- 27
- 93 308
MCHONGO WA KILIMO
Приєднався 2 лют 2023
bongo land
MASANJA MKANDAMIZAJI: UPATIKANAJI WA MAJI SHAMBANI (Shamba Tour)
MASANJA MKANDAMIZAJI: UPATIKANAJI WA MAJI SHAMBANI (Shamba Tour)
Переглядів: 1 951
Відео
MASANJA MKANDAMIZAJI: HII NDIO BREAKFAST YA SHAMBANI( Shamba Tour)
Переглядів 2465 місяців тому
MASANJA MKANDAMIZAJI: HII NDIO BREAKFAST YA SHAMBANI( Shamba Tour)
MASANJA MKANDAMIZAJI: TOFAUTI YA KILIMO CHA KISASA NA KILIMO CHA ZAMANI (shamba Tour)
Переглядів 1,4 тис.5 місяців тому
MASANJA MKANDAMIZAJI: TOFAUTI YA KILIMO CHA KISASA NA KILIMO CHA ZAMANI (shamba Tour)
MASANJA MKANDAMIZAJI: KUNA KIPINDI MPUNGA AUTAKI MAJI (Shamba Tour)
Переглядів 6025 місяців тому
MASANJA MKANDAMIZAJI: KUNA KIPINDI MPUNGA AUTAKI MAJI (Shamba Tour)
MASANJA TWENZETU SHAMBANI ( SHAMBA TOUR)
Переглядів 1,4 тис.6 місяців тому
TWENDE ZETU SHAMBANI!! ANDAA PESA YA NAULI CHAKULA NA MALAZI KAMA LAKI 3 TUU, KISHA OMBA RUHUSA KAZINI TAREHE 9/2 KWENDA TAR 12/2 TUNARUDI! (Kilimo Burudani)
IPM NDANI YA SHAMBA TOUR YA MASANJA MKANDAMIZAJI ( Mchongo wa kilimo)
Переглядів 516Рік тому
IPM NDANI YA SHAMBA TOUR YA MASANJA MKANDAMIZAJI ( Mchongo wa kilimo)
MASANJA: MMOJA KATI YA WALIO ONA FAIDA YA SHAMBA TOUR (mchongo wa kilimo)
Переглядів 514Рік тому
MASANJA: MMOJA KATI YA WALIO ONA FAIDA YA SHAMBA TOUR (mchongo wa kilimo)
MASANJA: JINSI YA KUPATA MCHELE GRADE 1 MASHINENI (shamba tour)
Переглядів 11 тис.Рік тому
MASANJA: JINSI YA KUPATA MCHELE GRADE 1 MASHINENI (shamba tour)
MASANJA: GHARAMA ZA KUMLIPA MFANYA KAZI SHAMBANI (shamba tour)
Переглядів 6 тис.Рік тому
MASANJA: GHARAMA ZA KUMLIPA MFANYA KAZI SHAMBANI (shamba tour)
MASANJA: INAITAJIKA UMAKINI MDA WA KUVUNA MPUNGA (mchongo wa kilimo)
Переглядів 11 тис.Рік тому
MASANJA: INAITAJIKA UMAKINI MDA WA KUVUNA MPUNGA (mchongo wa kilimo)
MASANJA:AINA MBILI (2) ZA UPANDAJI WA MPUNGA ( shamba tour)
Переглядів 2,5 тис.Рік тому
MASANJA:AINA MBILI (2) ZA UPANDAJI WA MPUNGA ( shamba tour)
MASANJA: UTOFAUTI WA KUVUNA KWA MASHINE NA KUVUNA KWA MIKONO. (Mchongo wa kilimo)
Переглядів 853Рік тому
MASANJA: UTOFAUTI WA KUVUNA KWA MASHINE NA KUVUNA KWA MIKONO. (Mchongo wa kilimo)
MASANJA: SISI KAMA SISI NDANI YA SHAMBA TOUR (mchongo wa kilimo)
Переглядів 155Рік тому
MASANJA: SISI KAMA SISI NDANI YA SHAMBA TOUR (mchongo wa kilimo)
MASANJA: MMOJA KATI YA WALIO ONA FAIDA YA SHAMBA TOUR (mchongo wa kilimo)
