"Nabii Tito" amwambia Kamanda "mimi ninatumia Biblia"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2018
  • Jeshi la Polisi Dodoma limemkamata mtu mmoja Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito mwenye umri wa miaka 44 kwa kosa la kueneza chuki ya kidini dhidi ya watu wengine kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi Gilles Muroto amezungumza na Waandishi wa habari na kuelezea yote kwa undani.

КОМЕНТАРІ • 936

  • @samuelemmanuel3400
    @samuelemmanuel3400 6 років тому +11

    Safi sana, selekali yetu ya fanya kazi nzuri. Nice work

  • @abdallahmwinyi2106
    @abdallahmwinyi2106 6 років тому +8

    Very good kamanda umefanya kazi ubarikiwe kama kichaa akatibiwe

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 6 років тому +4

    nimemkubali kamanda ni yupo kikazi.....sanaaaaa daaah big up Kamanda👏👏👏 sheria ni msumeno

  • @godfreyamen1135
    @godfreyamen1135 6 років тому +11

    Hongera jeshi la police,sheria ifuate mkondo, hata hao waumini wake wakamatwe,na hao makahaba wenzake wakamatwe

  • @exezodacimyingaexezodac1304
    @exezodacimyingaexezodac1304 6 років тому +52

    JESHI LA NA POLC KWA UJUMLA MUNGU AWABALIKI SANA NA AZIDI KUWATUMIA KWA KIWANGO KIKUBWA SANA MAANA KAZI MNAZO ZIFANYA NIKAZI NGUMU SANA SISI TULIO WENGI TUNAJUA MNAMAPITO MAGUMU LAKINI MUNGU ATAWALIPA TUU WALA MSUTISHIKE NA MTU ANAYE JIITA YEYE NDIYE KWANI MTAWATAMBUA KWA MATENDO NA MUNGU ATAKUWA NANYI KAZi #KAZI NJEMA WATUMISHI WA MUNGU

    • @capitanofindus7312
      @capitanofindus7312 6 років тому +1

      Exezodaci myinga Exezodac wwcheni ujinga kila mtu ako free kwa kitu anacho kiongea watz ni wajinga

    • @capitanofindus7312
      @capitanofindus7312 6 років тому

      Ujinga wa watza ndio huo kwwni kama ww unaamini dini yako utamskiliza huyo chizi polisi wa kibongo nyote mnafirwa

    • @jumaedward7110
      @jumaedward7110 6 років тому

      mselemabdull kuma la mamako unafirwa mwenyew na baba yako,

    • @capitanofindus7312
      @capitanofindus7312 6 років тому

      Exezodaci myinga Exezodac unajitia una matusi ila akili hamna ndio mkawa muko vijiweni munaiba tu tutawaua mwaka huu

    • @jumaedward7110
      @jumaedward7110 6 років тому

      mselemabdull unaongea pumba mkundu wew

  • @lauralaurent5994
    @lauralaurent5994 6 років тому +41

    ahsante jeshi la polisi........alikuw ananichefua sann huyu mtu

    • @rowdyrondarouseyfire9476
      @rowdyrondarouseyfire9476 6 років тому

      Laura Laurent
      Yaan my dear Laura hunishindi mm alinichefua cku moja kupitia video zake.

    • @sharifukiserekela3851
      @sharifukiserekela3851 6 років тому

      mpokeeni nabiii wenu wengine mnapeleka sadaka Kwa tito mnagoma

    • @lauralaurent5994
      @lauralaurent5994 6 років тому

      +Sharifu Kiserekela hakuna nabii wa namnaa hii,umeshaambiwa ni kichaa ........

    • @lauralaurent5994
      @lauralaurent5994 6 років тому

      +Miskia Ayallah afungwee kabisaa..?..

  • @frbm1729
    @frbm1729 6 років тому +2

    Kazi nzuri sana Kamanda wetu.Bwana Mungu wa Majeshi awabariki.

  • @chipagafashion
    @chipagafashion 6 років тому

    Subscribe my UA-cam ACC Smart Online TV uweze kupata habari mbalimbali, Breaking News, comedy na Korean Series.

