Asante kwa utumishi uliotukuka,,, Asante kwa kutufanya tuwe jasiri,,, Asante kwa kutufanya tuwe watu wa kujiamini,,, Asante kwa kutufanya tuwe watu wa kutembea kifua mbele,,, Go father go!
The whole Kenyans we support your program Sir God bless Tanzanian na sir God ailaze roho ya mzee wetu JPM mahali pema peponi. Tutamkumbuka milele JPM.🙏🙏🙏🚶
thank u so much our brothers and sisters in Kenya. Tunawaombea. we stand with you Kenya so the fear of God can rest on your leaders as well. it shall be well my brother lets trust HIM. God loves Kenya dearly
Amewaamusha waafrika. Majirani zetu wameuonaa mwanga na wamepata viongozi wanaothubutu kukemea rushwa. Zambia na Malawi ni wakati wenu. Nyota ya Tanzania inendelea kufifia. Wanyonge kilio chao kimerudi. Mapato ya serikali na mauzo ya madini yaliwekwa wazi kila mwezi. Sasa kimya kimetanda. Nini kinaendelea???Mungu aliipendelea Tanzania akaipa madini, maji, watu, ardhi na Magufuli. Wow. Kufanya kazi na wanafiki ni kazi!
Mungu amrehemu huyu shujaa aliyetuacha mayatima mapema pasina matarajio. Kweli baba yetu mchapa kazi na mwenye dhamira safi kwa waafrika wote duniani kote. Tuko pamoja milele daima dawamu.
Kwab kweli watanzania mushukuru MUngu aliwabariki , huyo alikuwa shujaa. Watanzania angalieni sisi wakongomani ambao wazungu wameivamia congo ,!tuko wapi hata kwa kuangalia wazungu watu wanakufa kila siku.
Tujitahidi kuwafundisha watot wetu historia halisi ya africa. Tuwaunganishie dots jinsi wanyojaji na wasaliti wanavyoikwamisha miaka na miaka. Hii itarahisisha kuikombia africa. Yanayofanyika congo yanatia hasira sanaa.
Sijui kama tutapata rais mzalendo Kama huyu maana kutoka kwa nyerere wamepita ma rais wengi mpaka kumpata magufuli sasa sijui itachukua muda gani kumpata raisi wa aina hiyo atakae jitoa sadaka kwaajili ya masikini😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 natamani afufuke nife mimi
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
Hakika MUNGU hatuhurumie pale tulipo kosa na atupe viongozi wenye upendo na TANZANIA Kama alivyokuwa hayati MAGUFULI aliependa Tanzania ndiyo maana aliyafanya mambo mazuri bila kujali kifo,
Yangu yapo moyoni na naikosa furaha nikikumbuka hatupo nae tena ,bila unafiki ,Magufuli umeondoka lakini bado unaishi miyoyoni mwetu ,God tunakuomba tukumbuke tena ,tupe chema zaidi ya kile kilichoondoka ,wewe ni Mungu wa ahadi ,ameondoka Magufuli tupatie mwngine ,tupooze machungu yetu Amina .I love my country God walk with us wewe ndo mtoa kila kitu tusaidie Tanzania
La hasha, tupambane kufanya kazi. Kila mtu ana safari yake. huwezi kufa na mtu pamoja. Safari bado, tuliobaki tufanye kazi. Huzuni na majonzi sana kwetu Watanzania.
Hakika vita vya uchumi vimemlalisha Magufuli, Mama suluhu yuwafaa Kufuata nyayo hizo za Magufuli. In our African history JPM you'll remain history . Rest with our ancestors papa JPM
Honestly I have nothing much to say about the departed African Head of state.. But I'll just refer to the words of the African poet Obert Dube who eulogised the late Maghufuli in the best way any icon can be described.. RIP JPJM
Kupata watu kama Magufuli ni kazi kubwa sana wengi tunaowapata ni waoga kutoa maamuzi magum ukiona aibu kumtoa rafiki yako kama ana boronga yeye alikuwa hajali ,hapa kazi tu hatutomsahau kamwe hata kwenye hotuba za viongozi waliopo hata kama Hawa mzungumzii kwa kina zaidi lakini Magufuli yuko mioyoni mwa wanyonge wa nchi hii rip jpm tutakukumbuka daima
Roho ingekuwa inauzwa dukani, hakika Magufuli asingetoa hela yake kuinunua, tungenunua haraka tumpelekee.
Achauongo
@@aishaarusha894 tulia dawa ikuingie
@@onesmojustice2348 haloooo upokwenye hasara 🤣
@@aishaarusha894 we uko kwenye uhaloooo
@@aishaarusha894 we uko kwenye uhaloooo😂😂😂
Asante kwa utumishi uliotukuka,,, Asante kwa kutufanya tuwe jasiri,,, Asante kwa kutufanya tuwe watu wa kujiamini,,, Asante kwa kutufanya tuwe watu wa kutembea kifua mbele,,, Go father go!
