TAZAMA JAMAA WALIVYOINGIA 18 ZA KAMANDA MUROTO, WAPIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2021

КОМЕНТАРІ • 430

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 роки тому +7

    Mimi huwa ninampenda sana Mungu maana unaweza kufika kwake akakuuliza "Ulipokuwa duniani ulifanya nini ?" Halafu unaulizwa "Uliwafanyia nini watu wangu?" Halafu " Umeifanyia nini talanta yako nilitokupa?" Hakika kwa ubinadamu wetu kuna watakaokosa majibu ya maswali yote !! Mungu atusaidie sana !!

  • @herymsese
    @herymsese 3 роки тому +30

    Nimependa majibu ya mstaafu .. kweli ni mstaafu 🤣🤣

  • @drisayaambulatoryvetclinic1514
    @drisayaambulatoryvetclinic1514 3 роки тому +12

    Mungu ni wetu sote ,tuombe mwisho wetu mwema
    Ahsante

  • @eyumededu2948
    @eyumededu2948 3 роки тому +12

    Ila hizi kamera jaman mnatuzalilishia baba zetu

  • @jitulakalemastr7636
    @jitulakalemastr7636 3 роки тому +5

    Da amakwli mwenye shibe amjuw mwnyenjaa mungu tusaidie tazania

  • @salmajuma5596
    @salmajuma5596 3 роки тому +4

    Sijampenda kabisa huyo Kamanda Muroto. Anaonyesha dharau sana kwa watu ambao hawajathibitishwa kama wahalifu. Mtu kama huyu mimi akinidhalilisha hivi. Nafunga Siku tatu tu namshtakia mungu naimani nae atadhalilishwa pia. Kiukweli sijasisikia vizuri ingawa hapo simjui hata mmoja. Ubinaadamu ni muhimu sana. Allah atuongoze InshaAllah

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 3 роки тому +2

    Mstafu anamajibu y jeshi safii unataka nikae kwenye kahawa🤣🤣

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 3 роки тому +12

    Kila mmoja anakula Kimpango wake hapa mjini., yeye kamanda amshukuru mungu kwa kibali alicho pewa cha hiyo kazi

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому +2

      Ni kweli kbs kwakua hajui ya mbelen

    • @thoyathoya5904
      @thoyathoya5904 3 роки тому

      Kweli kabisa sio kila mtu anafanya kazi ofisini wengine tunaosha magari barabarani ndio tupate riziki yetu ya kila siku

    • @facebmzeewakimba1546
      @facebmzeewakimba1546 3 роки тому

      Kweli. Police wamekua na madalaka kupitiliza

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 роки тому +21

    😂😅Huyu kamanda akistaafu aingie kwenye Comedy

  • @stephenngemela2286
    @stephenngemela2286 3 роки тому +10

    Ila hapo sio sawa kudhalilisha hao watu wazima na familia zao hata kama ni honyo kwani mpaka uwaanike

    • @ellyisidoli2192
      @ellyisidoli2192 3 роки тому

      Bro sis bila kukumbushwa kwa sitail ii atubadilki

  • @regnaldobadia753
    @regnaldobadia753 3 роки тому +1

    Asantee Mutoro usisahau na huku kwetu stendi kuu ya mkoa wa Arusha watu Kama hao wapo wengi sana

  • @barakapaul866
    @barakapaul866 3 роки тому +6

    Kama ni wa kwanza kuwatch kama mm gonga like

  • @abdulkhalim5564
    @abdulkhalim5564 3 роки тому +4

    Kamanda kitendo cha kupigisha watu wazima magoti ni unyanyasajii . Umewadhalilisha hao watu na family zao hata wewe umekeuka haki za kibinadamu .

    • @charlesndodi4759
      @charlesndodi4759 3 роки тому

      Na vipi wanavotapeli wazee wetu

    • @abdulkhalim5564
      @abdulkhalim5564 3 роки тому

      @@charlesndodi4759 utapeli nalo nikosa bt afisaa hana haki yakukudhalilisha . Ndio maana kuna mahakama nd u have to know one is not guilty unless proven guilty by the court.