  • @rayrayroblox5663
    @rayrayroblox5663 6 років тому +21

    Huyu mtu nishetani mmefanya vizuri sana yani inabidi hizo kanisa za kishetani muzipige vita

  • @kelvinkelvin_tz3983
    @kelvinkelvin_tz3983 6 років тому +7

    ahsanteni jeshi la polisi , asanteni sanaaaaaa

  • @dorahisaya2908
    @dorahisaya2908 6 років тому +1

    hongereni polc kwa kazi njema na ngum mungu awape wepesi

  • @danielmsangi7271
    @danielmsangi7271 6 років тому

    Asanteni jeshi la polis kwa kazi nzury maana ametudhalilisha wakristo mimi nilibakiza kumsaka na kumchoma motk

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 6 років тому +42

    Sura yake tu inaonesha chizi 😂😂😂 msameheni tu Ni Bora hakutukana uislam manayake waislamu wangemmeza mzima mzima

    • @maryamdounga2290
      @maryamdounga2290 6 років тому +2

      Black Nature 😂😂😂😂😂jaman umenichekesha

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 років тому +1

      Black Nature 😂😂😂😂😂😂😂😂tena tusinge mchelewesha

    • @maryamdounga2290
      @maryamdounga2290 6 років тому +1

      Tatu T 😂😂😂😂bahati yake cc hatuna unafiki nadin yetu

    • @sisisisilia4898
      @sisisisilia4898 6 років тому

      Hahaaa hatari kwa kweli

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 років тому

      Maryam Dounga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dunia angeona chungu

  • @susanmmbaga3713
    @susanmmbaga3713 6 років тому +6

    Kichäa anafanya vitu km mtu mwenye akili zake sheria ifate mkondo wake

  • @richardkobero6988
    @richardkobero6988 6 років тому +6

    "YOU HAVE FREEDOM BUT NOT TO THAT EXTENT"-JPM

  • @richardmuyango6106
    @richardmuyango6106 6 років тому +36

    Kamanda hyo sio wakawaida hyo kma nikichaaa kweri cd hzo pamja na vitabu nani anamchapia ss kuna watu nyuma yake

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 6 років тому +20

    pigeni marufuku watu kuzuka na kujita manabii haya yataisha tambueni uzito wa manabii na kaz zao hapa kila kukicha manabii nani kawatuma

    • @nyombetv3370
      @nyombetv3370 6 років тому +1

      kweli kaka

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 років тому

      yesu

    • @seifmohamedseif9384
      @seifmohamedseif9384 6 років тому +1

      mana bii walisha hakuna nabii mpya tena na manabii Mungu ndio anae watuma sasa hawa manabii wa bongo wakujituma nani kawatuma wamekuja na ujumbe upi ? na watazame upande upi uzuka hawa manabii na kwa nn ? jibu swala la manabii linachukuliwa simple tu mtu akijisikia anakua nabii hz akili au matope

  • @mesozimkombozi432
    @mesozimkombozi432 6 років тому +17

    Safi sana kamanda. nimeumia sana juu ya huyu mtu.

  • @davoo2555
    @davoo2555 6 років тому

    Hongera kwa kazi Nzuri Afande.

  • @bettydackman1442
    @bettydackman1442 6 років тому

    Asante sana Serikali, Kamanda Mwenyezi Mungu akupemaisha Marefu ,Umenena Vema kabisa

  • @motivationtv9958
    @motivationtv9958 6 років тому +13

    uyo jamaa alaaniwe na haki za kishelia zifuatwe

  • @judydebawsepaul905
    @judydebawsepaul905 6 років тому +10

    duuh maongez yake enyew htr... unaulizwa n kosa... unajib vingn... duhh

    • @chaziotv9845
      @chaziotv9845 6 років тому

      good kamanda

    • @japhetalbano1227
      @japhetalbano1227 6 років тому +1

      Kamanda mpeleken milembe akabaki huko kwan hiyo dini yake ni matangazo ya biashara ya pombe

  • @elibarickandrew2870
    @elibarickandrew2870 6 років тому

    Asanteni kwa kweli kwa kumkamata..kazi nzuri..

