BALAA TENA NGUMI ZACHAPWA KANISANI MGOGORO WA KANISA BAADA YA MCHUNGAJI KUFARIKI DIWANI AINGILIA KAT

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 сер 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 184

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 7 місяців тому +6

    Kanisa lijifunze kununua viwanja na pia wachungaji wajifunze kutenganisha Mali za familia na kanisa

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 7 місяців тому +6

    Wewe msofe ni diwani tu usitoe maelekezo,na unapojibu as if wewe ni askofu na wewe pia sio muumini wa pale,waachie wenyewe na usiseme anataka kuwa mchungaji

  • @williamsunday-yg2bz
    @williamsunday-yg2bz 7 місяців тому +8

    Kanisa sio mali ya familia....watoto wa wachungaji lazima muwe na ufahamu juu ya hilo.

  • @halimaiddy9168
    @halimaiddy9168 6 місяців тому +1

    Nawashauri familia piganieni zaidi mbingu hichindicho kitawafaa zaidi

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 місяців тому +2

    Mtu kwaooo naona Mama Angekua mchungaji kwa kuwa walikubaliana na mumewe kwa Imani yao kuanzisha kabisa. Wengine mulienda kununua V8 mashamba mabiashara migodini na hakuna anayeweza kuwaingilia na biashara zenuuuu

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 7 місяців тому +2

    Jengeeni basi hiro kaburi jamani Ebu mheshimuni basi huyo marehemu aliye lala hapo jamani tena mwanzilishi wa hiyo huduma arafu mmeshindwa hata kujengea hilo kaburi jamani

    • @user-nt6vy6qw6c
      @user-nt6vy6qw6c 6 місяців тому

      Unadhan ukijengea marehem ataamka huo nu upuuzi tu haina haja kujengea kanisa

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 місяців тому +1

    Kanisa la Mungu mkuu lieshimiwe. Vita kanisa ni vya nini?. Mungu mkuu awape hekima. Amen.

  • @honoratamafala6968
    @honoratamafala6968 7 місяців тому +1

    Hili swala angehojiwa Mchungaji Kiongozi wa sasa. Pia vurugu hutokea pale upande mmoja kutokutaka mazungumzo ya pamoja.

  • @user-uz7kv2nj9o
    @user-uz7kv2nj9o 6 місяців тому

    Kanisa sio mali ya mtu mwenye kanisa YESU

  • @user-pi7qy7wj3s
    @user-pi7qy7wj3s 5 місяців тому

    Mungu atusaidie dah

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 7 місяців тому +2

    Maokoto tatizo. Mama mchungaji na mwanae wana tamaa. 😂

  • @user-ch2qb3mm2x
    @user-ch2qb3mm2x 7 місяців тому +1

    Huyu moto wa mchungaji angalie asije pata mazala makubwa kwakuwa analeta shida kwenye ibada ya mungu.hili ninampa onyo nikiwa mbeya.

  • @clemencelisonga8261
    @clemencelisonga8261 7 місяців тому +3

    Nyinyi madiwani mnamatatizo sana

  • @neemajumanne458
    @neemajumanne458 7 місяців тому +1

    Baba,Au,Mtumishi,Awezi,kuacha,kupokelewa,kisa,fujo,za, Mtoto,,
    Mbinguni, hakuna, Mtoto,wala,baba,
    Kila,ulimi, utakili,na,kila,goti, litapigwa,
    Kutokona,na,Matendo, Yako,binafsi,
    ,Mwenywe,. Diwani,Apo,sasa,kasome,biblia,

  • @MusalMahamud-ye6on
    @MusalMahamud-ye6on 7 місяців тому +3

    Daaaaah tuliosoma cuba tumeelewa mtangazaji hujamuuliza diwan amekula sh ngapi ya mchungaji michael

