Huyu ndugu Raphael ni mzalendo halafu hapendi umaskini kivitendo...Mpaka kuwashika mikono wakulima wa kawaida kuwadhamini sio kitu rahisi kabisa... Mungu aweke hii spirit miongoni mwa vijana wa Tanzania pamoja na kwangu, ameeeni...💪
Asanteni sana millardayo kwa kutupia jicho uyole kwenye kiwanda cha mhele kwa hakika kila aliepata nafasi ya kuangalia hii interview amejifunza jambo kubwa sana
Mungu huwainua wanaomtegemea na kumuamini, vijana tuna jambo kubwa sana la kujifunza kupitia kwa huyo kaka, Mungu akubariki Ayo tv kwa kazi nzuri ya kutuonyesha fursa vijana wenzenu.
Hakika kuna habari unaweza ukaiona ukaamini kweli suala la habari ni taaruma na sio wanaodhani wakiingia kwakumweka modo wake furani wakati wanashindwa kufata masharti sheria taratibu na kanuni za taaruma ni dhahiri hakustahiri kuwa mwanahabari ninamakunyanzi moyoni mwangu juu ya wanahabari wanaoifarakanisha habari na wadau ila basi tu wameniita mlawiti muuaaji mara 2 mvamizi tena kwa vichwa vikuubwa vya habari iweje hapo
Usilete story za Mungu kwenye mafanikio ya mtu, siri ya mafanikio huwa anayo Anaemiliki mali na watu msibeze elimu kwa kuona darasa la Saba kafanikiwa, akikuambia siri zake utakimbia. Usione mtu ana pesa ukatamani ukaanza kusema sijui na wewe unaweza kuwa hivyo, na sio kwamba vijana hawajishughulishi wanajitahidi Sana ili waondokane na umasikini ila ndo hivyo. Siri anaijua yeye wachache ndo wataelewa hii sms
Kijana unapotosha uma Mungu anasema fedha na sababu ni vyake anauma ameombae omeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtaona bisheni mtafunguliwa so kwenye mafanikio Mungu kwanza mengine mtaongezwa
Mungu anavichagua vinyonge kuviabisha vikubwa ili asiwepo wa kujivuna. Inapendeza Rafael anapomtukuza Mungu ktk mafanikio yake. Na kwa ajili hiyo Mungu pia amemkweza. Kila ajishushae atakwezwa na vice versa. Barikiwa ndugu umekuwa mfano rahisi na wazi kabisa kuelewa na mzuri mno kwa vijana wote ktk Taifa hili. Play your part it can be done. Hongera sana Rafa.
Huyu kijana hata kama ameishia Darasa la Saba kwa sasa ana elimu ya kiwango cha digrii ya Chuo Kikuu katika biashara na uongozi. Hata anavyoongea kwa kujiamini na ufasaha ni wazi biashara anaijua vilivyo. Hongera sana Bw Rafaeli...!!
Jamaa nimemkubali saana na mungu na wazee wetu wambariki lakini akae mbali na bill na ma gmo hawa matajiri wa ulaya hawana lolote ni mashetani wanataka kukontro mazao duniani na kufanya biashara na nchi za nje ni tishio kwao mimi nakaa sauzi na mchele huku ni mbovu tunakula maplaastiki sizani kama watapenda kuona mchele mzuri hivi ni vita vyakiuchumi
Ni matajiri wachache wanaoamini kuwa si huwezo wao bali ni uwepo wa Mungu katika kutenda miujiza wengi huamini ni uwezo wao ila huyu kamuweka sana mbele Mungu am proud of him.
Brother nimependa jinsi unavyojieleza vzr hongera kaka na ss tutajifunza kupitia jitihada zako mungu awe pamoja na ww pia nimependa kaka jinsi unavyotembea majendo yako
Hakikaa amejua kumtafuta Mungu Kwa bidii zote. Nimejifunza kikubwa mno Leo.🙏 imebarikiwa mikono isiyotenda Kwa ulegevu + na juhudi + unyenyekevu. Mungu atusaidie sana asee.
