WALE MNAOULIZA KUHUSU NAMNA YA KUMPATA EDA NA INSTAGRAM YAKE NI 0735-28-28-11, 0747-75-35-66 INSTAGRAM NI @classic_finishesTZ @mkeka_wa_mbao-original DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI
Hongera kwake. Kuna kujipata kwa kushikwa mkono na familia (family background) alafu kuna kujipata kuanzia zero ..wewe kama wewe. Wengi waliofanikiwa hawaweki wazi wamefanikiwa vip. By the way maisha yana formula na kila mtu anaformula yake. Ijue formula yako tembea humu....
MashaAllah 🙏🙏🙏kila kitu ni hatua,if you dont jave the patience and passion for something lazima utapata ugumu katika harakati za maisha. Tatizo sio mtaji,bali passion na uelewa wa kutosha wa biashara iyo,ukiongeza na uvumilivu na ustahimilivu ,ukamtegemea Mungu lazima utoboe. God's time is the best time,as long as bado upo hai usikate tamaa,
Biashara ni ngumu sana mwanzoni usipotuliza akili unaweza kuchanganyikiwa na pia kuanguka ni kawaida wakati unaanza biashara mimi pia nilifanya biashara zaidi ya nne ndo nikaja kupata ramani, vingine nilikuwa nafunga mpk baadhi ya vitendea kazi vipo nyumbani. Ila niwaambie wapambanaji wenzangu ni mara chache sana kuanza biashara ya kwanza ukatoboa kupitia hyo hyo aisee. Biashara za awali kabla hatujasimama zinakuwa zinatupa lesson
Dada wewe umetisha maana mtu aliyewaza kufanya kitu kama Nicholas, kila siku naangalia movie za Kenya najiuliza hizi Floor ni marumaru au ni floor ya kawaida, now iam happy
Izo biashara 7 umezifafanya kwa muda gani ndani miaka mi 5 inamaana kila biashara umeifanya ndani ya miezi 8 ni bado sio kipimo cha biashara icho biashara inaitaji muda na uvumilivu ungevumilia ata izo biashara zingine zingakufikisha sehem
Niko belgium, hilo ni plastic tena halihamishiki , good idear kwa matumizi ya kitchen floor, and birthroom floor sababu iko na water resistant. Sema sio kitu cha kudumu na kinaharibika haraka na ni cha bei rahisi. Tofauti na laminaat.
Ni kweli kaka mimi pia nimefanya biashara nne naanguka since 2020 nilipoamua kuacha kazi na kujiajiri mpaka nilipokuja kukaa kwenye mstari last year. Mungu mwema japo kuna waliokuwa wananikatisha tamaa, kunicheka, na mengine mengi. Ila kwa vijana wenzangu wapambanaji mkae mkijua kuwa ni mara chache sana kuanza na biashara moja na ukatoboa kupitia biashara hyo hyo, so ingine inakuwa km mafunzo ya awali downfalls ni kawaida kwenye utaftaji
SAHIHI KABISA BORA MKOMBOZI UMEKUJA CEMENT NA MCHANGA SOMETIME NI GHARAMA BORA TUMEPATA SOLUTION NITAWATEMBELEA DUKANI KWAO KUPATA ELIMU ZAIDI ....NIMEONAA VITU VIZURI SANA
Wewe dada huwezi kuweka plastic juu ya tiles nzuri, hizi kwa nchi za watu wengine zinawekwa jikoni kwenye nchi zenye carpet lakini uweke hiyo kwenye nyumba zenye tiles za ghali
nunua baiskeli ya laki moja na nusu.... beba viatu vya mitumba za laki moja ata sio nyingi.... tembea maeneo za sinza na mbagala kwa miezi mitatu... na kila yule ukimuuzia mpe namba zako za simu asambaze kwa wandugu na marafiki.... hii laki 5 isipo geuka kuwa milioni mbili kwenye miezi mitatu basi utanisomea albadiri....