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 роки тому +13

    Wewe unataka kuonekana,inakuhusu nini

  • @mlembamo
    @mlembamo 3 роки тому +3

    Jamani mbona tunafika kuharibu nchi namna hii? Huyu kamanda mbona anadhalilisha watu.. mbaya Sana. Hatakama ni waalifu sio wote na kunataratibu za kufuata za kiutu.

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 роки тому +16

    Mbona wewe uendi shamba...

  • @yassinsaidigunner446
    @yassinsaidigunner446 3 роки тому +2

    Ukiwazalishaa binadamu wenzako na www subiri kuzalilishwaa daaa nimesikitikaa sanaa asee nchi yangu daaa

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 3 роки тому +2

    Mi hanigusi huyu mzee anadhani kila mtu ana maisha kama yeye..huyu mzee ni psychopathy

  • @minmaxc485
    @minmaxc485 3 роки тому +6

    Nimecheka kifala yaaani niko tayari kusaini mahali sitaonekana tena😂😂😂😂😂😂😂🤣😍

    • @bethmsigwa6742
      @bethmsigwa6742 3 роки тому

      Uwiii

    • @faudhiajuma8480
      @faudhiajuma8480 3 роки тому +1

      Nimebast ile mbyaa dahh wabongo ukiwabamba kwenye 18 wanakua zaidi ya kunguru

  • @mussakasimu2811
    @mussakasimu2811 3 роки тому +5

    duuh nmesikia naomba sehemu ya kusaini , niko tayar kupiga magoti. tupo chini ya miguu yako.

  • @paulmkalawa496
    @paulmkalawa496 3 роки тому +1

    Uko sawa port na dar wafanyiwe kama udom good wachache woman wengi waowezi tubadike kwkwenda nakasi ya mabadiliko asanttee

  • @evakumba3753
    @evakumba3753 3 роки тому +2

    Hii nchi hiii,huyo kamanda wenu mungu anamuona, huko ni kuwadhalilisha watu pumbav sana

  • @kenicemkaka2824
    @kenicemkaka2824 3 роки тому +2

    Dah uzalilishaji huu jamani, kamana siro nakumbuka kama ulishawahi kukemea hizi sifa. jamani ebu kwataratibu zako mkuu ungewaita hawa wakina mroto nawengine wenye tabia kamahizi uwaelimishe. kupigiwa magoti mbele zawatu nawazee wanaokuzidi umri siyo ufahari nawala siyo heshima. dah yaan mimi nimeumia sana kiukweli siyo vizuri

  • @dicksonsamwel499
    @dicksonsamwel499 3 роки тому +15

    Muroto zingatia haki za binadamu achana na raia wema watafute kipato

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 3 роки тому +1

      Kitu Kibaya ni watuhumiwa bado hawatiwa hatiani, hizi sheria za kukamata watu bila ushahidi na kuwaonyesha kwenye MA TV si Sawa kabisa

  • @nimujocentre2173
    @nimujocentre2173 3 роки тому +10

    Mm binafsi niko tayari kupiga magoti kabisae😂😂😂Nimecheka watu ni waoga balaaaa

  • @erickkundy5322
    @erickkundy5322 3 роки тому

    Safi sana Afande. Natamani RPCs wengine wangefanya the same.Bus stands za Moshi & Arusha ni kero sana na sijui hao RPCs wa hyo mikoa ni kwanini hawajawajibishwa kwa hilo ikizingatiwa Mh Raisi alishatoa directive.

  • @thoyathoya5904
    @thoyathoya5904 3 роки тому +3

    Kazi ni kazi mzee bora mtu asiibe, cha muhimu mtu anapata pesa ya jasho lake

    • @fauziashifao8644
      @fauziashifao8644 3 роки тому

      Tinamsubiri na yeye astaafu tumuone atafanya nn

  • @victorsomba867
    @victorsomba867 3 роки тому +1

    Tangu lini mtanzania ukampa nafasi ya kujitetea akashindwa kuitumia nafasi hio!!! 😂😂😂😂😂 Nimecheka sanaaa

  • @joycemmbaga8182
    @joycemmbaga8182 3 роки тому +2

    Mungu tusaidie

  • @teacherchundu4062
    @teacherchundu4062 3 роки тому +10

    IG Siro aliwahi kuwaonya makamanda wa polisi wa mikoa juu ya mambo kama haya.

