TOP 16: MAMBO ALIYOFANYA MAGUFULI NDANI YA MIAKA MINNE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лис 2019
  • TOP 16: MAMBO ALIYOFANYA MAGUFULI NDANI YA MIAKA MINNE
    Makala maalum iliyobeba mambo 16 aliyofanya Rais Magufuli, ndani ya miaka minne aliyokaa madarakani.
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY: ua-cam.com/users/playlist?list...
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:ua-cam.com/users/playlist?list...
    GLOBAL RADIO TV:ua-cam.com/users/playlist?list...
    EXCLUSIVE INTERVIEW:ua-cam.com/users/playlist?li

КОМЕНТАРІ • 768

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 4 роки тому +112

    Mheshimiwa rais Magufuli 👏🏻Kheri na tumbo lililokuzaa🙏🏻. Wewe ni binadamu adimu, Mungu anatupenda Tanzania, tunamshukuru kwa kutupatia mtu mwadilifu, chapa kazi, mzalendo, asiyechumia tumbo lake bali kuwanufaisha watanzania wote, Mungu aliyekuweka akupe afya njema, amani na maisha marefu.

    • @zulfahhussein505
      @zulfahhussein505 4 роки тому +3

      Aaaamiiiin

    • @ogenylaurent7961
      @ogenylaurent7961 4 роки тому +1

      Allahumma Rabbi

    • @kuhangazena4316
      @kuhangazena4316 4 роки тому +1

      Katika watu wajinga na wapumbavu ni sisi Watanzania. Walipa kodi wa nchi hii ni Watanzania wote wakiwemo CCM, CHADEMA, ACT, CUF, CHAUMA, TLP, NCCR na wengine wengi. Wakusanya kodi wa nchi hii ni CCM na Magufuli. Hivyo kama walivyo Marais wengine waliopita wa chama cha CCM Magufuli ndie aliweza kuwa na matumizi mazuri sana ya kodi zetu japokuwa hayako wazi. Tatizo la Magufuli anafanya kazi kwa kutumia kodi za Watanzania lakini balaa alilo nalo ni kuwagawa Watanzania. Nchi imekuwa na watu wa Mwalimu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Kinana, Nape, Membe na wengineo kwa masifa kuwa kabadili nchi. Kinachobadili nchi ya Tanzania sio Magufuli ni kodi zetu tunazolipa na fedha zingine kuporwa kwa nguvu na Serekali kwa visingizio vya Ufisadi. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakifanya kazi zao kwa jasho tokea uhuru na wakapata fedha na utajiri. Hawajawahi kufanya kazi Serekalini lakini kwa ujinga wetu tunawagawa Watanzania kwa kujua au kutokujua kwa visingizio eti huyu ni CCM na huyu ni CHADEMA matokeo yake hata maadui wamepata nafasi ya kushangilia wakiona tunavyonyanyasana. Ukiwaona viongozi wabovu kama Makonda, Polepole, Musiba wanabaki kuwasema wenzao kama vile sio Watanzania. Katika maisha yangu sijawahi kusikia hotuba za Wapinzani wakipiga vita kuwa na reli au Ndege. Watu huwa wanatoa ushauri na ukikataliwa haiwezi kuwa maadui wala haizuii kufanya kazi. Ikikamatwa Ndege wanasema CHADEMA au ACT wakijua kabisa Deni la Taifa ni Trlioni 52. Mimi nitaendelea kuwapiga vita watu wanaochonganisha viongozi huku wakijua kila Mtanzania ni mchangiaji. Huku kuigawa nchi wakati tukijua Katiba tulitunga yenye vyama vingi kutatuongezea maadui. Tanzania tunao uhuru lakini amani hatuna ila tuna utulivu tu kwa sababu watu wenye Elimu kama Polepole wanapotosha Watanzania. Sasa hivi nchi hii tunao maadui wengi sana baada ya sisi wenyewe kujikuta tunaishi kwa Makundi.

    • @kuhangazena4316
      @kuhangazena4316 4 роки тому

      Sasa nikwambieni nyie Mazuzu katika Rais mjinga namba moja ni Magufuli anaeua wapiga kura wake. Akiua upinzani anawarudia nyie Shit. Hakuna nchi inaendelea bila upinzani. Kule Arusha nimeona amewapa watu vitambulisho vya kupanga vitu chini mpaka Watalii wameukimbia ule mji. Nani anakuja kutumia fedha zake kwenye nchi haiheshimu wageni. Kupita barabarani mpaka upishane na Nyanya, Baiskeli, Pikipiki, Magari, Mkokoteni, Bajaji nk. Tanzania inaongozwa na chama cha watu Washenzi tu hasa huyo Magufuli. Inategemea upate Mtalii VIP wakati nchi inaongozwa na watu washenzi.