Mr. Raphael.... uko smart akilini..... very smart... yaan unaongea vizur we baba.... uko na furaha wakati wote, unaongea kwa sauti ya ujasiri Sana......nimetambua juhudi zako baba...... endelea na safari, Mungu akawe kiongoz wako
Ninasonga mbele sirudi nyuma tena umenitia moyo wa la7 mwenzangu,tamanio langu ni nafaka biashara,nani amemskia kama Mimi anaongea kama Godbless Lema gonga like happ
Kweli umetoka mbali sana ,Tena unaroho ya huruma ulikuwa unatugawia hata sisi wakiwango cha chini unatupatia debe moja tunadunduliza maisha yanaenda, Ndio maana Mungu hajakuacha
Hongera sana brother nimeona kuna kitu nilichojifunza hapo inatakiwa kufanya kazi kwa bidii,ushirikishaji,na maarifa makubwa na bila kushindwa changamoto ni moja ya kujifunza,hongera bro.
Rapher group yuko vizuri sana hasahasa kwenye mahusiano (lugha)na wakulima na wafanyabiashara wa mazao wote anastahili kupewa zaidi na zaidi kwani ni msaada kwa wengi ukifika ofisini kwake huwezi amini ni milioner
Kweli usemavyo,,, kwasababu wasomi wengi wanatumia ufundi wa kupanga maneno matamu,lkn wenyewe wanakua na malengo yao ya siri,huyu jamaa anaongea kwa uwazi na kwaushahidi,,,hadanganyi.
Kwa kweli mimi nimefurahishwa sana na huyu Kaka, Mungu akubariki na kukuongezea Hekima kaka Raphael. Unagusa maisha ya watu wengi sana. Ni mnyenyekevu na una maono makubwa. Mungu akujalie uhai na afya njema ili uyafikie. Hizi ndio interview vijana tunahitaji. Ahsante sana timu nzima ya Ayo TV.
Nimevutiwa sana na Billionaire Raphael, hakika wewe ni mtu ambaye Mungu alikuinua kwa kusudi maalum kama alivyomuinua Musa ili awatoe wana wa ISRAEL utumwani.Mungu ameziona juhudi zako za kuwasaidia wakulima wadogo. MUNGU akuinue zaidi na zaidi ili hatimaye ndoto zako za kuwa Billionaire Mkubwa wa Kimataifa zifikiwe.
Mungu aibariki Tanzania mungu mlinde mamma yetu raisi wetu nä shari za kila kitu Kaka mungu azidi kukubariki kwani unaitanzania tanzania kwa kuwasaidia vijana
Hongera Sana Mr. Raphael na pia Hongera Sana Team ya Millard Ayo kwa ubunifu wenu katika kutuletea inspirational story mmekua ni Online TV ya kipekee yenye madini
Big up kaka umejibu vizuri swali LA sangoma kama ulivyosema ukweli wavivu hawakosi sababu Mara watasema kafanikiwa sababu ya sangoma Mara watadai hela ya kukopa ilimradi hamshushe mtu
Nimejifunza kitu hapa, kwamba boss wetu amesafiri. Yaani wafanyakazi wote mnakua sawa kabisa kama ni vumbi vumbi juingia kazini wa kwanza kutoka wa mwisho.
Ukiziishi ndoto zako kwa ufasaha lazima utoboe, Kuna watu walimuona mjinga lakini ye alikubali kuitwa hivo Ili TU aziishi ndoto zake, hongera billionaire rapha
Kama unaamini jamaa nijembe nimfano wakuigwa like hapa
💯💯💯 nakukubali saana Rafa
Ongela Kazinzuri Kaka
Kuuza Nnichi Zawenzetu Ukunyumbanikwenu Uwo Mchele
Adi sikukuu Kwer Wa Tanzania Matumainiyameshalejea Unauzagari Unanunuwagari Niyagani
Huyu ndugu Raphael ni mzalendo halafu hapendi umaskini kivitendo...Mpaka kuwashika mikono wakulima wa kawaida kuwadhamini sio kitu rahisi kabisa... Mungu aweke hii spirit miongoni mwa vijana wa Tanzania pamoja na kwangu, ameeeni...💪
Asanteni sana millardayo kwa kutupia jicho uyole kwenye kiwanda cha mhele kwa hakika kila aliepata nafasi ya kuangalia hii interview amejifunza jambo kubwa sana
Exellent
nimejifunza vitu vingi katika habari hii, thanx AYO TV , nawasihi vijana wezangu waisikilize hadi mwisho.
