MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 27, ameanza ziara rasmi katika mkoa wa Shinyanga, ambapo kabla ya kuwasili amesimama katika maeneo tofauti tofauti barabarani na kuzungumza na wananchi..
#MAGUFULI
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co...
Mungu anayaona machozi yetu. Pumzika kwa amani jemedali wetu mfalme wetu
Mungu akusamehe akupunguzie Adhabu John wet hatutakusahahh
Kwell kabisa
Ameen
Now i understand why some Tanzanians were fainting during body viewing! The Best President i ever seen on earth, have never seen a leader who is very close to his people than this guy. RIP Mr. President!
Am a kenyan pastor,bt the presie has touched mie,he act like genuine pastor,may the lord protect his soul in heaven!❤❤❤❤❤
Ulipaswa kuishi Magufuli
Jamani waliommisi huyu mzee tujuane kwa like hapa
nimemkumbka sana jamaa
Mic you dady
I miss u my dady magufuli forever
Kuna funzo kubwa sana kwenye crip hii! Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi! 😢
Daaah
😢😢😢😢
Ameen
Ameen
2024 tunaoitazama gonga like.
Wanao itazama hii mpaka sasa mwaka 2023 naombeni like zenu
Hawezi kusahaulika
Mpaka sasa 2024 tupooo
@@EdithaJohn-qc3me❤❤❤❤
Mpaka 2024 na kuendelea🎉
2024
Niko 2023 bado nafuatilia hizi clips Hadi zitakapofutwa. Kama bado unafuatilia gonga like hapa.
Kweliiii,siku zote
Nitakukumbuka sana rais wangu magufuri mpaka mwisho wa maisha yangu
❤❤❤ I'm from Kenya and I really value this president my his soul rest in peace
Tanzanians people am really sorry for the big loss magufuli you have broken my heart 😭😭😭😭😭😭💔💔😭
Realy it is a big lost from Drcy heart is broken 🙈🙈🙈🙈🙈na muliya kabisa makufuli Mungu umushunge mutumishi wako
@@mulongonzazi9241 This big man as a socialist was killed by capitalist.
TZ as a country of oportunities, Magufuli couldn't live longer!!
Hakika tunaliabna kusaga meno enzi hiz za Samia mungu atulindeb tz bila vita 2sije tukawa watumwa kumbe ni nch yetu
Namuomba mungu akuingize kwenye rehma zake amiin
Amin atatenda daimaaa n mweemaa
Asante Mungu kwakutupatia Raisi mwenye upendo Kama Raisi wetu Magufuri love you Baba.
Asante mungu nilizaliwa tanzania
huyu baba magufuli mungu amuzidishiye maisha marefu anajuwa teteya haki za binadamu.
Anaesema magufur mbabe mwache kwan hajui uchungu wa mwana much respect magufuri
Umeonaeeee
mungu amutuze rais makufuli
It will get a
Can't stop watching this😢😢😢continue resting in peace Mzee magufuli until we meet again in heaven😭😭😭
This was a true shepherd who took interest in the experiences of those he led.
Wish we had more of him in Africa!
Am a Kenyan but I admire alot how this president comes to the ground ...what a humble person he is...God bless him always
Mungu azidi kumtunza rais maguful ni rais wa wanyonge
@@happymasaweyangababalao4486😅
this is the only president who has made me shade tears cause of what he does.the love for his people.much love my hero and role model.
9999999
I love him and the way he works
This man was a true definition of a generous leader, backed with a sense of humor and integrity
Mwenyezi Mungu akulinde Rais wetu uweze ishi maisha marefu
Inauma sana
Sana tena sana Kwan tulipenda sana hakuna aliyemuchukia ila mafisadi walikuwepo so hakuna m2 asiye chukiwa hapa duniani tumuombe mungu 2 atupe maisha marefu na yenye mibalak na tuepuke kuzimubtwende mbign 2ulith ufalmebwa mungu ameen gonga like kama umenielewa
Hapa ndo ninapomfahamu Mh. rais kuwa kazi ya urais ni kazi ngumu sana. Mungu akusaidie na akupe moyo huo huo wa kutatua matatizo ya wananchi wako.
...pamoja n hayo watu wanaikimbilia sana...kwa kweli inaliza kwa kweli...