    • @simonmichael894
      @simonmichael894 4 роки тому +6

      @KUHANGA_ZENA UKIJITAMBUA TUTAKUELEWA LAKINI USIPOJITAMBUA KATIKA HOJA ZAKO USITEGEMEE KUNA MTU ATAKUELEWA HAPA NA POROJO ZAKO

  • @bahatimanegabe1777
    @bahatimanegabe1777 4 роки тому +72

    Congo drc tungempata raisi kama Makufuli sijuwe inchi gani duniani ingeweza kujilingalisha nasisi ila ipo siku, Tanzania imebarikiwa kuwa na Makufuli mungu ibariki tz mungu ibariki afrc one day we will be the best of the world

    • @princessbatuli2089
      @princessbatuli2089 4 роки тому

      Baba mbona hufiki mkoa wa tanga wilaya ya lushoto ukatumbua majipu

    • @princessbatuli2089
      @princessbatuli2089 4 роки тому

      Yameiva Sana

    • @jackneymasamson8335
      @jackneymasamson8335 4 роки тому

      Amen in Jesus might name

    • @lutulalihim1585
      @lutulalihim1585 4 роки тому

      Kweli kwa hilo sisi wa congomani tunaitaji Rais kama magufuli na 🇨🇩 yetu inamatatizo mengi mno ila ipo siku tulio injee tusome hili twende kubadili kwetu naitwa Lutula Ismail Hashim Maruzuku kutoka 🇺🇸 hasa WaSwahili tujitazame na tujuwe kipi chakufanya kuusu kwetu ndugu yangu.

    • @amanibwire4423
      @amanibwire4423 4 роки тому

      @@lutulalihim1585 njoon tuwape Tundu lissu atawasaidia sana maana wazungu wanamkubali

  • @seifjuma7318
    @seifjuma7318 4 роки тому +198

    Kama Tunampenda MAGUFULI Like zenu hapa MAGUFULI OYEEEE

  • @princepaulnkono5341
    @princepaulnkono5341 4 роки тому +33

    Shikamoo Rais wetu mtukufu ,Mungu akusimamie tuwe na wewe ukiwa madarakani miaka kumi ijayo watapotea kabisa wapinzani kama China.

  • @endythomas2838
    @endythomas2838 4 роки тому +14

    Mimi kama mkenya ninawaomba kina ndungu na dada kule Tanzania mumpe JPM kura tena. Jpm yuko anafanya kazi nzuri sana. Pongezi na Hongera kwa JPM

  • @drackbenet293
    @drackbenet293 4 роки тому +19

    Jeff Koinage....anamuuliza PLO Lumumba kuhusu jinsi anavyomfahamu Magufuli..."PLO you spent time in Tanzania and you have just mentioned Magufuli....is this man the real deal?.....PLO Lumumba anajibu..."Magufuli is the real deal, and I can assure you the spirit of Mwalimu Nyerere is well and alive in Magufuli and those who think this is just the momentum out of elections will be shocked, this is the gentleman who in the next ten years is going to provide moral and political leadership in the East African region, I am not a Jewish prophet nor related to one but watch the space''......hii kwa jina lingine inaitwa Magufulication of Afrika.......Wajihi wa Rais Magufuli si kwamba ni Rais wa Tanzania tu.....huyu ni nembo halisi ya MTOTO WA AFRIKA...yaani...MWANAAFRIKA HALISI.

    • @hamadipazi7803
      @hamadipazi7803 3 роки тому

      Uwanja wa Ndege Heko Kwa Uongozi wa Awamu ya 5, Flyover na Daraja la Kigamboni Awamu ya 5, Mwendo Kasi Dar Awamu ya 5, Daraja la Kagera Awamu ya 5, Luganzila Hospital Awamo ya 5, Mihimbili Jakaya Kikwete 💓 Institute Awamu ya 5 nk. Kila Awamu ilifanya yake. Asara za ATCL hasara alizozisema Rai's Kikwete

  • @pascaljohn8922
    @pascaljohn8922 4 роки тому +7

    Asante global kwa Habari yako umeichambua vizur ata ambae hana upeo mkubwa anaelewa vizur GOd bless you endelea kuweka vitu mezani

  • @twalibusaidi5281
    @twalibusaidi5281 4 роки тому +30

    RAISWETU NI DECTATOR WA MAFISADIII. HURRRREEEYYYY KIPENZICHETU RAIS WETU JOHN POMBE MAGUFULI. TUNAKUPENDA SANA WATANZANIA.

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 4 роки тому +76

    Asante sana toka Ufaransa Magufuli ! We love good african presidents

    • @rajuabdou8293
      @rajuabdou8293 3 роки тому

      The same love frome grenoble France 🇨🇵🇨🇵🇨🇵

  • @sospeterjohn.wasaga1649
    @sospeterjohn.wasaga1649 4 роки тому +3

    Pamoja na changamoto unazokutana nazo nakuombea usichoke endelea kuifanya kazi ambayo MUNGU amekuteua kutenda na akujalie sawasawa na mawazo yako mema udumu MAGUFULI katika uongozi amen

  • @kingyehoshafatitvbornerys2496
    @kingyehoshafatitvbornerys2496 4 роки тому +90

    Kama kawaida huyu mjomba asitoke kwenye u Rais na kama ataondoka madarakani atuachie Majaliwa...Kama mmenisoma gonga like Kama zote...

