MASANJA KAZI KUROGANA TUU/NJOENI TUPIGE KAZI SHAMBANI!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лют 2019
  • MASANJA KAZI KUROGANA TUU/NJOENI TUPIGE KAZI SHAMBANI!

КОМЕНТАРІ • 17

  • @balulasmtemela3991
    @balulasmtemela3991 5 років тому

    Katika mambo niliyojifunza mwaka huu kwako ni:
    1.Mungu na jeshi lake katika maisha
    2.Bidii ya Nazi
    3.Tumaini jipya kumbe kila kitu kinawezekana katika Kristo Yesu
    You are my role modal brother

  • @mwalumaganga8941
    @mwalumaganga8941 5 років тому

    Naomba namba ya simu ya mtaalamu Evaristo

  • @denismwalukunga8686
    @denismwalukunga8686 5 років тому

    Inapendeza kwa kweli hongera saana Emmanuel Mgaya

  • @agnessjosephath4330
    @agnessjosephath4330 5 років тому

    Mungu akutangulie kwenye kazi zako

  • @sallys7454
    @sallys7454 5 років тому

    Napenda Kazi yako Napenda tufanye Biashara nawe bro Masanja.. Nipe mawasiliano yako. Au yangu samira Smith Facebook. 🇩🇰 🇹🇿 🙏

  • @mlatapatrick4736
    @mlatapatrick4736 5 років тому

    Nakupenda sana

  • @hadijaabdallah5879
    @hadijaabdallah5879 5 років тому

    Nice

  • @isaaclusesa2079
    @isaaclusesa2079 5 років тому

    nice

  • @matungwapeter4098
    @matungwapeter4098 5 років тому

    Napenda sana kilimo kiukweli but nakosa capital nnayotaka what can I do brother masanja?

  • @dainesigebo7019
    @dainesigebo7019 5 років тому

    Asante nimejifuza kitu hapo

  • @jicholafursa7058
    @jicholafursa7058 5 років тому

    somo zuri,mana palizi ni shida

  • @nyakinyaki1702
    @nyakinyaki1702 5 років тому

    Duu! napenda sana masanja hata kuonana na ww

  • @ramadhanmanko4614
    @ramadhanmanko4614 5 років тому

    Hayabana

    • @happynyahoro7334
      @happynyahoro7334 5 років тому

      Mi nakupenda sana masanja namna unavyoelimisha, siyo mchoyo kabisa Mungu akubariki nitajipanga mwakani nije napenda sana kilimo.

  • @providencentibakazi5031
    @providencentibakazi5031 4 роки тому

    Habar Mr Mkandamizaji sasa hii ya Lilo ec 500 naipata wapi?nimeitafuta Mwz nimekosa naomba tuwasiliane kwa 0764086457

  • @amindadi24
    @amindadi24 5 років тому

    Nataka kulima ila sina mtaji kaka namba yangu ni 0658 247 653

  • @edsonndogoro3188
    @edsonndogoro3188 5 років тому

    Bwana evaristo hiyo rilo kiwango chako c sahihi! Hiyo rilo lita moja inatumika kupiga shamba la ekar mbili na nusu na cyo ekar mbili.