RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA MARADI WA UJENZI WA MACHINJIO VINGUNGUTI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 роки тому +199

    Mliokuja hapa kuangalia umuhimu wa magufuli baada ya kummiss kwa Kaz nzur alizokuwa anazifanya naomba 2juane!!

  • @frankjohnfrank6490
    @frankjohnfrank6490 2 роки тому +22

    Mungu akutangurie mheshimiwa rais john pombe kwa kazi uliyoifanya mpaka ulipo ishia pongenz kwako raisi wa wanyonge

  • @Rhymesandtunes
    @Rhymesandtunes 2 роки тому +25

    What a president...Ndugu zetu waTanzania walipoteza a good leader

  • @shidabundala8984
    @shidabundala8984 4 роки тому +35

    Watanzania tunabahati kubwa sana kupata rais mchapa kazi kama unampenda magufuri like hapa 🤝

  • @Puxladen
    @Puxladen 4 роки тому +84

    piga like Kwa magufuli wakee

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 роки тому +13

    Jembe letu, bulldozer,l letu tingatinga letu 💪. Tumemiss sana tindua tindua yako. Hukuwa na mchezo kwenye kazi. Ilikuwa 'hapa kazi tu' 💪
    tunakukumbuka JPM wetu❤

  • @aishajami6826
    @aishajami6826 3 роки тому +32

    Bodyguards wa Magufuli walikua na kazi, all the time to be watchful! 👍

  • @zuwenakazoka55
    @zuwenakazoka55 2 роки тому +17

    Ewe Mwenyezi Mungu mpe pumziko la amani 😭😭😭😭🇹🇿💔🙏🏽 Rais Magufuli 😭😭😭🇹🇿🙏🏽💔

  • @placidoponera
    @placidoponera 3 роки тому +26

    Pumzka Kwa Amani Rais wetu JOHN MAGUFULI 🇹🇿 kwel tutakumbuka daima milele

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 4 роки тому +73

    Kama na ww unaingalia hii SHOW YA KIBABE in June 2020,, gonga like

  • @m.zawadikenya4797
    @m.zawadikenya4797 2 роки тому +9

    How I wish Kenya tumpate raisi kama magufuli 🙏🙏👌✌️🎯

  • @safiasaleh4447
    @safiasaleh4447 4 роки тому +22

    Mungu akupe maisha mazuri Rais wetu Magufuli na sisi Wazanzibar mwaka 2020 Mungu atujaalie tupate Rais Kama we we . Aaamin

  • @KasindiPapi
    @KasindiPapi 3 роки тому +79

    The man after my heart, I will always love you no matter what I will remember you day and night, I will always learn from you because you touched to what I wanted to do to my people. You were like Moses in the Bible, May the almighty God the father keep using you and put you in charge of all angels in heaven as you once spoke dear my King and my President JPM.

  • @emmanuelbrownofficialke.-n7942
    @emmanuelbrownofficialke.-n7942 2 роки тому +9

    Hakika Tanzania walimpoteza kiongozi wa busara sana.

  • @michndekei3435
    @michndekei3435 2 роки тому +49

    This guy was a true born Leader....may his soul continue Resting in peace 😭

  • @jaclecia3279
    @jaclecia3279 3 роки тому +6

    Dah RIP our best president

  • @ruthogungo794
    @ruthogungo794 5 років тому +76

    This Man is atrue leader and he also loves God..a man of the people, fighting for the weak,,a president if his kind..he's so humble..God bless you

  • @asaajuma9961
    @asaajuma9961 3 роки тому +25

    Hii siku ya tukio nilikuepo r I p magufuli tutakukumbuka sana.

  • @johnnjoroge8798
    @johnnjoroge8798 4 роки тому +50

    Am a Kenyan but Tanzania you have a great president. I wish Kenya we had someone great in work and devoted like this .

    • @chikukisusi6933
      @chikukisusi6933 4 роки тому

      Malitine

    • @faroukmutyaba5665
      @faroukmutyaba5665 4 роки тому

      Sasa sie waganda tusemeje jamani raisi wetu mmmh kadumu sana paka leo hatujajua ataenda lini

    • @paulondiek1345
      @paulondiek1345 4 роки тому

      Me too

    • @jojothepolyglot1866
      @jojothepolyglot1866 2 роки тому +1

      Well, when you have time to vote you vote on tribal line mpaka lini? Kenya will never get such a leader. EVER! This year we have elections and people are voting emotions

    • @alexandermutune6131
      @alexandermutune6131 2 роки тому

      Really?