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 4 роки тому +22

    asante waandishi muwape habari Watanzania waelewe asante baba yetu mpendwa Magufuli na mama Samia, waziri wetu mkuu Kassim Majaliwa na viongozi wote wema na wachapa kazi asante Mungu

    • @williamleonard6925
      @williamleonard6925 4 роки тому

      Asante mungu hakika Magufuli ni mkombozi wa Tanzania maana hachagui habagui yeye anachapa kazi tu mungu ibariki Tz, Mungu mbariki Raisi wetu mpendwa JPM amen......

  • @maxmaxmo5545
    @maxmaxmo5545 4 роки тому +53

    Huyu ndiye rais wangu mpendwa msikilizeni yeye

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 4 роки тому +19

    Mungu akubariki , damu ya Yesu ikunenee mema Rais wetu

    • @barakatisalum8296
      @barakatisalum8296 4 роки тому

      damu ya yesu ndiyo nini? au ys ndiyo nani?

    • @dennybrown7930
      @dennybrown7930 4 роки тому

      @@barakatisalum8296 Mohammed ndio nani huyo mbakaji ana oa katoto kadogo😂

    • @abdulrazakgwotta5561
      @abdulrazakgwotta5561 4 роки тому

      @@dennybrown7930 ebu acheni kutukanana kuhusu imani

    • @abdulrazakgwotta5561
      @abdulrazakgwotta5561 4 роки тому

      @@barakatisalum8296 acheni kutukaniana imani zenu

    • @barakatisalum8296
      @barakatisalum8296 4 роки тому

      @@abdulrazakgwotta5561 wanaleta usenge damu ya yesu ninini? mujitu mizima inangopewa

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 4 роки тому +16

    Anastahiki kubaki Raisi hadi kufa kwake.. Mungu azidi kumzidishia baraka zake dani ya maisha yake..

    • @balolamasala2736
      @balolamasala2736 3 роки тому

      Na maombi yako yamekubaliwa amefariki akiwa raisi 😭😭

  • @erickelia9826
    @erickelia9826 2 роки тому +1

    Muheshimiwa John pombe magufuli HAPA KAZI Tu hakika kazi umeifanya tunajivunia kuwa na kiongoz Bora kama kwel we ni mzalendo wa NCHI yako piga like ya kishindo

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 4 роки тому +45

    Lkn huyu rais kwakweli sina lakusema..mana nikisikia jina lake bac nanyamaza kwa zaid ya dakika moja..hiyo ni kwa kumheshimu mno. Nampenda sana. Tutakuombea daima. Na siku zote. Mungu akubariki sana mh rais.

  • @karangwafred3835
    @karangwafred3835 4 роки тому +19

    Hapa nikazi tu.😍😍😍.
    Can't explain how much I love Tanzania though am not a Tanzanian Citizen. And I have never been in this Beautiful & great Country. 💖

  • @jamali0017
    @jamali0017 4 роки тому +174

    Eti wanasema magufuli Ni dictator, ,Ni dictator wa mafisadi na bado mtaisoma mamba 🇹🇿🙄. (👇 HAPA KAZI TU )

    • @kuhangazena4316
      @kuhangazena4316 4 роки тому +2

      Tanzania haina amani ina utulivu tu. Magufuli amefukuza Wafanyakazi 15000 bila kuwalipa stahiki zao na kuajiri watu wa kumsifia na kumshangilia, Anaweka viongozi wa upinzani ndani na kuwadhalilisha, Anapiga watu Risasi na kuwaua wakiwemo waandishi wa habari. Amempiga TUNDU ANTIPASI LISU risasi hadi leo hajarudi nyumbani. Amefilisi Watanzania waliopata fedha zao kihalali ili anunue ndege na kuwasingizia ni Mafisadi. Analipa watu kuhama vyama. Anateka wafanya biashara ili wampe fedha. Amesababisha Matajiri wenye uwezo wa kutoa ajira wamekimbia nchi. Ameshindwa kufufua viwanda alivyovianzisha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kama mtu angekuwa anakufa na kufufuka Mwalimu angerudi amchape viboko. Hivi unajua ni Watanzania wangapi wameuwawa na Magufuli tokea ameingia madarakani. Alafu unamsifia. "JAMBO USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA TUACHE FALA WEWE" Zungumzia mambo ya kwenu achana na Tanzania kabisa. Tumewawa sana, Tumefilisiwa sana, Tumedhalilishwa sana lakini nimwambie Magufuli malipo yote ni Duniani. MUNGU hapokeagi uchafu. Anaemsifia Magufuli ni juha tu hana Dini wala upendo na wenzake. Magufuli ni mtu wa kuonywa na viongozi wa Dini lakini wamenunulkiwa. Inakuwaje watu wanatekwa, Wanapigwa, wanadhalilishwa, wanaporwa mali zao wao wako kimya tu. "MUNGU ATAWAHUKUMU"

    • @ummyshaby1498
      @ummyshaby1498 4 роки тому +4

      @@kuhangazena4316 unauhakika gani kuwa yeye ndio kampiga Tundu Lisu??

    • @dennybrown7930
      @dennybrown7930 4 роки тому +4

      @@kuhangazena4316 hhhh umeongea negative tu mbona positive hauweki kanunua ndege eeeh ndio kanunua faida hazionekani kuna watu wangapi wameajiriwa kupitia hizo ndege yaani watu waibe waje wanyanganywe we we useme raisi ndio mwenye makosa. Umepata raisi ambaye anaweza mwambia mzungu hapana tunafanya hivi bado unataka unakaa na kupiga kelele kwavitu mnavyo danganyana uko we we kuwa proud na nchi yako imepata mkombozi acha kuwa na akili za upinzani.