Hakika wewe ulikuwa kipenzi cha Afrika Mungu akupumzishe milele
Mbingu ardhi ipasuke hakuna atakae kivaa kiatu Cha magufuli r I p jpm
Baba atakumbukwa vizazi na vizazi na vizazi.Ameenda salama mungu ampumshe pema peponi milele amen.
Yani atamwezi haujafika watu wanakuchafua inauma sana😭😭😭😭😭
Acha tu lkn malipo ni duniani..
@@liliansige6073 mafisadi mama anakumbatia mabepali mfumko wa Bei Kila kukicha
Magufuli used his God given gift to open a way for Tanzania. God is surely great. We surely thank God for remembering us.
U
🤐
@@filbartochaula6777 p
@@filbartochaula6777 p
Yani stachoka kusikiliza hotubazake magufuli zinaishi ,zina uhaindaniyake, zinanipafaraja ,zinauafrikahalisi,
Mungu aendelee kumpumsisha Salam , r.i.p dr makufuli 🇹🇿😭😭😭
Raha ya milele umpe Ee Bwana shujaa wetu na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwako kwa amani amina😭😭🙏🙏
Lala kwa amani baba tutakukukmbuka sana🙏🙏😭😭😭😭
Tumshukuru mungu na tuendelee kuijenga inchi yetu we must honour our Magufulication of Africa
Tanzania yetu Tanzania yangu🇹🇿🤲🤲🤲🙏🙏
Very professional chanel,,, Asante Global TV,,,,
Ajafikisha miaka sita basi Miaka 5 na mienzi 5
Hatotokea kama Magufuli! Inauma sana Rip kiongozi wetu
Kwakweli baba hatuto kusahau kamwe
Asante kwa kufungua vichwa vyetu.
The whole Kenyans we support your program Sir God bless Tanzanian na sir God ailaze roho ya mzee wetu JPM mahali pema peponi. Tutamkumbuka milele JPM.🙏🙏🙏🚶
thank u so much our brothers and sisters in Kenya. Tunawaombea. we stand with you Kenya so the fear of God can rest on your leaders as well. it shall be well my brother lets trust HIM. God loves Kenya dearly
Of course
He was the greatest Man of our time. Apumzike kwa Amani.
The greatest leader in our generation without question
Well said ! Hatutamsahau milele🙏😢
Together forever
Baba wagekua wanarudi ugekuja kujionea tunacho fanyiwe na watu ulo tuachi
Amewaamusha waafrika. Majirani zetu wameuonaa mwanga na wamepata viongozi wanaothubutu kukemea rushwa. Zambia na Malawi ni wakati wenu. Nyota ya Tanzania inendelea kufifia. Wanyonge kilio chao kimerudi. Mapato ya serikali na mauzo ya madini yaliwekwa wazi kila mwezi. Sasa kimya kimetanda. Nini kinaendelea???Mungu aliipendelea Tanzania akaipa madini, maji, watu, ardhi na Magufuli. Wow. Kufanya kazi na wanafiki ni kazi!
Mungu amrehemu huyu shujaa aliyetuacha mayatima mapema pasina matarajio. Kweli baba yetu mchapa kazi na mwenye dhamira safi kwa waafrika wote duniani kote. Tuko pamoja milele daima dawamu.
Hakika tutamkumbuka
PUMZIKA KWA AMANI
HAYATI.DKT:JOHN POMBE MAGUFULI
Kwab kweli watanzania mushukuru MUngu aliwabariki , huyo alikuwa shujaa. Watanzania angalieni sisi wakongomani ambao wazungu wameivamia congo ,!tuko wapi hata kwa kuangalia wazungu watu wanakufa kila siku.
Congo..Somalia ...tunawaombea 🇹🇿🇹🇿
Tujitahidi kuwafundisha watot wetu historia halisi ya africa. Tuwaunganishie dots jinsi wanyojaji na wasaliti wanavyoikwamisha miaka na miaka. Hii itarahisisha kuikombia africa. Yanayofanyika congo yanatia hasira sanaa.
Mungu ni mwema. Anaskikia maombi siku zote tusichoke kumuomba Mungu
Huzuni ndani ya moyo wangu haitaisha!!!
Namkumbuka JPM kwa kweli!
Am missing u alot!!!!
😭😭😭
Sijui kama tutapata rais mzalendo Kama huyu maana kutoka kwa nyerere wamepita ma rais wengi mpaka kumpata magufuli sasa sijui itachukua muda gani kumpata raisi wa aina hiyo atakae jitoa sadaka kwaajili ya masikini😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 natamani afufuke nife mimi
Ulaleee salam kiongozi wetu mungu akulinde siku zotee piaa tunashukuru kwa vingi ulivyo tuachiaa tuna vikumbukaa na tunaishii navyoo baba yet,
R.I.P Magufuli ilifikia hatua hadi nikakufuru kwakukwita Mungu,ila mungu anisamehe tena xana,yote ni kwaajili ya mchang mkbwa kwa maskin.
