Leonardo Mimi ni shabiki yako saana siku Moja nataman nije nikuone the way unavyotoa izo context zako ata kama ni repetition but still watu Wana enjoy apo ndo utajua unaweza na unajua let's go brooh am benard chegere @leonardo you are first comedian in tz
Staff wanatoa fungu lake ndio wanampa,,na nahic katumia marudio kutokana na audience kwa muonekano hawana muda wa kumfatilia sana hivyo ni vitu vipya kwao ..
Hii sio akili, kwahiyo Leo Ali kina arudie rudie wimbo eti ksa kisa Kuna ambao hawakuusikia alivotoa mwanzo.? We unaona ni akili hiyo.? Ehee, wengine hawajasikia, na sisi wengine ambao tulisikia alafu tunasikia kitu kile kile mara ya 8 saivi, na ni shabiki zake tufanye nini.
Ameanza na mpya fresh ila akacheki muda bado upo wa kutosha ikabid aweke zile za moto zingine lazima ujue kujiongeza kwenye maisha dogo anaijua kazi yeke vizuri na usisahau kuchekesha audience kama hyo sio mchezo, watu na phd zao unarudia tu
Anatumia akili, audience kama hiyo sio watu ambao wanafuatilia contents zake kila siku so why waste all the good new jokes wakati hata za zamani hawajazisikia. Akiwa kwenye stage kubwa kama ya Cheka tu hutosikia akirudia contents.
Kwahiyo Diamond alitoa wimbo, wasiposikiliza watu kadhaa huo wimbo ndo anatakiwa kuuimba tena.? Hizo ni akili.? Sikia,sisi wengine ni fans wa Leonardo toka siku ya kwanza tu akiwa kwenye usajili wa cheka tu. Lakini hii kurudia rudia contents ni ujinga na sioni mnatetea nini. Yani imagine mimi naingia UA-cam kuangalia Cheka tu au kwenye platform yoyote Leonardo kaja na joke ipi, nakuta joke nafurahi. Kufungua nakuta 90% ni vitu vile vile.! Alafu unatetea, sjui unatetea nini hapo. Anahitaji kubadilika, walau anaweza rudia joke moja out of 12 kila baada hata ya miezi mitatu. Sasa we unasema wengine hawakuona, so what.?
writing jokes for stand up comedy is hard it is not easy, no wonder if you go in developed countries comedian don't allow people to record with there phones nor take videos for fear of people getting hold of the materials.
Daaaha mnisamehe wadau hata ilo neno Sina ila typing error herufi n na m zipo karibu San ,nashukuruni Kwa kureply msingesema neno nisingerudi kurekebisha ...be blessed Sana
Aisee hata kama ameludia ila ila tambua kuwa kuchekesha kazi Tena woote ni wasomi humo! So kwa kiasi jamaa kajiatahidi sana bcos huwa wengine huwa wanashindwa hata kustaimili mbele hapo!
Watu wa bank wagumu atakumtunza😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Kuna watu bahili kama bank ndugu?
Hata hawacheki...hapo file rahisi kuwa deleted
Asa wamtunze wanaela? Wao ni watunza pesa za watu
Hawanaga hela ao
😂😂😂😂😂 this was good.....
Mnaosema anarudia rudia acheni ngenga mwe mwenyewe ndo mara ya kwanza nimesikia hizi jokes
Mungu akuongeze unaweza,. ,kuchekesha walio nuna syo kaz rahis wanao kubeza wafanye zao tuzione kuzungumza maneno mengi bila kupoza lengo ni talent❤
Amen
MNAOKOSOA KARUDIA " MNADHANIA KUANDAA NI SIMPLE" KAUSHA KAMA UNAONA KARUDIA MNAWATOA WATU KWENYE MOOD MBONA NYIMBO MNARUDIAA
Nakubali samweli umechafukwa🔥🔥
Kwl broo hii kazi ngumu sna...alaf bwege aona ni simple tuh ety mbna unarudia content...jinga ww😅😅😅
🤣🤣
Makasiliko ayatakiwi
Uko vzur Engineer,🥇 big up xana
Karibu tena!
Leonardo Mimi ni shabiki yako saana siku Moja nataman nije nikuone the way unavyotoa izo context zako ata kama ni repetition but still watu Wana enjoy apo ndo utajua unaweza na unajua let's go brooh am benard chegere @leonardo you are first comedian in tz
Bernad umetisha sana kuwa na moyo wa kuappreciate wengine
Hongera keep it up kuchekesha staff sio rahis
Wasomii
Staff wanatoa fungu lake ndio wanampa,,na nahic katumia marudio kutokana na audience kwa muonekano hawana muda wa kumfatilia sana hivyo ni vitu vipya kwao ..
