Habari boss Masanja. Hongera kwa kazi nzuri. Nasikitika sikupata taarifa hii mapema uwenda nami ningekuwepo kny msafara. Nina maswali mawili? 1. Kukodi shamba ni bei gani au napataje Shamba heka au Plot? 2. Ln kutakuwako na tour nyingine? Ahsante na Barikiwa.
Habari boss Masanja.
Hongera kwa kazi nzuri.
Nasikitika sikupata taarifa hii mapema uwenda nami ningekuwepo kny msafara.
Nina maswali mawili?
1. Kukodi shamba ni bei gani au napataje Shamba heka au Plot?
2. Ln kutakuwako na tour nyingine?
Ahsante na Barikiwa.
Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri,. Pia ninatamani kufahamu tour nyingine,, maana nilikuwa na hamu ya kuwepo pia, na naskitika sikupata taarifa!
Kama ngano tu.kilimo changano ni km mpunga
😊 sawa masanja kwa kilimo
Mungu akuinue zaidi mt
Mpe hi pastor Michael
Mafunzo mazuri sana ❤
Naomba namba yako na mimi nataka kulima
mimi nahitaji kujifunza zaidi nawapataje
Ninaomba kupata mawasiliano yenu please
Hapo niwapi
Niwapi hapo
Mbarali mbeya