  • @edwardkhan2629
    @edwardkhan2629 2 роки тому +14

    Always rest in power, lovely president in Africa 😭😭😭😭

  • @kingbobzllema7789
    @kingbobzllema7789 5 років тому +36

    the real definition of president

  • @mosesmuthee5196
    @mosesmuthee5196 5 років тому +20

    am from Kenya and Tanzanians are the luckiest people on planet earth.mungu anbariki magufuli na atushukishie magufuliwe wetu.

  • @TPKLiah
    @TPKLiah 4 роки тому +23

    I love Tanzanian, and President John Pombe Magufuli...
    May God bless you
    From South Sudan ✌✌✌

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 3 роки тому +22

    So painful to lose this heroic leader.

  • @ramadhanisalum8321
    @ramadhanisalum8321 5 років тому +70

    Kuna mambo ambayo sisi tuliozaliwa miaka ya 90 hatujawahi kuyaona wala kuyasoma..na ndo kwanza tunayaona katika uongozi..Keep it up Mr. President

  • @hassanmchomvu703
    @hassanmchomvu703 3 роки тому +23

    Rest in paradise Mr President tutakukumbuka daima baba yetu magufuli chumaa kimeanguka 😥

  • @nicksonjohansen9546
    @nicksonjohansen9546 4 роки тому +15

    Best President ever..
    Mungu aendelee kukutunza kwa afya njema na kukutumia kwa kazi yake njema..
    🙏🏿

  • @gervasjustn2842
    @gervasjustn2842 5 років тому +61

    Kama umemuona Makonda huku akiwa mpole zaidi gonga like.

  • @hamidriday2352
    @hamidriday2352 5 років тому +38

    Watanzania muna bahati kubwa kumpata huyu kiongozi Rais Magufuli

  • @ocholamalachi1552
    @ocholamalachi1552 5 років тому +61

    i love Magufuli style of leadership, though am a Kenyan. Kazi tu

  • @mugangajethrom7624
    @mugangajethrom7624 3 роки тому +34

    A true and real leader i have ever heard. Rest in peace mwishimua.

  • @abdullahal-mahruqi9610
    @abdullahal-mahruqi9610 2 роки тому +7

    He was a man of honesty and loved fast progress. He was a strong spokesman for the weak. Exceptional type of leadership

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 роки тому +38

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

  • @agrippalalusha1521
    @agrippalalusha1521 5 років тому +16

    We need kind of president like him no corruption in the country God bless Mr president...

  • @mussakiula7481
    @mussakiula7481 4 роки тому +26

    Kama aliemuona mpokonya mike aweke like hapa😂

  • @alfredmacjohn5254
    @alfredmacjohn5254 2 роки тому +15

    Huyu mtu alitufaa sana kwa mustakabali wa utaifa wetu na heshima yetu duniani.

  • @williamlimbya6505
    @williamlimbya6505 2 роки тому +8

    Daaah Mungu akulaze mahali pema peponi.amen

  • @vaudagutu800
    @vaudagutu800 4 роки тому +21

    Am from Kenya but l like president Magufuli he understands a common man,God bless him more

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 4 роки тому +12

    Dkt. Magu i wish we kenyans could have such leadership

  • @khadijahusseinsalim6881
    @khadijahusseinsalim6881 4 роки тому +16

    Am a Kenyan, I wish we cloud hve someone

  • @bbc5043
    @bbc5043 2 роки тому +6

    Great African patriot we in Kenya love this great Tanzanian president just like we loved Nyerere

  • @mabruckjuma8711
    @mabruckjuma8711 3 роки тому +12

    RIP LEGEND JOHN POMBE JOSEPH MGUFULI MR PRISEDENT

  • @fisiproduction2448
    @fisiproduction2448 2 роки тому +2

    wetu wana swaga hela.........He was a true leader in Africa

  • @katemachanda7035
    @katemachanda7035 3 роки тому +24

    I will always love you Mr. President.
    R.I.P!