  • @daudiasafu3235
    @daudiasafu3235 6 років тому +1

    Tunaomba mumuache mirembe huko huko asiletwe tena Katika jamii, safi sana jeshi letu la polisi, mshikilieni aache kabisa upuuzi huu. Abaki milembe huko.

  • @umranim5854
    @umranim5854 6 років тому +5

    Mpotovu sana sio kidogo achukuliwe hatua ana fundisha nini watoto mshenzi nimefurahi sana vitu vilivo katanzwa na mwenyezi mungu ndio ana vihalalisha mpotovu sana

  • @youngboyjustin1141
    @youngboyjustin1141 6 років тому +5

    Poa sana👍👍👍

  • @denickillanga8614
    @denickillanga8614 6 років тому

    Hongera polisi na nakwona ndugu yangu Ema muha upo na mkuu bless jembelangu

  • @JohnMdee-pm1qh
    @JohnMdee-pm1qh Місяць тому

    Good job Afande

  • @fatumafashiondesigner1461
    @fatumafashiondesigner1461 6 років тому +3

    Ahsanta boss wangu

  • @immamtaki6653
    @immamtaki6653 6 років тому +5

    Hugo ni mzma asijifanye kichaa afungwe tu

  • @ulricamakalla5565
    @ulricamakalla5565 6 років тому

    Daaah imeniuma mm naheshimu ukristo wangu...mungu pekee amsamehe hajui alitendalo

  • @magzeeee
    @magzeeee 6 років тому +1

    mimi sio fan wa huyu jamaa kabisa..lakini nimeangalia video hadi mwisho..nimependa confidence yake ya kutetea anachoamini!...

  • @abuuayoub8958
    @abuuayoub8958 6 років тому +7

    Nilijua tuu Hana akili hahahahahha sema wamtie ndani hvyo hvyo Na ukichaa wake akili itakaa sawa tuu...hahahha halafu amepiga kimkorogo hahahahahha Habittth

    • @nancycosmas2083
      @nancycosmas2083 6 років тому

      AB Ayoub katia na dawa eti 😂😂😂😂

    • @abuuayoub8958
      @abuuayoub8958 6 років тому

      Nancy Cosmas hahahaha eeeh kitaulo kidogo Wallah Tena lazima Nuru kidogo

  • @omarymsira1848
    @omarymsira1848 6 років тому +9

    Ata Kama ni kichaa afungwe tuuu

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 6 років тому

    Eti kichaa na anajielewa na vtu anavyofanya..... Kifungo miaka adhaa ndio atajuwa ni kosa. Ahsante kamanda. Kenya tunaitaji makamanda kama wewe. Kazi nzuri

  • @aminasanga7096
    @aminasanga7096 6 років тому

    baba angu kaka angu mroto wewe ni mlezi Wa kaka angu ni mchapa kazi tk maturubai mbagala ukiwa mkuu Wa kituo big up sana

  • @nazmaabdul949
    @nazmaabdul949 6 років тому +18

    nikichaa kweli maana sio kawaida

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 6 років тому

      California love

    • @husseinmajid721
      @husseinmajid721 6 років тому

      Nazma Abdul bora nabii tito alikuwa anafanya hadharan sio viongoz wengne wa dini wanaofanya mambo ya ajabu kwenye giza

    • @nazmaabdul949
      @nazmaabdul949 6 років тому

      +Hussein Majid nakweli kesho kwa mungu wataenda kujibu

    • @demetrykisiya1396
      @demetrykisiya1396 6 років тому

      Nazma Abdul nishida nazma

  • @yohanashedrack3109
    @yohanashedrack3109 4 роки тому +1

    Mbalikiwa sana jeshi la polince

  • @mudriqjardeny708
    @mudriqjardeny708 6 років тому +2

    "Ukiona bia tano hazikukolei unaongeza konyagi."🤣🤣

  • @ernestsinje2606
    @ernestsinje2606 6 років тому +4

    Tulisema Dini ni sawa na ulevi tu...kumjuwa MUNGU sio lazima use ma dini,,kwani kabla ya Waarabu kutufanya watumwa na wakoloni ,hapo nyuma hatukuwa tunamjuwa MUNGU?