Nice motivation story
Wewe jamaa namimi nime msikia kaka
Mungu huwainua wanaomtegemea na kumuamini, vijana tuna jambo kubwa sana la kujifunza kupitia kwa huyo kaka, Mungu akubariki Ayo tv kwa kazi nzuri ya kutuonyesha fursa vijana wenzenu.
Hakika kuna habari unaweza ukaiona ukaamini kweli suala la habari ni taaruma na sio wanaodhani wakiingia kwakumweka modo wake furani wakati wanashindwa kufata masharti sheria taratibu na kanuni za taaruma ni dhahiri hakustahiri kuwa mwanahabari ninamakunyanzi moyoni mwangu juu ya wanahabari wanaoifarakanisha habari na wadau ila basi tu wameniita mlawiti muuaaji mara 2 mvamizi tena kwa vichwa vikuubwa vya habari iweje hapo
Vijana tuskate tamaa. Mungu niwetu chamsingi juhudi tu. Amen
Usilete story za Mungu kwenye mafanikio ya mtu, siri ya mafanikio huwa anayo Anaemiliki mali na watu msibeze elimu kwa kuona darasa la Saba kafanikiwa, akikuambia siri zake utakimbia. Usione mtu ana pesa ukatamani ukaanza kusema sijui na wewe unaweza kuwa hivyo, na sio kwamba vijana hawajishughulishi wanajitahidi Sana ili waondokane na umasikini ila ndo hivyo. Siri anaijua yeye wachache ndo wataelewa hii sms
Kijana unapotosha uma Mungu anasema fedha na sababu ni vyake anauma ameombae omeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtaona bisheni mtafunguliwa so kwenye mafanikio Mungu kwanza mengine mtaongezwa
Pia kasema kweli tupu kwamba ukitaka kufika mbali jenga uaminifu ujanja ujanja haukufikishi mbali very true
This is guy is genius, akili yake kubwa sana. Very inspiring. @Raphael Ndelwa Hongera sana
Nimerudia mala 3 kusikiliza iyo story big up Sana sir Raphael
Mungu anavichagua vinyonge kuviabisha vikubwa ili asiwepo wa kujivuna. Inapendeza Rafael anapomtukuza Mungu ktk mafanikio yake. Na kwa ajili hiyo Mungu pia amemkweza. Kila ajishushae atakwezwa na vice versa. Barikiwa ndugu umekuwa mfano rahisi na wazi kabisa kuelewa na mzuri mno kwa vijana wote ktk Taifa hili. Play your part it can be done. Hongera sana Rafa.
Mungu akutangulie Mkurugenzi,, mchango wako kwa Watanzania ni mkubwa, Mungu akupe zaidi ya hapo.
Safi sana mtanzania mwenzetu kwa mapambano mazuri, Mungu aendelee kukutunza na kusimama imara katika kampuni yako,ufike mbali zaidi ya hapo ulipo.
I like the attitude of this billionare for acknowledgement of Almighty Allah in his success.
Asante Ayo kwa kutuletea huyu jamaa ,nimejufunza sana mungu aendelee kuwapa nguvu ya kutuletea stori zenye mafunzo kama hii.
Huyu kijana hata kama ameishia Darasa la Saba kwa sasa ana elimu ya kiwango cha digrii ya Chuo Kikuu katika biashara na uongozi. Hata anavyoongea kwa kujiamini na ufasaha ni wazi biashara anaijua vilivyo. Hongera sana Bw Rafaeli...!!
