFish-vf6xy
    @SmilingJellyFish-vf6xy 8 місяців тому +1

    Amenaswa.
    Amiiiina
    Yesu
    Baliikiwa.

  • @SuzanaJorge-ji8bw
    @SuzanaJorge-ji8bw 5 місяців тому +1

    Bwana yesu asifiwe Mimi ninaomba unifanyie maombi Kwa mungu itali langu niil nizae watoto mapacha mi desculpa pastor

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 місяців тому +2

    I receive I receive

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 11 місяців тому +1

    Nakuja nikuniweka maji
    Nikuniweka jina yangu no
    Alice lazima munirudiche
    Uhayi
    Niombeye
    Nipatiye nguvu
    Amiiina
    Baba
    Musa lichard
    Mwacha

  • @LucyHussein-l1g
    @LucyHussein-l1g 19 днів тому

    Amina a kubwa

  • @ShipolaJohari
    @ShipolaJohari Рік тому +1

    Amen napokea uponyaji Kwa jina la yesu christo

  • @user-on7fn2os5s
    @user-on7fn2os5s 7 місяців тому +1

    Aminaa baba

  • @kasongo8693
    @kasongo8693 6 місяців тому +1

    Amen

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 12 днів тому

    Emeni👍👍👍👍

  • @jennifernyongesa2713
    @jennifernyongesa2713 2 місяці тому

    Amen amen

  • @christinathadei9141
    @christinathadei9141 2 місяці тому

    Bwana Yesu asifiwe kuhani na mtume naomba unisaidie mama yangu mzazi amepooza mtoto amefanyiwa operation mara Kwa tatizo la mfumo wa mkojo zote zime fail na baba yangu mdogo amepooza pia Mimi nimefukuzwa Kazi baba naomba unisaidie Amina

  • @MahonaBugumha-ge8gi
    @MahonaBugumha-ge8gi 8 місяців тому +1

    Eeh yesu wangu vunja kila roho za kichawi katika family yangu 🙏🙏

  • @vickystellah3194
    @vickystellah3194 Рік тому +1

    Hollgost fireeee Wameshindwa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai Amina.

  • @user-eh3de4hs2m
    @user-eh3de4hs2m 7 місяців тому +1

    Yesu amfichue mtoto wangu asha juma kupitia nguvu za kuan musa

  • @Odettemachumu
    @Odettemachumu Рік тому +1

    Mungu akubariki baba kuhani musa iinuliwe Sana baba

  • @esterkomba9049
    @esterkomba9049 Рік тому +1

    Yesu fichua na kwangu, KUHANI Musa upo vizuri Baba

  • @user-cm3mm2dx5d
    @user-cm3mm2dx5d Місяць тому

    Yesu fichua na kwangu amina

  • @neemaelia3436
    @neemaelia3436 8 місяців тому +1

    Amina kubwa Sana lra wa mikoani tuna teseka Sana Tena Sana hii chaneli Atuipati kabisa

  • @Daniel_kimambo
    @Daniel_kimambo Рік тому +2

    Amen sana kuhani wa kristo

  • @MawazoMamy-eu9bl
    @MawazoMamy-eu9bl 21 день тому

    Amina

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 місяців тому +1

    Amen Amen Amen Amen I receive

  • @methodiuskikoti5870
    @methodiuskikoti5870 20 днів тому

    Watu wanaangamia Kwa kukosa masrifa. Mungu atusaidie yeye mwenyewe.

  • @AlfreidinaRobart-kx2xy
    @AlfreidinaRobart-kx2xy 8 місяців тому +1

    Yesu fichua na vya kwangu
    Amen.

  • @user-dw9ct5bj9v
    @user-dw9ct5bj9v 8 місяців тому +1

    Yesu w Kuhn Musa naomba wantes wngu wakate moto

  • @ElineMsuya
    @ElineMsuya 3 місяці тому +1

    Yesu afichue na kwangu nimeteseka Kwa muda mrefu

  • @user-um5ji8th5u
    @user-um5ji8th5u 8 місяців тому +1

    Asante

  • @suzgogondwe9267
    @suzgogondwe9267 Рік тому +3

    YESU fichua kila kilichojificha na kwangu

  • @user-ng8tb1gn4h
    @user-ng8tb1gn4h 2 місяці тому

    Yesu fichua na kwangu nitoe kwenye haya mashimo nitoe mungu wa kuhani musa tumepoteza furaha na aman mungu fichua na kwanxu

    • @MerryWanzagi
      @MerryWanzagi Місяць тому

      Najiunga Nisha naibada yaleo nifunguliye

  • @cecygeorge4443
    @cecygeorge4443 Рік тому +2

    Amina baba Mungu akubariki🙏

  • @AnnaNyalandu
    @AnnaNyalandu 11 днів тому

    Fichua na kwangu mungu ntoe na mm kwenye kifungo

  • @dismasmosiara4095
    @dismasmosiara4095 Рік тому +4

    Huyo Jamaa anapiga kelele huwa analeta confusion wakati kuhani akiendelea kusungumusa awache tafadhali.

