Polisi Dodoma ilivyombananisha mkulima wa bangi “Nilienda kwa mganga”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 бер 2018
  • Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto alifunga safari hadi katika msitu wa Wotta uliopo kijiji cha Mwanawotta Wilaya ya Mpwapwa mkoani humo na kuendesha Operation ya kufyeka na kuchoma mashamba ya bangi ambapo pia katika tukio hilo Askari walifanikiwa kumkamata mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Julius Luagala mwenye umri wa miaka 51 kwa tuhuma za kujihusisha na kilimo cha zao hilo.

КОМЕНТАРІ • 281

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 6 років тому +51

    Sasa mnachoma bangi mpo hapo c mnavuta na nyinyi😂😂😂😂😂😂

    • @karimmwinakarimmwina7560
      @karimmwinakarimmwina7560 6 років тому +1

      vizuri afande KO mesh a wamezidi

    • @zainabboo3205
      @zainabboo3205 6 років тому +1

      Habily BoyTz ha ha ha watatangulia wenyewe kituoni kujishitaki

    • @destiny4life439
      @destiny4life439 6 років тому +1

      +Zainab Boo sawa na ww lima upate tabu

    • @rockyvlogs2214
      @rockyvlogs2214 6 років тому +1

      Habily BoyTz kweli kabisa😯😂😂😂😂😂😂

    • @deadcrush
      @deadcrush 6 років тому +1

      Hapana! Ni mpaka ivutwe jinsi inavyotakiwa.

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 років тому +36

    mbona huyu mzee hkuna haja ya kumfunga pingu,Tufanye research tujue why watu walime bangi badala ya mazao mengine?

  • @user-je2kk6vi7y
    @user-je2kk6vi7y 9 місяців тому +2

    huyo mzee dish sidhan kama liko sawa

  • @vyakula_na_tiba4997
    @vyakula_na_tiba4997 6 років тому +2

    kama huwa mnatumia hicho kiungo cha mboga gonga like

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 років тому +1

    Daah inawezekana Uyu ndie aliyekuwa anamuuzia Wema Sepetu na Rayc maana sio mchezo hizo ni nomaaa

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 6 років тому +2

    KAMANDA WA DODOMA KWA KAZI NI NZURI SANA.👏

  • @sciencearusha5951
    @sciencearusha5951 6 років тому +29

    RPC Murotto maswali yako huwa yananikosha sana

    • @fredymagida7382
      @fredymagida7382 6 років тому +3

      Science Arusha Kamanda hata Me namkubali

    • @myself4128
      @myself4128 6 років тому +1

      Science Arusha HANA KAZI....ANAACHA MASUALA YA KIUSALAMA ANAKIMBILIA KESI ZA BANGE??? KWANI JESHI LA POLISI HALINA MSEMAJI??MZEE MSAKA KIKI TU HUYU HANA JIPYA NA SURA YAKE KAMA BUNDUKI

  • @masudiitembele5414
    @masudiitembele5414 6 років тому +13

    daaah nani hapo mzee sasa halafu nyinyi mnawakamata hao watoto wakati mapapa mnawaacha wanao uza madawa ya unga

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому +2

    Safi sana kamanda 🙏

  • @ramadhaniathumanimlenge6641
    @ramadhaniathumanimlenge6641 6 років тому +9

    Muacheni tu maana hana msaada

  • @saidishehoza150
    @saidishehoza150 6 років тому +1

    kazi nzuri.

  • @fokasiinnocent3448
    @fokasiinnocent3448 6 років тому +5

    watanzania nawambien ukwel hua naumia napowaona wez kama kina tibaijuka,change,nawengine wakitamba mtaani lkn masikini wakifanywa ivo,mungu tuokoe.

