KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 398

  • @costofamily4861
    @costofamily4861 5 днів тому +117

    Wanaomkubali Cassian Gonga like hapa💪🏻💪🏻

    • @EbsonMakanika
      @EbsonMakanika 5 днів тому +1

      Mungu, akubariki,sana,kwa kukemea manabii wa uongo

    • @EbsonMakanika
      @EbsonMakanika 5 днів тому +2

      Nami nasema, alaaniwe,

    • @EbsonMakanika
      @EbsonMakanika 5 днів тому +2

      Hakika shetani amejidhilisha waziwazi ,kupitia makanisa, Mtumishi,Mungu akuinue sana,pamoja ,Na Mbalikiwa,

    • @mathiasdioniz5891
      @mathiasdioniz5891 5 днів тому +2

      Mungu ambariki sana huyu kaka Cassian,

    • @user-bm9gh6hu4w
      @user-bm9gh6hu4w 2 дні тому

      Baba nakufata kabisa mimi Niko mukongomani lakini nilishangaa Sana n'a maneno a na ambiya watu. Kweli watuwameangamiya kwa kukosa maarifa watu wamefungwa ma cho kweli. Watu wame kosa mafundisho

  • @ruthhamisi2902
    @ruthhamisi2902 5 днів тому +25

    Ni kampeni na ajenda ya shetani katika makanisa ili waache njia ya yesu,tuombe sana na tusome biblia tuijue kweli ya yesu na ituweke huru, Mungu akubariki mtumishi PASCAL kukemea haya Yesu anarudi

  • @ngugit88
    @ngugit88 День тому +7

    Wakenya wanaopenda utakatifu mko wapi?more grace mtumishi 🙏

  • @happinesserasto4806
    @happinesserasto4806 3 дні тому +14

    Sjawai kuona nabii hasie na hekima na hofu ya Mungu kama ww unaejiita kiboko ya wachawi, Yesu akusaidie uokoke kwa jina la yesu kristo

  • @user-jl1db6lc1w
    @user-jl1db6lc1w 4 дні тому +11

    Pastor CASSIAN Mungu wa mbinguni akutie nguvu kwa kujitoa kufa na kupona kukemea na kufunua watumishi matapeli kama hao,ubarikiwe sana sana.

  • @paulpastory1193
    @paulpastory1193 5 днів тому +13

    Mungu akutie nguvu Baba msema kweli Pascal Casiani Tunakuombe

  • @morrissanyano3654
    @morrissanyano3654 2 дні тому +3

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @beatricemwashiti7763
    @beatricemwashiti7763 5 днів тому +15

    Mungu aziyakiwi, wanakuja kuchafuwa jina la yesu ata wachafulishe jina la yesu, Mungu atabaki kuwa Mungu

  • @LylianeBaumaLyly
    @LylianeBaumaLyly 4 дні тому +7

    Hoo yesu tusaidiye😢😢😢 kwanyakati za zamwisho tutayaona mengi na kuyasikiya huyu siyo mutumishi wa Mungu kweli alaaniwe kupotosha tu watu Mungu nipe mwisho mwema mutumishi wa Mungu ubarikiwe

  • @bakariphilip3859
    @bakariphilip3859 День тому +4

    Amtegemeaye Mungu, awezi kuogopa mwanadamu
    Bwana aliekuita akutunze daima

  • @GiftMkwizu
    @GiftMkwizu День тому +2

    Mungu akubarikii kwa kusema kweliii

  • @user-ow9hn7xs3u
    @user-ow9hn7xs3u 3 дні тому +6

    Nakupenda sana una hubiri injili ya kweli mungu akupe siku nyingi sana

  • @PastorVitalisSheshe
    @PastorVitalisSheshe 5 днів тому +7

    Mtumishi Ubarikiwe sana.Isaya. 58:1 ukosawa.