    • @user-my9hc6uf9l
      @user-my9hc6uf9l 4 роки тому

      Hata mimi huwa najiulizaama swali hilo, Kumbe Wahindi wangetutawala nahisi sote tungekuwa Mabaniani, no kula nyama!

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 Місяць тому

      Na tumezikamata kuliko hata hao waliozileta

  • @judydebawsepaul905
    @judydebawsepaul905 6 років тому +6

    duuh na mbn ht haonyesh km n nabii?? yupo rough kwl

  • @jofreyjafety138
    @jofreyjafety138 6 років тому

    ahsante sana serikali yangu mungu awabalik sana uyo alikua ana nikela kiasi kwamba nilitaman ata sijui nimfanyeje

  • @michaelkasebele7168
    @michaelkasebele7168 6 років тому

    safi sana jeshi la polisi,lazima misingi ya iman za watu zilindwe.KAZI NJEMA MAKAMANDA....🙋🙋

  • @rahmamohamed8083
    @rahmamohamed8083 6 років тому +8

    Kama mtampata na kosa mfungeni tu mana mpotoshaj

  • @kigambontv9748
    @kigambontv9748 6 років тому +3

    Polis hapo hamkufanya happy kabisa Nchi yetu kila raia anahaki ya kuabudu dini na imani anayo itaka mdaa wowote pahala popote ilimradi tu asivunje Sharia ya nchi .
    Na nchi yetu hakuna Sharia inayokataza kunywa pombe wala mtu kuzaa na mfanya kazi wake hapo nyny mmeleta udini tu hamna lolote

  • @katharinaandrew1514
    @katharinaandrew1514 6 років тому

    safi sana kamanda . ubarikiwe. wapumbavu kama hao weka ndani. nimekupenda baba

  • @lucyleganga6301
    @lucyleganga6301 Рік тому

    Na ni nani anamchapishia mabango, vitabu hadi CD .Mmmh upo vizur sana Afande lifatiliwe saana.

  • @aintnamed6839
    @aintnamed6839 6 років тому +4

    Ukristo ni ukichaa..Mtu mwenye akili timamu hawezi amini eti Nabii Isa ni Mungu au mwana wa Mungu kama wanavyodai.

    • @frank01tz
      @frank01tz 6 років тому +1

      Pole. Yesu ndiyo Mungu wako pia, hata ubishe mpaka ufe!

    • @francisnicholaus5590
      @francisnicholaus5590 6 років тому

      Aint Named ww ni nani

    • @francisnicholaus5590
      @francisnicholaus5590 6 років тому

      Aint Named asant jesh muendelee hivohivo

    • @gracesangaboloko5414
      @gracesangaboloko5414 6 років тому

      Aint Named ulaaniwe wewe pamoja nakizaz chako kwa jinala Yesu kristo aliye hai na damu yako iwe juu yako nauzao wako

    • @aintnamed6839
      @aintnamed6839 6 років тому +2

      Grace....maadam we ni mkristo basi tambua we ni kafiri ukubali ukatae....Fanya hima uzinduke usingizini uingie uislam kabla mauti yakupate.

  • @fredmathubejr3547
    @fredmathubejr3547 6 років тому +26

    Aliona Dr shika ametoboa akaona na yeye atoke kwa njia hiyo...sasa wacha apambane na mkono wa magu, kisha God himself anamsubiri

  • @gameonjashewade6352
    @gameonjashewade6352 5 років тому +1

    Mwizi huyooo

  • @filimonmboya9615
    @filimonmboya9615 6 років тому

    Ongereni San jeshi la police kwa kazi kubwa ya kufanya nchi hii kuwa na Amani mbarikiwe San jeshi latanzania kibinadam tunaona nikazi ndgo lakini mnafanya kazi kubwa San yakulinda misingi ya kisheria nchini Mungu bariki Africa Mungu ibariki tanzania

  • @exezodacimyingaexezodac1304
    @exezodacimyingaexezodac1304 6 років тому +16

    Kichaa hawezi kuwa na hakili ya kubana sidii na kufanya ujinga kama huo

    • @daimavlog
      @daimavlog 6 років тому

      Exezodaci myinga Exezodac anaweza mpendwa

    • @newvisiontv4932
      @newvisiontv4932 6 років тому

      Kuna level za ukichaa na magonjwa ya akili yapo mengi sana

    • @josej9888
      @josej9888 6 років тому

      Huyu kweli, siyo kichaa, polisi wamesema hivo kutafta sababu tu, maana wameshindwa kupata jibu kamili.

