![Dizasta Vina](/img/default-banner.jpg)
- 120
- 570 257
Dizasta Vina
Tanzania
Приєднався 23 січ 2022
Vitu 10 ambavyo ni Dizasta Vina tu anafanya
Matumizi ya sauti, nyimbo na picha kwenye makala hii ni kwa ajili ya elimu, uchunguzi na burudani pekee. No copyright was intended in production of this work.
Переглядів: 6 548
Відео
Sanaa ya usimuliaji Featuring Dizasta Vina
Переглядів 2,1 тис.3 місяці тому
Nyimbo zilizotumiwa kwenye makala hii ni kwa ajili ya utafiti, elimu na burudani tu.
Dizasta Vina - Hatia VI (Uchambuzi)
Переглядів 9 тис.4 місяці тому
Matumizi ya picha na sauti kwenye uchambuzi huu ni kwa ajili ya utafiti, uchambuzi na elimu. No copyright infringement was intended. stream/download Hatia VI kupitia viungo hivi UA-cam - ua-cam.com/video/GJspv-tU0-s/v-deo.html Audiomack - audiomack.com/dizastavina/song/hatia-vi Mdundo - mdundo.com/song/2797848 Boomplay - www.boomplay.com/songs/152728265 Spotify - open.spotify.com/album/6EinvDUa...
Dizasta Vina perfect delivery NIS 3
Переглядів 1,6 тис.7 місяців тому
Dizasta Vina perfect delivery NIS 3
Wanasema nini kuhusu Dizasta Vina (Part 4)
Переглядів 6 тис.9 місяців тому
Wanasema nini kuhusu Dizasta Vina (Part 4)
Figures behind Mad Teacher - Dizasta Vina
Переглядів 4,6 тис.10 місяців тому
Figures behind Mad Teacher - Dizasta Vina
Street Verified Musoma, Mara ft Dizasta Vina
Переглядів 1,6 тис.11 місяців тому
Street Verified Musoma, Mara ft Dizasta Vina
Dizasta Vina - Tattoo ya Asili (Uchambuzi)
Переглядів 4,5 тис.11 місяців тому
Dizasta Vina - Tattoo ya Asili (Uchambuzi)
Imagine thinking you can battle Dizasta Vina
Переглядів 1,4 тис.11 місяців тому
Imagine thinking you can battle Dizasta Vina
Dizasta Vina - Mengi Mengineyo Feat Kadgo, Kinya & Motra The future
Переглядів 3,1 тис.Рік тому
Dizasta Vina - Mengi Mengineyo Feat Kadgo, Kinya & Motra The future
Wasanii wanasema nini Kuhusu Dizasta Vina (Part 3)
Переглядів 9 тис.Рік тому
Wasanii wanasema nini Kuhusu Dizasta Vina (Part 3)
Dizasta Vina - What an IQ of 200 Looks like
Переглядів 6 тис.Рік тому
Dizasta Vina - What an IQ of 200 Looks like
Nukuu 15 kutoka kwenye wimbo wa BEST FRIEND wa Dizasta Vina
Переглядів 1,9 тис.Рік тому
Nukuu 15 kutoka kwenye wimbo wa BEST FRIEND wa Dizasta Vina
Kwanini Media hazipigi nyimbo za Dizasta Vina
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
Kwanini Media hazipigi nyimbo za Dizasta Vina
Dizasta Vina - Pambana (Freestyle) 2013
Переглядів 17 тис.Рік тому
Dizasta Vina - Pambana (Freestyle) 2013
Dizasta Vina - The Art of Rhyme Schemes
Переглядів 2,1 тис.Рік тому
Dizasta Vina - The Art of Rhyme Schemes
Dizasta Vina Sauti ya Mtaa 2012 - Lunduno
Переглядів 2,9 тис.Рік тому
Dizasta Vina Sauti ya Mtaa 2012 - Lunduno
Simba S C The Fall ( Ft Dizasta Vina)
Переглядів 2,5 тис.Рік тому
Simba S C The Fall ( Ft Dizasta Vina)
Mara 10 Vina akijadili Mungu, dini na Imani
Переглядів 2,4 тис.Рік тому
Mara 10 Vina akijadili Mungu, dini na Imani
Dizasta Vina - Tribulation In Depth Review
Переглядів 13 тис.Рік тому
Dizasta Vina - Tribulation In Depth Review
Just because impulses are involuntary doesn't mean free will is non existent. Free will comes one comes when someone's consciousness choose what to do about what happens inside or outside his mind and body. Though it might be more of a case for those who are not aware of themselves or their surrounding and tend to drift around with animalistic instincts which is the manner of chronical criminals and addicts.