😭😭😭😭 jaman nalia apumzike tu
Ameen
Allah akupe maisha marefu uzima na afya rais wetu wa wanyo wanyonge
R.I.P MAGU
December 2024
like hapa
African lost a great leader....Tanzania people are very lucky to have a wonderful leader like magufuli...may his soul rest in peace
Wen ever I watche magufuli😢😢😢😢so sad my god bless him rip
I'm in love with magufuli a man of people, also a gift from Allah so as to save people who have been crying for long time without help.Magufuli a president of the century from Bongo.
Tupate wapi tena mtu kama huyu ambaye Mungu alikaa ndani yake 😭😭😭😭😭😭
Yaani acha tu"!!
Labda azaliwe mwaka huu
😢
John wangu jamani..we miss you babaaaa😭😭
We will always mic uuuuu
Tunae tazama 2024 gonga like
Hongera sana Rais wetu na pole kwa kwa kazi ngumu
Maskini Rais hadi analia, so painful! Mungu mbariki Rais wetu
Eee MUNGU sidhani kama itakujatokea Rais wa wanyonge km huyu daaah MUNGU ninamuweka Rais wetu mikononi mwako umlinde na kila aina ya uadui na magonjwa mpe kibali cha kuongoza mpaka utakapo sema bac
@@husseinbararukaza428 j
The best president Africa has ever had,.. maghufuli was a real deal for this continent
He was logical and reasonable 🙌
Mheshimiwa Rais Magufuli was a really genuine hardworking down to earth President we all loved..he broke barriers n helped the down trodden citizens get their rights...RIP Sir
he will never die in my heart until I die
Oh my God
Kaka magufuli maishani mwangu siwezi kukusau kamwe
Wewe ni shujaaa🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤ Tulikupenda sana mtetezi wa wanyonge, lkn kazi ya mungu haiingiliwi l😭😭
2025 nimekukumbuka sana baba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Let negative people say what they want to say about the late President John Pombe Magufuli,but I don't know if Tanzanians will get another president with a heart of Gold like Magufuli,indeed he was like a real father to his countrymen
Mung amuwoke mahalo pema
Mungu akupumzishe laisi wetu laisi wawnyonge tunakukumbuka
Daudi atafutwe, JPM ahsante Muheshimiwa, Toeni hela ndio mtajifunza.
Tutakukumbuka sn Rais wetu!! Viatu vyako ni vikubwa sn
Sanaaaaaaaa
Wanaoitazama hii mpaka mwaka 2024 weken like hapa
I can't just stop watching this man and for sure, the world will never find a man like this and Africa has lost Her Son. Poleni sana wana Tanzania na Mungu awarehemu
,m
Masikini mpaka mwafanya Rais yuwalia mungu amjalie apite tena muhula ujao🙏🙏
Mungu akubariki kwafaraja barikiwa
We will miss you so much our dad Magufuli😭😭
Tumempoteza Mtu mmoja kama watu Billion 1 😭😭😭😭😭💔🕊🕊🕊
Pooole saana, nakuombea sana rais kwa kuondok
REST IN Peace BABA
Akonamapenzi ka ma yesukristo
@@mangretiluboya2990 W
PRISDAT MAQUFULI NI MOTO MAZURI KUWA WANAISHI YAKI MAQUFULI JUUU JUUU JUUU SANA❤
Mwenyenzi Mungu, umlinde rais wetu.
Nc
..this man was an Angel sent from heaven.
I can't stop crying for him😭
My one wish kama Kuna uwezekano Mungu amuinue jman😭
Rest in peace Dr.JPM❤
He was a really father, tume poteza jameni
Hakika jamani
Makufuli mungu akubariki you're a good president in African 🌹😭😭😭😭
Hapa ndipo nampompenda rais kwa kweli Gold bless you Magu 🙏
Tutakukumbuk Sana baba♥️♥️♥️
Moddy from kenya hongera rais makufuli marais wote wa Africa hasa east africa wangize mwenendo wake mungu akulinde rais mtenda kazi
Nimempenda sana huyu rpc Yuko vizuri sana aise
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
True
true 👍 he died of heart problems
Makuvuri Ali fanya kazi nzuri mungu humuweke pazuri hapumusike sarama amina
Mwenyez Mungu akujalie mh Rais
Mwenyezi mungu ampe maisha marefu muheshimiwa rais wetu Magufuri
Mungu akutunze Rais wetu
Mungu akubariki kwa kazi nzuri mheshimiwa raisi
Mungu aendelee kutuletea watu muhimu katika taifa letu
Nakupenda sana Mh Raisi Magufuli nakupenda sana nakuombea sana mema makubwa sana toka kwa Mwenyenzi Mungu Mkuu Mtakatifu
He was the best president in the world.