    • @alexandernyambo7739
      @alexandernyambo7739 7 місяців тому +3

      Diwani analeta siasa Kanisani....
      Kanisani ni wito, sio uchaguzi wa kula eti alipata kula mbili.
      Yawezekana waliopiga kula ni machawi na malevi tu...
      Katiba ya EAGT, inasema kama Mch mwanzilishi akifariki, mke wake (Mama Mchungaji) ndiye anayebaki kuwa Mchungaji hapo kanisani....
      Na kama Hati za eneo la kanisa zimeandikwa jina la Mchungaji huyo... Kanisa la EAGT linapaswa kumrudishia Mchungaji au mama Mchungaji gharama za eneo hilo ili liwe eneo halali kwa Kanisa la EAGT..
      ★Mimi ni Mchungaji wa kanisa la EAGT Mwanza...
      Shida kubwa EAGT huwa haiwasaport Mchungaji, na hukimbilia umiliki pale wanapokufa na EAGT kuwatelekeza wajane hao bila msaada wakati walilala njaa ili kuwekeza kwenye huduma hiyo kwa jasho na damu zao...
      Hii sio haki, na Mungu hapendi unyanyasaji huo

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os 7 місяців тому +1

      ​@@alexandernyambo7739
      "Kula" ni kitu gani😊

    • @LucasKaik-vl3yk
      @LucasKaik-vl3yk 7 місяців тому +1

      Ndo tatizo la makanisa ya EAGT migogoro haiwez kuisha kwasababu sheria za kusajili makanisa ni mbovu, mtu anatumia garama kubwa sana kuanzisha kanisa anatumia pesa nyingi za kwake lkn mwisho wa siku ikitokea mgogoro kanisa linakuwa mali ya kanisa lakn aliepambana sana mpaka likawa kanisa kubwa ni mwanzilishi wa kanisa hilo

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 7 місяців тому +1

      Hakuna diwani kaanzishe na wewe kanisa lako kama unaweza

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 7 місяців тому +1

      Hakuna diwani kaanzishe na wewe kanisa lako kama unaweza

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 6 місяців тому

    Madiwani wengine hawajielewi, diwani sio kiongozi wa kiserikali bali mwakilishi wa wananchi,,! Diwani asimame kama mwakilishi sio mtendaji

  • @MusalMahamud-ye6on
    @MusalMahamud-ye6on 7 місяців тому +2

    Msofe bhna acha kudanganya asee kuna ruhusa ya alfajiri

  • @emmanuelpeter5686
    @emmanuelpeter5686 7 місяців тому +1

    Kabisa hilo lilimilikiwa na baba yake na Sasa haada ya kufariki ni Mali ya kijana wa marehe ndio maana hata yesu alifan vuugu kwenye nyumba ya kuabudia ya baba yake pia hata hati ni ya baba yake mwacheni kijana aprwe kabisa lake

    • @BarakaWaya
      @BarakaWaya 6 місяців тому

      Wewe umeiona hati,?

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp 7 місяців тому +1

    Ebrania 12:14 tafuteni Kwa bidii kuwa na Amani na watu wote na huo utakatifu ambao hapana mtu atakaye mwona Bwana asipokuwa nao naitwa Elia Hiluka Fgbf ulanga

    • @EliaHiluka-ep3tp
      @EliaHiluka-ep3tp 7 місяців тому

      Tafuteni Kwa bidii kuwa na Amani na watu wote ebrania 12:14

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 7 місяців тому +3

    makanisa mengi ya wanaojiita walokole ni mali za viongazi kwa ajili ya kupiga hela. Ndio maana kila mwanzilishi hujiita ametumwa na mungu na amempa upako wa kutenda miujiza ambayo ukweli ni miujiza feki. wanajiita wameokoka wameshinda dhambi, iweje watakatifu wapigane? Amkeni waumini, Miujiza feki itawaponza.

    • @user-nt6vy6qw6c
      @user-nt6vy6qw6c 6 місяців тому

      Ni mpango wa Shetan kutaka kuvuruga kanisa lakn sio vita Shetan anataka kuwafany watu waone kam kanisa ni sehem ya vita

    • @marionoti5760
      @marionoti5760 6 місяців тому

      @@user-nt6vy6qw6c shetani katoka wapi kwa walio okoka (watakatifu)? tukiwambia kuokoka ni mchakato wa maisha yote, wanatubishia, wao akija Yesu leo wako pamoja naye mawinguni.eti tusio sema neno kuokoka tutaangamizwa. basi ushuda wao walokole ni wa uwongo, na mwongo ni mali ya shetani. vinginevyo wengi wao ni vipofu na mashabiki wa makanisa ,Yesu ameachwa pembeni, shetani na mkia wake anaruka madhabahuni.

