Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 чер 2019
  • HAYA HAPA MATUKIO MATANO YALIYOTIKISA KATIKA MKUTANO WA JPM NA WAFANYABIASHARA
    June 7, 2019 ilikuwa ni siku ya tofauti sana kwa wafanyabiashara nchini ikiwa ni baada ya Rais Magufuli kuamua kukutana nao Iku,lu jijini DaR ES Salaam kwaajili yakufanya mazungumzo huku kipaumbele kikiwa ni kusikiliza kero zao.
    Kama ilivyokuwa Ada mazungumzo hayo yalikwenda salama salmini ndani ya masaa 9 Rais Jpm na baadhi ya wafanyabiashara walioziwakilisha Halmashauri zao walikuwa na wakati mzuri kweli kweli kwaajili yakuhakikisha mambo yanakwenda sawa katika biashara zao pamoja na maslahi ya nchi kwa upande wa kodi.
    MTAZAMAJI HAPA NIMEKUANDALIA MATUKIO MA5 YALIYOTIKISA KATIKA MKUTANO WA JPM NA WAFANYABIASHARA
    Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter:
    GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

КОМЕНТАРІ • 404

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 3 роки тому +281

    Like kwa tunao rudia kuangalia hotuba za JPM

    • @malimarobert8698
      @malimarobert8698 3 роки тому +2

      Na Mimi pia nagalia mikutano ya jpm

    • @messihenry9431
      @messihenry9431 3 роки тому +2

      Vlb

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 роки тому

      @@messihenry9431 magu mwendazake mjinga tu hao hao wanaishi kama malaika yeye atawashusha waishi kama mashetani.
      Sasa hapo anajiosha dikteta huyo marehemu.

    • @raymondjohn1876
      @raymondjohn1876 2 роки тому +3

      Magufuli nilaisi wakipekeeeee🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

    • @dianaelias517
      @dianaelias517 2 роки тому +1

      Milo usituletee chuki zako za kibwege,uliku mwiz,au ulitumbuliwa au vyeti fake

  • @RuttaJames-kh5jx
    @RuttaJames-kh5jx 5 місяців тому +23

    2024 wangapi tunaenderea kumucheki mzee

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 роки тому +50

    Sio siri nimpenda sana magu lakni allah amupenda zaidi😭😭

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 роки тому +2

      Mimi Rafiki Yangu Alinipigia Simu Usiku Kama saa 23:30 Ananiambia kwamba JPM wetu Mzalendo Amefariki dah roho iliniuma Sana to be Honest Nililia Sana , Durban Yaan Wacongoman na Waburudi wanatuheshimu Sana Kwa sababu Ya JPM Na vitu Vya Maendeleo anayoyafany a Hapa Nchini Kwetu Tanzania

    • @clinton3168
      @clinton3168 2 роки тому +1

      Nani kasema Alla alimoenda zaid

  • @tiffahdangote7548
    @tiffahdangote7548 2 роки тому +15

    Magufuli was a HEROO! Nimejifunza jambooo...kwa wale wanaotaka usawa...wa 50/50 wenzangu tunadanganyanya....mwanaume NI mwanaume TU....na hii inaoneshwa kwa haya yanayotendeka Sasa! Tuache kudai uhuru tusio na UWEZO nao wanawake wenzangu! Rest in peace magufuli!

  • @MoN_KaDO
    @MoN_KaDO 2 роки тому +35

    Wangapi tumerudia kumuangalia Hayati magufuli? R.I.P BABA

    • @shinguhunge9177
      @shinguhunge9177 Рік тому

      Selikar hii sichoki kuisikiliza yaani nahisi bado inaongoza

    • @user-ux3it4bh7b
      @user-ux3it4bh7b Місяць тому

      Sichokagi kumskiliza na kummombea.
      Mwenyezimungu akustirie mazambi yako huko ulipo🙏🏿
      Na akulindie familia yako.🙏🏿

  • @rajabmahungu9493
    @rajabmahungu9493 2 роки тому +8

    This is very fantastic ofcourse you was born to lead go baba is our daily song God paradise u

  • @emmabroy1209
    @emmabroy1209 3 роки тому +20

    Ama kweli MUNGU atabaki kuitwa MUNGU milele na milele raisi wangu nilikupenda sana na ndani ya miaka niliopo duniani nilikua nikitamani kuwa na raisi Kama huyu ambae anaipenda nchi na watu wake wote ila hatuna la kusema maana upendo wetu kwako imedhihilika Ila MUNGU kakupenda zaidi pumzika salama Nam Kama mwanaichi wa kawaida nilioko duniani nahidi kufuata nyayo zako za kumtegemea MUNGU pumzika salama Baba