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 2 роки тому +4

    Huyu alikuwa sahihi kwenye hii nchi kwa kweli mungu tunanyulie kiongozi mwenye maoni kama JPM

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 роки тому +13

    Mioyo yetu imekataa kukubali kuwa haupo na sisi tena leo hii. Ni ngumu kumeza lakini ndiyo hali halisi. continue to R.I.P mpendwa wetu

  • @mubirurogers3162
    @mubirurogers3162 2 роки тому +9

    I have seen one man like magufuli. He was the chief administrative officer (CAO) of kamuli District in Uganda. He is Andrew mawejje the current CAO of kakumiro District in West Uganda. He is an exceptional public servant and he was magufuli's size. Am sure currently, he is the best and most efficient public servant Uganda has. If I can be picked for president in Uganda I believe things can change in a fort night

  • @franknolelwa7495
    @franknolelwa7495 5 років тому +68

    kama kuna aliyesikia raisi akisema hamna ulichonishukru wew endelea tu 😂😂😂😂😂gonga like twende

  • @symokhara
    @symokhara 5 років тому +19

    Watching from 🇰🇪. Rais Kenyatta tafadhali kazi inafanyika vizuri Sana Tz... Wafisadi wakomeshe hapa kwetu.

  • @Rikko_Ke
    @Rikko_Ke 3 роки тому +36

    Magufuli was a great leader whom most leaders should learn from his leadership skills..May God rest his soul in eternal peace 😭

  • @adenihalisi4218
    @adenihalisi4218 5 років тому +36

    Kwa huu uongozi wa magufuli kweli nasema kuna watu wataota mvi kabla ya umri! Mtakomaa sisi wananchi tunafurahia!

  • @doreenandrew3063
    @doreenandrew3063 4 роки тому +9

    🤣🤣🤣🤣 watu kutetemeka na kujiumauma nimecheka kweli..... Baba Magufuli hapa kazi tu...ubarikiwe sana Mungu akubariki mara mia zaidi 🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ellyayieko357
    @ellyayieko357 3 роки тому +8

    The President actually wanted the best for his country. Now l support him even if the Western powers said he didn't know Kizungu

    • @TheLordismyshepherd...
      @TheLordismyshepherd... 3 роки тому +3

      So what if he doesn't?
      I am always left speechless when I see an African mocking another Aftican for not knowing English. It isn't our native so why praising it so much? How about them learning our own's?
      It is sad how these colonizers still takes over the minds of our people!

  • @mouigniahmed263
    @mouigniahmed263 5 років тому +9

    Merci mon Président vous êtes le meilleur en Afrique Rais Magufuli asante sana MUNGU akubariki yakuhifadhi na wenye roho mbaa

  • @jay9414
    @jay9414 3 роки тому +9

    Wow wow this president was a down to earth roamer and hard working one.

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 5 років тому +49

    Ukisikia baharia asiyetaka mchezo ndo huyo mzeeyaa 😁🤔😎😃

  • @penzamatirio7812
    @penzamatirio7812 3 роки тому +9

    i pray that magufulli will return to power forever

  • @hamedal-shruiqi2123
    @hamedal-shruiqi2123 5 років тому +15

    Eeee Kenya yetu ichukue mfano kwahuyu raisi wa tz Kenya unyanyasaji2 mungu akubariki magufuli🙏

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 5 років тому +29

    The man himself .. Viva viva Magufuli

  • @sisdell1779
    @sisdell1779 3 роки тому +11

    Kizuri hakidumu jamani pumzika baba😭

  • @Galgani333
    @Galgani333 4 роки тому +6

    nakuelewa sana raisi.kazi njema unafanya.Mungu akubariki

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 5 років тому +14

    Wataelewa tu Mh.Rais umetisha mbayaaa

  • @robertbudodi
    @robertbudodi 5 років тому +21

    Hapo neno hapa kazi tu nimelielewa

  • @pasquallungwa3517
    @pasquallungwa3517 5 років тому +125

    Tujuane wote tunaoweza chana bati kwa mkono

  • @Tiffany2-Jr
    @Tiffany2-Jr 5 років тому +5

    Ila sikuizi machinjio imekuwa nakausafi sijaona minzi kama miaka ya nyuma kama kunamwenzangu ameona Tonga like.. Hakuna haja yakunipongeza we endelea unachotaka kuniambia .. Engeener somaaaa iyoooo👌👏

  • @pacifiqueheri1767
    @pacifiqueheri1767 4 роки тому +9

    Raïs mwenye hekima kabisa,j'aime le président Magufuli

  • @oduorpeter3385
    @oduorpeter3385 2 роки тому +2

    He was the real president,wachana na hizi zetu za Kenya!