  • @georgekifyasi1205
    @georgekifyasi1205 5 днів тому +5

    Oooh Mungu wangu,hizi nyakati za mwisho kwahakika Yesu anarudi jihadharini enyi wanadamu

  • @Life10061
    @Life10061 День тому +1

    Amina baba sema ,yani kwa hapa dar es salaam matapeli wengi sana siku hizi

  • @pastormichaelkayombopendec2497
    @pastormichaelkayombopendec2497 2 дні тому +2

    Mungu akukumbke sna mtmshi

  • @Evangelist_DannyVuninga
    @Evangelist_DannyVuninga 20 годин тому

    Binafsi namshukuru Mungu aliye kuita ndugu Paschal. Huduma yako inatubariki sana.

  • @user-ow9hn7xs3u
    @user-ow9hn7xs3u 3 дні тому +4

    Mungu ukutangulie mbele safi sana pasical cassian ulindwe na mungu alie hai

  • @retiekadarling992
    @retiekadarling992 2 дні тому +2

    Nakupenda buree mtumishi

  • @DanielNasibu
    @DanielNasibu 5 днів тому +5

    Ubalikiwe mtumishi Dunia imefika mwisho mungu atusaidie

  • @AlfredyLimu
    @AlfredyLimu 5 днів тому +5

    Asante sana mtumishi wa MUNGU endelea kuisema kweli wakupona wapone na wakupotea wapotee

  • @leticiamakoye4871
    @leticiamakoye4871 4 дні тому +4

    AMINA . BWANA YESU kiristo wa nazaleti akulinde pasical casiani. BWANA awakemee watu Kama Hawa ktk taifa letu.ubarikiwe Ubarikiwe casian na watumishi wote wanaoihubiri kweli ya BWANA na utakatifu.

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 5 днів тому +9

    Mungu akulinde na akupe uwezo na mamulaka yakuyiendesha zayidi injili ya ukweli kupitiya madabahu haya wengi tumepona.usichoke wala usinyamanze na Mungu atuwezeshe tukushike mukono ili injili iwafikiye wengi❤❤❤

  • @user-gs9rx1ep8m
    @user-gs9rx1ep8m 2 дні тому +4

    Hakika umesema kweli, mungu akupe maisha malefu malefu sana mtumishi wa bwana yesu

    • @JanetAdislous
      @JanetAdislous 21 годину тому

      Bwana haandikwi kwa herufi ndogo jmn huyu anakuwa ni bwana wa Dunia Bwana hata bibilia inamtamka kwa herufi kubwa

  • @justingeorge2451
    @justingeorge2451 День тому +2

    Kweli babisa Mungu atusaidie sana jamani Tanzania yetu tuokolewe na hii laana,Yesu alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, tatizo hawajui Neno la Mungu.

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 День тому +3

    Mungu akubariki sana sana 🙏🙏

  • @DamwenaKulinan
    @DamwenaKulinan День тому +2

    Mungu azidi kukupigania,

  • @ruthhamisi2902
    @ruthhamisi2902 5 днів тому +7

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,ndivyo yesu alisema,

    • @mkutitv
      @mkutitv 15 годин тому

      SIO WANA ANGAMIA BALI BIBLIA INASEMA WANAANGAMIZWA.... isome vizuri hilo andiko

    • @mkutitv
      @mkutitv 15 годин тому

      Hosea 4:6
      Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

  • @Ushindiemmanuelushindi
    @Ushindiemmanuelushindi 5 днів тому +25

    Watu kama Cassian wanahitajika sana Tanzania jamani katika jina la yesu ❤❤❤

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg День тому

    Ubarikiwe endelea kusema kweli na Mungu yuko pamoja nawew

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 День тому +2

    Hakika Mungu amekutuma kutuokoa wanadamu tunangamia huku tunaona 🙏🙏

  • @selinpareso137
    @selinpareso137 2 дні тому +1

    Asante mtumishi wa mungu

  • @jacquelineswai602
    @jacquelineswai602 День тому

    Pascco Mungu alikuponya na ile Ajali (mauti kwa makusudi kamili mtumikie Mungu wa kweli Baba

  • @elizabethndabhantinya
    @elizabethndabhantinya 3 дні тому +4

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @JacklineMoti
    @JacklineMoti 5 днів тому +5

    Mungu aturehemu hivi na watu wanasema amen 😢😢

  • @AmaniMushi-c2u
    @AmaniMushi-c2u 3 дні тому +2

    Amina mtumishi wa Mungu. Namimi nina ungana na wew kuwa na ALAANIWE

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 3 дні тому +2

    Amina Mtumishi Wa Mungu Na MunguAkubsriki Sana.

