Wadangaji wanakuulizia swali utaje wakali wako alafu wakati unataja wanakutajia wasanii wao..IT'S A SHAME. Who is kontawa kwenye art of story telling 🤣🤣🤣 Mina ni ZERO
@dizasta vina SIO BINADAMU,YAAN NI MNYAMA ATA FID Q HAMUWEZ NI ANAJUA SANA ADI NI LAANA..VINA KUMSHINDANISHA NA KONTAWA NI DHARAU SANA.....ATA 1% YA VINA HAIINGII UYO JAMAA NI LAANA
Acha ujinga wewe elewa anachokiongea fala wewe umekurupuka tu na hujui misingi ya hip hop umesikia kamponda disasta au anasema list ya wasanii wake wakali watano?
Kontawa kwa Dizasta mbona haingii kabisa, Dizasta apewe heshima yake
mimi bado nipo na dizasta kuna vitu namalizia kuskiliza😂😂
😂😂😂😂 very interesting and it actually the fact 😁
Yule jamaa humalizi ni fire
Naweza mgeuza fid akawa sajina@dizasta vina!! Congratulation my hood boy
Dizasta Vina ni level nyingine kabisa huyo kontawa mfananisheni na akina Rapcha
Wanafosi kumpromote kontawa Kwa lazima,,aisee media Bana,,
Acha mwanangu... yan ukiwa bize na media, basi hata akili yako inakuwa ya hovyo
P mawenge
Dizasta ni moto kushinda jua
Mm D kwenye list yangu ni no1
Dizasta nimtu mwengine kabisaaaaa yaan kabisaaaaa
weeee kaaak fid q lekebisha kauli kdg renounce plz D vina n namba 1
Asa unampangiaje mtu aisee 🤣🤣 wengine WANAWEZA wasimuweke kabisa Kila mtu na mtazamo wake mzee😁
Mueleweni fd anasema bdo kuna vitu anavikiliza kwa dizaster
Dizasta vinna anatishaa ,, asantee asanteee maliziaa hyoo list umuweke namba 1 yakee,, hahahaaaa
Dizasta Vina is on another level
Mi mwenyewe kuna vitu bado nataka kusikiliza kutoka kwake 😁😁😂🔥✊🙌
Dah angalau nmefurah mana kama hapewag heshima yake
Wadangaji wanakuulizia swali utaje wakali wako alafu wakati unataja wanakutajia wasanii wao..IT'S A SHAME.
Who is kontawa kwenye art of story telling 🤣🤣🤣
Mina ni ZERO
Mimi pia nipo na dizasta aiswear
Kwanza fizasta anakuwaje nambambili bana yani mnapo jipanga dizasta ndio anatakiwa awapange nyie maana hana wakushindanishwa
Moja yeye mbili dizasta
Dizasta kuiludisha rap kwenye mstali
Sio Rapp Hip hop mzee
Game recognizes game🔥🔥
Asikwambie mtu dizasta n mkaliii huyu jaamaa sjui ad ako nchi gan ako 2050😂😂
fid q mwenyewe kwa dizasta hatambi hapo
mmmmh umevukaka Mipaka boy
@@Rolananabrand-dk9hd dizasta anawaelewesha sana tatizo 😂
halafu m2 bwege aezi muelewa fid
Dizasta vina mzitoo sana
Hizi media zakinafiki nafiki sizipendi kabisa....
Dizasata a really good man I feel boys.
Nakubili no 1 wewe no 2 ni vina.ila akiojiwa yeye vina atasema fid no 2 na yeye vina no 1.uwezi jiludisha nyuma mzee
Huyo ndo ngosha Ze DON 😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
Dizasta vina wanamjua kwenye KANISA
Mm bdo namsikiliza D,nkimaliza ndo ntamskiliza
Dizasta atengwe kwa xx yule jamaa ni fire👩🏽🌾💥💥
vina yupo mwenyewe katika uwanja wake
Namb 1 nan
Fid q huwaga hakoseagi kwamaana hip hop anaijuwa
@dizasta vina SIO BINADAMU,YAAN NI MNYAMA ATA FID Q HAMUWEZ NI ANAJUA SANA ADI NI LAANA..VINA KUMSHINDANISHA NA KONTAWA NI DHARAU SANA.....ATA 1% YA VINA HAIINGII UYO JAMAA NI LAANA
King recognise king @dizasta
Brother hapo kontawa bado xana kwa dizasta vina Yani dizasta vina nikina kontawa milionimoja na nusu
D Legendary 🎉🎉
Bila ubishi tawa amgusi ata kdg vina
Namba moja 1.MZEE MBUZI 2.DIZASTA VINA.
Fid Q
Duuuuu mbuzi😂
Mbuzi aende huko akabattle nawakna bonge la nyau cz hata kweny top ten hayupo
@@hamismasele767😂
Mweeeeeeeh 😅😅😅😅😅😅😅😅
Kwanini d vina asiwe nambamoja afu ufate wewe fid
Dizasta vina nakubali sana
DIZASTA NI LEVEL ZA AKINA NIKKI
namba moja nani?
hapo penyewe
Dizasta sio mpya bwana tangu 2011
Ni katika watano wanaoenda mjini.
We unaona Kontawa ni mpya??
Dizasta is another level my Young
Ata mimi niko bado na dizasta blaza😂😂😂
Money work around
Dizasta vina😂😂😂😂
Noma kwel
Toa marasta machafu apa we mwenyew humzid chcht Vina
Acha ujinga wewe elewa anachokiongea fala wewe umekurupuka tu na hujui misingi ya hip hop umesikia kamponda disasta au anasema list ya wasanii wake wakali watano?
Wee ni mbugunyesi
Dizasta vina 🔥🔥🔥
Ilkua chanel gan hii niichek full
clouds media
Clouds
Kwani kontena anafanya hiphop?
Msitu wa vina
D hatar
dizasta ana dunia yake msimsindanishe ni laana
Sasa contawa siumshindanishe na kina rapcha kwa dizasta bado sanaaa
dizasta mnyama sn
No. 1 ni nani?
Fidi mwongo akuna hip hop Kama dizasta fudi ufiki
mtagi dizasta afu muulize kuhusu fid
uskurupuke mzee 😂
blood ana word economy dizasta ni hachoki utamsifu hapo ila fid muache tu
😂
Fid kwa Sasa huna material bro kwa Sasa kizazi kipya na king Ni dizasta
Disaster
Dizasta vina mtu m bad kabisaa
Mm kwangu Rapcha no moja
Kabisa sana @dizasta vina
Toa marasta machafu apa we mwenyew humzid chcht Vina