  • @mashakaebunga1806
    @mashakaebunga1806 3 місяці тому

    Baba nata kusafiri mungu afanye safari yangu wepesi

  • @alfredkombe9156
    @alfredkombe9156 Рік тому +2

    amina babaa

  • @bahatevagre933
    @bahatevagre933 Рік тому +1

    Naomba kuombewa na mm mana naandamwa sana baba

  • @KenedyMbuya
    @KenedyMbuya 2 місяці тому

    Yesu mungu mkuu nissidie

  • @kwkw1446
    @kwkw1446 8 місяців тому +1

    Baba barikiwa sana ❤❤❤❤

  • @elizabethnaaly2314
    @elizabethnaaly2314 Рік тому +3

    yesu fichua na vya kwangu vilivyofichuka

  • @ShamilaHamis
    @ShamilaHamis Рік тому +1

    Bakupenda San baba amina

  • @DeborahIranezereza-ct6os
    @DeborahIranezereza-ct6os 18 днів тому

    Ficuwa namimi yesu

  • @bahatevagre933
    @bahatevagre933 Рік тому +1

    Mungu akulinde sana baba

  • @FaithHongole
    @FaithHongole 3 місяці тому +1

    Yesu fichua na kwangu

  • @wycleflameck851
    @wycleflameck851 4 місяці тому +2

    mtu wa mungu bwana anasema nipate namba zako

  • @raphaelvarane-rv9bv
    @raphaelvarane-rv9bv Місяць тому

    Amen 🙏

  • @LucyJohn-km3wx
    @LucyJohn-km3wx 3 місяці тому +1

    Mbwa yesu asinine naomba namba niweze kufika kanisani

  • @CristinaLukio
    @CristinaLukio 4 місяці тому +1

    Fichuwa nakwangu yesu

  • @angeljoseph8103
    @angeljoseph8103 Місяць тому

    Yesu fichua nakwangu yaliyojificha

  • @FaithHongole
    @FaithHongole 3 місяці тому +1

    Napokea kwa imani

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 11 місяців тому

    Amiiina pasta mwacha wachawi
    Niwabaya saana
    Mimi pasta
    Niliyibiwa nyota mbiri
    Tena nyota kubwa
    Saidiya
    Mimi uweke nguvu
    Naniliyibiwa
    Na mafuzi yacini na
    Nweli
    Mungu
    Pasta naguchukuru saana

  • @Gave-vv9sp
    @Gave-vv9sp 2 місяці тому

    Kuhani musa naomba musaada wamaombi mtoto wangu.amegungwa kwa sambabu hana kitabulisho munisaidie maombi

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 7 місяців тому +1

    Najiungamanisha na baada hii mungu nisaidie

  • @JoyceZawadi-io3lu
    @JoyceZawadi-io3lu Рік тому +2

    naomba mungu aikomboe familiar yangu

  • @VictoriaNjavike
    @VictoriaNjavike Місяць тому

    Baba kuhani naomba umsaidie bibi yangu asikatwe mguu wake na umsaidie mama yangu moyo wake upungue maumivu makali anayo ya pata amina

  • @joycemponzi
    @joycemponzi 5 місяців тому +1

    Yesu fufua na kwangu

  • @MarySangiwa-fz1jc
    @MarySangiwa-fz1jc 7 місяців тому

    Najiungamanisha na ibada kwa Jina la Yesu.

  • @RehemaKifulo
    @RehemaKifulo 4 місяці тому

    Ohh baba fichus nakwangu

  • @user-ku5so9sb2t
    @user-ku5so9sb2t 3 місяці тому +1

    Baba niombee nipate mume wa maisha

  • @McchachabenardChachabenardmohe
    @McchachabenardChachabenardmohe 2 місяці тому