    • @emanueladamayubu9940
      @emanueladamayubu9940 6 років тому

      inawezekana huyu Raia sio kichaa bali ana kitu kingine

    • @ashminaabdullah5626
      @ashminaabdullah5626 6 років тому

      Kweli kichaa gani uongo tu

  • @kanisakatolikinabiblia5220
    @kanisakatolikinabiblia5220 6 років тому +11

    Duh! Pole sana Dunia

  • @chikaeze6896
    @chikaeze6896 6 років тому

    Good job God bless you people good job

  • @khloealfan7924
    @khloealfan7924 6 років тому +1

    alafu mkamate na mishoga😀😀😀maan mjin imejaa

  • @tzviral7342
    @tzviral7342 6 років тому +3

    Hakuna mtu alikua ananichefua kama huyu jamaa asee.
    Pitieni na kwenye Channel yangu takua napost Habari nzuri kilasiku...pia *SUBSCRIBE.*

  • @Nadineshimirimana
    @Nadineshimirimana 6 років тому +13

    Afungwe mushenzi sana

  • @lukasmaige5575
    @lukasmaige5575 6 років тому +1

    da kweli nabii hakubaliki kwal

  • @kenethmanyesela4940
    @kenethmanyesela4940 5 років тому

    mbarikiwe sn, Mungu wetu sio wa maigizo kabisa.

  • @hamisimsalapai7785
    @hamisimsalapai7785 6 років тому +15

    wakienda kisheria hawampati... kanukuu vifungu hivyohivyo

  • @tumainijoseph9710
    @tumainijoseph9710 6 років тому +3

    sometimes 40 zimetimia

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 років тому

    Kamnda hongera n.a. mm nataka niwe jesh

  • @stewartmillanzi3918
    @stewartmillanzi3918 6 років тому

    Kumbe ni kichaa kama nilivyohisi. Asante serikali. Asante polisi.

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 6 років тому +4

    Kwani na wale wanawake wakamatwe nao afazalia kabisa

  • @jumachabai2874
    @jumachabai2874 6 років тому +3

    Tito kavu sana hataki kukubali kosa anakwambia wewe ndio unasema ila mm nimetoa kwenye biblia hahhah halafu kamanda mwana kasema hana kanisa yeye kanisa lake nipopote pale penye baa sasa atasajili baa ngapi😅😅😅

  • @machinjashabani4665
    @machinjashabani4665 6 років тому +1

    Mtu kama huyu ana pingwa kwa maandiko ya Bibilia sio kwakutumia mawazo na mihemko isio na maandiko.
    Yapaswa watokee wenye imani yao wampinge kwamaandiko.
    Baada ya hapo wamuelekeze imani sahihi.
    Sio mihemko ya chuki bila maandiko.
    Huyo akipelekwa Mahakamani lazima atatoa vifungu vya Bibilia takatifu.
    Lazima ieleweke waco: Mazehebu yote duniani, yanatokana na uwelewa tofauti juu ya andiko husika.
    Kama vivi ndivyo, mihemko ya nini?