  • @user-ur6nd1ce9t
    @user-ur6nd1ce9t 7 місяців тому

    Michael dallaso mungu akuinue baada ya hiyo vita

  • @janekapinga6793
    @janekapinga6793 7 місяців тому +3

    Dah!!Ama kweli Dunia imekwisha

  • @muujizakasiwa4097
    @muujizakasiwa4097 7 місяців тому +3

    Mimi ni mtoto wa Mchungaji lakini najua kanisa siyo mali ya familia, hata kama baba angu alijenga..

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp 7 місяців тому +1

    Hiyo sio sahihi kuhamisha kaburi ni muhimu kuheshimu na kuthamini mchango wa mwasisi busara ni kumzuia muhusika asfanye fujo hapo

  • @EvanceShirima
    @EvanceShirima 7 місяців тому +3

    Huyo ni bangi tu jamani msameheni ni mvuta bangi tokea school, mtu mmoja hawezi leta vagi kwa watu milioni moja mtoto asinyimwe viboko vitamuokoa na kuzimu, apewe viboko 12 amwadidhie mkewe

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu 7 місяців тому +2

    Nakanisa sio mali ya familia asee

  • @PASTOR_SHITINDI
    @PASTOR_SHITINDI 7 місяців тому +4

    MLIKATAA USHAURI WA MBARIKIWA MWAKIPESILE
    MSIIZURUMU HIYO FAMILIA HUO NI ULISI WAO KIWAJA KINA JINA LA BABA YAO
    SADAKA NI SEHEMU YA SHUKURANI KIWAJA KAMA HAKINA HATI YA EAGT MMILIKI NI MWENYE HATI

    • @annaandrea2812
      @annaandrea2812 7 місяців тому

      Kama hawana huduma ya kichungaji wapewe tu Kama urithi?

    • @lisunguchiteji7835
      @lisunguchiteji7835 7 місяців тому

      kanisa ni mali ya Mungu mwenyewe

  • @dickisoniryoba3989
    @dickisoniryoba3989 6 місяців тому

    E A G T JIANGALIENI SANA .HAYAMAMBO YANAZIDI KUPUNGUZA IMANI ..YA WAUMINI WENU .KWA KASI KUBWA SANA ...MAANA MATUKIE YAMEKUWA MATUKIO. NDANI YA E A G T ..?

  • @dativavernance7111
    @dativavernance7111 7 місяців тому +1

    Diwan hapo hajaongea ukwel kabisaaa alafu asali hapo kanisan hayo kujuwaje mambo mzee aliyoaacha

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 7 місяців тому +2

    Mifumo ya uendeshaji wa makanisa ya kipetekoste ni mbaya maana kanisa huwa mali ya familia

    • @lisunguchiteji7835
      @lisunguchiteji7835 7 місяців тому

      si kweli,mifumo ya pentekoste churches iko smart sana mm naikubali.

    • @minaelnathanael1846
      @minaelnathanael1846 7 місяців тому

      Mbaya sana na waumini wanadhambi sugu. Makanisa wasio na ibada ya unglamorous haya

    • @ebenezerlawuo6667
      @ebenezerlawuo6667 7 місяців тому

      ​@@lisunguchiteji7835makanisa ya pentecostal ni hayana uongozi dhabiti, wanagombania zaka na sadaka

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 7 місяців тому +1

    Kanisa la EAGT siyo ministries yaani (huduma ya mtu binafsi) ni kanisa kamili hivyo haliwezi kumilikiwa na mtu binafsi. Familia za kichungaji leeni vyema familia zenu katika maadili mema.