  • @user-ck5hx8pr5v
    @user-ck5hx8pr5v 4 дні тому +4

    Aminaaaaaaaaaaaaaaaaa pasta mungu akutie nguvu

  • @AyshaSliman-cg8dr
    @AyshaSliman-cg8dr 2 дні тому +2

    Walaahi Dunia inaelekea mwisho😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @AnastaziaJafari
    @AnastaziaJafari 13 годин тому

    Ubarikiwe kwa huduma njema Cassian

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 5 днів тому +5

    MUNGU atunusulu Dunia imeishaa

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 2 дні тому +2

    Kwa hili asiekuelewa ana shida ktk ufahamu wake!

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 4 дні тому +2

    Nakupenda bure mimi mtumishi cassian unasemaga ukweli baba yangu taji yako nikubwa mbinguni kaka yangu.

  • @PavlovBestfriend-fb3kh
    @PavlovBestfriend-fb3kh 4 дні тому +2

    Kweli kabisaa, barikiwa na Mungu Cassian 🙌🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @AnoldMosha
    @AnoldMosha День тому

    Mungu akutie nguvu mtumishi

  • @MargaretMwenda-sw4iw
    @MargaretMwenda-sw4iw День тому +2

    Am happy Leo umesema Wazi ,Serikali kwani Iko wapi,Wafuasi wengi wa kikristo wa Watanzania kama wamerogwa jamani......Serikali ingilieni kati,Jamiii inaangamizwa

    • @justingeorge2451
      @justingeorge2451 День тому

      Yaan tena na aliye waroga kafa, kabisa yaan wakristo wengi hawayajui maandiko,Yesu Kristo aliwaambia makuhani,Mwapotea kwa kuwa hamuyajui maandiko wala Uweza wa Mungu.

  • @hovongajilo1236
    @hovongajilo1236 2 години тому

    Amen mtumishi

  • @YOHANARIREMMA
    @YOHANARIREMMA 3 дні тому +1

    Mungu akufikishe mbinguni kwasabbu umezijua sili ukiwa ndogo mafanikio yaako uliapata huko badae ukaokoka hongera sana

  • @MahraKhan-gd7pb
    @MahraKhan-gd7pb 5 днів тому +3

    Yn kwel wafuasi wake ni misukule kbs Mungu twakuomba tufungue fahamu zetu watu hao wametekwa ufahamu kwel kiboko ya wachawi alaamiwe ni shetani kbs

  • @michaelsichinga
    @michaelsichinga 5 днів тому +1

    Amina pasita ashindwe kwa jina la yesu

  • @user-ko5it5hz6b
    @user-ko5it5hz6b 3 дні тому +1

    Mungu akulinde siku zote ktk maisha yako

  • @user-dp3um7rf3r
    @user-dp3um7rf3r День тому +1

    mtumishi mungu akuweke miaka mingi iliuwafungue watu akili

  • @NTEMI-OBURUDANI
    @NTEMI-OBURUDANI 5 днів тому +1

    Ameni ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @user-ow9hn7xs3u
    @user-ow9hn7xs3u 3 дні тому +3

    Natamani kujifunza sana kutoka kwako cassian

  • @user-qy7wv3xv4o
    @user-qy7wv3xv4o 23 години тому

    Katika jina la yesu kiristo, damu yake ikufunike, juu chini kulia, nakushoto mungu akulinde mana umesema kweli, hata mm nimesikitika mno.

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 5 днів тому +3

    Mtumishi Cassian,
    Mungu akutie nguvu sana,
    Zidi kukemea na kukaripia na kuonya kwa nguvu zote;
    Kiukweli tuko mwishoni sana, Mungu alisaidie kanisa lake

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 дні тому +4

    Cassiani Mungu akubariki Kwa kazi ngum unayoifanya

  • @RobsonEnock
    @RobsonEnock 5 днів тому

    Hakika mwana wa mungu yu karibu zidi kuwahubiria wakuokoka waokoke atakaye shupaza shingo lake atajijua Amina mtumishi uko sawa.