Hem ww dada tuache unapewa mtaji na unajaribu tena wakat mm nimeli mara tano na maraya mwishi nikabdi nilipe maden ndo nitfte mtaji niakuza bandalang apo ndio nmeona njia siaba tuache unajua kupambana na kujirski wacha kusumbua ww si unadanga tu
WALE MNAOULIZA KUHUSU NAMNA YA KUMPATA EDA NA INSTAGRAM YAKE NI 0735-28-28-11, 0747-75-35-66 INSTAGRAM NI @classic_finishesTZ @mkeka_wa_mbao-original DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI
Àsante Millard Naamini umetubariki wengi
Hongera kwake. Kuna kujipata kwa kushikwa mkono na familia (family background) alafu kuna kujipata kuanzia zero ..wewe kama wewe. Wengi waliofanikiwa hawaweki wazi wamefanikiwa vip. By the way maisha yana formula na kila mtu anaformula yake. Ijue formula yako tembea humu....
Exactly 💯
Hongera haya girl your so smart g
Hongera sana CEO kwa kutupatia solution ya afya zetu kwa kuleta mkeka wa mbao na bedhaa ambazo ni unic 🔥
Asante sana
Hongereni sana, wale tunaofanya interior designing na ujenzi tuwashauli wateja wetu wachukue hizo bidhaa nzuri na adimu, binafsi nimezikubali, unique & bright ideas za madam
Eda kama Eda very smart hongera sana my Met Ngaza1 hiyooo
Nimeipenda sana ni nzuri, tupe kazi hiyo Madam Eda
Hiyo product ni nzuri sana big up sana
Nitakutafuta ukatuwekee nyumbani kwetu lushoto ❤❤❤❤❤ nimeupenda mkeka wa mbao ❤❤❤❤
Napenda sana moment kama izi uwe unatupa mara kwa mara
Kongole kwako dada Eda,kweli mtafutaji hachoki… furahia matunda ya juhudi na kutokukata tamaa💪
MashaAllah 🙏🙏🙏kila kitu ni hatua,if you dont jave the patience and passion for something lazima utapata ugumu katika harakati za maisha.
Tatizo sio mtaji,bali passion na uelewa wa kutosha wa biashara iyo,ukiongeza na uvumilivu na ustahimilivu ,ukamtegemea Mungu lazima utoboe.
God's time is the best time,as long as bado upo hai usikate tamaa,
Helloo my dada! I bless you...
Tunashukuru kwa kujitolea Mkeka kwa Kanisa letu!!!
God bless your family and your business!!
Welldone sister, Nina kibiashara changu usafirishaji, semi trailer. Tujuane, niwenasafirisha mizigo yako,
Correct ur words sister don't say kabiashara
Toa namba dear
She is 2 natural cutieee❤🙌
Biashara ni ngumu sana mwanzoni usipotuliza akili unaweza kuchanganyikiwa na pia kuanguka ni kawaida wakati unaanza biashara mimi pia nilifanya biashara zaidi ya nne ndo nikaja kupata ramani, vingine nilikuwa nafunga mpk baadhi ya vitendea kazi vipo nyumbani. Ila niwaambie wapambanaji wenzangu ni mara chache sana kuanza biashara ya kwanza ukatoboa kupitia hyo hyo aisee. Biashara za awali kabla hatujasimama zinakuwa zinatupa lesson
atamimi biashara mbili sasa
She is so inspiring ❤
Mungu akuinue zaidi Edda big up
Kitu kizuri sana👏 sema wabongo kama tunavyo wajua wakiona hiii watu wengi wataiga mnooo tutarajie kuletewa feki za china sasa😂😂😂
CHINA hizo zipo na ndio wazalishaji , ulaya wananunua china pia,
Nganza moja hiyoo congratulations Eda😊❤
God Bless you
Very beautiful with brain
Inaamsha akiri, Hongera Eda
Unatuinspire Wengi Boss 🔥🔥
Hongera binti
Nitakuwa mteja wKo soon 🙏❤️💕
Hongera sana dada.nazidi kujifunza
Safi sana. Kuna mengi ya kujifunza kwake
Asante sana
Kaka mkubwa
@@classicfinishestz hongera sanaa sanaaa
Da Mungu nione na Mimi nimeteseka sana kuthubutu nathubutu sana
Mungu akusaidie sana 🙏🏾
Jifunze unakosea wapi? Endelea kuthubutu. Utatoboa.
