THE CLASSIC MASANJA PT 4 EP 1 : KAZI YA UKONDA WA DALA DALA /MKASA WA ZE COMEDY NA TAJIRI JACK PEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 кві 2024
  • Masanja ameweka rekodi ya kua mgeni wa kwanza aliefanya vipindi vinne katika kipindi cha The Classic,hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano haya ambapo anaelezea wakati alipokua konda wadala dala na chagamoto zake na changamoto za ndani wakati wanafnya vipindi vya Ze Comedy

КОМЕНТАРІ • 46

  • @ts9dna862
    @ts9dna862 3 місяці тому +2

    Sema episode zinachelewa sana hzi

  • @erickismail4205
    @erickismail4205 3 місяці тому +4

    Masanja bado tunamdai sana asee

    • @wilbertephlaim2812
      @wilbertephlaim2812 3 місяці тому

      Yaaaaaan masanja hata hachoshi kumsikiliza kabisaaaa, tunaomba aje tena na tena

  • @rubenben-gg2vt
    @rubenben-gg2vt 3 місяці тому +1

    Umekata story ya ukonda mzee umeniboa mzee

  • @nicenice3881
    @nicenice3881 3 місяці тому +2

    Akija amalizie kwenye ukonda

  • @joycemwamafupa8941
    @joycemwamafupa8941 3 місяці тому +1

    Arud Tena tunamdai sanaaaa

  • @tasukutechnologies2573
    @tasukutechnologies2573 3 місяці тому +3

    Anaweza kutengeneza movie based in true story

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 3 місяці тому +1

    Very interested story 😊

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 3 місяці тому +1

    KITUKWE GUY

  • @dengahmediatz1230
    @dengahmediatz1230 3 місяці тому +1

    Dakika chache sana

  • @sarunioleksaitoty2141
    @sarunioleksaitoty2141 3 місяці тому

    Kitukwe Guy😂😂😂 aendeeeee tunafurahia sana mambo yake

  • @barakaekuro
    @barakaekuro 3 місяці тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @patrickgondwe1813
    @patrickgondwe1813 3 місяці тому

    Lovely interview

  • @davidkamando9630
    @davidkamando9630 3 місяці тому +3

    Haya maisha aiseh! Mpaka upiga debe na mateja!? Yaani Unaweza mcheki mtu ukamchukulia oya oya au kumuhukumu lakini??!! Daah!
    Kuna mstari mmoja wa wimbo wa ben pol ft darasa kuna mstari unasema "nikikusimulia nlipotoka naona kama hunisomi, labda nikufungulie chest now you can really know me..
    Daah!! Masanjaa! Hapana aiseh... Na hapo usikute kidogo sana kaeleza...

  • @drmamu1623
    @drmamu1623 3 місяці тому

    Its stories like this zenye uhalisia

  • @kiballakstakintu4494
    @kiballakstakintu4494 3 місяці тому +2

    Aisee napenda sana kumskiliza mkandamizaji lifestyle yake ni funzo tosha Kwa maisha yetu ya unga unga Mwana, Kwamba Cha kuzingatia ni kuamin Mungu yupo na kutokata tamaaa

  • @yassinuddi
    @yassinuddi 3 місяці тому +2

    What happen? Upande wa ukondo mbona story imekatwa halafu ikaenea mbele sana?

  • @user-qy2lq7et5m
    @user-qy2lq7et5m 3 місяці тому +1

    Oya mtangazaji umezingua sana mbona umekatisha story ya konda

  • @mycolumic20
    @mycolumic20 3 місяці тому

    Me isubili sana

  • @edinamkubwa2629
    @edinamkubwa2629 3 місяці тому

    Hakika mafanikio ya Kweli na sahihi lazima upambane Kweli Kweli!! Nakubali masanja story yako imenifanya niinuke Tena baada ya kukata tamaa... Unarikiwe pastor

  • @johnmwandu2116
    @johnmwandu2116 3 місяці тому

    Jamaaa huchoki kumsikiliza

  • @pressuresmasululi4212
    @pressuresmasululi4212 3 місяці тому +1

    Atumalizie kwenye ishu ya ukonda

  • @imaiskaka8305
    @imaiskaka8305 3 місяці тому

    😊

  • @mhangwacastory8765
    @mhangwacastory8765 3 місяці тому +2

    Masanja unatakiwa umpe siku nzima

    • @zakrinoh
      @zakrinoh 3 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @shavasjohnkay-cw8lg
    @shavasjohnkay-cw8lg 3 місяці тому

    Umenikumbusha sana starlet gari yangu ya kwanza kabisa, ila mimi niliuziwa laki 4 na mch Mboma😂

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 3 місяці тому

    Duuuu

  • @user-vw7xw5tq2k
    @user-vw7xw5tq2k 3 місяці тому

    Ila masanja story zake hazichoshi aisee😅😅 andelee bwna

  • @user-st7my5gk8i
    @user-st7my5gk8i 3 місяці тому

    Maadhbutiiiiiiii😅😅😅

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 3 місяці тому

    Masanja alikuwa anauwa paka kwenye daladara za usiku(kuuwa paka)

  • @georgenathanael
    @georgenathanael 3 місяці тому

    Masanja arudi Tena na Tena dah! 😂

  • @innocentmathias8668
    @innocentmathias8668 3 місяці тому

    Masanja anavyohadithia story yake kama sio magumu aliyopitia

  • @roycegoodluck2278
    @roycegoodluck2278 3 місяці тому

    Arudi tena

  • @kingcole60
    @kingcole60 3 місяці тому

    Atoe documentary ili tusimdai

  • @homan_nkwama
    @homan_nkwama 3 місяці тому +2

    Mtaani jamaa kibao tumejikuta tuna AUDIO INTERVEW TULIZO DOWNLOAD YUTUBE sababu ya MASANJA ...nimeshangaa watu wa 4 kila mtu anayo....duuu

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  3 місяці тому +1

      Respect 🫡

    • @tadeith7027
      @tadeith7027 3 місяці тому

      Hata mimi amefanya niamke tena nianze kupambana na kufanya nimheshimu tena na tena

  • @ramermohamedy4344
    @ramermohamedy4344 3 місяці тому +8

    Oya...Mbona umemkata kwenye ukonda??? Unazengua bob

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 3 місяці тому

    Bro Jabir nakukubali sana maana unajua mashabiki zako tunataka nani

  • @BETConlineTVTZ
    @BETConlineTVTZ 3 місяці тому

    ua-cam.com/video/1qSlTNDn4LU/v-deo.html INSTUMENTAL BEAT PIGANA NA MUNGU BY OBY ALPHA

  • @niggahoodthemc9156
    @niggahoodthemc9156 3 місяці тому

    ✊🏿👮🏿‍♂️

    • @innocentmushi1550
      @innocentmushi1550 3 місяці тому

      Oi Niggahood Mc, mtu wa hip hop sana wewe, salute 🫡🫡✊🏾✊🏾.