Jamaaaa liko vizuri hongera Raphael serekali wasupport yeni Hawa jamaaa watusaidia tu create ajira mungu akubariki
Nimefarijika sana🙏🙏🙏 Mungu Ahsante Kwa zawadi ya watu kama Hawa dunian
Masha Allah ukimueka mungu mbele kila kitu kinawezekana insha Allah keep it up Mr Rafael
Ongera sana nimefurai sana kumuona mtanzania km ulivyo wewe mungu akubariki mim niko oman naipenda sana tanzania mungu aibariki tanzania
Mingu akubariki na watu wako wote. Kama una watoto wasomeshe kwa kiwango cha juu. Nakupongeza Unaweza na Mungu awe nawe. Amina
Jamaa nimemkubali saana na mungu na wazee wetu wambariki lakini akae mbali na bill na ma gmo hawa matajiri wa ulaya hawana lolote ni mashetani wanataka kukontro mazao duniani na kufanya biashara na nchi za nje ni tishio kwao mimi nakaa sauzi na mchele huku ni mbovu tunakula maplaastiki sizani kama watapenda kuona mchele mzuri hivi ni vita vyakiuchumi
WOW NAJIKUTA NAFURAHI KAMA NI MIMI VILE. Hongera sana kwake wacha na sisi tupambane 🙏🏽
Dar jamaa namkubali sana napenda sana maendeleo Ila vizingiti vya wanadamu aisee wewe unapambana peke yako wao wanapambana na wewe aisee watu bwana
Mungu akubariki sana ndg. M.Ayo, wewe unatoa habari zinazoeleweka kwa anahitaji habari zenye mafundisho.
I love that kila sentence Mungu yupo kwenye kichwa chake
Even me iam amazed at the way he begins with God in every thing. Nashukuru saana from Uganda
Mungu akubariki niliwahi nunua kwako mchele n mzuri good package mchele mzuri safi ur my role modal
Kuna kitu nimekinukuu kwa Raphael, ni ukiamka sa mbili au sa tatu huwez kufanikiwa kwenye haya maisha kamwe❤
Ni matajiri wachache wanaoamini kuwa si huwezo wao bali ni uwepo wa Mungu katika kutenda miujiza wengi huamini ni uwezo wao ila huyu kamuweka sana mbele Mungu am proud of him.
Hongera sana mjomba wangu namuomba Mungu azidi kukulinda na kukufanikisha zaidi
Miladi Ayo habari zenu si kitoto hongereni sana
Interview bora zaidi ambayo nimewahi kuitazama.
Mungu katika kila sentensi huyu mtu amebarikiwa sana.
Big up Kaka Raphael ukimtanguliza Mungu hakika hakutupi Mkono.
Mashallah nami nimeelimika kufanya kaz kwa bidii na kumtanguliza Muumba
I read his story 2yrs ago. He is a hard working man with humanity in him
What an Excellent patriotic investor!
Hongera sana ndelwa ubarikiwe na yesu mpaka ushangae.
Respect broo Millard ayo
And much more respect to mr Rafa group
Ayo we ni insperation ya kwanz then uncle mchele ur the best
Nimekuelewa kaka
Mungu akupe nguvu zaidi na maarifa Na zaidi mm nimekuwa pamoja na ww kaka nimeona hekima na busara zako.Mungu akupe zaidi afya na hekima.
Brother nimependa jinsi unavyojieleza vzr hongera kaka na ss tutajifunza kupitia jitihada zako mungu awe pamoja na ww pia nimependa kaka jinsi unavyotembea majendo yako
Mzee ukishakuwa na hela hakunaga kutetemeka, tutafute pesa tuu yaan
Hongera sana Raphar unaonekana hunamajivuno umejibu maswali vizuri sana, MUNGU akulinde na watu wenyenia mbaya.
Big up Sana Mr Ndelwa ,pambana ufikie ndoto yako, Mungu akupe ulinzi Hakika.
Safi sana
Namjua jamaa yuko simple Sana na roho nzuri Sana, kazini kwake kajenga mpaka sehemu ya ibada
Kumbe aseeeeh ndo mana anabarikiwa
Hakikaa amejua kumtafuta Mungu Kwa bidii zote. Nimejifunza kikubwa mno Leo.🙏 imebarikiwa mikono isiyotenda Kwa ulegevu + na juhudi + unyenyekevu. Mungu atusaidie sana asee.
