Kumbe disazita vina siyo mtu mdogo ni msomi nimegundua kumbe #BASATA niwa vivu wanashindwa kutafsili nyimbo za disazita vina ndomana wanamnyima mwana hip hop bora kuliko wote hakuna Rappa ka vinna
Nani kagundua kwamba shahidi ni mvamizi kwenye hio meli, Think who would be able to surf around the whole ship and refer to the point where he addresses that his wearing did not conform to the class he was in but the fact that nywele zake zilionyesha kuwa hazijagusa maji inaonyesha alikuwa mvamizi kwenye meli hio. My perception
Mwanajua tunahitaji bro sijaielewa kabisa kuhusu mwanajua nikifikilia mwamamke baade najikataa mwenyewe mara JPM Mara Inagoma duuuh
Umenifumbua pakubwa sana. Big up Mhariri Big up Dizasta Vina
Kumbe disazita vina siyo mtu mdogo ni msomi nimegundua kumbe #BASATA niwa vivu wanashindwa kutafsili nyimbo za disazita vina ndomana wanamnyima mwana hip hop bora kuliko wote hakuna Rappa ka vinna
Ur right bro
Kaka kama ikiwezekana Tunaomba utuchambulie na MWANAJUA
Asee mwanajua ni pasua kichwa ....
Naipenda hiyo ngoma ila sijaelewa ina maana gani au ni nan alizungumziwa
Mwanajua ni balaa zito
Daaah itapendesa mwanajua akchambua
Inaeleweka ni Uvivu wa Kufikiri Tu
Kazi nzuri sana nina appreciate
Naomba mchambue na kazi nyingine nyingine za king Dizasta
Never disappoint Dizasita👉Shahidi🔥🔥
My best story teller dizasta Vina #Verteller Legend 🔥👊
🙌🏿
😑
Sema ukichambua na Mwanajua utakua umetisha
Mwanajua mpaka kesho sijawai ielewa aseh achambue tu
More Educated, MaashaAllah👏
uyu jamaa ajengewe sanamu lake posta
kweli it take GENIUS to know what is GENIUS🙌
Aiseee Hongereni sana kwa kazi kama hizi ✊🏿🖤🔥🔥🔥🔥🔥
Kaka nakuomba uendelee na uchambuzi wa ngoma nyingine za vina #fanofdizastavinna
Huaga nasikiliza hii ngoma kwa upande mmoja, leo pazia limefunuliwa, nmeona upande wa pili wa shilingi ambao ni muhimu zaidi
Tusaidie na ufanuzi wa mwanajua
Kiukwel uyu jamaa Disasta ni very talented inahitaj umsklize zaid ya mala 2 ndo uanze kumuelew📌,
Tunahitaj JICHO LA TATU😇
Mara mbili haitoshi kaka
Unajua broh kusimulia kaza 2 star wakesho uyoo usm2pe
This guy is Genius
Asee kazi imekaaa mezani. Big up mchambuzi✌️
Huyu jamaa ni Legend anayeishi aisee
we ni mkali wa wakakali
I like such kind of creativity him did in this Song, he is very distinct with other Artists.
Dahh hii ngoma imenipima utambuzi wang na nilipa F ngoja nisikilize upya
Duuuh noma uchambuzi mzuri
Sawa na kipofu kuokota sindano
Mv t 912.. watu wa band na tshet za kijani😅
Kwa Wana fasihii tuna jifunza Sana na kukuza ubongo..
Oya hii nyimbo nlikua najiuliza sana jamaa amewasilisha nn at least umenitoa gizan
Daah dizasta vina more talented asee 🔥 🔥 educated en real meaning of art work unadeserve kuwa mwalimu wa fasihi bro
Kazi nzuri sana,good clarification.
Dah akili nyingi
M nilikua msikilizaji tu😅😂
Aiseeee!!! Am speechless
Kaka dizasta kwamimi sina msanii wakumlinganisha mana nahisi ntamshushia heshima ila wewe utabaki kua igooo levo zako za juuu sana
Tuchambulie mwanajua
Mwana jua anaongelea kuchomozampaka kuzama kwa jua huyuu dizasta ni zaidi ya msanii
Kwel mwanngu mpk leo bado cjaelewa mwanajua
king of story teller
Professor tungo 👊🏿
dizasta huu wimbo alipaswa autoe ikistafu mziki maana umebeba uhalisia mkubwa na akili kubwa
Mrembo ni katiba... Kama alivyosema kwamba alikuwa na gauni refu huku akiwa na tattoo mwili mzima
haki ya Mungu sasa nyimbo za dizasta zianze kutumika mashulen kwenye kiswahili
This is Crazy 🙌🙌☺️
Kaz zur xan
💪💪 Kazi imeonekana hapa.
ye ndo toleo la mwisho la viumbe wa aina yake 🙌🏾
Kazi nzuri Proud of you kaka
Daah nokwel
Inatakiwa liingizwe kwenye mitaala ya shule
Hii ni kazi kubwa sana kuwahi kutokea
kiukweli nimeupenda huu uchambuzi nimejifunza kitu apa
Respect sana mwanang black maradona kazi nzur
Kibaha mile 1 m ni 8 mile eminem
Hongera kwa kazii.
Yoh 🙌🙌🙌 hii analysis
Nakubali sana tuko pamoja
Broo verteller 🔥🔥🔥🔥
💪🏾💪🏾💪🏾🔥uchambuz makini
Hakuna artist kama huyu duniani
Genius ❤
KING OF STORY TELLER🔥🔥🔥
Philosopher 👊🏿✊🏿💯
Eh fasihi imelala kwake🙌
Ebanaa eeh Prof Tungo Mr iQ
That's nice
Wanasiasa waaiione hii. 😊
Namkubali Santa Dizasta Vina huku kitaani ni Ttcha ase
Nakubali kazi zake
Nani kagundua kwamba shahidi ni mvamizi kwenye hio meli,
Think who would be able to surf around the whole ship and refer to the point where he addresses that his wearing did not conform to the class he was in but the fact that nywele zake zilionyesha kuwa hazijagusa maji inaonyesha alikuwa mvamizi kwenye meli hio. My perception
Anabaraaa uyu jamaa
More than artist
Waliookoka ni walokore...shahidi ni roooom.....
T912 daaah 🙌🙌
Genius vina
Doooooh🥺
Naomb uchambuw ya /mwana juwa//
Dizasta 👍
Umefanya vyema kabisa
Akil kubwa Sana mchambuzi
Kaka tunaomba utufafanulie mwanajua
This is deep
My brother dizasta
ina itaji utulivu usikivu iliuweze kumu elewa vinna
Very good
Dizasta akili kubwa
Mim Nami nakupitisha Kaka
umetisha sana fanya zotee zilee mkuu
SANA AISEE UMEICHAMBUA POA
🙌🙌🙌🙌🙌
🔥🔥🔥
Elimu💯
Shule imetake place Broo unatisha #dizastavina
Good
Vina🔥🔥🔥
Hii kazi syo powa broo// naomb uchambuwe ya mwana jua kama hutojal broo//Dizasta vina,
💥
Appreciate your 👊👊👊
Asante 🙏
Nakutafuta Darboi Mzee
msingeipost hii nisingekaa nigundue😂😂
Kichwa maji huwezi muelewa dizasta vina
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻MCHAMBUZI ONGERA SANA🔥🔥🔥👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Dizasta vina
Lets have MLEMAVU is out now please
Msimuliaji nmempenda sjui nmpe nn...