    • @worldtechnology492
      @worldtechnology492 4 роки тому +5

      @@kuhangazena4316 Mimi ndo maana nasemaga binadamu hawana shukrani yaaan wanaweka scandal za mitaan na maneno yawapinzani wanaotaka madaraka kumpinga rais na hii sio Tanzania tyuu nchi nyingi zina feli kwasababu yakufuata maneno ya wabaya kama Irani sa hizi tangia raisi aliyeleta maendeleo Irani kupingwa na wapinzani wanaotumiwa na wazungu kutumia propaganda kama hizi zinazosemwa Tanzania kamwe siku zote nchi haiwezi endelea endapo kiongozi anataka kuinua Tanzania kiuchumi be careful people not everybody wants Tanzania to succeed what president of Tanzania wants is to reduce corruption and serve the money to raise the country's economy na Mimi naefuatilia uchumi Wa viwanda Tanzania kwel magufuli ni amazing kwa mda mfupi magufuli kafufua viwanda vilivokufa vingi na kuzindua viwanda vingi sana ambapo hakuna rais Africa anaweza Fanya hivo tusubiri 2025 tuone miracle zake

    • @ramaccr7525
      @ramaccr7525 4 роки тому +5

      KUHANGA ZENA nyinyi mna mzarau magufuli sisi wa congomani tunaitaji kupata rais kama magu watanzania mungu ana waona mtakuja kujuta msubiri

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 4 роки тому +7

    Mimi nimesoma nje kila MTU akiona mim mtanzania basis ni sifa kuu cjapata taabu kwa kupendwa na wenzangu sofa tele kwa watania wote kupitia yanayofanywa na raid wetu magufuri...nje tunaishi vizuri kupitia sofa zake...kiukweli niwe mkweli ili nione mbingu..magufuri mwenyezimungu akulipe pepo.amiiina

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 4 роки тому +89

    HATUTAK UCHAGUZ MWINGINE HUYU JAMAA ANATOSHA ,ASANTE MUNGU ushukuliwe

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 4 роки тому +39

    Huyu ndiyo Raisi wa ukweli. Watakaokuja baada yake wasiturejeshe tulipotoka

    • @guensterchuzi7404
      @guensterchuzi7404 4 роки тому +1

      Aturudishe tulipotoka tena ili iweje!???atakionaaa sasa hivi wengi tumeamkaa kiakilii ndugu

    • @lamecktheonest225
      @lamecktheonest225 4 роки тому +3

      guenster chuzi yaani kwasasa Mtz alie baki mbumbu niwale nyumbu basi lakin nao wanajitoa ufaham tu mziki washauelewa

    • @nelsonkimambo2528
      @nelsonkimambo2528 4 роки тому +3

      Hongera jembe kutoka chato 🛫🛬🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊

    • @guensterchuzi7404
      @guensterchuzi7404 4 роки тому +1

      @@lamecktheonest225 alaf eti bado kuna mtu anabeza kazi hizi!!huenda ni mchumia tumbo lake

    • @josephmwita607
      @josephmwita607 4 роки тому

      Baada ya JPM ni Majaliwa Kassimu Majaliwa

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 4 роки тому +5

    Mashallah... ALLAH akuogoze...baba

  • @allacatv8734
    @allacatv8734 4 роки тому +48

    Apa Tanzania tumepata rais, naiona Tz mpya +

  • @mohamedishabani4167
    @mohamedishabani4167 4 роки тому +47

    Uyu bwana aendelee tu Hana mpinzani

  • @nelsondaa9724
    @nelsondaa9724 4 роки тому +5

    tuongepata viongozi wa aina hii Tanzania kwa miaka 20 Tungekuwa nchi Tajiri sana kwa uchumi wetu Be blessed our president .

  • @hishamali5056
    @hishamali5056 4 роки тому +2

    Mwenyezi Mungu akubariki Raisi wetu na akupe afya na umri mrefu ili utuongoze kwa uadilifu, haki, wema, mafanikio, heri na baraka nyingi na umoja wetu sote. Amiin.

  • @encouragemypeople7080
    @encouragemypeople7080 4 роки тому +1

    Mungu ametupendelea sana, kazi nzuri sana za mh.rais wetu.mh.John Joseph Pombe Magufuli..