Mungu amlinde jmn...maana ukitafuta shida..ukikaa bure shida...mungu akulinde
Hongera sana mkuu tunakuombea maisha marefu ili na wanaokuja waige mfano huo
Raphael brother keep going..naufaham moyo wako wewe ni mtu napo sema mtu na maanisha.hongera brother 🙏🙏
Nimependa sana jinsi anavyomtanguliza MUNGU Kwa Kila jambo lake..... Am inspired to him
Iam so inspired by this determined person to uplift mtu wa chini
Kazi nzuri, lakini Bill Gate siyo mtu wa kuamini. Msiweke GMO tafadhali🙏🏽
GMO Ninini ndugu
Big up professor keep grinding you deserve god will do the rest
very good entrepreneur, you are smart in talking....inspirational man ever happened 2021
Naomba namba zako Raphael tufanye biashara ya mchele
Hongera sana kk Raphael Mungu akufanyie sawasawa na maombi yako
Mr. Raphael.... uko smart akilini..... very smart... yaan unaongea vizur we baba.... uko na furaha wakati wote, unaongea kwa sauti ya ujasiri Sana......nimetambua juhudi zako baba...... endelea na safari, Mungu akawe kiongoz wako
Nipo botswana kaka nakula Mchele wa Raphael kazi nzuri Sana nimejifunza mnoo kupitia huyu kaka Raphael
😂😂😂 ya kwer hayoooooo
mmmh wewe😂😂
Hongera sana Mr Raphael, mungu akujaalie zaid kuna kitu nimejifunza kwako.
Shukrani sana, nimemwelewa sana Rafael Group
Hongera sana. Mungu Azidi Kukutangulia. Umewafungua Vijana Macho. Hongera Ayo.
Ninasonga mbele sirudi nyuma tena umenitia moyo wa la7 mwenzangu,tamanio langu ni nafaka biashara,nani amemskia kama Mimi anaongea kama Godbless Lema gonga like happ
Penye Nia Pana njia kila kitu kinawezekana tukiamini munguakujalia nasisi tufate njia 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Millard Ayo uwa namkubali..much love from Kenya
Kweli umetoka mbali sana ,Tena unaroho ya huruma ulikuwa unatugawia hata sisi wakiwango cha chini unatupatia debe moja tunadunduliza maisha yanaenda, Ndio maana Mungu hajakuacha
Hongera sana brother nimeona kuna kitu nilichojifunza hapo inatakiwa kufanya kazi kwa bidii,ushirikishaji,na maarifa makubwa na bila kushindwa changamoto ni moja ya kujifunza,hongera bro.
Nimeshangaa sana jinsi ulivyo na uwezo mkubwa wa kujieleza kuliko Profesa wa chuo kikuu.
Daaah 😁
Rapher group yuko vizuri sana hasahasa kwenye mahusiano (lugha)na wakulima na wafanyabiashara wa mazao wote anastahili kupewa zaidi na zaidi kwani ni msaada kwa wengi ukifika ofisini kwake huwezi amini ni milioner
Mimi mtu wa uyole tunakua na tunaona mafanikio yako hongera sana unatumotivate
Kweli nimeamini Akili si elimu. Huyu jamaa anajua kujieleza, anajibu maswali yote vizuri
Kweli usemavyo,,, kwasababu wasomi wengi wanatumia ufundi wa kupanga maneno matamu,lkn wenyewe wanakua na malengo yao ya siri,huyu jamaa anaongea kwa uwazi na kwaushahidi,,,hadanganyi.
Na sio msomi imagine
Sema shule sio akili lakini elimu ni Bora tofauti ni elimu ya aina gani elimu ya wazazi ni Bora Sana
Sasa ndiyo ujue busara na elimu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Ukiwa na pesa lakizima uwe na confidence
Ongela Sana brother tupo pamoja
Mungu ni mwema wakati wote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mr Rapha uko powa Sana bro daaaah nimejifunza Mengi Sana
Focus hongera sana MD was Raphael Group Limited
Kwa kweli mimi nimefurahishwa sana na huyu Kaka, Mungu akubariki na kukuongezea Hekima kaka Raphael. Unagusa maisha ya watu wengi sana. Ni mnyenyekevu na una maono makubwa. Mungu akujalie uhai na afya njema ili uyafikie. Hizi ndio interview vijana tunahitaji. Ahsante sana timu nzima ya Ayo TV.
Nimevutiwa sana na Billionaire Raphael, hakika wewe ni mtu ambaye Mungu alikuinua kwa kusudi maalum kama alivyomuinua Musa ili awatoe wana wa ISRAEL utumwani.Mungu ameziona juhudi zako za kuwasaidia wakulima wadogo. MUNGU akuinue zaidi na zaidi ili hatimaye ndoto zako za kuwa Billionaire Mkubwa wa Kimataifa zifikiwe.