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 Місяць тому

    Mwamba anakwambia yesu ni mgogo,,noma xana😃😃

  • @vivianminja6332
    @vivianminja6332 6 років тому +6

    Huyu nabii mbona uso na mikono haviendani kbisaa

  • @worshipertv9968
    @worshipertv9968 6 років тому +3

    bora asanteni kwa kutusaidia tunaomba mfute na video zake zote

  • @kasubywilliam3565
    @kasubywilliam3565 6 років тому

    Hongereni sana jeshi la polis. ila inasemekana zpo dini wanaabudu uchi km zipo fuatilien jaman

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 6 років тому +1

    mara oh serikali haina dini...
    Tito anatumia biblia wala hajakosea .
    Mfano
    Mungu Wenu Anawalazimisha Mnywe, Mlewe, Muanguke, Mtapike Wala Msiinuke Tena, Hiyo Ndio Amri Ya Mungu Wenu Kwenu Nyinyi Wagalatia (Wakristo)
    Yeremia 25:27~28
    27 Nawe utawaambia hivi, Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nyweni, na kulewa, na kutapika, na kuanguka msiinuke tena, kwa sababu ya upanga nitakaoupeleka kati yenu.
    28 Tena itakuwa, kama wakikataa kukipokea kikombe kile mkononi mwako, wanywe, ndipo utakapowaambia, Bwana wa majeshi asema hivi, Lazima mtakunywa.****

  • @Daudifm5800
    @Daudifm5800 6 років тому +5

    uwiiiiiii

  • @tuombesunzuesperance5196
    @tuombesunzuesperance5196 6 років тому +5

    Weka dani ya njela

  • @belindagiliard8977
    @belindagiliard8977 6 років тому

    Asante kamanda.
    I salute you

  • @rashidmoche8709
    @rashidmoche8709 6 років тому +1

    huyo akipelekwa mahakamani atashinda kama anavyodai yeye ,kwamba ametoa kwenye biblia ,,mi naona wangemruhusu atoe andiko analosimamia.

  • @kuwamilionea8983
    @kuwamilionea8983 6 років тому +4

    *Avande, Huyo Ni Wakupuna Viboko Mpaka Akili Zirudi*

  • @gracejohn4925
    @gracejohn4925 6 років тому +27

    Afungwe kbsa

    • @samusonibalazingiza3689
      @samusonibalazingiza3689 6 років тому

      Kamanda hongera kwakumkamata huyo mpuuz sana

    • @thelovetv2976
      @thelovetv2976 5 років тому

      Kabisaa kweli jeshi la police linafanya kazi yake ipasavyo mheshimiwa magufuli hongera baba hapa kazi tu.

  • @klohmusic267
    @klohmusic267 6 років тому

    the new Dr shika,Tanzania kiki tunagawana akitoka huyu anaingia huyu.ngoja namm nijipange faida ipo.

  • @charlesmushi2305
    @charlesmushi2305 6 років тому +1

    bora policy mmemkamata

  • @halimamohamedy3571
    @halimamohamedy3571 6 років тому +3

    amepoa kama vile cyo yeye aliyekuwa akikata maunoo

  • @abdallahmtale4060
    @abdallahmtale4060 6 років тому +4

    kwani yeye ni dini gani?

  • @franceally8390
    @franceally8390 6 років тому +1

    Nabii hakubariki kwao 😂😂😂😂

  • @nyombetv3370
    @nyombetv3370 6 років тому

    da kwa hapa jeshi la polisi mbarikiwe sana jamn

  • @Daudifm5800
    @Daudifm5800 6 років тому +3

    HAHA HA HA HA HA UYO JAMAA NOMA NAYE ATA VITABU VIMEANDIKA WATAIBUKA MANABII WA HUONGO ILITABILIWA

    • @hdmtanzania2617
      @hdmtanzania2617 6 років тому

      Asante vyombo vya usalama. Mwenyezi Mungu hadhihakiwi

    • @yusuphbalali9037
      @yusuphbalali9037 6 років тому

      Daudi FM Dunia ndy inaenda mlama.

  • @peacesmart534
    @peacesmart534 6 років тому +9

    Huyu mtu anazo akili kabisaa,,,
    Hata kama aliwahi kua chizi fresh....kutakua kitu nyuma ya hii biashara ya beer..

  • @severinimatonya1354
    @severinimatonya1354 5 років тому +1

    Safi sana

  • @hussenadam1294
    @hussenadam1294 Рік тому

    Asante yesu

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 6 років тому +3

    anzeni viboko kwanza kisha mengine yafuate. halafu kuna mwingine aliwahi kujitojeza na hiyo kauli ya kutafuna housgirl alikuwa na midevu sijui aliisjia wapi?