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
Yes
R.I.P JPM
Exactly Regend JPM,.. Unanswered Cries
Mtakatifu Magufuli nitakukumbuka daima milele katika maisha yangu
Ni wazo langu toka nuru ilipopote
Hatotokea kama maguful 😭 Allah mpe punziko jema
Asitokee kwa kweli
@@aishaarusha894 kwa nini wasema asitokee?
Hata ikitokea si kwa kizazi chetu..piga picha toka enzi za Baba wa taifa..
Kamwe hatokuja kutoke kamwe kama magufuri,ametupatia funzo la maisha watu tunatakiwa tuishivp sinto kusahau jpm,
Asante sana mzee baba.. mi namwita John wa Tanzania, amejitolea muhanga ..tutakupenda magufuli
MAGUFULI FOREVER 😭😭😭
RIP our jpm
@@emmanuelmakomango6577 leo
Pumzika kwa amani Rais wetu
Mwamba umetuacha wakiwa kweli kweli tuombe mwenyenzi mungu akuludishe uje uone maisha ya watanzania na Africa imepoa kama Haina viongonzi
Nimelia Sana sana kuliko nilipo Lia ck ya msiba wake magufuli kwel umeondka? Hapana baba rud tunalia machoz ayaishi 😭😥😥😥😥so sad R.i.p baba
Thanks PLO lumumba,
Hakika MUNGU hatuhurumie pale tulipo kosa na atupe viongozi wenye upendo na TANZANIA Kama alivyokuwa hayati MAGUFULI aliependa Tanzania ndiyo maana aliyafanya mambo mazuri bila kujali kifo,
Naumia mm kama mtanzania kiukwel 🇹🇿 kwisha habari pengne gwajima atalikomboa taifa maana you can kill a man but you can't the idea
Tabasamu lake tu jamani🇹🇿😭
Kaka Denis we acha2 ama kweli chema akidumu
Pole Rais wangu,buriani magufuli wangu ipo siku,
Mungu sasa tunacho kipimo cha uongozi. JPM ulitupa ili awe mfano na kielelezo cha nchi yetu tz, africa na dunia
Likonde I love your voice.piga like ya
Likonde.
Big up brother.
Baba umeacha historia ambayo hakuna raisi atakayekuja kuiacha tutakukumbuka daima
Kweli kabisa
Yangu yapo moyoni na naikosa furaha nikikumbuka hatupo nae tena ,bila unafiki ,Magufuli umeondoka lakini bado unaishi miyoyoni mwetu ,God tunakuomba tukumbuke tena ,tupe chema zaidi ya kile kilichoondoka ,wewe ni Mungu wa ahadi ,ameondoka Magufuli tupatie mwngine ,tupooze machungu yetu Amina .I love my country God walk with us wewe ndo mtoa kila kitu tusaidie Tanzania
La hasha, tupambane kufanya kazi. Kila mtu ana safari yake. huwezi kufa na mtu pamoja. Safari bado, tuliobaki tufanye kazi. Huzuni na majonzi sana kwetu Watanzania.
Magufuli ame uliwa haiwezekani kwamba amekufa wame mpa sumu watu wale waliwo karibu naye ndio wamemua.
Iyo kweli
Naamini
Mwendo ni ule ule, na kasi ni ile ile,,, Pamoja na Rais Mama Samia, tutafika salama,,, Mungu ibariki Tz,,, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Acha kutudanganya hakuna kitu hapo
Hakika vita vya uchumi vimemlalisha Magufuli, Mama suluhu yuwafaa Kufuata nyayo hizo za Magufuli. In our African history JPM you'll remain history . Rest with our ancestors papa JPM
Kwanini Mzee baba hujaongea pale siku mwisho yakumuaga Jeshi maana Kikwete ilongea pumba .
Pumba kabisa...,kumbe hata wewe uliona? Alikuwa anajaribu kujifanya hata yeye alifanyakazi.
Kumbe watanzania mnaonaee Safi sana ndugu zangu
Mwafrika na uchungu wa Afrika yake, naiona sura ya lumumba, ni roho yake inazungumza, pole Afrika kwa kupoteza lulu yetu wenyewe yenye thamani kubwa
Lumumba reincarnation 💯😁
In fact Magufuli was very tough in his leadership. Other leaders should borrow his leaf
Rip baba yetu magufuri
Nilikupenda sana raisi wangu
We need magulification in the UK. RIP Dr Magulfi and deepest sympathy to your family.from a Greek Cypriot living in the UK.