    • @akimu-gl7zp
      @akimu-gl7zp 7 місяців тому

      Kumbe mko kimaslai. Sio kuhubili neno

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 7 місяців тому +1

    Sadaka

  • @user-nr6gp8wu1w
    @user-nr6gp8wu1w 6 місяців тому

    Duh mungu atusamehe na kutusaidia

  • @neemajumanne458
    @neemajumanne458 7 місяців тому

    EAGT,ni,shida,sana,kwa,sasa,Mungu,Awasaidie

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 6 місяців тому

    Watoto watumie busara hiyo ni kazi ya Mungu akili za kibinadam ndy zinatumika

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 місяців тому +3

    Hao siyo kama Roman Katoliki hizo ni dini za Wanabii wa uongo ndiyo maana ugomvi hauishi

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 7 місяців тому

      Katoliki yenyewe ilikofikia kubaya,huko tuendako litajigawa tu.

    • @lisunguchiteji7835
      @lisunguchiteji7835 7 місяців тому +2

      Roman Katoliki ndio manabii wa uongo,wanaabudu bikira maria

    • @panadomadola3064
      @panadomadola3064 7 місяців тому

      Hivi mnajua maana neno Kuabudu ? Inakuaje baadhi yenu mnathubutu kusema katoliki wanamuabudu Maria,wanamuabudu kivipi ?ongeleeni kitu chenye ukweli ndani yake. Acheni jirasi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 7 місяців тому

      Moja,Takatifu ,Katoliki na la Kitume.

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 7 місяців тому +1

    Wewe msoge usianze kujibia familia,unasema wamelob,unaenda mbali

  • @EvalineMolell
    @EvalineMolell 4 місяці тому

    Tumwogope mungo. Jamann

  • @noelypavementblocks6033
    @noelypavementblocks6033 7 місяців тому

    hahahaha!!!! inaweza ikamcheleweshea kufika mbinguni, daaa, baada ya udiwani, unahitaji elimu nyingine kuhusu mambo ya mungu.

  • @nelsonmgaya1490
    @nelsonmgaya1490 7 місяців тому

    Mwandishi wa Habari sikiliza vizuri maelezo ya Mwenyekiti!

  • @FrankJoash-ck3bm
    @FrankJoash-ck3bm 7 місяців тому +3

    Apo hatukati tamaa Mungu wetu ni mkuu sana kuliko mwanadamu

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 7 місяців тому +1

    Huyu jamaa nae ni hovyo eti atalinda hili kanisa Kwa Damu yake siyo ya Yesu na kama Hawa watoto wana Hati ya Eneo huwez kuwa shinda kesi ikienda mahakamani

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 7 місяців тому +2

    Mahakama ndiyo imuamuru asikanyage sii wewe

  • @neemajumanne458
    @neemajumanne458 7 місяців тому

    Kazi, IPO,kweli,kweli

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 7 місяців тому

    Duh! Migogoro mibaya… Jamaa anasema atalilinda kanisa kwa damu yake!

  • @dativavernance7111
    @dativavernance7111 7 місяців тому

    Diwan hayo mambo unasema uongoo kabisa ila mungu yupo na anajibù

  • @mwajumakuboja
    @mwajumakuboja 7 місяців тому

    Jambo Hilo ni utumishi unaweza kujenga kanisa na ukaamishwa kwenda kwingine hauwezi kunung,unika Wala kugombana,msimhuzunishe Roho mtakatifu msije mkapata laana.

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 7 місяців тому +1

    Hapo sasa tutawaona wenye akili.Angalia kanisa linawezaje kukaribishwa kwenye eneo la familia.Siyo hapo tu kuna maeneo mengi kuna migogoro kama hiyo.Hati zinasemaje?Diwani huyo hana busara za kiungozi,maana tayari ameangukia upande mmoja.Mwanaccm kweli kweli hataki kunyoosha maneno.