  • @sylvestermatinde7527
    @sylvestermatinde7527 5 років тому +2

    Kwenye kushika bangi namba moja VP wezi na mafisadi walioiba taifa na mnawajua

  • @mzikiwetulyricsofficiall5003
    @mzikiwetulyricsofficiall5003 4 роки тому

    RPC murotto hkk unambana mtu ile ile hkk maswali yk nimeyapenda kazi nzuri kamanda nakubari na na mm naunga mkono juu ya hilo

  • @jumaomary4815
    @jumaomary4815 4 роки тому +1

    Daah! Inauma xn

  • @jumashabani7068
    @jumashabani7068 6 років тому +11

    Bangi tamu sanaaaa ,Mimi naipenda mno

    • @charlesmushi5350
      @charlesmushi5350 6 років тому

      Juma Shabani acha utaahira wewe sifa za kijinga

    • @josephmtenga582
      @josephmtenga582 6 років тому

      😂 😂 Njooni mumkamate uyu ukuuuuuu

    • @petromwinyi4955
      @petromwinyi4955 6 років тому

      Juma Shabani yaani napata kaharufu kwa mbaaalii duuuu utamu Wa bangi banaaaa

  • @hashimuchikayuma
    @hashimuchikayuma Місяць тому

    wa mtwara ongera sana jeshi la polic

  • @khadijayasir8532
    @khadijayasir8532 3 роки тому

    Ligalise it....... In love with weed from kenya

  • @landlord440illuminate8
    @landlord440illuminate8 6 років тому +11

    Hiyo ni dawa ya degedege. Mkakamate wauwaji na watekaji. Konyagi ina madhara kuliko bangi.

  • @asmabintikiwasha13
    @asmabintikiwasha13 6 років тому

    hongera

  • @user-ei2dj6ih5o
    @user-ei2dj6ih5o Місяць тому

    Sio vzur kumzalilisha huyu baba masikin mbona matajir wanaouza madawa ya kulevya hamuwasubui na wengine ni wafanyakaz serikalin au Kwa sababu Sheria inabagua inatekelezwa Kwa masikin tu, kama angekuwa kigogo asingedharirishwa

  • @danielpaschal554
    @danielpaschal554 6 років тому +1

    Nakubali

  • @posterfarjarman967
    @posterfarjarman967 2 роки тому

    siasa,,,

  • @rashidhussein6152
    @rashidhussein6152 3 роки тому

    Kilimi cha kawaida mnazuiaa watuu kuuza njee...na bado mauxo ya ndan makodi kibaaoo sa mtu afanyeje sasa..

  • @yahayaalex6605
    @yahayaalex6605 6 років тому +1

    Ajira hakuna jamani akiiba nizambi napia bangi ndo inamfanya endeshe maisha yake chaku ishauli selikali kama wamekata bangi napia hawataki aendelee na kulima bangi inabidi wampe mtaji ili aweze kuendesha familia yake maana kwa umli alio fikia hawezi kufanya biashala nyingine zaidi ya bangi mazao hayana faida napia hakuna bei lasmi ya mazao

  • @haikam4272
    @haikam4272 6 років тому +1

    Huyu dingi namkubali sana, Tanzania maafisa wote wawe na moyo wa kulipenda Taifa kama alivio basi, kwa kila MTZ atapata amani.

  • @oman11oman59
    @oman11oman59 5 років тому

    Hapo mm ndoo nachoka wangekuwa vijana mnasema vijana umri mdogo kama huu ndoo mnajishilikisha na kulima bangi wawe na mri mkubwana umri mkubwa ndoo unajishikisha na kula bangi sasa walime wa umri gani

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 роки тому

    Kalima kubwa asee, uo utajiri wake

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 роки тому

    Ingekuwa dhahabu ingekuwa ya police ila kwakuwa nibangi basi niyako mzee wey weka tu mkono juuh

  • @abdullahimoxamed6248
    @abdullahimoxamed6248 2 роки тому

    Bangi ni dawa isipokuwa wengi hufanya mambo ndio wasifiwe , lkn mbn Askari wachome mali ya mtu na baadaye utawaona wakinunua hizo bangi

  • @abdulrazakshaali4994
    @abdulrazakshaali4994 2 роки тому +1

    bangi mimea t kam mimea nyengine mbn wasanii wakubwa hwakmatw n wnvuta bangi kam afande sele

  • @vyakula_na_tiba4997
    @vyakula_na_tiba4997 6 років тому

    subscribe kwenye youtube channel yetu kupata kipindi kipya kinachokujia karibuni kinachohusu mapenzi na namna ya kumnasa mpenzi anayekusaliti

  • @AminosALLY-ub5gw
    @AminosALLY-ub5gw 5 днів тому

    KAZI. IPO

  • @goodnessexcellence707
    @goodnessexcellence707 6 років тому +1

    Ongera Sana kamanda kwalazi unazozipiga lkn angalia wasikuue maana unaokiereere sana

  • @denicejoseph8632
    @denicejoseph8632 3 роки тому

    Bangi hiyalalishwe n ipande beai uwone km watu watatumia
    Nambn sijawahi muon mtu aliye haribik kwakuvuta bangi

  • @fokasiinnocent3448
    @fokasiinnocent3448 6 років тому +6

    mnafanya kazi nzuri,lkn kwann msiwakamate mafisadi nawezi Wa escro ambao kila MTU anajua waliiba nchi nzima na nchi ishudie wakifungwa na sio kuishia mahabusu nn manake.