  • @chantalmariesony2996
    @chantalmariesony2996 3 дні тому

    Pastor Paschal namupa 10000000 points ❤❤❤❤❤❤

  • @joshuaandrew386
    @joshuaandrew386 5 днів тому

    Ni Amina na kweli,
    Ubarikiwe Sana sana MUNGU azidi kukutumia kwaajili ya KUOKOA nafsi zilizo potea

  • @EmmyJerremiah
    @EmmyJerremiah 5 днів тому +5

    😂😂😂Ila hii dunia bana kweli watu wametekwa jamaa anaongea ujinga alafu watu wanasema ameen .... paschal usinyamaze sema baba

  • @ruthmwamburi756
    @ruthmwamburi756 14 годин тому

    Alie ndani yetu ni mkuu kuliko aliye inje.Injili ya Yesu ivume.

  • @geegalax6479
    @geegalax6479 4 дні тому +1

    Watumishi wa kweli tuongeze bidii ya maombi na kuyakemea haya. Pia tuendelee kuwafundisha Wana wetu kweli ya Mungu

  • @AmisiShukuru
    @AmisiShukuru 8 годин тому

    Amen 🙏

  • @user-nz4ff6dq4t
    @user-nz4ff6dq4t 4 дні тому +3

    Kiboko ya wachawi mwenyewe anazungumza mambo mambaya na watu wanazidi kufuatia niatari

  • @EligiSebastian
    @EligiSebastian День тому

    Nakubali hi ni nyekati ya mwisho jamani

  • @henrysizya239
    @henrysizya239 5 днів тому +2

    Duh! Hii ni kama comedy flani hivi, Mungu atusaidie

  • @mkutitv
    @mkutitv 14 годин тому

    Hosea 4:6
    Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

  • @PeterSimoni-th2re
    @PeterSimoni-th2re 3 дні тому

    Ninakuelewa sana brother Mungu akulinde na wabaya

  • @samyotimotheo37
    @samyotimotheo37 5 днів тому

    Mungu akubariki sana na aendelee kukupa ujasiri

  • @WillyBanzi
    @WillyBanzi 5 днів тому

    Barikiwa mtu wa Mungu,maana huu upepo wa manabii na mitume feki baada ya kiwaelekeza watu kwa Mungu ili wajitegemee kiroho wao makanisani kiila siku nimelogwa,mara nimetapika mjusi,mara nimemwaga mafuta yaani perception za kiushirikina,uganga,na kishetani makanisani

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 13 годин тому +1

    Anasema ana fuata mambo matatu..ni ana vibuyu vitatu kwenye chumba.

  • @Paulo-wo2yy
    @Paulo-wo2yy 3 дні тому +1

    Kaza buti jembe la yesu inapenya

  • @ngelelanangale6798
    @ngelelanangale6798 5 днів тому +5

    Jamani injili imevamiwa na waganga wa kienyeji na wataalamu wa majini na kujipachika utummishi wa Mungu

  • @user-cr6fc7nt8k
    @user-cr6fc7nt8k 5 днів тому

    Mimi poster wngu ni cassian pekee uyo ndyo nitamsikiza mpaka mwisho...kwasababu mafundisho ya pascal cassian na mnabii wengine yako tofauti sana....mungu akulinde kakaangu na akutie nguvu nyingi uwendeleze maubiri yako...

  • @mbezisalasala9536
    @mbezisalasala9536 4 дні тому

    Watu wengi hawataki kuambiwa ukweli. Utasikia huyu naye anahukumu amekua Mungu?
    Tuko kwenye nyakati za mwisho watu wameziba masikio. Baba unaipambania injili ya kweli Mungu akubariki sana

  • @JoshuaGoliama
    @JoshuaGoliama 5 днів тому +1

    Semaji la tz Cassian my role moddle

  • @ShadrakaAthumani
    @ShadrakaAthumani День тому +1

    Ukweli kanisa liko ktk Vita kubwa Sana yaani mtu anayejiita mtumishi wa Mungu anasema hawezi kuhubiri utakatifu Wala hawezi kuwaambia watu kuwa Yesu anarudi eti anahubiri apate pesa anamambo mengi yakufanya jamani nabado watu wanaenda tu