    • @philipomrumbi-sl1qe
      @philipomrumbi-sl1qe 7 місяців тому

      Diwani alishaongea na pande Zote Na Mara Kadha AmeshakulaAmeshakuja Kuabudu Hapa kanisani na kujionea hali ilivyo

    • @shangwegissu5398
      @shangwegissu5398 6 місяців тому

      Mrumbi naona unapambana Sana tetea baba kibarua chako mwaya, vurugu zinafanywa na sisi au nyie mnaowaleta Mwenyekiti mtendaji na diwani kuja na sungusungu kuchunga kanisa kwa Nini msiwe huru tu Kama Ni haki yenu si tunasubiri mzee wa siku muamuzi wa haki nyie tumieni mitandao na viongozi itawasaidia

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 місяців тому +2

    Sadaka ndio inatafutwa hapo

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 7 місяців тому

    Hivi Kwa Nini waumini wanakubali wananunua kiwanja Kwa jina la Mchunguji watoto na mama waambiwe kabisa kanisa sio Mali ya familia hata hivo utaratibu hauweki vizuri Kwa sababu makanisa mengi wachungaji yamenunuliwa kwa mfumo ambao waridhi hawueleweki ndo maana hayo yanatokea hata hivo walipaswa wasikatazwe kuabudu hapo wakatazwe kuleta fujo.

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu 7 місяців тому

    Hapa sasa Waangalie kuhusu wito mama mchungaji aache ujinga maana kondoo watatawanyika

  • @globalpeacesummitstv8825
    @globalpeacesummitstv8825 7 місяців тому +1

    Hati ya kiwanja inasoma nani? EAGT au SYLVESTER GISU! Kama inasoma Gisu Kanisa linunue Kiwanja Kingine mkajenge huko. Kama Hati inasoma EAGT basi Wekeni utaratibu wa Pension Scheme for Pastors waendelee na Maisha.

  • @abednego3876
    @abednego3876 7 місяців тому +4

    Huyu diwani ana kazingumu jmn 😅.

  • @daffagunda-rm3hj
    @daffagunda-rm3hj 7 місяців тому

    Haya makanisa yasio na Dira wala.mwelekeo.ndio shida yake,makanisa haya yaangaliwe sana,

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 місяців тому

    Kanisa ni mali ya waumini,michango yao,mke na mume walitoa milion 15 wakajenga kanisa,baadae walihamishwa wakakubali kuhama kwani walijua kanisa ni mali ya waumini japo wametoa mamilion ya pesa,huyo kijana ni mroho wa mali.

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 7 місяців тому

    Kanisa siyo mali ya familia. Hata kama huyo kijana amelelewa akaanzishe kanisa kwingine

  • @RachelReuben-hd4jv
    @RachelReuben-hd4jv 7 місяців тому +1

    Mimi mwana EAGT TABORA Diwani kumbuka kutunza Familia ya Mch ni moja ya nguzo ya EAGT washirika mpingini diwani mtoto wa mch akasome na mama ndio wa kwanza kumuheshimu na kusaidia na kujali wazo lake maana naye ametumika na mme wake inasikitisha saana kutelekeza familia😂😂😂

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 7 місяців тому +2

    Huyo kijana amelaaniwa😢

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 7 місяців тому

    VIJANA TUTAFUTE PESA TU...,KILA MAHALI NI PESA

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 7 місяців тому +1

    Afu huu ni uongo na kutaka kumkandamiza huyu mtoto wa mchungaji kama mtendaji aliona huyu mtoto anataka kufanya fujo kanisani kwanini hakuambia mgambo wake wamkamte huyu mtoto au atowe taarifa Police waje wafanye kazi yao yeye akachukuwa hatuwa ya kufanya kazi isiyo yake hapa kutakuwa na jambo fiche pia nyie watoto kama mnahati za kila kitu hamuwezi kudhurumiwa mahakama zipo na zitafanya kazi safi ila kama hamna hati imekula kwenu 😂😂😂

  • @maikonyondo-gr7gd
    @maikonyondo-gr7gd 7 місяців тому

    Shida moja makanisa haya ya kiroho wachungaji wanakaa mno hata kama mchungaji mbovutu mnakomaa nayetu mpaka anasema kanisa langu