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 5 років тому +12

    Rais wetu ana kazi ngumu sana! Waliopewa dhamana wengi hawajitambui, bado wanaenda kwa mazoea tu.

  • @hamidhaji6649
    @hamidhaji6649 4 роки тому +8

    Raisi wetu ....ww ni raisi wa historia .tena unafaa kuigwa kutokana na uongozi wako mzuri ......mungu akubariki ...

  • @Addi_Teacha509
    @Addi_Teacha509 4 роки тому +8

    As much i admire the president, as much i admire the military gentleman in the Green.. he is very serious

  • @nessa4899
    @nessa4899 4 роки тому +10

    Magufuli Mungu akutunze Akupe afya njema ulinzi wa mbinguni uwe pamoja nawe day and night. In Jesus might name.

  • @SVitaSrII
    @SVitaSrII 3 роки тому +15

    Outstanding Leadership for the people. Setting an example of true dialogue with the people you lead

  • @khalfanibobewe4278
    @khalfanibobewe4278 4 роки тому +4

    Huyu jamaa utampenda kama hujaingia kwenye anga zake ila ukijichanganya ukaingia kwenye anga zake utakubali shoo

  • @silentreuben6424
    @silentreuben6424 4 роки тому +11

    True Leadership starts from the top. GOD BLESS PRESIDENT JOHN MAGUFULI. This is not just pan africanism at its best, but a kick in the butt to ALL who are entrusted by the people to lead them. Let us know who we vote for, by their works. Action speaks louder than words.

  • @abysadalah1132
    @abysadalah1132 4 роки тому +12

    Very touchable and for this may Allah gives you mr president long healthy life

  • @jennipherray7001
    @jennipherray7001 3 роки тому +8

    Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi Ameeen 🙏😭

    • @wilsongeorge1353
      @wilsongeorge1353 2 роки тому

      Umelala baba duuu naumia sna mwenyezi mungu akupunzishe Azabu za kabulini

  • @geofreyjerus9882
    @geofreyjerus9882 5 років тому +17

    🙌🙌Daaaah hii kali duuuh
    HAPA KAZI TU💪

  • @godfridahmukosha9895
    @godfridahmukosha9895 4 роки тому +25

    I wish there were English subtitles. He is obviously making good waves.

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 5 років тому +35

    Heshima sana!!! EXTRA ORDINARY MAN OF TANZANIA!!!

  • @zubaidatawsila6617
    @zubaidatawsila6617 4 роки тому +7

    What a nice president if I was living in Tanzania I could give u my vote for the next year

  • @josephbarasa5076
    @josephbarasa5076 3 роки тому +14

    Rest in peace JPM other leaders you borrow a leaf 🍂 from JPM .We shall miss you

    • @josephbarasa5076
      @josephbarasa5076 3 роки тому

      Kwanzake Viongozi wa kenya , tunaitaji uongozi bora kama wa JPM

  • @joanachristopher5384
    @joanachristopher5384 3 роки тому +31

    1:53am 20/3/2021 nina review hii video kwa uchungu sanaaa,natamani hata wakati ungesimama kidogo ...baba arudi tena walahu tuu Siku moja tuu!! Rest In peace CHAMPION

    • @angelicagulake3361
      @angelicagulake3361 3 роки тому +2

      HILI NI TISHIO HAWANGEVUMILIA ANOTHER 4YRS, PANGEKUWA HAPATOSHIIII TANZANIA INGEMEREMETA KAMA KIOOOO OOO WIVU NI MMBAYA SAANAA UNAUAAA NA KUTEKETEZA NA KUPOTEZA KUANGAMIZAAA😭😭😭😭😭😭WATANZANIA SISIII UUUIII

    • @skolarmomba5075
      @skolarmomba5075 3 роки тому +3

      sio wewe tu. mimi pia na review yan ni huzun tuu dah Magufuri. was very special

    • @erickmidomsodock9533
      @erickmidomsodock9533 3 роки тому

      16:06 pm may 4 2021 bado Nina Imani nawew Baba ipo siku utarud bado ujafa nkataa mpka Leo 😢😢😢😢😢

  • @kiokomuteti9144
    @kiokomuteti9144 2 роки тому +4

    The PRESIDENT OF AFRICA, Father of Pan-Africanism.