  • @princessagy1552
    @princessagy1552 3 роки тому +24

    I'm really going to miss JPM..mchapa kazi

    • @paulondiek1345
      @paulondiek1345 3 роки тому +2

      I miss him already

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 роки тому

      @@paulondiek1345 Asante sana Ndugu Yangu comment Yako tuu lnaonyesha Tu wewe Mzalendo

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 років тому +15

    Hongera Singida oyeee uko straight sana

  • @restitutalucia9009
    @restitutalucia9009 2 роки тому +5

    Inaumiza sana kuangalia. President of my life eti.

  • @moshikilimanjaro5660
    @moshikilimanjaro5660 5 років тому +61

    " Mungu akulinde baba, na kukutunza ukweli utabaki kuwa kweli, Mungu ibaraki Tanzania.

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 років тому +59

    @MagufuliJP. Hongera Sana Kazi unayoifanya Rais Magufuli hajawahi kufanya yeyote kabla yako. Kura kwa hakika 95%✓✓✓★★★★★★★♥️🇹🇿🌻👏🏽 Magufuli Daima Juu Daima Oyeee ♥️🇹🇿🌻👍🏽👏🏽 UBaarikiwe Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mzalendo Mwadilifu Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie Daima na AkuLinde Daima na Milele ♥️

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 років тому +40

    Huyu mzee kaniacha hoi. Eti wanagawana kama wamechanga wow! Hii kali.

  • @godwin5884
    @godwin5884 2 роки тому +23

    Still watching R I P FATHER

  • @Mrpromotiongroup
    @Mrpromotiongroup 5 місяців тому +4

    2024 watching. Magufuli

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 років тому +32

    Dada nimeisikiliza yote yaani umesummerize vizuri sanaa

  • @timothysamweli8808
    @timothysamweli8808 3 роки тому +21

    Still watching in 2021 march, from U.K REST IN POWER JPM

  • @venantmatamba7302
    @venantmatamba7302 2 роки тому +6

    Aisee mungu alitupa zawadi kubwa ambayo tumeshindwa kuitumia. Asante kwa uongoz uliotukuka, nitakukumbuka daima baba.

  • @kabaiyukyasnider6797
    @kabaiyukyasnider6797 4 роки тому +12

    Uyu mzee Mahenge yuko innocent sana, 😂😂😂😂😂 kutoa rushwa tunatoa😂😂😂

  • @dickaugustino2214
    @dickaugustino2214 5 років тому +18

    Huyu rais the best in world!!

  • @angelthomas7290
    @angelthomas7290 5 років тому +12

    Mungu akulinde Rais wetu

  • @hamadnganzo7761
    @hamadnganzo7761 5 років тому +24

    Tanzania ilichelewa sana kumpata Rais wa aina hii.Wafujaji watamkoma Msukuma huyu.

  • @mr.remedy2128
    @mr.remedy2128 5 років тому +19

    JPM RESPECT

  • @mudykisangi8926
    @mudykisangi8926 5 років тому +20

    Raisi anajitahidi kuwa krb na wananchi/ wafanyabiashara lkn wasaidizi wake kenge KBS.
    Hongera mh. Lukuvi uko vzr

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 3 роки тому +7

    Kwa kweli kila ninapo isikia sauti ya mwamba wetu jpm machozi yananitoka tu hadi leo hii amejaa kwenye ufaham wangu haaaa RIp baba nitakukumbuka daima.

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 5 років тому +12

    Mh Raisi bora ukutane na hawa wafanya biashara mara kwa Mara, hii ni zaidi ya bunge hawa wanatoa ya moyoni

  • @lameckkamana122
    @lameckkamana122 5 років тому +11

    Mwadishi taarifa yako umeipanga vizuri sana.

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 років тому +16

    Asante san raisi wetu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe

  • @Mr_Ben255
    @Mr_Ben255 5 років тому +7

    Vijana wa mejieza vizuri mheshimiwa lazama kuna kitu nazan ameji funza kitu na Tanzania inaweza ikabadilika Sana hongera

  • @felicianluvanda9672
    @felicianluvanda9672 5 років тому +5

    Lukuvi hakika ni mtu mmoja afanyaye kazi nzuri mno....wengine baadhi nishida kwa mzee wetu.....msukuma ni balaaa nawenzio hao wanajikanyaga kanyaga tu hoja hazipo na mzee anataka changamoto wao ni hoi daaaaaaaaa! Kwakweli mzee pressure lazima aje apate

    • @lindameibaku939
      @lindameibaku939 9 місяців тому

      Naumia Sana mpaka Sasa. Jpm ulikuwa mtetezi wa watanzani. Mungu akulaze mahali pema peponi

  • @olemollel5565
    @olemollel5565 5 років тому +6

    Umefanya kazi nzuri yakufupisha endelea utafikambali

  • @mosesedwardmagembe9657
    @mosesedwardmagembe9657 3 роки тому +8

    Baba! Tutakukumbuka daima.