Aise Safi saana
huyu dada ana background nzuri sana na anajisoma pia ana moyo wa kuelewesha wengine
Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya kujitafuta na kijipata na kushikwa mkono na ndgu zake pomoja na mumewe
Aiseee so impressive 😊❤
Zipo huku Europe, hilo ni kapet la plastics lkn kuna mbao kabisa ambazo ni LAMINAAT
Vizuri sana mdogo wangu ubalikiwe ❤❤
Asante sana
Enough to inspire ! #GoBigEda
Wooww kumbe kunahamishwa
She is so cute
Hongera sana Asiimwe.
Hiyo nzuri sana❤❤
Dada wewe umetisha maana mtu aliyewaza kufanya kitu kama Nicholas, kila siku naangalia movie za Kenya najiuliza hizi Floor ni marumaru au ni floor ya kawaida, now iam happy
Thank You so Much
Hongera sana❤
Vipindi kama hiv ni bora sana kaka millard ayo tunaomba uwe unatupatia sana sisi vijana tunaelimika
Izo biashara 7 umezifafanya kwa muda gani ndani miaka mi 5 inamaana kila biashara umeifanya ndani ya miezi 8 ni bado sio kipimo cha biashara icho biashara inaitaji muda na uvumilivu ungevumilia ata izo biashara zingine zingakufikisha sehem
Hongera sana Eda
mmmh faida Lukuki lakin mmh hatari
Vijana sasa tuelewe kwa sabab Ana watu waliomsaidia nyuma lkn angekuwa anahustle mwenyewe sio kirahisi
Usitudanganye wewe sapoti ulikuwa unaipata kutoka kwa ndugu na wapenzi nitofauti na sisi Jeshi lam2 mmoja japo utakiwi kukata tamaha
Bei ya huo mkeka wa mbao ni sh ngapi? Mfano chumba cha mita 3x3x room 4?
Hongera mno dada
that winning mind >>>
Niko belgium, hilo ni plastic tena halihamishiki , good idear kwa matumizi ya kitchen floor, and birthroom floor sababu iko na water resistant. Sema sio kitu cha kudumu na kinaharibika haraka na ni cha bei rahisi. Tofauti na laminaat.
Usitutishe na Belgium Yako bhn😅
Kwa hiyo mda huu unapoandika upo ubegiji 😂😂
Birthroom you mean labor room or? Carpet za plastic za kawaida tunahama nazo sasa why mkeka wa mbao tusihame nao? Be positive na biashara za watu
Yes kuanguka mara nyingi ni lazima ili usimame🎉
Kabisa Asante sana
Ni kweli kaka mimi pia nimefanya biashara nne naanguka since 2020 nilipoamua kuacha kazi na kujiajiri mpaka nilipokuja kukaa kwenye mstari last year. Mungu mwema japo kuna waliokuwa wananikatisha tamaa, kunicheka, na mengine mengi. Ila kwa vijana wenzangu wapambanaji mkae mkijua kuwa ni mara chache sana kuanza na biashara moja na ukatoboa kupitia biashara hyo hyo, so ingine inakuwa km mafunzo ya awali downfalls ni kawaida kwenye utaftaji
Wengi tumeanguka sanaa ila tunazidi kupambana hatukati tamaa
Hongera
Asante sana
Leads elewaha hapo mtaji alipata kwa kupata support kwa ndugu na jamaa😂😂
Hongera sana Asiimwe!
Waaooo!🎉❤
Vipi kuhusu moto? Mkeka wa mbao ukiangukiwa na Kaa la moto una resist vipi?
Mume wa maana kabis😂😂😂
😂😂
Toto kafanana babake.cheus beauty
SAHIHI KABISA BORA MKOMBOZI UMEKUJA CEMENT NA MCHANGA SOMETIME NI GHARAMA BORA TUMEPATA SOLUTION NITAWATEMBELEA DUKANI KWAO KUPATA ELIMU ZAIDI ....NIMEONAA VITU VIZURI SANA
Unapatikana wapi dd
Tafadhali Milard nipatie connection nae nahtaji fursa hyo
Vijana wengi Wana uwezo shida ni mtaji
Shida sio mtaji @AluminiumMandela vijana wengi hawana uwezo wa kufanya biashara wengi tumekosa elimu ya kuendesha biashara h
@@SwaibuBilali uko sahihi Saaana tena saaana
Uko sahihi pia
@@SwaibuBilaliukweli ndo huo pia hakuna uwaminifu
Wewe dada huwezi kuweka plastic juu ya tiles nzuri, hizi kwa nchi za watu wengine zinawekwa jikoni kwenye nchi zenye carpet lakini uweke hiyo kwenye nyumba zenye tiles za ghali
Ooh Na USA wanatumia gundi
dada asante nimedaka kitu hapa
Good struggling
Yeye mwenyew amebeba ajira Kwa iyo anajiajiri tu
Inaitwa vaino flo sio vino froling
Bei ipoje?