Mungu akurehemu rais wetu mpendwa umeondoka bado tulikuwa tunakuhitaji mungu tunaomba utende maajabu katika karine hii wewe ndy kimbilio letu
Allah akupe maisha marefu Rais wetu Insha Allah
Mungu akulaze mahala pema peponi Jemedari wa Africa
Not only Tanzania lost a very power committed president but African, worl we lost very powerful Man who could one day Transform Africa 😢😢😢😢😢 may your soul rest easy President John Pombe Magufuli still hear in +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 its like we have lost you today ur words solving issues was more of a leadership God grand Tanzania, Uganda Kenya such people 😢😢😢
Ooh GOD..What a leader we've lost. Mungu alikupenda zaidi
Ww nirais wa wanyonge nakupenda cn makufuli kimbilio la wanyonge mungu akupe umri mrefu
Who is watching this in 2024🤝
Yaan nimejikita nalia 😢😢 tu mungu akulaze mahali pema baba tutakukumbuka hakika
2024 bado nafuatilia na majozi. Best african president, may his soul rest in peace
Tunakushukur Mungu kwa maisha ya Raisi wetu hatutamsahau kamwe
Hatuna cha kusema ila tukushukuru tuu
Ila kifo hapa ulituweza kifo
God bless our Africa United president Pompe Magufuli for real.Jah know
R.I.P HERO JPM 🙏
Feels heavenly when a prominent person got humanity and believes in God. SO HEAVENLY
Mungu ahilaze roho yako mahali pema peponi baba
Nimeambulia Julia tu machozi mie.Nasema mungu mtunze magufuli nakuombea Sana
Mungu akupokeye baba
Nimekukumbuka sana rais wangu love you so much 💖 💓 maumivu yangu ni makari sana sina jinsi
Oyoooooo miaka Mia baba kweliweweni laisi wa wanyonge
Tawala milele Raisi wetu🙏
Mheshimiwa mm ni Mzbar binafsi kura yng ilikuja kwako na 2020 in sha Allah sirudi nyuma. Ila na sisi huku shida tunazo.
Polen sn sie tz bara tuna peta tu na rais wetu mtetez wa wanyonge lkn huko zanzibar mwinyi c yupo?
Mwinyi si yupo..siye kashatangulia mbele za haki
😢😭😭😭 nimejikuta tu leo naludia matukio ya baba yetu mpendwa mchozi unanitoka 😭
Rais mungu akulipe kwa mema unayowafanyia wa2 wako unaowaongoza mungu akupiganie kwan unasafar ndef shetan yupo mawindon akikuwinda lakin kwa jna la yesu ashindwe milele
Minapenda magufuri sana but African presidents plz work magufuri RIP
Nitakumisi Sana raisi wangu magufuli nitalia milele
Sometime s I watch this & cry 😭😭 may God 🙏 keep magufulis soul on internal peace..
Same here 😢😢
Pumzika SHUJAA WETU😭😭😭😭
Rais akiwa mcha Mungu inchi inabarikiwa.
Nakuombea kwa Mungu Raisi Wangu, ili uzidi kutu tetea wananchi wako heko Baba. kweli Mungu mwema🤩🤩🤗Tanzania juu sana,ukarim, upendo na Amani.
Mungu akubari Raisi wetu.
Amen.
Rest in peace magufur
I can't stop crying for mister magufuli
Tears dropping when absorbing this
He was a good leader indeed RIP Daddy🎉🎉🎉🎉🎉our hero
Pole sana mama angu mungu yupo atakusaidi mama
Magu cna neno na ww ila nakuombea kwa mwenyeenzi mungu akusimamie
Allha ampumzishe Kwa amani alikuwa anatetea Sana wanyonge
Truely you were a servant of people. May you continue resting in peace. John Pombe Magufuli
ubarikiwe sana mkuu, Mungu akuzidishie ukawe taa kwa wenye giza la kunyanyaswa
Mungu akuwekee sehem salama ishaallah peponi
Nakupenda RAIS sana magufuli