Watu walicheka sana skuiyo wanangu sema muaandaaji alichukua sana sauti ya leonard kuliko sisi wasikilizaj
Next time cheka kwa nguvu
For me namkubali na bhana ndaro wote wa2 wangu sana yaan Leonard anajuwa sana
Usisahau kusubscribe,content zao zaidi zitakuwa hapa
Watu wanaosema anarudia jokes,,mbona wenyewe wanarudia ugali ule ule kila siku
Hahaha
Bora wewe comment yako inachekesha
Uyu ndo no one comedy tanzania nanianabisha nihatali sana😂😂
mwamba upo vizuri bhanaaaa...!
Sio mbaya nadhani wakati mwingine atajipanga zaidi.
Huwa namwelewa sana mwamba
Usisahau kusubscribe atakuwa sana hapa
Mtiririko wake wa mawazo bila kupotea kwanzia mwanzo wa show hadi mwisho nikipaji tosha
Kabisa
Leonard talent Yako ni kubwa sana🎉🎉🎉🎉
Pamoja sana ibeatz
KASIMAMA DAKIKA 17 ni nyingi sana na HE DESERVES TO BE A MASTER HABOI YANI YUPO POA
😂😂😂😂😂 muwe makini na uncle huyo
Umetisha mkuu
Muwe makini na uncle 😅😅
One love george
Sema anarudia sana content
Kweli jamaa anarudia sana
Content anazozirudia si ni za kwake? All master comedians (mc) wanarudia contents zao.
@@iankomba4253KUchEkesha sio mchezo wao wanakalili tu
Anarudia manake siyo kila mtu anakua amesikia hiyo content anakutana na audience tofauti
Hii sio akili, kwahiyo Leo Ali kina arudie rudie wimbo eti ksa kisa Kuna ambao hawakuusikia alivotoa mwanzo.? We unaona ni akili hiyo.? Ehee, wengine hawajasikia, na sisi wengine ambao tulisikia alafu tunasikia kitu kile kile mara ya 8 saivi, na ni shabiki zake tufanye nini.
Big up brooo unajua mnooo anaesema unarudia Kwan lazima acheke yeye
Nakubali Daudi
Ameanza na mpya fresh ila akacheki muda bado upo wa kutosha ikabid aweke zile za moto zingine lazima ujue kujiongeza kwenye maisha dogo anaijua kazi yeke vizuri na usisahau kuchekesha audience kama hyo sio mchezo, watu na phd zao unarudia tu
Yupo vizur anajua kwa kweli
Nakubali Sunday,umesubscribe?
Bravo katisha
Brother unajua xana
Perfect 👍
Safi kaka, kurudia ni tatizo dogo la kiufundi😂
Hii ndiyo tofauti yako na Eliud... unarudia sana content.....
kila cku kuna member mpya ambae hajawah kusikia hzo content
Panda wewe tuone kama utaweza
Haka Kachalii kanafikiri watu wote wanafatilia UA-cam kam yeye
Anatumia akili, audience kama hiyo sio watu ambao wanafuatilia contents zake kila siku so why waste all the good new jokes wakati hata za zamani hawajazisikia. Akiwa kwenye stage kubwa kama ya Cheka tu hutosikia akirudia contents.
Kwahiyo Diamond alitoa wimbo, wasiposikiliza watu kadhaa huo wimbo ndo anatakiwa kuuimba tena.?
Hizo ni akili.? Sikia,sisi wengine ni fans wa Leonardo toka siku ya kwanza tu akiwa kwenye usajili wa cheka tu. Lakini hii kurudia rudia contents ni ujinga na sioni mnatetea nini. Yani imagine mimi naingia UA-cam kuangalia Cheka tu au kwenye platform yoyote Leonardo kaja na joke ipi, nakuta joke nafurahi. Kufungua nakuta 90% ni vitu vile vile.! Alafu unatetea, sjui unatetea nini hapo. Anahitaji kubadilika, walau anaweza rudia joke moja out of 12 kila baada hata ya miezi mitatu. Sasa we unasema wengine hawakuona, so what.?
Mike zko vzur sana aisee😂znqsikika vzur
Hahhaha kama hauna DD apo mwamba hautamuelewa
Vichwa panzi
Anajua sana huyu jamaa 😂
Ni mnyama eeh?
Mbona wanacheka jamani
Umetisha sana
Au nimefika mbali😂😂
🤣🤣
Kuchekesha kazi watu hata hawacheki 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 sema namkubali Leonardo
Endelea kumsport mwana
Yupo vizuri anajua kuchekesha😅😅😅😅
Kuchekesha unahitaji kutekenya sana, kwa maneno so fikili kwa kina na upana na uwezo usio rudia ndo unakuwa na talent sio kihivyo lakini unajitahidi
Anajitahidi sana. Maana kuandaa content ya dakika 17 sio mzaha
Congrats
Gud job bro achen jamaaa apambane kutafta tonge
Nakubali kaka
Kaka acha kuchekesha staff hawana vibe😂
Nimependa , aliposema tutafute vya kwetu 💯
Major point
Upo vizuri dogo ila acha kurudia content Bz jokes sio wimbo
writing jokes for stand up comedy is hard it is not easy, no wonder if you go in developed countries comedian don't allow people to record with there phones nor take videos for fear of people getting hold of the materials.