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 4 роки тому +7

    Viva Magufuli ni kama ndoto vile,, ni muda mfupi sana ,,lkn kazi tunaiona ,hakika umejirahisishia kampeni 2020 , sioni wa kupambana na wewe ,,kwanza atakuja na swaga gani?? tunahitaji kuona mengi zaidi ,,nadhani kwako bado haya ni machache,tunakupa mitano tena ufanye more wonders,, Be blessed once again

  • @charlesnguvava8478
    @charlesnguvava8478 4 роки тому +16

    Kongole our Super President JPM 🔥🔥🌋

  • @mbithunkururu7266
    @mbithunkururu7266 4 роки тому +1

    Tanzania you have the Best President. God Bless JPM, God bless Tanzania.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому +49

    Ulimi wangu na ugandamane na kaakaa LA kinywa Changu nisimpo Sema neno asante Mungu kwa kutupatia Magufuli oooh magufuli tunahaja nawe

  • @kabaiyukyasnider6797
    @kabaiyukyasnider6797 4 роки тому +20

    Baba Magu kanyaga twende mpaka 2030 ndio tuchague mwingine mambo yakupoteza hela kwenye uchaguzi bora izo hela ziongeze kituo cha afya

    • @annacharlesmabulathissonga179
      @annacharlesmabulathissonga179 4 роки тому +4

      Mimi mtanzania harali naomba uchaguzi usiwepo kwa sababu rais tunae miaka kama yoteeee

    • @dastanfussy4898
      @dastanfussy4898 4 роки тому

      Ha ha haaaaa

    • @athmanihaji7771
      @athmanihaji7771 3 роки тому

      Upo na mawazo ya maendeleo kama Mheshimiwa John Magufuli,hongera Kwa wazo hilo ela italingana na katiba kama itamruhusu kubaki mamlakani au laa

  • @pascalkana3103
    @pascalkana3103 4 роки тому +50

    Mimi nipo Canada na kukubali sana Rais

    • @tiffahnambole8819
      @tiffahnambole8819 4 роки тому

      Ondoa wapinzani bakiwewetu mbaka utakapokufa nakukubali sana mag

  • @arafataliomar7432
    @arafataliomar7432 4 роки тому +7

    safi sana mr magufuli asije raisi mwengine tu akaziharibu mungu atulinde

  • @deboraevaristo4601
    @deboraevaristo4601 4 роки тому +2

    nampenda sana rais wangu mungu akutunze.akupe maisha marefu..najivunia kuwa Mtanzania....mungu awe upande wako!!!

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 4 роки тому +10

    Hongera Sana Mheshimiwa. Tuone na Wazanzibar.

  • @abdallahmagera9160
    @abdallahmagera9160 4 роки тому +29

    Baba watanzania MUNGU akupe afya njema na maisha malefu yenye Baraka tele

    • @samuelmparange536
      @samuelmparange536 4 роки тому +1

      Heri tumbo lililokuzaa na heri maziwa uliyonyonya. Mzee ubarikiwe sana na aliye juu. Jamani maskini mnyongeni Bali haki yake mpeni. Kwa utashi wangu dhaifu mimi nakuita wewe ni mwl. Namba 2 toka hayati baba wa Taifa Mtumishi wa Mungu Mwl. Nyerere. Tumeonewa vya kutosha tumenyonywa vya kutosha. tumepuuzwa vya kutosha. Unyonge na woga wetu umetufikisha kwenye hayo yote. Sasa basi tummwunge mono Mh. Raisi ili tusinyonywe tena tusipuuzwe tena na wala tusionewe tena.

  • @francisrukeisa6299
    @francisrukeisa6299 4 роки тому +10

    Hongera sana Rais wetu kwa ufanisi huo na juhudi zako ziendelee na mwenyezi Mungu atakusimamia kikamilifu kutimiza uliyoyapanga

  • @amiabillity4609
    @amiabillity4609 4 роки тому +34

    Kwakweli mtoa mada hongera xn kaka umetufurahisha xn watz wapenda maendeleo,sio vi- online TV vingine vina kaz tu ya kuturushia upumbavu wao wa vibaraka na mashoga wa wazungu pamoja na wacheza uchi pumbavu xn

  • @miriamirungu32
    @miriamirungu32 3 роки тому +14

    So sad that this HERO left too soon!! May God rest his soul in His Eternal peace

  • @sir-deogratiasclemencealib2271
    @sir-deogratiasclemencealib2271 4 роки тому +26

    Safi sana Magufuli

    • @stephenojijo1349
      @stephenojijo1349 4 роки тому

      Its true,Kenya has sold its birth right to Tanzania. Tanzania and Rwanda will never be the same again

  • @fundi99general16
    @fundi99general16 4 роки тому +1

    mwenyezi mungu akulinde na maadui tunakuombea mungu,akuwezeshe kutuletea maendeleo ya inchi yetu,ya, Tanzania.

    • @fundi99general16
      @fundi99general16 4 роки тому

      endelea kuwabana mafisadi endelea hivyohivyo.nakutakia maisha mema ukae madarakani mpaka mwenyezi mungu atakapo kupenda zaidi.

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 4 роки тому +5

    Mwenyezimungu akulinde baba.

  • @frankangumbwisye6624
    @frankangumbwisye6624 4 роки тому +7

    thanks Global Tv for nice & fantastic newz👏 also thanks mR president for your excellent work👏

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 4 роки тому +7

    Safi sana👍🏾👍🏾

  • @gordfreysangawe7535
    @gordfreysangawe7535 4 роки тому +22

    Mungu yuu mwema kwa kila jambo sifa na utukufu vikurudie wewe Baba

  • @ntamugabobizi4580
    @ntamugabobizi4580 4 роки тому +28

    Magufuri nimwema sana hataki watu wamadrama washezi wasio jierewa anataka watu wahari sana wenye kuwa makini kwaichi yatanzania hataki wakorofi

    • @chrisrubia5247
      @chrisrubia5247 4 роки тому

      Thanks u alot Dr pombe at least ungelikuwa mkenya rais ningelifuraia xana rais wewe tenda wema kwa watanzania.