  • @mutalemwagabriel2277
    @mutalemwagabriel2277 5 років тому +32

    Koti limetoboka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani Magufuli huyu jamani, natamani ungetuongoza mpaka mwisho wa uhai wako babaa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @edigamwagala7463
    @edigamwagala7463 5 років тому +32

    Beautiful ones are born in Tz. Magufuli is beautful one

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 5 років тому +3

      Ediga Mwagala handsome not beautiful

    • @mawazomawazo959
      @mawazomawazo959 5 років тому +2

      Wabunge hawana jipya,zaidi yavijembe. Wafanyabishara oyee.

    • @fredchuwa8445
      @fredchuwa8445 2 роки тому +1

      TUTA KUKUMBUKA SANA JPM

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 2 роки тому +19

    The true leader of Africa, R.I.P JPM 😪😭

  • @kibiritikisuj228
    @kibiritikisuj228 5 років тому +7

    Mungu Akubariki Mh.JPM

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 років тому +8

    Jamani watanzania mlipata rais kwa hili 2020 jpm hana mpinzani . Watanzania tutamuchagua asilimia 100. We mungu mbaliki rais wetu.

  • @nshomamayungu2326
    @nshomamayungu2326 5 років тому +11

    Jamani mungu akupe maisha marefu sana baba yetu magufuri

  • @sadickathuman8068
    @sadickathuman8068 3 роки тому +12

    Kama unangali 2021 sema r l p

  • @ernestsaguti6690
    @ernestsaguti6690 5 років тому +12

    Hapa ndio nimesikia ukweli kutoka moyoni. Tukienda hivi nchi hii itaenda.

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 4 роки тому +6

    Yaani baba wa mbea alinimaliza ni msema kweli zaidi ya masai 🤣🤣🤣

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 5 років тому +4

    Safi sana Mheshimiwa Rais.

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 років тому +39

    Hahaha. Huyu magu wakati mwingine huniacha hoi

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 5 років тому +6

    huyu wa mbeya kiboko. asante kwaukweli wako wote. barikiwa

  • @gracegaspal1167
    @gracegaspal1167 2 роки тому +4

    Samia hakia ya Mungu mikutano yake sijui km atapata watu wengi hivi.

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 років тому +11

    Watanzania wenzangu tuzidi kuwaombea viongozi wetu wote kwa mwenyez MUNGU kwa imani zetu

  • @kdpretoria780
    @kdpretoria780 3 роки тому +3

    Hatutokuja kupata raisi kama huyu jamani

  • @emmanuelbonifas2804
    @emmanuelbonifas2804 2 роки тому +1

    Mungu akusamehe sana magufuri history yako ni vigumu sana kufutika ulikuwa rais wa mfano africa nzima na hata tokea wa aina yako

  • @alexanderpius1992
    @alexanderpius1992 3 роки тому +12

    R.I.P JPM hakika tutakukumbuka

  • @solanuskomba82
    @solanuskomba82 5 років тому +2

    global tv very nice👊

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 років тому +25

    Napenda hoja za msukuma . Akitoa hoja hadi raha. Yuko vizuri yani hoja zake ziko nkoki.

    • @raymondjohn1876
      @raymondjohn1876 2 роки тому +1

      Nikama yukohai daaaaaa inauma saana😭😭😭😭😭😭

  • @priscajoseph7178
    @priscajoseph7178 5 років тому +16

    Jamani Naskia alitoa no zake mwenye nazo Naomba plz

  • @gerardyoung1707
    @gerardyoung1707 4 роки тому +4

    Magu nampenda sana

  • @dastansimpanzye5558
    @dastansimpanzye5558 4 роки тому +3

    Daa kazi kweli

  • @nicklassshaypanga8794
    @nicklassshaypanga8794 2 роки тому +3

    Rais wanguuuuu wa nguvuuuuu💪💪💪💪

  • @edwardmdee5669
    @edwardmdee5669 3 роки тому +3

    I love you Daddy mh John Joseph pombe magufuri

  • @vedastusukovzrmrnaykiyoger5978
    @vedastusukovzrmrnaykiyoger5978 5 років тому +6

    utasikia mengi sana, yapo mengi huku chini

  • @King_186
    @King_186 5 років тому +5

    safi sana

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 років тому +16

    Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bofu

  • @mwilesimbeye9486
    @mwilesimbeye9486 5 років тому +43

    T. R. A wafanyakazi wengi ni wachaga na kama unavyojua wachaga wanavyopenda hela wao wanapata nyingi na serikali inapata kidogo.
    Mh Rais atumbue wakubwa wa T. R. A kodi ikiwa halali inalipika ila kodi ikiwa nusu ya mtaji ni ngumu kulipa.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 5 років тому +4