Переглядів 410Рік тому
MASANJA: MMOJA KATI YA WALIO ONA FAIDA YA SHAMBA TOUR (mchongo wa kilimo)
MASANJA: HII NDIO MAANA NZIMA YA KUKUPA SHAMBA TOUR ( mchongo wa kilimo)
Переглядів 1,3 тис.Рік тому
MASANJA: HII NDIO MAANA NZIMA YA KUKUPA SHAMBA TOUR ( mchongo wa kilimo)
MASANJA: HII NDIO STOR MWALIMU WA MATH ULISEMA ATUENDI HAPA NI WAPI (mchongo wa kilimo)
Переглядів 28 тис.Рік тому
MASANJA: HII NDIO STOR MWALIMU WA MATH ULISEMA ATUENDI HAPA NI WAPI (mchongo wa kilimo)
MASANJA: MPUNGA UNAVYO KAUSHWA KABLA YA KUUZWA( mchongo wa kilimo)
Переглядів 4,5 тис.Рік тому
MASANJA: MPUNGA UNAVYO KAUSHWA KABLA YA KUUZWA( mchongo wa kilimo)
MASANJA: NI JINSI GANI MCHELE UNAPIMWA KWENYE MASHINE ( mchongo wa kilimo)
Переглядів 507Рік тому
MASANJA: NI JINSI GANI MCHELE UNAPIMWA KWENYE MASHINE ( mchongo wa kilimo)
MASANJA: KAZI KUBWA ANAYOIFANYA MUEKEZAJI KATIKA SHAMBA LAKO (shamba tour/ mchongo wa kilimo)
Переглядів 2,5 тис.Рік тому
MASANJA: KAZI KUBWA ANAYOIFANYA MUEKEZAJI KATIKA SHAMBA LAKO (shamba tour/ mchongo wa kilimo)
Masanja_ MCHONGO KILIMO: DANIEL MSECHU (Host by IPM)
Переглядів 776Рік тому
Masanja_ MCHONGO KILIMO: DANIEL MSECHU (Host by IPM)
Masanja_ MCHONGO KILIMO: Dr MUSSA MPAYO (Host by IPM)
Переглядів 608Рік тому
Masanja_ MCHONGO KILIMO: Dr MUSSA MPAYO (Host by IPM)
MCHONGO KILIMO: Pastor DANIEL LEMA (Host by IPM)
Переглядів 1,4 тис.Рік тому
MCHONGO KILIMO: Pastor DANIEL LEMA (Host by IPM)
MCHONGO KILIMO Introduction ( Masanja Mkandamizaji)
Переглядів 398Рік тому
MCHONGO KILIMO Introduction ( Masanja Mkandamizaji)
MCHOGO WA KILIMO na Masanja mkandamizaji
Переглядів 4,1 тис.Рік тому
MCHOGO WA KILIMO na Masanja mkandamizaji
Naomba nilime na mimi mwaka
Habali kaka zakazi
Kaka mm ninashida ya machine ya mpunga nahitaji kuongea na wewe kidogo kaka niko siliasi
Katika Iman kila kitu kinawezekena ,mali na vijavyo Dunia ni mali ya Mwenyez MUNGU,
Kama ngano tu.kilimo changano ni km mpunga
Hapa ni sehemu gani
Kazi nzuri unafanya mtumishi wa Mungu 👏👏
Mimi naitwa isack jerome nipo dodoma naitaji kulima mbalali ila sijui bei yakukodi heka ni shingapi?
Naomba namba yako na mimi nataka kulima
Hizo zinzoonekana ni Utalii zaidi Shamba ni kusimamia gharama na matendo sio mastoriii hayasaidii sana
Yote sawa Kwa ujumla kabla ya kufanya maamuzi gharama za kuendesha Hekta moja ya Mpunga kwa wastani ni Shs ngapi?
