EXCLUSIVE: RICHARD KIJANA ALIYETOBOA kwa KILIMO cha VITUNGUU MAJI MPAKA KUWA MILIONEA wa MAGARI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2023
  • EXCLUSIVE: RICHARD KIJANA ALIYETOBOA kwa KILIMO cha VITUNGUU MAJI MPAKA KUWA MILIONEA wa MAGARI #tronimotors
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 31

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 місяців тому +2

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 9 місяців тому

    Congratulations nimesoma mengi asante sana🥰

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 10 місяців тому

    Nice congratulations 👏👍🎉

  • @navioma4882
    @navioma4882 10 місяців тому +1

    Hongera kaka

  • @FrancisLyamuya-ou1eb
    @FrancisLyamuya-ou1eb 9 місяців тому

    Oya hongeraa kwa juhudi inatakiwa urudishe Ruzuku ngage kwetu

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 10 місяців тому +4

    Jinsi tuyaonavyo, jinsi tuyaskiavyo ya watu duniani ni tofauti na uhalsia wa utendeshi uliowapitia.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 10 місяців тому +1

      Unaishi kwakusikia tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @tukuyufm
      @tukuyufm 10 місяців тому

      @@Mpakauseme asante sana bless

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Місяць тому

    Huyu mwandishi kibogoyo kweli kila kabila ina watubwenye pesa wakiwa wadogo makabila yanatoka wapi hapo

  • @nurdiniathumani9388
    @nurdiniathumani9388 9 місяців тому +1

    RUAHA AU RUHAA

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 10 місяців тому

    Kajitahid sana na kuna muda kautumikia

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 10 місяців тому +3

    0:52

  • @Jackylmariam-qy6qe
    @Jackylmariam-qy6qe 8 місяців тому +1

    Njia ya kufanikiwa ni ndefu hongera Sana mtu hawez kuadisia ad nilivyoshindaga njaa iyo ni kwa ufupi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 10 місяців тому

    Kuna miji2 imekuwa mchungi kwa wa2,Mungu kalibariki,lakini ni nirushi kwa wanaolifanyia kaxi,najiulixa lilivyokuwa mchungi lingerushwa ingekuwaje?leo hii halisemi kabisaa lilikuwa mchungi.

  • @nickylyanga2139
    @nickylyanga2139 10 місяців тому

    Kwa hawa watoto wa siku izi tunawasomesha ..wakirudi mtaaani wanataka wapate ajira ...hata umshaur ajiajili au umuwezeshe ajiajiri hataki et kwa hiyo mm nimesoma bule tu ...sintakua nimepoteza muda... Ni shida kwa kweli

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 10 місяців тому

      Si watoto wa sikuizi kwani waswahili tangu kitambo wanaona kuajiriwa ndio vizuri, huwe mwalimu hupo kwenye kitengo fulani serikalini basi hapo wazee wanajivuna kila wakati na hadithi inakuwa ni wewe tu huku na majigambo 🤣lakini hawajui kuwa u mtumwa so na swala watoto ni kwasababu hawajaona mfano katika njia nzuri kutoka kwa wazazi wao, kwani wewe mzazi ndio mfano wa kwanza kwani maisha ni mfumo , kama wewe mwenyewe patupu basi ata huo uzao wako unakwenda hivyo na vinginevyo ni bahati tu hao watoto wapate knowledge yakujua mambo hayo yataka yaende vipi

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 10 місяців тому +1

    Huyu kaka anajielewa sana kajivu vizur kuhusu bandali safi sana

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 9 місяців тому

    Kuna mdada apo anaonekana ajapenda wagen waje

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 10 місяців тому +5

    Tatizo watu wanasema walipoanzia na kisha walipo sasa ila hawasemi mchakato wa hapo Between poor to rich

    • @user-rv7zt6tj3d
      @user-rv7zt6tj3d 10 місяців тому +6

      Hicho ndicho binadam anataka kuskia ila hatak kuskia changamoto zote mpk kufika hapo na hakuna atayekwambia maan changamoto zinatofautian yawezekana ukaanza wewe kilimo lkn mapito yake yakawa tofaut na wewe na kamwe hazifanani so ukitaka kufanya jambo fanya na hakuna kazi au jambo lisilona changamoto so ukiendelea kusubiri waliofanikiwa wakwambie ni risk gan wamepitia utakufa maskin, uthubutu ndio unamfikisha mtu alipo sasa lasvy mtaaendelea kuamin kuna sehem wanatoa pesa 😂 utalaumu bure amka na thubutu

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 10 місяців тому

      @@user-rv7zt6tj3d 🤝🤝🤝 huo ndiyo ukweli mm na weza kwambia nimeanza kujitafuta kwenye kilimo huu ni mwaka wa5 napanda na shuka na kila ninapo shukua nakuwa nakitu kipya nimejifunza na naweza kusema mpaka nije kusimama na kuwa imara ni miaka 5 ijayo changamoto kwenye kilimo au kitu chochote ambacho MTU huamini kua siku moja atafanikiwa na kuwa tajiri kina mauza uza kibao Kuna ushirikina upo ndani na Kuna kulogwa na kila atakeye umia na mafanikio yako kwahiyo changamoto azifanani kabisa ni asilimi chache Sana utakuta Zina fanana

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 10 місяців тому

      Unataka uambiwe kila kitu 🤣🤣

    • @user-rv7zt6tj3d
      @user-rv7zt6tj3d 10 місяців тому

      @@Mpakauseme 🤣

    • @priscamwabulanga5294
      @priscamwabulanga5294 10 місяців тому +1

      Sasa akisema kila mchakato aliopitia si kipindi kitachukua miaka mingi kuisha

  • @mwasangwaleagriculturalact8510
    @mwasangwaleagriculturalact8510 10 місяців тому +2

    Sawa kilimo