Acheni tamaa kurudia tunarudia na pesa anapata na tunaendelea kumkubali c rudii tena kwenye cm nimemjaza yey
Smart
Haya majitu ya benk yameshiba chips2
Kachekesheni ninyi msio rudia,msitupigie kelele hapa
hilo nalo neno 🤣🤣🤣🤣🤣
Good🎉
❤❤
Namuona Kelvin Kimbinje
kwaswara la kuludia sio kesi coz alikaa mwenyewe akatunga, mbona nyimbo hupigwa hata show zaidi ya 23
Hahahahahahah
Sasa ndo aludie mwanzo mwisho
Chekesha wewe sasa😅@@sakayonsakihunga3496
Issue unarudia sana
Kwenye NMB ndo kauwa saaana
Kuna siku huyu mwamba atakuwa bonge amtaamini tunzeni hii comment 😅
Pole
Inaelekea unapenda sana kuandika hiyo kitu
tumia simu vizuri mkuu
Daaaha mnisamehe wadau hata ilo neno Sina ila typing error herufi n na m zipo karibu San ,nashukuruni Kwa kureply msingesema neno nisingerudi kurekebisha ...be blessed Sana
@@salummbunga4167hapana ndugu yangu n na m zipo karibu nashukuru Kwa kureply maana daaah nisingeweza kurekebisha bila wew
Well done, lkn ukerewe imeingiaje hapo mwisho?????
Sound engineer kazingua sout n video camera n roll za watazamaji ila jamaa katem madini
Nimecheka sn mwalm wa hesabu in english
Leonard
Mnaosema hawajacheka... are we watching the same video?????
🎉🎉🎉🎉🎉
Hajachekesha vzr
jokes za huyu jamaa, zina kuwaga na fundisho sana
Jamaaa umetisha co jambo lahic hapo mbele kucmama kwa madk zote hizo!
Ni nima
sema kwa NMB ulitisha balaa kuliko CRDB
Hao watu kuwachekesha na mostly parent siyo vijanq ni kaz
We unaesema anarudia,haikuhusu izo content nizake,acha arudie
Jamaa anajua ila anarudiabsana contect mpk anakera
Aisee hata kama ameludia ila ila tambua kuwa kuchekesha kazi Tena woote ni wasomi humo! So kwa kiasi jamaa kajiatahidi sana bcos huwa wengine huwa wanashindwa hata kustaimili mbele hapo!
❤
Unarudiaaaaaaaaa😢
Imekaa
Tafuta content writer bro unarudia
Wewe urudiagi?
😂😂 fursa hiyo changamkia
Wale mnao waona wanacheka sana wengi wanastress ..hapo watu WAPO kazini
Stress au kazi?
Leonardo first
Leo kazini kulikuwa kuna kazi
Namna iyo
Kaza mwamba
Jaribu kuinprove body language.
Leo apo amekutana na watu benk alitakiwa achekeshe kwenye mazingira yao
Sio kila siku utakua ktk form
Si0 rahisi kama mnavy0jua
Wengn wapo apo lakn akil zpo kwenye majukumu
Mambo ni mengi
Asilimia 90 % karudia content
Izo 10% zinatosha
Usipige story chekesha
Kuchekesha wasome kazi kwel
Sana
Mbna ukerewe jmn 😅 sisi cyo wachawi bhna 😂😒😂
Good but unarudia content
Kubadili sio mchezo
Eludi ndo fundi wao
Jitahidi kuwa Kama mpoki bhana, wewe kila siku ni hizo hizo, jaribu kufikiria vitu vipya
Sasa mpoki ana nini?😕
daah jamaa uyu angepimwa IQ inaonesha ni Geneus kabisa yupo kwenye IQ 180 mpaka 200
Bro upo vizur ila jipe muda kubuni,utaaza kupoteza mashabiki
Kw mara ya Kwanza kuona watu kavu
Watu wanacheka bna achane uongo wabongo
Bado mda upo utafika unapopataka
Umetisha
Nakpenda unavochekesha
Iv umaskin min?
Dah ila leo,
Wanafanya poa mno maana kuchekesha staff so raisi.
Unarudi kaka unatuangusha wadau
Game kama ilimkataa ivii sku iiii
hii kali
🤛🤛👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Hapa alichemka