Ndoa ingekua social construct isingekua universal. Kuna jamii zingeazisha na nyingine kuzifuata. Pia wanyama na ndege wengine (Like wolves and some eagle species) wasingekua mating habits zinazolingana na ndoa hii ina maana kuna kitu deeper katika saikolojia na baiolojia ya mwanadamu na sio watu waligundua ndoa kama walivogundua moto. Watu wa sasa wamekua na mtindo wa kutumia "Social construct" kupunguza significance ya mambo fulani fulani. Wasema dini, ndoa mpaka jinsia kwamba eti ni social construct pasi na kujiuliza "Kama ni social construct, kwa nini jamii karibu zote zimefanana katika hayo bila kuambizana kwa millenia nenda rudi?"
🤦♂️😇🥂
Mimi ni mwalimu ila nawaambia waalimu wajifunze kwa Huyu Dizasta Vina. Ada yao nitalipa Mimi. Dizasta ni dizasta la hatari 😂😂😂
Timamu wozaa
Alisemaga yeye ni nyoko mbili😂😂😂
❤❤❤❤🎉🎉mungu wa rapu
zile TOP 10 za dizasta nazozikibali hii ni no 6 naikubal sana
Vinaaaaaaa❤❤❤
2024 HUYU MWAMBA SIO WAKAWAIDA " nikwer tungependa huwe NABII sema ,,,,,,,Ulijiukumu mwenyewe sio mimi
Bro wenimkali
uyu jamaa ajengewe sanamu lake posta
Vinaaa
Nakubal Extra Ordinary
Nigee heshima yangu bro
Vina
Naaam kwa kweli dizasta vina ni fire sanaa
True bro huyu vina mbna mbwiga followers kadhaa ameanza kujiona diba😂
Dizastavina we ni zaidi ya mwalimu kwangu
Top shelf
Ujanishinda mm kuusu icho kichwa kama ningekua mgawa tuzo basi kulikua amn wakumpa maua ayo zaidi ya vina ishi sana kaka dizasta mungu akupe mwanga kwakila atua yako bado sijamaliza safari yang kwak
Disaster ni zaid ya professor
Incredible🎉
Respect bro you is genius of Africa
D ni mungu wa rap
Hatar sana huyoj jombaa
really hip-hop
Broo vyeo vya hip hop vyot vyako
Sio wasanii tu Mim mwenyew nakir ww ni namba moja yangu siku zoteeee kweny hiphp❤
Nkajua nimim tuu namuelewaga uyo jomba kumbe tupo weng asee uuyu jamaa amefanya niipende sana hip hop live long Dizasta,,,,, ngoma inaitwa hatia no iv,, Ngoma kalii sana kwa mwenye akilii
Lyrical Teacher✍🏼
Nakubali ding kwenye kaya
Naomba jina la nyimbo nisaidieni
FUNDI Wa Mistari Yenye VINA... #DizastaVina 🎤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dizasta n full package
Dah angalau nmefurah mana kama hapewag heshima yake
Dizasta vina😂😂😂😂
Walifunga mageti kwa maana ligi ndogo 😅
Nakubali ngudibihi
AtAri
mwamba vina respect broo, yaan ukiwa unasikiliza ngoma za mwamba unaweza futa na kuchukia ngoma zote za watangaza ngono
Dizasta Vina is on another level
Dizasta Vina n extraordinary hajawahi tokea MC mkali kama yy East Africa nzima
🔥
Bro dizasta ni hatari una madini ambayo hutuyakuti vitabuni
Vina🎉
Vinaaa✍️✍️
Napenda uchambuzi wako,, pia we really like dizasta vina,,
MC mbovu utakata tamaa ukimsikiliza Dizasta.
"Nachora beyond normal niite Dubo libala"
uyu mwamba unaweza yak corrupt medura ana madini mengi sana