    • @aliabmugh2362
      @aliabmugh2362 4 роки тому

      Mungu mbariki rais was tanzania

    • @mayanjawilliam1361
      @mayanjawilliam1361 3 роки тому

      He did ti

  • @mcmutheekigunya8017
    @mcmutheekigunya8017 4 роки тому +3

    Nakupenda tu bure Mr President 🇰🇪🇰🇪

  • @kaizasuzzy6714
    @kaizasuzzy6714 4 роки тому +3

    Thanks lord for blessing Tanzania with good leader may God bless you magufuri pray for us Uganda to get a leader like jpm.

  • @marialushinge9608
    @marialushinge9608 4 роки тому +15

    Mwenyzi Mungu akujlie afya njema babaa kazi tunaziona kweli unafanya

    • @godwinmashakababajemima1975
      @godwinmashakababajemima1975 4 роки тому +2

      Huyu ndio Rais wangu John Pombe Joseph Magufuli Mungu akupe maisha marefu uendelee kutengeneza upya hii Nchi iliyokua imeoza

  • @vincentmbuvi7520
    @vincentmbuvi7520 4 роки тому +1

    From Australia,,, I love best African presidents

  • @gabbybenda4327
    @gabbybenda4327 4 роки тому +28

    we need this Man for almost 20years to be Toronto

  • @ibrahimmfaume2769
    @ibrahimmfaume2769 4 роки тому +2

    Upo vizurii raisi wetu mungu azidi kukupa nguvu uzidi kutuongozaa vizurii 2020 kula yangu niyako

  • @mboyajackson4574
    @mboyajackson4574 4 роки тому +7

    The best in Africa...

  • @manans254
    @manans254 4 роки тому +17

    Tanzania mna bahati sana sisi hapa Kenya ni kukopa China na zaliwa tu. Magufuli awe Rais wa Jumuia ya Afrika Mashariki

    • @jacobmalingu2769
      @jacobmalingu2769 4 роки тому +1

      It was tanzanian affair...usitaje kenya hapa...kaa na mamayako

    • @fredducaunt1724
      @fredducaunt1724 4 роки тому

      @@jacobmalingu2769 Boya wewe

    • @jacobmalingu2769
      @jacobmalingu2769 4 роки тому

      @@fredducaunt1724 leo ndiyo umepata bundles 8 months after...🙃🙃🙃🙃

    • @fredducaunt1724
      @fredducaunt1724 4 роки тому

      @@jacobmalingu2769 kumbe!?

    • @jacobmalingu2769
      @jacobmalingu2769 4 роки тому

      @@fredducaunt1724 next time vitu ziktrend pia wewe trend...boya peleka majini

  • @Geemuthoni99
    @Geemuthoni99 3 роки тому +2

    This man is the best leader ive seen. The others are just politicians. I am Kenyan but I love Tanzania. God bless Tanzania

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 4 роки тому +21

    Mungu akupe maisha marefu Jpm!

  • @amiabillity4609
    @amiabillity4609 4 роки тому +10

    Hongera xn amin

  • @masungakibinza1312
    @masungakibinza1312 4 роки тому +71

    Hiyo nafasi ya Uraisi imemfaa sana aendelee mpaka atakapo choka mwenyewe

    • @jamali0017
      @jamali0017 4 роки тому +1

      Wee wacha mambo yako uongozi wake Ni 10 yrs only

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 4 роки тому +4

      Abuu Rashid utapata tabu sana

    • @shukurumwanjoka1119
      @shukurumwanjoka1119 4 роки тому +1

      Masunga Kibinza kwakweriii jamn

    • @gwamakamartin7090
      @gwamakamartin7090 4 роки тому +1

      Yuko good sana sijui wengine wanamchukia kwanin

    • @asiansky4786
      @asiansky4786 4 роки тому +1

      Yani magu muacheni atawale mpaka atakapo choka mwenyewe

  • @yohanisshaibu3811
    @yohanisshaibu3811 3 роки тому +1

    Hatuwezi kuendelea kwa marumbano ya hoja tunaendelea kwa kupiga kazi kwa kawaida yangu toka nikiwa mdogo mpaka sasa ninamiaka 22 sijawahi penda kusaidiwa sababu naamini hata Baba yangu aliye juu ananishangaa natamani kupiga hatua zaidi na zaidi.Mwanadam fikiri kutoa msaada na si kupokea labda kwasababu za Mungu mwenyewe.Thanks JPM

  • @Mike-yg7pb
    @Mike-yg7pb 4 роки тому +14

    Rais wa kipekee sana na mwenye kubali,
    Hongeraa sanaa

  • @Addi_Teacha509
    @Addi_Teacha509 4 роки тому +6

    Even when I don't speak the langauge i can feel the words that go with video.and watch it all.. i will be learning Swahili for sure. TANZANIA has one the very best African leader im history and the very best in 2020

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 4 роки тому +5

    MASHAALLAH TANZANIA YANGU TU ME JITAMBUA MUNGU TUBALIKI INSHALLAH

  • @munasayed8657
    @munasayed8657 4 роки тому +2

    Mungu amlinde in shaa allah hana mpinzani apewe miaka kumi mingine hapa kazi tu.