Big up. big boss. salute kwako pamoja na watendaji wako wote. Kazi iendelee
Big up mr Rapha nimefanya field kwako mara mbili
Sio Michele tuu,Hadi karanga
Big up Sana.
Umeifanya mbeya izidi kujulikana Zaid,home sweet home 🥰💯
Kiukweli kaanza viizuli namuombea kwa MUNGU wetu amalize vizuli zaidi nami naomba kazi.
very smart,inawezekana.aluta continue
Stori nzuri sana ina inspire Asante sana
Safi sana ndugu. Wewe ni mfano wa kuigwa katika biashara
Big up sana
Unabidii, unajitambua na ni mwenye maono makubwa, nimejifunza Mengi kutoka kwenye interview hii
Mungu aibariki Tanzania mungu mlinde mamma yetu raisi wetu nä shari za kila kitu
Kaka mungu azidi kukubariki kwani unaitanzania tanzania kwa kuwasaidia vijana
Nimekubali Sana brother.. nimejifunza mengi kaka.. TANZANIA FUNGUKA...
The guy is Soo Bright, kweli subira yavuta heri.Tz inahitaji watu Kama hawa 2 kila mkoa Tz itakuwa imenoga mno
Hongera kwaku jiamini hata temea yako tuu inaonyesha una jiamini🤝🤝💪💪
Hongera sana My Big Boss umetufungulia milango vijana wako wa Raphael Group nasi tunatembea vifua Mbele
Mchele mnauzaje kwa gunia la kilo 100?
@@eliastephen2776 grade 1 @1750 kwa kilo 1 na grade 2 @ 1350 kwa kilo
Na grade unaijuaje
@@husseinmambo6739 kutokana na package grade 1 tumeiweka kwenye mfuko wenye nembo na grade 2 ipo kawaida haina nembo
@@johnmwakipesile9046Naomba namba yako ya Sim nikuulize kuhusu mchele 🙏
Umeeleweka vizuri.
Asante sana.
Hongera Sana Mr. Raphael na pia Hongera Sana Team ya Millard Ayo kwa ubunifu wenu katika kutuletea inspirational story mmekua ni Online TV ya kipekee yenye madini
Big up kaka umejibu vizuri swali LA sangoma kama ulivyosema ukweli wavivu hawakosi sababu Mara watasema kafanikiwa sababu ya sangoma Mara watadai hela ya kukopa ilimradi hamshushe mtu
Nimejifunza kitu hapa, kwamba boss wetu amesafiri. Yaani wafanyakazi wote mnakua sawa kabisa kama ni vumbi vumbi juingia kazini wa kwanza kutoka wa mwisho.
Anatembea vizuri 😊 hongera sana Kaka👍
Mwendo wa pesa 😆😆😆
Aseee mwendo wa tajir😂😂😂😂
Kazi nzuri sana 👏👏
Brother God bless you
Commitment,dedication hardworking yake ni kubwa .
Hongera yake
Mzee MAJINJAAH anamiliki mabas pia.. kigoma to dar na bukoba to dar. Mzee tuko vzr sana.. tunafaa tuige hata kwa kumwaga jasho jing
Safii sana am inspired one day YES
Maisha ni bidii ya mtu big up sana brother kwa bidii yako.
Bigup Rafael safi sana
Salute to you Brother.
Wow cograts heko kwako bundah ...cheers from kenya
I'm very inspired for sure I wanna be a bilionea
Hongera BILLIONAIRE Mwenzangu!
Ukiziishi ndoto zako kwa ufasaha lazima utoboe, Kuna watu walimuona mjinga lakini ye alikubali kuitwa hivo Ili TU aziishi ndoto zake, hongera billionaire rapha
Mwenyezi Mungu akutangulie katika kazi zako
Inspired, hongera sana ndugu kwa kazi nzuri na yakumpendeza M/Mungu
Ubarkiwe brother
Marafki sometimes wanakuwa Ni zaidi ya Ndugu Ni vema kumuheshimu kila mtu..ktk haya maishaa..