HOTUBA YA MAGUFULI KWENYE MKUTANO NA WADAU WA MADINI 22/1/20199
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Rais John Magufuli siku ya Jumanne alikutana na kufanya mkutano na wadau mbalimbali wa madini mkutano ambao uliwashirikisha wakuu wa mikoa, mawaziri na wafanyabiashara wa kada mbalimbali za sekta hiyo.
Baada ya kusikiliza yote yaliyozungumzwa, Rais Magufuli akatoa hotuba yake akisisitiza kutazamwa vyema kwa msururu wa malipo kwenye sekta hiyo pia akataka kuimarishwa kwa ulinzi kwenye maeneo ya uchimbaji na kumtaka waziri wa madini, Dotto Biteko kuhakikisha kamera za CCTV zinafungwa ndani ya mwezi mmoja.
❤ from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nakubal sana kiongoz shupavu r i p
Utaendelea kuishi moyoni kwa watanzania, baba kazi uliipiga tunakukumbuka sana na ulikuwa na nia ya dhati kwelikweli now days ahhhhhii...!!
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ bilioni 5.5 kwa nini uziangaliye ???
Our hero
mtu mzalendo anakuwa mbunifu ni sawa na mtu mwenye uchungu wakuiona kampuni yake ikikuwa..huyu jamaa anauchungu mno na government yake. he is a real patriot. Magufuli is very good sincerely
Magufuli..Simba wa Africa.
Sekta zote zinahitaji kuangaliwa upya sio madini tu......!!
Daaah hapa Mungu alituonesha uweza wake kumchukua huyu baba
Tutakukumbuka ni tulikuwa nawe hapa duniani hatunawe tena ila ni mipango ya Mungu twakuombea Mungu akusamehe akupe heri zote huko ulipo tunakukumbuka Sana
Piga mwingi tangu nimeijua tz ndie rais wa kwanza kusema nchi tajiri
Tulimpoteza Mtu Huyu 🙄
Daaaaah inauma asikwambie mtu
Hizi hutuba za Magufuli ziwe zinarudiwa rudiwa kwenye tv za Tanganyika Zina madini mengi na hope zitawaamsha na watawala
goood
Sisi watanzania kama hatutakuwa wazalendo kama huyu mtu, atafanya kazi mwenyewe nasie tutaendelea kuwa wasindikizaji na wabinafsi..mbona anamaumivu mengi tuu na uchungu ya nchi yake lakini hwata waliohapo sioni kama wanastuka? zaidi sana wanacheka
uyu mama kabra tu alionekana anaroo ya ira
real
Taifa limepoteza mtu muhimu sana kwetu sisi wanyonge ,sasa Mara tozo, kwenye halmashauri zetu Mara service leave 6000|=
❤❤😭😭😭😭 magufuli ho are you ?? 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 congo tuna ku liya kila siku.
Asnte jpm kwa kwel tumepata rais jamaniii duh....MUNGU Ampatie afya na miaka mingi hapa dunian aendelee kuiongoza nchi yetu kwa weledi..
Good
Maneno hayo
Watoto wetu wajue kama tuliishi miaka mingi wakisoma kichwa cha habari cha video hii.
kweli kabisa mkuu kuendelea kusoma akili inaporuty kabisa unakuwa una apply hayo madude yao huwezi fanikiwa coz elimu yenyewe wameileta wazungu, cc wenye inform education yetu mbona nzuri tuu