  • @nkurunzizasamuel8739
    @nkurunzizasamuel8739 4 роки тому +5

    Mimi myarwanda lakini Rais Magufuri nampongeza sana kwanjinsi navyotatua matatizo ya wananchi nakuwatumbua wajanja hao. Wasiojua wajibu wao!!!! Hongera sana!!!

  • @DeogratiusSoteri
    @DeogratiusSoteri 5 місяців тому +1

    Mungu akupe mwanga wa milele upumzike kwa amani mahara pema peponi 🙏💯

  • @nelsonakach6281
    @nelsonakach6281 4 роки тому +6

    Very great man of development

  • @fredrickwanyaga8153
    @fredrickwanyaga8153 2 роки тому +2

    Best president ever

  • @jumahedrick3949
    @jumahedrick3949 3 роки тому +10

    This guy was a patriot. Rip

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 5 років тому +11

    Goals oriented PRESIDENT!

    • @marcellinbisimwa8908
      @marcellinbisimwa8908 4 роки тому

      Mungu uliye umba mbingu na dunia tupe RDC raisi kama huu anaye jua itaji za RAHIYA

  • @kpatrick8468
    @kpatrick8468 5 років тому +58

    Huyu Rais wa karne MUNGU AKUBARIKI SANA TENA SANA

    • @issamasanja7874
      @issamasanja7874 4 роки тому

      BABA WW UNAFAA UWEP MADARAKAN HAD CK YA KIYAMA

  • @jumaakida2709
    @jumaakida2709 5 років тому +32

    Utamzui vipi Jpm kwa kasi hii? Tuwe wakweli Magufuli ni wapekee Tanzania.

    • @mkovzrmuscat7110
      @mkovzrmuscat7110 5 років тому

      Mm ni mtanzania ni wakuingia na kutoka lakin magufuli rais kafanya kazi nzuri sana mwenyezi Mungu ampe miaka mingi duniani baba wa wanyonge

  • @mathewsmigudi4172
    @mathewsmigudi4172 3 роки тому +12

    may my tears reach the Lord

  • @aminaismail1054
    @aminaismail1054 2 роки тому +4

    I love u magufuli, and I miss u daima kwenye moyo wangu

  • @romeoromeo4125
    @romeoromeo4125 5 років тому +31

    Duh apa Mkuu umetisha yaan umeingia kikomandoo! Hongera JPM

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 5 років тому +22

    Leo Makonda ukae vizuri. Usije ukatumbuliwa.

  • @phariankhamayi494
    @phariankhamayi494 3 роки тому +6

    Kilichopendeza hapa duniani hata mbinguni kimependeza .u were God send ...RIP daddy

  • @kiyumbijustine3434
    @kiyumbijustine3434 3 місяці тому +1

    Nimerudi kuangalia September 2024 Endelea kupumizika hayati JPM

  • @kamaumaina5315
    @kamaumaina5315 5 років тому +16

    I love Magufuli..... Long live Magufuli and God bless Magufuli.

  • @nyangimarwa3448
    @nyangimarwa3448 3 роки тому +5

    Pumzika kwa Amani Baba, Mzalendo wetu JPM Daima tutakukumbuka Milele na Milele tumekumiss sana JPM hakika hatutakusahau kwa mema uliyotutendea

    • @saramakungu2020
      @saramakungu2020 3 роки тому

      Hakika tumemmc xana jpm wetu duh apumzike kwa aman.

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 3 роки тому +6

    PUMZIKA KWA AMANI Baba yangu Rais wetu mpendwa Dr.JPM umeifanyia mengi nchi hii kila wakati nasikiliza hotuba zako nafuatilia utendaji wako,baba ulikuwa Mzalendo wa kweli na mwenye uchungu na nchi yako, ulikuwa mfuatiliaji,ila tunakushukuru umetuachia mama yetu Rais Samia Suluhu.

    • @frankyrenny4496
      @frankyrenny4496 2 роки тому +1

      Wewe ni kama mimi nduguyangu yani tunamumia ndudu yangu.

    • @RespikRudovick
      @RespikRudovick Рік тому

      @@frankyrenny4496 mungu in mwema