  • @rashidiomary1324
    @rashidiomary1324 6 років тому

    Mzee mroto nakukubari sana sana

  • @farajibugi9924
    @farajibugi9924 6 років тому

    Aah huyu kamanda bhana ana sifa sana kwenye mambo yasiyo na maana

  • @HalikiRasuli-ko9rv
    @HalikiRasuli-ko9rv 3 місяці тому +1

    Mahouse gelo

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 5 років тому

    Bangi is medicine

  • @_.andy1andy685
    @_.andy1andy685 4 роки тому

    Medication

  • @kikameme5054
    @kikameme5054 6 років тому +2

    izi ndizo mambo za kudanganyana eti kacha bani kumbe kawa muzaji

  • @sojaruben1757
    @sojaruben1757 3 роки тому

    jamani bangi sio mbaya mbn gamaika wanatumia mfano bob male ilikuwa anavuta bangi na kacha history kubwa duniani tufanye uchunguz kubain bangi pengine ni tiba

  • @babawa2633
    @babawa2633 5 років тому

    Mh raisi aliagiza askar wake wasifyeke bangi.kamanda kamata kijiji chote vitu vngne haviitaji huruma afande mtoro

  • @lamalama5239
    @lamalama5239 4 роки тому

    Muroto go Back to school na ufanye reseach,Bangi ni Dawa! Wazungu wanawadanganya wakati huku ulaya ndio Bangi wanatengeneza dawa,nakuja kuwauzia, Hao washamba kama Muroto! Nenda Uganda wanalima Bangi kwa ajili da dawa!

  • @radhiambwana8787
    @radhiambwana8787 4 роки тому +1

    Bangi ni mbaya kwakwel

  • @thadeymligo2109
    @thadeymligo2109 5 років тому

    unafeli kamanda bangi tam mnoo mwachie tu. jaman a MWe. we kamanda misifs

  • @abelbiswaro8018
    @abelbiswaro8018 6 років тому

    Polen mungu awape kaz za kufany zipo nying

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 років тому +4

    Mi nina swali nisaidieni wadau.hivi hapo wanapochoma bangi hyo yote huo moshi wakiuvuta hauwazulu? Au mpaka bangi iwe kavu? Mana naona hapo huyo afande anaechoma anajifanya anawasha kiberiti mara mbili huku moshi unamfunika usoni wala hakwepeshi😂😂😂.huo moshi si haujawadhuru hao walichoma na majirani kweli?

  • @user-je1id1tx1u
    @user-je1id1tx1u 3 роки тому

    Alikuwa anatesti mitambo na ardhi kama itakubali aje bungeni apendekeze kuwa eneo hilo linafaa manaa mliisha jadili kilimo hicho kwa hiyo naye alikuwa anafanya research

  • @isacknguvumali3445
    @isacknguvumali3445 6 років тому

    Wata pata tabu sana na rudia tena wata pata tabu sana iseeeee hahaaaaaa nakukubari sana mzee Mroto

  • @emmanuelkayogolo9397
    @emmanuelkayogolo9397 6 років тому +1

    Dodoma mtapata tabu saana maana huu moto wa RPC wenu sopoaaa!!!

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому

    Kazi nzuri

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 3 роки тому

      baba wwatu mumuache kuna vitu vingi sana vipo kwenye jamii mbona hamuvikemei

  • @kenedynashon9717
    @kenedynashon9717 6 років тому

    Huyu kamanda ana maswali ya mitego balaa😁😁😁😁

  • @SHELYnaitakiasimbaushndipointB
    @SHELYnaitakiasimbaushndipointB 2 роки тому

    Na pombe nayo wangekuwa wanafanya kama wanavyofanya kwenye bange nchi ingesonga mbere maana pombe baya kuliko bangi

  • @kennycathles
    @kennycathles 5 років тому +1

    Bangi ni Dawa.