  • @ChristinaSanga-pl5jm
    @ChristinaSanga-pl5jm 2 дні тому

    Dunia imeisha kweli jina la Kristo linatukanwa yaani nimemshangaa sana huyu kiboko wa wachawi yaani huyu ni pepo kamili

  • @jespaamos8106
    @jespaamos8106 2 дні тому +1

    MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI

  • @dismasvinono2266
    @dismasvinono2266 18 годин тому

    Kiboko ya wachawi ni shetani na alaniwe katika jina la mungu baba muumba mbingu nchi na ardhi

  • @jacklinejosiah978
    @jacklinejosiah978 День тому

    Ulinzi wa Mungu kwako

  • @user-cr6fc7nt8k
    @user-cr6fc7nt8k 5 днів тому +1

    Mwenye macho haambiwi tazama..tuliambiwa tutawajuwa kwa matendo.kiboko ya wachawi siyo nabii wa kweli ni shetan kabsa.aya mavazi tayari na kauli yake ni mapepo tosha....wa2 wanakimbilia miujiza awafati mungu

  • @ruthhamisi2902
    @ruthhamisi2902 5 днів тому +1

    Mwenye masikio na asikie

  • @punchmill6273
    @punchmill6273 2 дні тому +1

    Huyo Kiboboko ya wachawi ni mganga kama waganga wengine..sio mtumishi wa Mungu..Apo Cassian umepata wa kujipigia bila shaka hata kidogo😂😂😂😂😂😂

  • @witnesdiana237
    @witnesdiana237 День тому

    hakika mungu akusimamie kwenye huduma Yako ya kuweza kusema ukweli

  • @JosephinePeter-e7z
    @JosephinePeter-e7z 3 дні тому

    Baba balikiwa sana Kwa kweli itokayo Kwa bwana

  • @EnaraMfwango
    @EnaraMfwango 5 днів тому

    Amen na mung azid kukulind

  • @stewartmdebe4314
    @stewartmdebe4314 4 дні тому +1

    MUNGU AWE NAWE DAIMA UBARIKIWE SANA

  • @user-cr6fc7nt8k
    @user-cr6fc7nt8k 5 днів тому

    Walaaniwe kabsa mungu ashushe mafuriko wasombwe na waumini wake

  • @barakakilave1121
    @barakakilave1121 13 годин тому

    duuuuuuuuuu mungu atusaidiee sana lakin mtu mwenye akili zake anaingia na kutoka hapo hapo duuuuu mungu awape macho kuonaaa inasikitishaaa

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 13 годин тому

    Tubuni murejee maanake wageuke waache uovu wamrejee Mungu MKUU. Siyo kutubu ili ukose na kukosa ili utubu.. MUNGU hadhihakiwi.

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 4 дні тому

    Sema kweliiii mtumishi wa MUNGU Ev.Cassian ili tupone
    Saa imefika nayo Sasa ipo ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweliiii.Mungu ni roho wote wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweliiii
    Damu ya Yesu Kristo mwana wa MUNGU alie hai itufunike!!!

  • @LillianMunyaka
    @LillianMunyaka 5 днів тому

    Mungu akusaidie sana

  • @evodiajohn7991
    @evodiajohn7991 4 дні тому

    Mtumishi paschal hapooo nakuunga mkono kweli huyo ni shetani mzimu kabsaaaaa

  • @mickyboytz247
    @mickyboytz247 День тому

    AMINA 👏👏👏👏

  • @user-ed2jz5ym9u
    @user-ed2jz5ym9u 5 днів тому

    Ubarikiwe sana utalipwa usipo zimia moyo

  • @SuzyMuhando-yf8do
    @SuzyMuhando-yf8do 5 днів тому

    Mungu atusaiye jamani nimeumia Yesu tusaidiye

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 дні тому +1

    Hiii kali ila ibilisi anazidi kujionesha kabisa

  • @Edwin-tw3yj
    @Edwin-tw3yj 5 днів тому +1

    Uko sawa-sawa