      Nakumbuka wakati tumaliza chuo,ile harakati za kutafuta kazi....kuna baadhi ya sehem ukiomba kazi unaambiwa kabisa km we sio mchaga usipoteze muda!
      Tra,crdb bank nk....
      Tena kuna mdada alikuwa na certificate anatuambia kuanzia babu yake wote wapo tra

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 5 років тому

      her jamani

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 5 років тому +1

      Ubaguzi plus wivu

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 5 років тому

      @@christinewomanoffaith5479 kweli?

    • @santrumlay3952
      @santrumlay3952 5 років тому +1

      Wivu tuu

  • @muebraniamuebrania145
    @muebraniamuebrania145 3 роки тому +3

    Du rais anavaa kitu limechanika Mungu akutunze na kukuhifadhi.

  • @bakarimlagilo5060
    @bakarimlagilo5060 5 років тому +3

    Nampenda sana rais Wangu Magufuri

  • @Saintman1966
    @Saintman1966 5 років тому +8

    Dada umetishaaaaa san

  • @raziambwana2145
    @raziambwana2145 5 років тому +3

    Safi Rais wangu MTU akiamuwa kuleta wawekezaji akapiga chake nakodi ikalipa kunaubaya gn sinipesa za wachina hizo wairudishe Tu hati hiyo .

  • @masawemilton2558
    @masawemilton2558 3 роки тому +5

    R. I. P
    Jembe umelala pumzika kwa amani
    Sauti yako bado tunaisikia masikioni mwetu,we ni mwambaaaa

  • @jumamaganga5064
    @jumamaganga5064 5 років тому +9

    ety kwa miez minne viwanda 10 😁😁😁hata kama sijui viwanda ila niache2 bora tu hata ulinyimwa

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 років тому +15

    Napenda jpm hadi raha.jpm majariwa ni kiboko yao. Hawana mchezo . Wako siliasi . Watanzania tuwaombee waishi milele.

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 5 років тому +45

    Huyu ndii rais kudadeki mtanyooka tu

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому +11

    Mh rais tre Wametufiris reo wafanya Biashara tunarubaruba tu mhe rais

  • @salehejongo2799
    @salehejongo2799 3 роки тому +2

    Jpm noma yupo vzr sana god bless always and Ccm hoyeeeeee.

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 3 роки тому +3

    We miss you president

  • @user-wr6lc3jz6g
    @user-wr6lc3jz6g 3 роки тому +7

    Mungu amlaze mahali pema peponi😭😭

  • @salehemkomwa4400
    @salehemkomwa4400 5 років тому +37

    tuongoze miaka 30 mambo yatanyooka

    • @DrFatmaKhanPanAfrikan
      @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 років тому +8

      Pamoja sana!!!👍🏽👍🏽👍🏽 Magufuli Daima Oyeee ♥️🇹🇿🌻

    • @elimishanyamoga1301
      @elimishanyamoga1301 5 років тому

      Kapimwe akili ww unayeshinikiza mtu kuvunja katiba

    • @machaineomahe6697
      @machaineomahe6697 5 років тому +1

      kwa sheria ipi we kuku???

    • @stellapeter1261
      @stellapeter1261 5 років тому +3

      Bora rais wetu uendelee kuwaita na kuongea na wananchi wako kuliko kuendelea kutengemea bunge letu ambalo ki ukweli unajionea yanayoendelea!!!!