    Naomba kuinuliwa kiimani na kiuchumi Mimi na familia yangu kwa jina la yesu

  • @neemalaiser
    @neemalaiser 5 місяців тому

    Aminiaa

  • @EvaryneMweu
    @EvaryneMweu 26 днів тому

    Mungu nisaidia na mm

  • @fezagiramata712
    @fezagiramata712 9 місяців тому

    Bwana yesu atukuzwe

  • @agnessndabhalu
    @agnessndabhalu Місяць тому

    Yesu fichua

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk 10 місяців тому +1

    Baada yaibada kuisha mnashika wasichana wadogo nakuwambia kwamba waje wajisalimishe nimeonakwamacho yangu waacheni haowatoto kuwabebesha mambo makubwa kama hayo kama ninguvu yaMUNGU inayofanya kazi hapo kanisani basi miujiza iendereee ilakamaniudanganyifu MUNGU atawaumbua

  • @user-dz4ek4un2p
    @user-dz4ek4un2p 8 місяців тому

    Hi mnapatila wap tafathali, m nko Kenya na ninataka kuuthuria ibada

  • @magnetbaton
    @magnetbaton 7 місяців тому

    🎉

  • @user-eb8nt8dj3n
    @user-eb8nt8dj3n 7 місяців тому

    Aminaaa

  • @JanethSaimon-el5rz
    @JanethSaimon-el5rz Місяць тому

    Mtume bwana yesu asifiwe naomba unitabirie mama angu amepoteza Hela mazigira yakutanisha

  • @ciruwanjiru9719
    @ciruwanjiru9719 2 місяці тому

    Naomba jaman mniombey naumwa tumbo

  • @daynadiny3791
    @daynadiny3791 Рік тому

    Amina baba hawawezi

  • @JoelMwambete
    @JoelMwambete 12 днів тому

    Naomba no ya kuhani Musa

  • @Frorence-yv9hi
    @Frorence-yv9hi 2 місяці тому

    Bwanayesu atukuzwe ninaomba kuhani musa akipanda madhabauni aniombee nikipataela nizione

  • @EsnartKayuni-uj5dx
    @EsnartKayuni-uj5dx 10 місяців тому

    Amen and amen

  • @SaraphinaSamweliSamwelli
    @SaraphinaSamweliSamwelli 4 місяці тому

    yesu fichua

  • @heppy-rk7un
    @heppy-rk7un 23 дні тому

    Kuhani ndoa yanggu aina amani mme wangu anakibuli nakata tamaa naihi ndoa niombee kuhani

  • @SmilingJellyFish-vf6xy
    @SmilingJellyFish-vf6xy 8 місяців тому

    Amiiina
    Baba.
    Mwacha lichard
    Mwacha 😁😁😁😁😁

  • @user-go6fj6mb1b
    @user-go6fj6mb1b 2 місяці тому

    Bwana yesu atukuzwe Leo nimefurahi Sana kusali Kwa kuhani Musa kwani nimefarijika sana

  • @WinfridaAwary
    @WinfridaAwary 4 місяці тому

    Ee yesu fichua na kwangu kuhan Musa mm winfrida Nina shd ya mtt naomba niombee

  • @LilianMusama
    @LilianMusama 2 місяці тому

    Naitwa Lilian Joshua musama naishi ufundi kurasini baba fichua na kwangu

  • @user-kb1xf9cu6x
    @user-kb1xf9cu6x 2 місяці тому

    Bwana yesu asifiwe naomba niombee nina tatzo kweny koo nikienda hospital napima lakn hakun kiti

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 26 днів тому

    😆😆😆😆 endeleeni kubondwa

  • @user-nr1id3ob7z
    @user-nr1id3ob7z 8 місяців тому

    Fichua

  • @RatushabeRugabwa
    @RatushabeRugabwa 28 днів тому

    Baba fichua na kwenye Familia yetu🙏

  • @user-iv7vr4yf9y
    @user-iv7vr4yf9y 7 місяців тому

    Naomba sana mumponye dada yangu anagonjwa sana anaitwa jeska naomba sana tusaidiye

  • @HalimaNkhangaa
    @HalimaNkhangaa 4 місяці тому

    Bwana yesu asifiwe mm ninaomb unifanyie maombi mama yangu anaumwa kwa mda mrf pasipo kupona

  • @ludaomaina6088
    @ludaomaina6088 Рік тому

    Yesu fichua na kwangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @AKIMANAAfsa-ki3vk
    @AKIMANAAfsa-ki3vk 9 місяців тому

    Wachawi niwabaya wawuwe kabisa nabii Musa
    Nachukuru saana mungu
    Nimwema

  • @subiralusako9098
    @subiralusako9098 Рік тому

    Asante Yesu kwaniongoza sehemu sahihi

  • @jennifernyongesa2713
    @jennifernyongesa2713 2 місяці тому

    Ninapitia haya

  • @dieumercibambu
    @dieumercibambu Місяць тому

    Bwana yesu atukuzwe zaidi.
    Kuhani naitaji namba lako la WhatsApp