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 4 роки тому +36

    RAIS TUMEPATA ASANTE MUNGU TUPE AFYA CC NA RAIS WETU AMIIN🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @charlesfidelis9428
      @charlesfidelis9428 4 роки тому +1

      Rais wetu tumongeze ulinzi maana mabeberu yanatuonea wivu napendekeza alindwe zaidi ya rais wa korea kazikazin na bajeti ya ulinzi iongezwe mara dufu uyo nikati ya marais wachache sana waliobakia Africa

  • @aliciafields-worldtravelle8248
    @aliciafields-worldtravelle8248 4 роки тому +7

    Nampenda JPM bingwa wa maendeleo..mimi ni Mkenya.

  • @mumberemark8784
    @mumberemark8784 4 роки тому +3

    Thanks so much His excellence the president of TZ. YOU LOVE YOUR COUNTRY AND THE PEOPLE OF TANZANIA. KEEP IT UP.

  • @josephsilla2271
    @josephsilla2271 4 роки тому +14

    Jpm rais tunamushukuru. Hata wewe mwandishi ni mzarendo Kwa kutangaza mambo makuu hayo.

  • @fatmaali4794
    @fatmaali4794 3 роки тому +1

    Nakupenda sana rais wang magufuli ♥️♥️♥️♥️♥️

  • @julietjotham8812
    @julietjotham8812 4 роки тому +1

    Sitamani ataatoke madarakani 👍 akika Raisi wetu Ni zawadi ambayo MUNGU ametupatia🇹🇿💓💓

  • @josephmwita607
    @josephmwita607 4 роки тому +2

    Nikupongeze sana ndugu kwa kazi nzuri kwa kweli hii hotuba nimeitunza nitakuwa naisikiliza kila wakati

  • @gallousgosbert4993
    @gallousgosbert4993 4 роки тому +7

    2020 TUSIFANYE MAKOSA,SUMU HUWA HAIONJWI,MAZIWA TUMEYAONJA HAYANA MAJI NI REAL KABISA.

  • @ayubujackson5782
    @ayubujackson5782 4 роки тому +61

    Hakna Rais kama huyu Dunia ila binadam ha2na shukuran

    • @andrewaneriko3103
      @andrewaneriko3103 4 роки тому +3

      Ukosawa

    • @MWALIMUMBUNIFU89
      @MWALIMUMBUNIFU89 4 роки тому

      Kweli

    • @kuhangazena4316
      @kuhangazena4316 4 роки тому

      Rais wa kuua watu na kufukuza watu makazini ndio bora kuliko wote Duniani Duh Watanzania mumelishwa libwata na CCM. Kwa hiyo Ndege zimenunuliwa zisimame hapa Airport kisa CCM wananunua watu kuwatukana Wazungu. Ombeni basi viwanja vya kutua China ha ha ha. CCM makubwa Jinga tu.

    • @simonmichael894
      @simonmichael894 4 роки тому +2

      @KUHANGA_ZENA
      WANAO NA WAJUKUU ZAKO NDO WATAKUJA KUMSHUKURU MAGUFULI SIO WEWE USIEJIELEWA,UKIONA HAKUNA HAKI HAMA NCHI

    • @mariammussa2540
      @mariammussa2540 4 роки тому

      @@@kuhangazena4316 huwezi kuona faida ya ndege ikiwa pasport huna afu akili huna hata kidogo yan bichwa lako kubwa ubongo wa mende.

  • @jamlickgakuhi3210
    @jamlickgakuhi3210 3 роки тому +1

    Love from Kenya. Hongera JPM

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 роки тому +27

    Jpm anatosha

  • @davidchesco52
    @davidchesco52 4 роки тому +42

    Mzee angeongeza tena kumi mingine itapendeza beijing itahamia bongo

  • @bahatimohamedi2255
    @bahatimohamedi2255 3 роки тому +1

    Ubalikiwe sana Rais Magufuli

  • @ganosangatv1929
    @ganosangatv1929 4 роки тому +26

    Thank You Magufuli

  • @jesusismysaviorbenjamin140
    @jesusismysaviorbenjamin140 4 роки тому +1

    This guy is Angel's president sent by almighty God. I have never seen the president like him in world wide. I born in congo 🇨🇩 but right now I'm in 🇺🇸 USA .