  • @user13375
    @user13375 7 місяців тому

    Kanisa mmejichanganya wenyewe, kwanza kwanini mchungaji amakaa miaka mingi sehem moja,halafu kwanini mzike kanisani,

  • @RockusssySanka
    @RockusssySanka 7 місяців тому

    Wakristo tunatia aibu kwa kanIsa la Tanzania.
    Ukisoma Mt 16:18-19
    Yesu alianzisha Kanisa na kuweka Mamlaka Hai ya Kanisa.
    Tangu Petro Papa wa kwanza hadi sasa tunaye Papa Francis ambaye ni wa 265.
    Yesu hakuoa,na ndiyo maana kanIsa haliruhusu mtumishi wa kanIsa kuoa . Tunashuhudia magomvi katika makanisa yanayodhani yanaweza kuendesha kanIsa katika misingi ya Demokrasia.
    kanIsa linaongozwa katika misingi ya UTII peke yake.
    Kwa Waislamu mambo ya mtu kujianzishia Misikiti hakipo .
    Wakristo wa madhehebu tujitafakari kwa hilo.
    Kanisa alianzisha Yesu ,wengine ni utapeli mtupu.

  • @alexmachare6495
    @alexmachare6495 7 місяців тому

    Kwani walimzika usiku.Wewe kama kiongozi wa miaka 20 mbona hukuzuia?

  • @prosperreuben1724
    @prosperreuben1724 7 місяців тому +3

    Kwa tunaomjua diwani wetu tunajua nn kimeendelea hapo lkn ukweli mchingaji aliwekeza nguvu yake yote hapo kanisani kwakuuza malizake zote na pensheni yake ya kustaafu ndo alinunulia kiwanja lkn kanisa leo linataka kutelekeza familia sio poowah hata kdg

    • @minaelnathanael1846
      @minaelnathanael1846 7 місяців тому

      Basi halikuwa kanisa ni kitega uchumi cha familia. Na makanisa mengi ya EAGT ni mali za familia

    • @prosperreuben1724
      @prosperreuben1724 7 місяців тому

      1 Corinthians 9:14
      [14]Even so hath the Lord ordained that they which preach the gospel should live of the gospel.
      Na Bwana vivyo hivyo ameamuru kwamba wale waihubirio Injili wapate riziki kwa hiyo Injili.

    • @philipomrumbi-sl1qe
      @philipomrumbi-sl1qe 7 місяців тому

      Huo unaosema wewe ni uongo hujui chochote Mchungaji hakujenga kanisa peke yake alijenga kwa kushirikiana na washirika.kiinua mgongo chake aliwanunulia WATOTO wake viwanja na akanunua eneo kubwa AMBALO alijenga nyumba anayoishi mjane na WATOTO wake kwa hiyo usipotoshe ukwel.kama jambo hulijui ni Vyema kuuliza wanaofahamu.

    • @shangwegissu5398
      @shangwegissu5398 6 місяців тому

      We mrumbi ndo muongo Sasa huna unachikijua Kwanza wewe Ni mgeni Sana kanisani umekuja umekuta kanisa limeshajengwa acha upambe najua unatetea kibarua chako Cha ulinzi,,, songa mbele kutetea kibarua kisiote nyasi ila mwenye majibu ya haya Ni papa God only.

    • @shangwegissu5398
      @shangwegissu5398 6 місяців тому

      We mrumbi ndo muongo Sasa huna unachikijua Kwanza wewe Ni mgeni Sana kanisani umekuja umekuta kanisa limeshajengwa acha upambe najua unatetea kibarua chako Cha ulinzi,,, songa mbele kutetea kibarua kisiote nyasi ila mwenye majibu ya haya Ni papa God only.

  • @yeshrunmimo-ph6dx
    @yeshrunmimo-ph6dx 7 місяців тому

    Duu
    Yapo makanisa ambayo mchungaji kazikwa hapo
    Hiyo familia atawasaidia nani jamani😮😮😮😮

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 7 місяців тому

    Jamani kanisa siyo mali ya mtu binafsi,hizo tamaa za mali zitakawaponza,halafu hilo kanisa limechangiwa na waumini wenyewe siyo huyo mtoto wa mchungaji.
    Hivyo basi kanisa halina miliki ya hiyo family,inabidi linabaki chini ya himaya ya waumini.