    • @mamafranjovlog72
      @mamafranjovlog72 6 років тому

      Wilson Kaseha 🤣😂😂😂😂😂kabisa kaka mana ukichaa wengine utatoka kwa viboko lol

    • @abdallahnurdin8685
      @abdallahnurdin8685 6 років тому

      Wilson Kaseha we nae kichaaa kumbe machiz wengi selikali aina DIN saa inakuwaje..... FucknTz

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 6 років тому

      +Mama Franjo VLOGS hahaaaaaa

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 6 років тому +44

    Afadhali alikua ananichafua roho sana hbu nisaidie pitieni na kwangu kuna hbr nzuri mnisaidie kusubscribe bonyeza picha kushoto

    • @sheilajuma2332
      @sheilajuma2332 6 років тому +1

      Mc Tidoh Ondoa tuna subscribe wap

    • @edgarachile3119
      @edgarachile3119 6 років тому +1

      Yaani eti Nabii.ujue anakufu sana.

    • @sheilajuma2332
      @sheilajuma2332 6 років тому +2

      Mc Tidoh Ondoa afungwe kabisa aisee alikuwa ananichefua balaa video zake

    • @johnikovoko7472
      @johnikovoko7472 6 років тому +1

      Mc Tidoh Ondoa Afungwe Tuuu

    • @eliudmanase5397
      @eliudmanase5397 6 років тому

      Iwe fundisho na kwa watu wengne

  • @mmmglobalkenyatestimonies14
    @mmmglobalkenyatestimonies14 6 років тому

    LORD HAVE MERCY HATA KANYARI WA KENYA NI TEAM MOJA NA HUYU TU

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 2 роки тому

    History ya huyu Jamaa inanichekesha Sana😂😂😂😂

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 6 років тому +4

    Haaa askar wanachambua vifungu vya dini,mm ningependa viongoz wa dini husika ndio wangetakiwa walalamike

    • @TwahaMaziku
      @TwahaMaziku 27 днів тому

      Hapo imeguswa dini ya serikali povu linawatoka dini nyingine hua zinadhalilishwa tuu wala hakuna shida ila daaah poah tuu

  • @allyseif75
    @allyseif75 6 років тому +1

    Huwo ni uonevu kwan kila mtu ana uhuru wa kuabudi kwani yy anacho kiongelea ni pombe serekal inazuia pombe huo no uonevu

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 6 років тому +1

    Haaaaaaa,😂😂😂😂😂😂😂 police wanapata viwers kuliko Ali kiba Na diamond 😂😂😂😂😂

  • @hadijah2896
    @hadijah2896 6 років тому +4

    Kama hana akili mbona ametoa CD halafu mavazi ametoa wapi

    • @faridymkandala1767
      @faridymkandala1767 6 років тому

      Hadija H eti anaakili timamu cd kapata wapi

    • @yusuphbalali9037
      @yusuphbalali9037 6 років тому

      Hadija H Kweli kabisa hayo mavazi kayatoa wapi? pia kama ni kichaa mbn siyo mchafu?

  • @vanessavanedssa8068
    @vanessavanedssa8068 6 років тому +5

    Wamucukuliy cheria amezid

  • @sophiamirambo9656
    @sophiamirambo9656 Рік тому

    Hahaaa mrilooo sawasawa anaweza kuwa ana watu huyu nyuma yake wanamtumia kupitia uchizi wake

  • @silasmsekela9256
    @silasmsekela9256 6 років тому

    Mungu akubariki jeshi La polisi

  • @saramathias4861
    @saramathias4861 6 років тому +5

    khaaaa

    • @johnbeda7620
      @johnbeda7620 6 років тому

      huyu mtu chizi tumsamehe mtu maana hata mm hanikera sana

    • @stanleyidantv7629
      @stanleyidantv7629 6 років тому +1

      Afungwe tu ni mpuuzi huyo anadharirisha imani zetu

  • @nazmaabdul949
    @nazmaabdul949 6 років тому +18

    lakin kwamuenekano kweli nimwehu ila kwahao alio nao ndio wasakwe