Wasanii acheni kuligawa Taifa kulirudisha pamoja ni kazi ngumu sana. Uchaguzi umeisha vijembe vinatoka wapi kama sio kutaka kujengea Watanzania tabia ya kulipiza visasi.
Amefanya kampeni ya pekee yake, Mungu yupo anampeleka wangu vingine na sisi tunachekelea tu jmn, siku moja atakuwa mtu flani, tutakuwa tunatoa historia
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
Green City Mbeya tumefanya yetu hatutaki mchezomchezo sisi tulimpeleka wenyew bunge akaenda kukimbia vikao tumempiga chini wenyewe saiz akasimamie hotel yake kule mlima Roreza 😂😂 bungeni atapasikia tu
Masanja unajua Kaka ila unachukiwa Sana na baadhi ya watu ila siyo lazima kila mtu akupende lazima uchague upande mmoja Kama binadamu Godbless you.
Kazi nzuri masanja Big up👍👍👍
Umesema kweli masanja. Kazi ni mzuri imefanywa na rais magufuli Na uongozi wake. Hongera ccm👏🏾👏🏾🙏🙏
Kama umemuona rowasa apigi makofi gonga like
😂😂😂😂😂😍😍 Masanja you kill me JPM oyeeee
Makofi kwake masanja mkandamizaji👏👏👏👏👏👏👏👏😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 Hongera Sana kutunoa ✔️✔️✔️
Kweli Masanja Wapige kazi
Mungu mbariki raisi wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuri Jembe mchapa kazi hapa Kazi tu
Hahahaaaaa,,,,,safi sana,,,kazi nzuri
Jamani hizi skuna za masanja 😂😂😂😂🤣🤣🤣haki nimecheka
Masanja kama masanjaa👏👏😂
Masanja umetisha Sana mzee baba
Masanja🙌🏼🙌🏼🔥
Wasanii acheni kuligawa Taifa kulirudisha pamoja ni kazi ngumu sana. Uchaguzi umeisha vijembe vinatoka wapi kama sio kutaka kujengea Watanzania tabia ya kulipiza visasi.
MAGUFULI BABA LAO 🇹🇿 kwa maendeleo ya Watanzania
Tuchange Katina utuongoze miaka mingi raise wetu mzalendo umefanya mengi mungu akulinde baba wantaifa let umetutoa mdomoni mwa nyangumi wabahanini
Safi sana Masanja
Amefanya kampeni ya pekee yake, Mungu yupo anampeleka wangu vingine na sisi tunachekelea tu jmn, siku moja atakuwa mtu flani, tutakuwa tunatoa historia
Sana tena kampeni za mwaka huu watanzania wote wameziona live
Good work
big up masanja
Jipendekeze,utateuliwa
Sawa masanja..
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
jembe letu mpambanaji wetu mitano tena unastahili pongezi rais wangu kipenzi changu
Masanja bhana ana kipaji huyu jamaa
😂😂😂😂 leo nmecheka kwel masanja
Hongera Sana
Masanja unakipaji kweli kweli.
Green City Mbeya tumefanya yetu hatutaki mchezomchezo sisi tulimpeleka wenyew bunge akaenda kukimbia vikao tumempiga chini wenyewe saiz akasimamie hotel yake kule mlima Roreza 😂😂 bungeni atapasikia tu
""no retreat no surrender"" pigo la ngapi hilo???😂😂😂😂
Ana hotel Roleza,wewe unayemponda una nini? Zaidi ya kumiliki matunguri ya kuloga binadamu wenzio
Nina nyumba uyole nsalaga,mapogolo chunya, kyela Serengeti na kikota ileje harafu nina heka 15 kimbereke chunya
@@dennischeyo1302 umekomesha
@@jacksonmzee1661 pole naona povu,subiri next time umcjague
Watu wanavaa vaa suti kujifanya wastaaarabu kumbe majambazi namba 1 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasanja waambie hahahahhahahaha nimecheka kwa kweli
Kinaitwa rosa
Masanja wewe ni Wa pekee katika nchi yetu, piga kazi
Kama sichekagi Ila nimecheka Leo mbavu zangu mie ubarikiwe kwa kuniongezea sku za kuishi
Niambieni icho kiatu alicho vaa masanja kinaitwaje nataka nikinunue 😂😂😂😂
raizoni
😅😅😅
Ckuna hiyo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenifanya chiz walah ukinunue ww utakiweza?
Inaitwa gonga sneck
Hatarii
Kijana Massanja nili kuona kwenye kamera zangu za kiroho endelea kupigania tz.
Big up
Hahahahahaha mchungaji kiatu chako tu nimekipenda
tutamukumbuka xan jembe
Masanja
Ila masanja jamani!
Hahahahahahahahaha, jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
Masanja Kaz nzuri
Mwendawazimu hyu
Mwenyewe utakufa na presha jamaa anazidi kuwa super star ⭐ hela anazo nyingi afu na umaarufu wewe jee!! Hahaha
Nzuri
Masanja unaakili za ziada mambo yo te na maneno yote yanatoka kichwani bila kusoma mahali kweli nimekubali hujaribu ila unaweza
Icho kiatu kiatu kinatesa
Noo retreaat no surender
Uyu naye anatafuta kuteuliwa haeleweki mchungaji au mwigizaji saiz kila mtu anachumia tumbo lake
Simba
Jaman masanja hivo viatu
Sasa hiyo bakora si uiweke chini jamani si utaumiza watu macho jamaniiii
Da fatma
@@sikudhankhamis2818 naaam mdogo wangu jamani
Nimependa hivo viatu
Me sichoki kuangalia kila ntakapo ione 😃
Huku ngaramtoni bado jamani mhe waambie watuletee jamani yamewekwa maeneo tu kuanzia huku masai land kwa idd hakuna naomba ukisoma tusaidie
Sawa
Masanja juu
Kweli Kulikuwa na shida ya usafiri. Ukerewe. Bukoba..na Mwanza.... niliishi huko miaka kumi.
Watu mbona hawacheki
Sakaya
Hivi viatu vinaitwa kuku kapanda baisikeli bata kavaa laizoni ha ha ha haaaaaa
Pata habari motomoto za mastaa unaowapenda kwa kubonyeza link hii JECO HABARI play.google.com/store/apps/details?id=com.jeco.newstz
hi
Anatafuta kiki
😁
Hivo nyinyi nyote hamna kazi Na vipara vyenu mnassikiliza mwenda wazimu huyu.
Sio lazma kumpenda😏😏
😂😂🤣
Kwaya
mi kiatu chako to
Viparaka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukombozi Tv
Pita uko
Mbona hata haichekeshi?
Sio rahic kila kitu uelewe vingine kausha ,,,maana havina umuhimu kwako,,
Masanja kipaji jaman MaashaaAllah
hahahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpumbavu tu wewe ukome
Alice Kyai nani mpumbavu?uwe na kiasi mjinga wewe hela huna simu yenyewe ya kuazima
Acha hizo bhana...
Alice koma wewe
Kama umemuona rowasa apigi makofi gonga like