  • @makongorowassira6593
    @makongorowassira6593 4 роки тому +4

    Mie nadhani huyu rais ameweka kiwango cha marais wajao, ukiwa chini ya kiwango cha JPM tunakutoa hata kwa ngumi. Endelea kupiga kazi Ndugu Rais JPM🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 4 роки тому

    Asante mungu kwa Kutupa Rais mwenye huruma na nchi yetu mungu mbariki Rais wetu magufuli mungu ibarik Tanzania mungu tubarik na sisi wa Tanzania

  • @pumbareisen2226
    @pumbareisen2226 4 роки тому +1

    Ahsante sana JPM hata tulioko mbali tunasikia na kukubali kazi uliyofanya Tanzania ijulikane ngazi za kimataifa ,,Hapa Kazi Tu "....big up sana JPM

  • @davidchesco52
    @davidchesco52 4 роки тому +10

    Hii ni historia haijawah tokea matrilion karibia 100 kwa mamiradi yote hayo

  • @farhafarhan4393
    @farhafarhan4393 4 роки тому +21

    Tumuombee akae madaran miaka mingi kama Rais Museveni

    • @amosaruta22
      @amosaruta22 4 роки тому

      Mungu saidia Rais wetu Magufuri ahendelee kutuongoza ata miaka 20 mungu mpe uzima na afya

    • @charlesfidelis9428
      @charlesfidelis9428 4 роки тому +1

      Watanzania tupendekeze awe rais wakudumu

    • @suzanaagustinookelo4953
      @suzanaagustinookelo4953 4 роки тому

      Natamani iwe ivyoo jamani

    • @albethmligo6946
      @albethmligo6946 3 роки тому

      Mungu akubaliki rais wetu mwenye upeo wa hali ya juuu mungu akubaliki sanaaaaaaaaa tena sanaaaaaa@

  • @jamsonkingz6498
    @jamsonkingz6498 4 роки тому +4

    Naomba watanzania mtusaidie tu na rais POMBE kwa siku atleast 30 awe rais wetu hapa kenya, kenya hatuna uongozi

  • @petershayo2064
    @petershayo2064 4 роки тому +3

    hongera sana jpm

  • @isaacmwaipopo
    @isaacmwaipopo 4 роки тому +2

    Msimulizi unajua sana kazi yako. Unasimulia vizuri sana na kuleta hamasa ya mtu kusikiliza.

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 2 роки тому

      Yani anajua mpaka unajiona umetulia tu kuskiliza na kwa mtu ambae hajui kinachoendelea anaelewa kwa ufasaha nchi inaendaje

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 роки тому +7

    Daaah yaan nme fika Africa hivi karbun aiseee songea baadh ya mitaa una kataa kabisaaa aupo tz

  • @zayanaduduna1405
    @zayanaduduna1405 4 роки тому +2

    Tunamuitaji Burundi Rais Magu 🇧🇮

  • @salomwakimako8943
    @salomwakimako8943 4 роки тому +3

    Big Mr president mye Allah protect you

  • @amulimugisho3264
    @amulimugisho3264 4 роки тому +8

    Mimi raiya wa congo mtusaidie magufuli akimaliza aje kwetu hadi kufa

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 4 роки тому +5

    Alhamdulillah

  • @marianakapeller4699
    @marianakapeller4699 3 роки тому +1

    Mungu akulipe mradufu raisi wangu Magufuli

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 4 роки тому +44

    Mgufuli ni mkombozi wa Tanzania

    • @lukandotv8101
      @lukandotv8101 4 роки тому

      Walopita hawakuwa wakombozi?

    • @worldtechnology492
      @worldtechnology492 4 роки тому +1

      @@lukandotv8101 hawakua wakombozi Bali walikua maraisi

    • @sarahlydia2635
      @sarahlydia2635 4 роки тому

      Really he the best

    • @asantekwahuuwimbozubeda873
      @asantekwahuuwimbozubeda873 4 роки тому

      Rais magufuli huyu tumepewa malaika na mungu maana sijawahi kuona rais anaejali wananchi wake km magufuli mungu akupe afya njema na maisha marefu tunakupenda sana watanzania mm nipo omani ila nakuombea ndugu rais umeipa tanzania yetu sifa kubwa

    • @asantekwahuuwimbozubeda873
      @asantekwahuuwimbozubeda873 4 роки тому

      Jamani mm nawaomba ndugu zangu wananchi magufuli sio wa kuachia tena na kuchagua rais mwingine huyu nawaombeni ndugu wananchi rais huyu tumueke awe mfalme hanakumaliza urais huyu ndio wa mwisho

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 4 роки тому

    Alhamdullillah mwenyezi mungu turindie Raisi wetu❤️❤️❤️❤️❤️❤️♥️

  • @frankservant5754
    @frankservant5754 3 роки тому +13

    Man i don't understand the language but this man did a lot of things in JUST 5 YEARS! Imagine Him and Sankarra are my role models

    • @noziphosibanda9110
      @noziphosibanda9110 3 роки тому +5

      John Magafuli was a visionary. From day one when he took office he just hit the ground running. So much achieved in just five years, that is record breaking 🙌 . What a loss to the Tanzanian people.

    • @evanstum5032
      @evanstum5032 2 роки тому

      Exactly

  • @sarahlydia2635
    @sarahlydia2635 4 роки тому +1

    Tanzaians vote this guy again in four years u have fruits of your votes but us its 35 years nothing is done

  • @mwinshehenassib4853
    @mwinshehenassib4853 4 роки тому +3

    Jamani mimi naomba mungu atupe afya ya mwili na akili pamoja na uhai tuyale matunda ya nchi yetu.😍😍😍

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 4 роки тому +1

    Walahi hongera mama mzaa chema mungu akupiganie