Usiniache siku nyingine
Big up sana ndugu, kilimo kina nafasi kubwa sana ya kuajiri vijana, maeneo tunayo makubwa tu na soko ni kubwa
You are amazing brother, be blessed 🙏🙏
😮😮😮😮😮😮 biG up
😊 sawa masanja kwa kilimo
Within 5 years i will be on way to be like you
Tapping the blessings 🙏
Apo niwap
ASANTE KWA KUFATILIA
Hii nzuri sana ngw’anawane, kujifunza kwa kuona ni bora zaidi ya nadharia. Hongera kwa kuwa mwalimu wa vitendo kwa wengi
masanja mimi nahitaji lakini niko mbali unanisaidiaje nataka kufanya iyo biashara
mimi nahitaji kujifunza zaidi nawapataje
kaka angu na mimi nahitaji kulima
Duniani hakuna tajili mkurima bari mkulima ni mjasiliamari sawa.sawa.kiulize huyo ndooo walikua wanampambanisha na mond kweli yaniii hayo magunia yote ni show moja2 ya mond
Mazafaka mbona huna akili mtt wa show za kiume hizo kma huamini pole
Hujui nini maana ya kilimo
@@user-tq6st3gz5f nayo kazi hiyo au uchafu
@@enemtv4637 hahaha wasimbe
@@user-tq6st3gz5f hahahaha hiyo sio kaziii bro
Ninaomba kupata mawasiliano yenu please
Shalom watu wa Mungu OK niliomba kuonana na kikundi hiki ninawapata wapi wapendwa
Dah! cjui nakosea wap maana!
Wasanii watabaki Wasaani ukiwaiga maisha Yao umeuawa.Yupo kwenye ghala la Taifa la kihifadhi mazao anadai la kwake
We Masanja analima sana kama huamini nenda Kapunga kuanzia mwezi wa kumi nambili mpaka mwezi wa kwanza uko Kapunga wilayani mbaral utamuona Masanja na company yake mashamban uko na hatanii katka kilimo
Huyu kwa kilimo ni moma
Mr Masanja, you need a trained agricultural officer to explain your approach scientifically. It would make more sense if you include that person in your next tour.
Kuna watu hawaamini kama kilimo kinalipa
Msimu una kakibia
Hujasema kuhusu kugredi sasa ambacho ndokichwa Cha habari
Hakika kilimo kinatoa kimaisha
Mafunzo mazuri sana ❤
Wadanganye hao unao wadanganya, biashara inayo kuingizia hela tunaijua na wanao kulinda kwemye system tunawajua
ni ipi iyoo wanasiri kubwa hawa mioyo yao
dona AKA Sembe na biashara haramu ya kusafirisha watu uarabuni@@sabihaibrahim143
Tafuta pesa kijana wivu hauwez kukupa pesa
Hata kama unachokisema ni kweli, Kwa kuandika hivyo unaonekana hujielewi.Mungu akuponye.
Masanja hajatamka kabisa kwenye hii clip kwamba hiyo ni store yake. Hivyo unamvamia kimakosa sana.
Nipo iringa RUAHA MILLING COMPANY LTD
Na hitaji mpunga tani zozote ulizo nazo
Hongera una leta hamasa kwa vijana kujiajiri kwenye kilimo badara ya kuhangaika na vibahasha na vimashahiri mijini na wa sanii wengine waige wa ache kuvaa milege na shanga mijini
Niwapi hapo
Mbarali mbeya
Shamba tour natamani seasoni 3 ije tena
Mungu akuinue zaidi mt
Njia za kujiunga zipoje?
Nataka kujiunga
Kujiungaa jaaman
Na hilo ngunia la kilo mia ni pesa ngapi nikitaka lifike mombasa kenya
Habali
Mwenyezi Mungu atujalie Daima
Ahsante tuko pamoja saana Mwenyezi Mungu atujakie Daima hakika huu ni wakati wetu na tusisite Tuko pamoja na Mwenyezi Mungu saa ya ukombozi ni sasa
Hamna panya humo
Uli mvahaa veyaa
Kwa muda sana tulikosa hivi vitu vya maana kutoka kwa mastaa wetu hii masanja umetisha sana