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 7 місяців тому

    Binti wa kike unapata wapi ujasili wa kusimama mbele za watu wakiwa kwenye ibaada na kuanza kufoka hapo hata kama ana mme ajue kaoa kituko.

  • @samwelnnko7737
    @samwelnnko7737 7 місяців тому

    Mtendaji aliesema ameumizwa ni muongo sana yy mwenyewe alimumiza Mama kisaikolojia kwa kumharasi Mama akiwa Ibadani na hilo ni kosa kisheria maana unaleta taharuki kwa Mtu mzima na haikubaliki Mwananchi mwenzangu ungana nami kutokomeza uonevu dhidi ya kunyanyaswa kisaikolojia kwa kusema "Hii haikubaliki kabisa"
    Serikali naomba ilione hilo dhidi ya mtendaji ichukue hatua stahiki kupatikana kwa haki ya Mjane

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 7 місяців тому

    Vijana wetu uwezo wakufikiri umepotea kabisa. Sasa ukigombania kanisa si utakuwa na laana ni michango ya watu imejenfa kanisa siyo fedha ya baba yako

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 7 місяців тому

    Nyie ndo mnatukatisha tamaa, kanisa ni lini likaitiwa mtu? Imekuwa nyumba ya mtu yakuishi?

  • @neemajumanne458
    @neemajumanne458 7 місяців тому

    EAGT,Mungu,Alishawakimbia,
    Diwani,hongera, Sana
    Ss,Mwanza,Mkuu,wa,Wilaya,, kawa,Msajili,Wa,Makanisa,Ghafla,Aamuru,Waumini,Wafukuzwe,Aleta,Wake,
    Jamani, Ni,Hatari,
    Ila,diwani,Uko,Vizur

    • @manoahmahuna6426
      @manoahmahuna6426 7 місяців тому

      Nyie mmekosa vielelezo msisingizie mkuu wa wilaya mkuu wawilaya Yuko sawa

  • @clemencelisonga8261
    @clemencelisonga8261 7 місяців тому

    Uasi uko sana ktk uasi

  • @gilbertburasixbert2569
    @gilbertburasixbert2569 7 місяців тому

    Mmmh mmefikia hatua hiyo ???

  • @gilbertburasixbert2569
    @gilbertburasixbert2569 7 місяців тому

    Mbona story za upande moja

  • @marthandiliwe4565
    @marthandiliwe4565 7 місяців тому

    Kanisa, itafuteni Amani kwa gharama yoyote kumbukeni mjane na watoto Neno la Mungu linasemaje

    • @FredrickKagusa-wt9bw
      @FredrickKagusa-wt9bw 7 місяців тому

      anawpewa asilimia 40 ya sadaka + asilimia 40 ya zaka unatakaje mtumishi wa Mungu

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 7 місяців тому

    Kuandika siyo maana yake unamiliki,unadhamini tu

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 7 місяців тому

    Makanisa ya EAGT haya! yamejaa maovu kuliko makanisa yote nchini. Mtaa ninaoishi mtu wa kwanza kunitengenezea kashfa mbaya duniani na uongo wakutisha ni mama mchungaji na wapili ni msharika aliye karibu sana na mama mchungaji huyo wa EAGT fulani DAR. Wanafiki sana kundi hili. Hata ndugu yako akianza kujifanya anasali EAGT, ishi naye kwa kumuombea

    • @AnithaMgeni
      @AnithaMgeni 7 місяців тому

      Usiongee vibaya .mpendwa hakuna sehemu inatokosa wabaya .ongea ukimwogopa Mungu

    • @minaelnathanael1846
      @minaelnathanael1846 7 місяців тому

      @@AnithaMgeniTunazidiana EAGT 90%

  • @JOELMUNUO-oz3eq
    @JOELMUNUO-oz3eq 7 місяців тому +1

    😂

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 7 місяців тому

    No comment 😢

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 7 місяців тому

    CHOYO

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 7 місяців тому

    Mwandishi inaonekana uko upande wa hao uliowahoji

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 місяців тому

    Mahesabu ya SADAKA WANAKULA NANI😂

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 7 місяців тому

    Ninyi hamuyajuo hayabmakanisa

  • @sethkivuyo3342
    @sethkivuyo3342 7 місяців тому

    lakini wewe diwani c mkatoliki mbona kama unamaslay..

