MASANJA: HII NDIO STOR MWALIMU WA MATH ULISEMA ATUENDI HAPA NI WAPI (mchongo wa kilimo)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2023

КОМЕНТАРІ • 30

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 13 днів тому

    Katika Iman kila kitu kinawezekena ,mali na vijavyo Dunia ni mali ya Mwenyez MUNGU,

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 7 місяців тому +1

    Dah! cjui nakosea wap maana!

  • @user-tq6st3gz5f
    @user-tq6st3gz5f 4 місяці тому +1

    Within 5 years i will be on way to be like you

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 8 місяців тому +2

    Huyu kwa kilimo ni moma

  • @user-ku4xq4nd9v
    @user-ku4xq4nd9v 8 місяців тому +1

    Kuna watu hawaamini kama kilimo kinalipa

  • @MICHAELMOBILECARE
    @MICHAELMOBILECARE Рік тому +1

    Ni nouma sana

  • @johnelioth2717
    @johnelioth2717 Рік тому +1

    Uli mvahaa veyaa

  • @wallacerugangila2723
    @wallacerugangila2723 7 місяців тому +2

    Wasanii watabaki Wasaani ukiwaiga maisha Yao umeuawa.Yupo kwenye ghala la Taifa la kihifadhi mazao anadai la kwake

    • @tuzonyava8306
      @tuzonyava8306 7 місяців тому

      We Masanja analima sana kama huamini nenda Kapunga kuanzia mwezi wa kumi nambili mpaka mwezi wa kwanza uko Kapunga wilayani mbaral utamuona Masanja na company yake mashamban uko na hatanii katka kilimo

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 Рік тому +1

    Hamna panya humo

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 7 місяців тому +2

    Duniani hakuna tajili mkurima bari mkulima ni mjasiliamari sawa.sawa.kiulize huyo ndooo walikua wanampambanisha na mond kweli yaniii hayo magunia yote ni show moja2 ya mond

  • @bibititi6393
    @bibititi6393 11 місяців тому +3

    Wadanganye hao unao wadanganya, biashara inayo kuingizia hela tunaijua na wanao kulinda kwemye system tunawajua

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 9 місяців тому +3

      ni ipi iyoo wanasiri kubwa hawa mioyo yao

    • @bibititi6393
      @bibititi6393 9 місяців тому

      dona AKA Sembe na biashara haramu ya kusafirisha watu uarabuni@@sabihaibrahim143

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 8 місяців тому +6

      Tafuta pesa kijana wivu hauwez kukupa pesa

    • @vicentkamwaya3542
      @vicentkamwaya3542 8 місяців тому +3

      Hata kama unachokisema ni kweli, Kwa kuandika hivyo unaonekana hujielewi.Mungu akuponye.

    • @ImanMwakyeja-cw3ty
      @ImanMwakyeja-cw3ty 8 місяців тому +2

      Masanja hajatamka kabisa kwenye hii clip kwamba hiyo ni store yake.
      Hivyo unamvamia kimakosa sana.