That's nice, nimeona wanawake wana improve sana kuliko men
Asante sana
Improve na wewe
@@jrsaid4270 hahahahahaha, usijali
Most of wealthy people in the world ni wanaume. Wewe hiyo research yako ulifanyia wapi?
@@isikesamike wealthy people n wanaume yes I agree ila unajua hata wanawake pia wana hela ?
Leta branch kahama
Naona nzi jamani amefikaje hapo shenzi huyuuu?
Congratulations!
Waaana kabisaaa
Hongera, Tuambie Duka liko Kariakoo Mtaa Gani.
Duka linaitwaje.
Tunaomba Namba ya Simu
Kariakoo, mtaa wa kiungani na nyamwezi
DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI, 0735282811 na 0747753566
Nyuma ya Biashara ya a mwanamke Kuna mwanaume awe baba/Mme/hawara/kaka nk
Boss wanguuuuuu
ulikuwa nazo maana wengine akianza biashara na akapoteza mtaji kupata tena ni issue
Ni kweli wengne wana wat wakuwashika mikono hat km sio pesa ila akadhamin upate pesa mahal.
Ni kweli nami nimeona hilo mtaji alikuwa nao au alikuwa na watu wa kumsaidia. All in all hongera kwake kwa juhudi mana pesa bila juhudi haisaidii.
Umenifunza jambo mpaka sasa nina biashara 3 nilizofanya mpaka nikachoka ila narudi
Arusha mko sehemu gani
Hongera sana
Nazipataje niko bukoba
Uliposema mabinti nmejihisi mm jamn
Mkeka wa mbao nikitaka kupata nitapataeje,nipo mkoani.
Exposure ni kitu muhimu sana
Dah tunaotafutaga kuajiliwa tunaonekanaje sijui dah wanangu kuajiliwa usenge
maashaallah
Tunaomba namba yake ili waje watuwekee kwenye nyumba zetu
DUKA LIPO KARIAKOO MTAA WA KIUNGANI NA NYAMWEZI, 0735282811 na 0747753566
Kwani hii sio carpet
Husband business in her name
uyu mhaya ila Sasa mm Niko na mtaji ila pakuanzia Sina Wala mawazo jmn nisaidie piah kitu gani naeza fanya nchin ya laki 5
nunua baiskeli ya laki moja na nusu.... beba viatu vya mitumba za laki moja ata sio nyingi.... tembea maeneo za sinza na mbagala kwa miezi mitatu... na kila yule ukimuuzia mpe namba zako za simu asambaze kwa wandugu na marafiki.... hii laki 5 isipo geuka kuwa milioni mbili kwenye miezi mitatu basi utanisomea albadiri....
@@mohammedkhimji7505 duuh Asante kaka angu mm Niko bukob na cjui kuendesha bike ila Asante Kwa ushauri wako
Part two please
Inatia moyo kwa wale tulioanguka mara nyingi
Hii itawaamsha wengi walo lala
Hem ww dada tuache unapewa mtaji na unajaribu tena wakat mm nimeli mara tano na maraya mwishi nikabdi nilipe maden ndo nitfte mtaji niakuza bandalang apo ndio nmeona njia siaba tuache unajua kupambana na kujirski wacha kusumbua ww si unadanga tu
The problem mbona inakuwa nyingi.
mimi nina miaka zaidi ya kumi sjajipata
Ni kama mimi 😂😂😂😊
@@aishaabrahaman9957 usikate tamaa mimi sasahiv nasumbiliwa na mtaji tu lakin nimepata idea moja ya kuniinua sana
@@khamisswalehetushee mawazo ndh
Utajipata tuuu
Uwe unaleta story kama izi sawa Millard ayo
Bei yake ikoje? Niko Arusha nikitaka?
Chali yamta utajikomboa mwenyewe