  • @romanngendo
    @romanngendo 6 років тому

    This commander should come to kenya n we see if he got the guts😂😂

  • @joramsonedward6681
    @joramsonedward6681 5 років тому

    Bangi haina mazara yoyotee

  • @joshuapaschal5541
    @joshuapaschal5541 4 роки тому

    Sample amepatikana dah

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 6 років тому +1

    juzi raisi kasema asikari msikate bangi alielima na wanakijiji wa sehemu hiyo ndo wazikate

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 6 років тому

    Hyu kamanda namkubali san 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtapata tabu sanaaa kipigo chake kitakua nikipigo cha mbwa koko

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk 22 дні тому

    Moshi nao vipi apo sikuvuta pia au mm ndio sielew

  • @jobkofficial1591
    @jobkofficial1591 Рік тому

    Wanaharibu hela hawa!

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 років тому +2

    yaani imestawi mpka natamani,il hapo kapata hasara kweli

  • @lightnesshassan5814
    @lightnesshassan5814 Рік тому

    Kamanda muroto ninoma ukiingia kwenye kumi na nanezake umeenda ndugu yangu

  • @pendobaharia7227
    @pendobaharia7227 3 роки тому

    Kwetu mpwapwa kwa bangi hatujambo 😁😁

  • @josephcharlemagne3577
    @josephcharlemagne3577 6 років тому

    Amen and Amen jesus

  • @veronicamchilo8552
    @veronicamchilo8552 5 років тому +1

    Ila apo kunamaafande wanavuta mkuu

  • @bolizozoshirima8088
    @bolizozoshirima8088 6 років тому +14

    Aliye mpiga lisu mmeshampata au?

  • @hamisimarandu5627
    @hamisimarandu5627 5 років тому

    Kamanda huyu no safi sana

  • @willyjulius7740
    @willyjulius7740 6 років тому +1

    Ifanywe zao la biashara

  • @jeremiahsengasu6595
    @jeremiahsengasu6595 6 років тому +14

    huyu Mzee anapenda camera

    • @ayubudaniel8222
      @ayubudaniel8222 6 років тому

      kweli kwahuyu mzee kamera kwake kiki tosha

    • @saidkaoneka2648
      @saidkaoneka2648 6 років тому

      Jeremiah Sengasu 😂😂😂umeonae

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 6 років тому

      hadi anakera

    • @linussebastian6856
      @linussebastian6856 6 років тому

      😂😂😂😂😂nimeshuka kwenye comment niseme hivyo nikakuta mshasema😂😂😂😂 au anatafuta msemo mwingine

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 6 років тому

      Jeremiah Sengasu Mzee Tupi anapendwa Kramer’s au huoni anaopiga kaz? Au unaweza kupigwa kaz kama yake?

  • @alicedusabe3988
    @alicedusabe3988 6 років тому +1

    Muacheni tu kwani sibola akarime bangi bila kuiba

  • @ausimbwana26
    @ausimbwana26 6 років тому

    Hawa jamaa si walikatazwa kuchoma na kung'oa bangi wakiwa na sare za jeshi.

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 6 років тому

    mzee acha kuuliza maswali mengi huyo ni mzee mwenzio

  • @charlesgithiri0017
    @charlesgithiri0017 3 роки тому

    Sasa mnachoma weezenu watengeza pesa Duniani Haina haja kuwataja ,Pia ya kutumia ,?uliza Agrey mwanri Alie kua mkuu was mkoa waTabora
    .

  • @yolakahmathews6913
    @yolakahmathews6913 6 років тому

    Mbona pombe ina madhara kibao, uchizi, magonjwa ya ini, familia kuvunjika, watoto kukosa walezi, lakini bado mnairuhusu na watu wanapiga hela. Bangi iruhusiwe tu na wakulima na wauzaji walipe kodi.