  • @user-ch2qb3mm2x
    @user-ch2qb3mm2x 7 місяців тому

    Kwaninia unang,Ang,ania kama unajua utaratibu.wewe moto wa marehu achatena acha

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 7 місяців тому

    Kama makanisani ndio kuna shida hivi huku mitaani itakuwaje?

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 місяців тому +1

    Ndo upuuzi wa familia za wachungaji wanasahau hizo zilikua sadaka za watu wao walikua hawana hata Mia mwisho wanataka makanisa yawe yao

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu 7 місяців тому

    Iyo ni mali ya kanisa aache ujinga

    • @minaelnathanael1846
      @minaelnathanael1846 7 місяців тому

      Mali ya mtu hii. Watafute kiwanja wajenge kanisa kama kwelu wao ni waumin

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 7 місяців тому

    Mandonga akamatwe

  • @MarryMarandu-uc9me
    @MarryMarandu-uc9me 7 місяців тому

    Mungu tusamehe kanisa la leo vita na kanisa n sawa na vita na Mungu mwenyew sandu tulia acha vita na Mungu acha kuleta laana kwenye familia yako

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 7 місяців тому +1

    Arusha Kuna nn?

  • @celinefrancis3651
    @celinefrancis3651 7 місяців тому

    Familia za wachungaji muelewe kabisa kanisa sio la familia kanisa ni la waumini kwa ajili ya uchaji wa Mungu acheni kabisa vurugu kinachotakiwa familia iangaliwe kama familia na mama mjane aangaliwe ila kanisa ni mahali pa Kuabudia hapawezi kua pa mtu mmoja au gamilia

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 7 місяців тому

    Huyo kijana anakula bangi.

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi 7 місяців тому +2

    Huyo mpiganaji anawezaje kuwa Kiongozi?
    Hafai aende kwa mabondia wenzake.

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 місяців тому +1

    Mtu kwaooo naona Mama Angekua mchungaji kwa kuwa walikubaliana na mumewe kwa Imani yao kuanzisha kabisa. Wengine mulienda kununua V8 mashamba mabiashara migodini na hakuna anayeweza kuwaingilia na biashara zenuuuu

    • @samwelnnko7737
      @samwelnnko7737 7 місяців тому +1

      Mheshimiwa Diwani ameongea uongo wa wazi kabisa eti mtendaji ameshambuliwa maeneo ya shingo mpk amelazwa na hakuna uthibitisho wa Daktar kwamba amwumizwa sehem za shingo na mahakamani hakusema hivyo kwamba ameumumizwa na kulazwa hospital huku akifatilia kesi kwa nguvu zake zote na tulikuwa hatuoni kuumizwa kwake maana alikuwa akiongea kwa sauti kubwa sana kule mahakamani watu wamuogope Mungu
      Mheshimiwa Diwani naomba utubu kwa Mungu na wananchi pia kwa kudanganya kupigia media Mtendaji ni mzima wa Afya na yy amuogope Mungu atubu kabla Moto wa Mungu haujawaka wao hawasali hapo walikuja kuanzisha na kumuonea Mama mjane na Familia yake

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 7 місяців тому

      Hati ya kiwanja wakiwa nayo tu biashara Hawa watoto wa mchungaji wanachukuwa jengo lao ila kama Baba Yao alikabidhi hati kwenye uongozi wa kanisa la EAGT imekula kwao.

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 7 місяців тому

    Kweli makanisa imekua maduka,imekua nisehem zangumi.

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 місяців тому

    Sadaka ndio inatafutwa hapo