Ngwair alichonifanyia sikuamini, Nilifuta Verse yangu - Fid Q
Вставка
- Опубліковано 27 тра 2018
- Fid Q ni moja ya watu waliowahi kufanya kazi na Ngwair, na ameelezea alichokifanywa ambacho Fid Q hakutegemea na kuamua kumwambia Majani na kumlazimu kufanya mabadiliko.
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com - Розваги
Kama unamkubali fid q gonga like hapa
Rest in Peace Albert Mangwair..... We pray for you Hommie.
Congrats to Lilommy kwa Kuperfom vizur katka angle yako.
Many artist will never level up to Ngwea dude knew how to drop hits his talent was unmatched..CNN my favourite song
daaaah.... kweli brother Fid hakuna asiye na mapungufu yake...
Background beat ni ngoma ya nani?
R.I.P ngwair "a.k.a Mimi bado inaimbwa mitaani kama karaoke "
Hiyo ni kweli sana kijana fid.q. nimekupata kama mm sijaona mpinzani Tanzania kama mangwear ukimuona niambiye...
ma sha Allah Faridi
lala baba lala............. pumzika kwa aman niko nyuma yako😓😓😓
Rip mangwea king wa free style
Naimani atanizalia mapacha na sitijali bahati mbaya akiwa tasa naapa sitoweza kumuacha yote ni sababu tu she got gwan
Ntakukumbuka maisha yng yote Albert Mangwear maana ngoma zako nakumbuka kipindi kile nipo kijana mdogo zilikua zinanisisismua xana yaan nilikua ctamani ngoma zako ziishe we ni zaidi ya msanii yeyote yule Tanzania hii
We shared a name even the yr was born and the month R.I.P
Sijapata msanii mpaka Leo baada ya kuondoka Albert.... Nilikuja kuamini kama kile kichwa bongo hamna ngoma ya A.k.a Mimi....... Na lazima kichwa kiwe vizuri Sana. Ndo utaelewa
ebwana ngoma yake ya Kimya kimya pale mshikaji ananikosha kinyama
I will never forget it
ngwear mwenyewe alisema pengo lake halina spear. na nikweli mpaka sasa hajatokea Kama yeye tena
Noma
Ngoma kibao,
#master of free style ever.
Hatari sana
Noma Sana kichwa hiki saruti broo pumzika kwa amani
Fid mwanahesabati mwalimu wa hiphop ameongea jambo lililopo katika maisha waelevu wachache wataelewa
Pamoja na kufuta verse bado ulipotea mzee baba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Joshua Wicklifu ha ha ha haaaah
ngwair the best ever
Lill Ommy nip kiato icho
R. I. P ngwea I miss
R.I.P ALBERT MANGWEA
R. I. P.... Ngwea
R.i.p
R. I. P
alale pema Ngair one of the best no doubt
rip
Sijui namsahihisha wapi Albert instine wa Hiphop ya bongo.
Nakumbuka kila ngoma Ila kuna moja aliita International known
R-I-P kaobamah😴
Nakumbuka mistari kuntu toka kwenye ngoma ya she got a gwan
RIP Albert
nice
#r.i.p
Ngwea R.I.P
RIP
RIP cow bama pengo lako hakiaka halina spare
rip mkaka
Angekuwa hai wala Usingemsifia hivo wala usingesema kama ulifunikwa maana najuwaga unafiki wa wasanii wabongo, Kila siku tunasikia mabishano ya wasanii ooh flani nimemfunika badae akifa utasikia eti Fulani alinifunika.
Hamna ww
Toka team media Makambako town jamaa alikuwa fundi
RIP Ngweir
Yani uyu jamaa kujikuta ana mistali mikali mc mkali ....wakati kuna vichwa ad now anakaa vzuli tu😁
nakumbuka ngoma ya mikasi manze bingwa wa hiphop bongo
CNN juuuuuu kesha kula bata
Burudani ziendeleee cnn
hakuna km yeye
Ngwea alitixha sana
Lala pema Rasta
Mikasi
Fid q aliua pia kwenye CNN
CNN
last to view n to comment
Tambweeee
Rip cowbama
yeye ametangulia nasisi tutafatia kwan ss ni vpolo kikubwa dua tu
Hawatoweza albat mkali wengine wanacheza tu
Ndiealie nifanya niipende hip pu
Bbm
Ngwair alikua anajua! Lkn kiuhalisia ngwair hauwezi Mziki wa kubanda, Farid anajua hiphop East Africa nzima hakuna
Nilikua namkubar
Uyo MTU muache2
Cow obama ni noumar
R.i. p
RIP
Mikasi
RIP
Nipeni dili
r.i.p