  • @angelusilljujalijuja9852
    @angelusilljujalijuja9852 6 років тому

    RPC upo vizuri

  • @alengeswedi6962
    @alengeswedi6962 5 років тому

    Huyu babu ni muigizaji kweli kweli yaani kanikumbusha majuto marehemu

  • @raygunmaterial1344
    @raygunmaterial1344 6 років тому +1

    Dah, shaza zinapigwa moto hadi roho inaniuma

  • @tipeddie5322
    @tipeddie5322 6 років тому +1

    Tunaluka mikojo uku tukikanyaga mavi.....wenzetu wanauza mirungi Kenya na inawasaidia ,bongo misigara ndo mnaiona inaumuhimu kwa serikali. Zuieni michezo ya kubet ndo inaaribu vijana kipindi iki.bangi ni dawa ya magonjwa kibao

  • @Mngoniboytv
    @Mngoniboytv 6 років тому +1

    Bangi dawa ya wtoto mulize bangine mboga

  • @aureliebeatrice5952
    @aureliebeatrice5952 6 років тому

    Jmn siyo poa ivyo ...we kamanda ☹️☹️

  • @ramadhanisakalani8372
    @ramadhanisakalani8372 6 років тому

    Kwelii kamanda wanakua wamelegea

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 6 років тому

    Hivi Rais alisema askari wasikate bangi au nilisikia vibaya...amedharau amri ya mkuu wa nchi

  • @galakxytzofficial5004
    @galakxytzofficial5004 6 років тому

    😁😁😁umze ana nifurahisha sana

  • @pattymsetty5262
    @pattymsetty5262 6 років тому +1

    ganja haina madhara hayo ya kipumbavu hizo nizama za kale ndo mana inaota kama mmea asilia ,ni upuuzi kubania watu ridhiki et dawa za kulevya ....naimani hakuna watu wanatumia sana kama askari ,na watu wenye wadhifa ..

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 6 років тому +1

    hause gelo

  • @emmanuelbenedicto589
    @emmanuelbenedicto589 6 років тому

    hii ni ya lini mnakiuka maagizo ya mkuu was Kaya askari wasikatishwe bangi wakusanyeni watu was maeneo hayo wakafyeke ili wamlaumu aliyelima agizo LA mkuu wa kaya ni amri.

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 5 років тому

    Asa c mzipeleke Canada Ndo soko la Bangi huru,hv Cku tz ikapitisha sheria ya kuruhusu kulima Bangi hawa mnawao wafunga Leo mtawalipa fidia yao? 😂😂😂nivuta nn cjui mbn Kama nmeongea Point

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 6 років тому

    hahahahahahaha hao polis naona wanazid kuchangamka kila znavozid kuungua, alf huyo mzee keshakua maarufu... mchangamfu sana

  • @omarychaula6056
    @omarychaula6056 2 роки тому

    ma police nyie wenyewe mna vutaaa tuuu arafu mnatukamata acheni swaga nyieeee mnavyo waaafanyia wananchi sio kabisaa yaaaani

  • @richardphilipo312
    @richardphilipo312 6 років тому

    #kwa nn tusilime tukasafilisha ktk nchi ambazo wanatumia bangi?

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 6 років тому

    RPC anaweza fukuzwa kazi baada ya kuupuza agizo LA rais
    Rais alisema hajaajil polis kwa ajil ya kufyeka bangi
    Ukikuta shamba LA bangi kama wa husika au kijiji kizima wafyeke mpaka mwenye shamba apatikane
    Kamanda katumia polis kufyeka bang kuchoma
    Polis wametuta bangi Leo kupitia moshi

  • @goldendesertmrgolden5976
    @goldendesertmrgolden5976 6 років тому

    Afande mbwa koko raisi magu alishasema hataki kiona asikali wake wanafieka bangi sasa ww unaludi hukohuko kwenye makosa
    Harafu bangi ni dawa Mwenyezimugu hakuteremsha vitu kwa makosa mungu ni mkamilifu kwa kilakitu kuliko binadamu Tanzania etabaki kuwa inchi masikini duniani

  • @mumybhay6561
    @mumybhay6561 5 років тому

    chomeniiiiii mkesha choma na nyny wenyewe mtakua tyr mshavuta maana huo mzigo c mdg ..jiangalieni apo 😃😃😃😃

  • @EdwardMajor08
    @EdwardMajor08 6 років тому

    Ila mheshimiwa Raisi ameshakataa Polisi wake kwenda kukata bangi

  • @sombimussa1476
    @sombimussa1476 6 років тому

    ila ukweli ni kwamba bangi na konyagi ; hailife haina tofaut jmn ni bora waruhucin kutumia ila wasizidishe

  • @iddiaman6418
    @iddiaman6418 6 років тому

    Mh anailima kabisa bila woga hatar sana

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 2 роки тому

    Tumekusi afande