KAKA UNAJUA UNACHOKIFANYA, NKUKUBALI SANA.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Honestly I have nothing much to say about the departed African Head of state.. But I'll just refer to the words of the African poet Obert Dube who eulogised the late Maghufuli in the best way any icon can be described..
RIP JPJM
Iiiiiiiiiiiiiiiiiii8iii
Iiii
Huyu Mzee JPM ametuachia SoMo kubwa sana na ha Kuna wa kufanana nae kwa hawa wa loliopo Sasa serikalini
Nishakumisi baba yangu magufuri😥
Hakika daah
😭😭😭😭 R.I.P. magufuri
Continue to rest in peace my dearest president jpm who sacrifice his life for Tanzanian people,forever in my heart I love u ❤️🕊️.
It
Mmm kwa kweri🇹🇿 tz hatuna la kusema
Ahaaaa haki nimefurahi sana ukweli mtamu bwana daaa 254 nitamkumbuka Mangufulification Africa 🌍🌍🌍🌍🌍👍👍👍👍👍👍👍🤣🤣🤣👌👌👌👌👌👌
In peace, magufulification of Africa.
Baba kipenzi changu nakumiss kila napotazama hotuba zako natoa machozi
Nilikumiss sana bro
Ninilijuwa utakuja na kitu Jiwe.😒
Nilikua naisubir hii sana
I miss you jpm
Mm bado naamini atarudi hivii
Asante Kwa simurizi nzuri
Baba wewe ni. Mfalme wakweli tutakukumbuka milele hata Congo tunakulia sana
Asante kwa mada yako nzuri sana, nimepenta mno tafakali yako. Huyu alikuwa ni icon ya Tanzania
Mungu amhifazi Pena Millele daima
God has a Plan and i am in Pain, deep Pain but i pray for you uncle Magufuli you'll Live very long in my heart and mind but rest in peace BULL DOZER.
Amen
Asanteni sana kwa hii makala
2ta mkumbuka kwa mengi sana kipenzi chetu jpm
Alhamdulillah.
Shujaa ya Africa kwa kweli tutakukumbuka!!
Ameondoka shujaa wetu
Tutakukubuka sanaa 😭😭😭 kiongozi wetu 😭😭😭
Thank you I JUST CRIED..
Ahsante Dennis mpagaze
Thanks professor patrick Lumumba
Hii sauti ya kiongozi Alie imara kwenye Madaraka
We will remember jpm forever
Mungu akuwekepema peponi baba
Ntakukumbuka daima raisi wangu namwomba MUNGU Raisi wa sasa afate nyayo zako
Hatutapata kama mangufuli 😭💔😭💔😭💔😭💔💔😭
Hamna Kama Magufuri
Hakuna kabisaaa
Dah JPM mwanga wa milele ukuangazie
A great leader Indeed. Never to be forgotten in this world. Forever I will cherish his WORDS and remember his good deeds.
Wale ambao hawakutaka kumwelewa UNCLE MAGUFULI basi MUNGU anawaona
Eee Mungu tunakuomba uzidi kumlinda Rais wetu mpendwa Samia Sulu Hasan ili aweze kupambana na majukum mazito ya kuongoza inchi
Mzee ungesikia Sieji anayo yafanya huku, kuna uwezekano miradi yote ikasimama
Hiyo nikweli miradi sidhani km itakamilika
@@shidabundala8984 Wataikamilisha kwa aibu
InshAllah kheri, mwendo ni ule ule
Kiongozi wetu jamani shujaa wetu wa nguvu umetuachia huzuni mpaka sasa nchi yetu ina huzuni sana hatotokea rais kama jpm
Hakika tutakukumbuka milele dk magufili
Thanks sir.
Magufuli✊forever and forever
Mungu akulinde ulipo mtumishi wa wanyonge tuta kuenzi milele
Magufuli bado yupo,,, hajafa,,, twende 2025, magufuli ataibuka tena
Ehee mungu uyu baba tumempoteza kweli???😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏.heeeeeeeeeeeee! Jamani sitamsahau ktk maisha yangu mpaka pale na Mimi nitakapo mfata🙏🙏
Kupata watu kama Magufuli ni kazi kubwa sana wengi tunaowapata ni waoga kutoa maamuzi magum ukiona aibu kumtoa rafiki yako kama ana boronga yeye alikuwa hajali ,hapa kazi tu hatutomsahau kamwe hata kwenye hotuba za viongozi waliopo hata kama Hawa mzungumzii kwa kina zaidi lakini Magufuli yuko mioyoni mwa wanyonge wa nchi hii rip jpm tutakukumbuka daima
Ni rais pekee aliyekonga nyoyo za Watanzania 😭😭😭😭
Aritusaidia Sana mungu mpokee
Baba okoa Tz yako
Apumzike kwa amani Hayati Dr John Pombe Magufuli