    • @richardmuhina1284
      @richardmuhina1284 5 років тому +1

      Ukweli mh rais tunaumia sana na hawa jamaa wa tra

  • @eliyawilliammagesamarwa8413
    @eliyawilliammagesamarwa8413 5 років тому +6

    Hongera tata jpm

  • @kevinpelomgeni1445
    @kevinpelomgeni1445 3 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🔥🔥Magu hoyeeee❤️🔥🔥🔥👌👌✌️✌️

  • @Ramadhanimsingwa
    @Ramadhanimsingwa 3 роки тому +4

    Raisi huyu nilimpenda sana heshima ilirudi katika taasisi za serikali na tulilipwa stahiki Mungu akupe kila la kheri

  • @bakarihassankassim413
    @bakarihassankassim413 3 місяці тому +1

    4yrs ago and am still here.. RIP mzee

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 3 роки тому +2

    Yaaaani Rais wetu mpendwa Dr.JPM tutakukumbuka daima utendaji wako ulikuwa very unique, Pumzika kwa Amani baba yetu

  • @rogathengowo1099
    @rogathengowo1099 5 років тому +7

    Wanawake tupige kazi jaman naona suti na mabichwa makubwa tuu hapo

  • @kalidushimathias7236
    @kalidushimathias7236 5 років тому +3

    Nice

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 років тому +4

    Magufuli Oyeeeee

  • @BrunoKarangali
    @BrunoKarangali 2 місяці тому

    Mungu akupokee jpm kipenzi

  • @gabrielmbunda5731
    @gabrielmbunda5731 5 років тому +3

    Nakupongeza sana mh.Raisi unajenga Tanzania mpya tuliyo ingoja kwa muda mrefu sana

  • @jumaabdalah5705
    @jumaabdalah5705 5 років тому +3

    Good good huyu ndiye Rais

  • @sonymusa5333
    @sonymusa5333 5 років тому +3

    Nampenda raisi

  • @euniceoguri1284
    @euniceoguri1284 3 роки тому +18

    The great leader he was,rip JPM the best leader I have ever come across....hope others will follow your footsteps.Uongozi wako ulikuwa ni wa kipekee I have not come across like you.

  • @nabiimwanjela3960
    @nabiimwanjela3960 2 роки тому +3

    Maisha ndani ya Yesu

  • @neemamateso4422
    @neemamateso4422 5 років тому +1

    Dah!!! hatari sana

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 5 років тому +7

    Haki yanani watu wanatililika.

  • @gablielmuhenya3325
    @gablielmuhenya3325 5 років тому +21

    Huyu ndie Rais tulie muomba kwa Mungu ongoza miaka 40 Baba ili tupate Tanzania mpya

    • @zakiarashed144
      @zakiarashed144 3 роки тому +2

      Inauma sana😭😭😭😭

    • @milomohamed7201
      @milomohamed7201 3 роки тому

      @@zakiarashed144 iume nini wewe kwa huyo dikteta mkuu sukuma gang? Mwache moto wa milele umuangazie

  • @felistamashinga123
    @felistamashinga123 5 років тому +6

    Ha ha haaaaa,Rais wangu et chana apo hii lazim niitoe😆😆😆😆😆

  • @gmavoice1893
    @gmavoice1893 3 роки тому +1

    Mweshimiwa Rais napia Baba yetu ,Tuna amini unachofanya, Ila pia ili swala la mkuwa wilaya kuchapa raia naomba ulifuatilie atakama mtukakosa Sheria ichukuliwe,nasiyo Raia aliye pewa madaraka kuanza kuadhibu wananchi na hii inaleta udhalilishaji wawana nchi atakama kakosea nidhahiri sana kumchukulia sheria zilizo wekwa,naomba Muheshimiwa uangalie ili.watu wachukuliwe sheria zilizowekwa siyo kuchapa watu na KU Post mitandaoni Tuna kuamini Sana Rais wetu,Mungu akulinde.

  • @user-gr9kx8hz6t
    @user-gr9kx8hz6t 3 місяці тому

    Chema hakidumu mwenyez mungu mlaze mahali pema mtetez wetu

  • @joharihessen1143
    @joharihessen1143 5 років тому +20

    Hahahaaaaaaaa ety mnagawana km vile ulichanga nao.

  • @gm7045
    @gm7045 4 роки тому +1

    Interesting

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 років тому +5

    Jamani mstukumbushe mtangazaji kibonde

  • @martiniphilipo5229
    @martiniphilipo5229 3 місяці тому

    Am really interested with your spearch

  • @patrickmgoya130
    @patrickmgoya130 5 років тому +6

    Nampenda huyu mzeee san jamaniii

    • @user-jk5ir4ke3z
      @user-jk5ir4ke3z 2 роки тому +1

      Hivi viongozi wa leo hawaini hizi klip wajifunze

  • @chachalaurent8819
    @chachalaurent8819 5 років тому +5

    hahahaha mzeee wetu

  • @lucasalexander631
    @lucasalexander631 5 років тому +4

    ndio mzee baba...lekebisha nchi