    • @abeidmasaka6918
      @abeidmasaka6918 3 роки тому +2

      Hili zee halijasikia bado ila litakuja kufukuzwa kaz vbya ..sasa kitu gan iki cha kuwaita waandishi matumiz mabaya ya cheo

    • @teacherchundu4062
      @teacherchundu4062 3 роки тому +2

      @@abeidmasaka6918 Alichokifanya hakitafsiri kuwa yeye na askari wake wanauwezo mkubwa wa kupambana na uhalifu, bali kilichofanyika ni udhalilishaji na aibu kubwa. Mfano : kuna bwana mmoja alijitetea kwamba; yeye yupo safarini akitokea Arusha kuelekea Songea, lakini kamanda huyo alionekana kutomuamini na alimbeza kuwa hakuwa msafiri, jamaa alipoulizwa ticket akaonesha, ndipo kamanda huyo kwa aibu ili isionekane kwenye video, akamuamuru askari mmoja aende faragha na yule msafiri kuhakiki ticket. Kamanda alionekana kufurahishwa sana pale watu wazima walipopiga magoti kwa unyenyekevu kuomba waachiwe, licha ya yeye kutowambia wapige magoti, lakini alipaswa kuwaambia wasimame, baadhi yao walibezwa kwa ukubwa wa matumbo yao na hata vipato vyao vya chini kwa siku.
      NB: Wakati umefika wa IGP Siro kumuhamishia kamanda huyu makao makuu akasome magazeti.

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому

      @@teacherchundu4062 kanikwaza sana baba watu wazima wanapiga magoti kajikuta yeye figo au ini kwamba wasipomwabudu hawataishi tena, uyu baba hajui wajibu wake kabisa anasifa akiona media

    • @teacherchundu4062
      @teacherchundu4062 3 роки тому +1

      @@juliethhouseofdesigns147 Hao ndio huwa wapenda sifa na huharibikiwa uzeeni. Hivi IGP hajaona hii kweli, huyu kamanda ahamishiwe makao makuu akaambulie kupigiwa salute tu.

  • @mughusiwamuyengi9517
    @mughusiwamuyengi9517 3 роки тому +3

    Kamanda Mroto, ni kweli, hawa watu wanasumbua, abiria, kila mtu anayesafiri anajua anakokwenda, ondoa hao wakalime

  • @allyduwa9914
    @allyduwa9914 3 роки тому +2

    Huyu kamanda nilikuwa cmjui nimemuona leo live hapa dodoma ukweli kwa kitendo hiki sisi kma watanzania atuwezu kukubalia ana nae kazi akuna mji kma dodoma akuna kiwanda wala nini kazi unapataje kwa mfano kamanda nchii yetu sote cheo dhamana tyuu

  • @gabrieligidasanga1369
    @gabrieligidasanga1369 3 роки тому +4

    Wewe njoo na upara wako hapa🤣🤣

  • @Omary_Mjema
    @Omary_Mjema 3 роки тому +1

    Ukiwa nacho. Uwezi kujua km akuna mtu mwenye shida

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 3 роки тому +6

    Weweee njoo naupara wako wewe apo😂😂😂

  • @nathanpaschal907
    @nathanpaschal907 3 роки тому +1

    Tuonyesheni sehem ya kusaini tusaini hatutarudia tena😁😁

  • @jeremiamnyeke7662
    @jeremiamnyeke7662 3 роки тому +7

    Kwakweli mungu anamakusudi yeke usimziaki mtu

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 3 роки тому +4

    WE UNADHARAU ELFU KUMI HUYO MWALIMU ANALIPWA SH NGAPI UKIGAWANJA KWA SIKU 30 NI SH NGAPI

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 3 роки тому +9

    Afisa gani pumbavu asiyejuwa haki za kibinadamu mjingaaa

  • @erickgodwin3148
    @erickgodwin3148 3 роки тому +2

    Nimekumbuka siku waliokuja kunikamata nikakubali kutii Sheria bila shuruti bado wakaanza kunipiga walikua sita..nikasema motoni ntakufa nikamkaba mmoja wao na kuanzia kumpigia vitasa huku damu zikinivuja kwa kunipiga nikasema nakufa huku nami nikiua pia..wakaniacha.wakanipoga Pingu kwenda kituoni huku wakinipiga njian hapakutosha,watu wa pembeni wakawauliza kwann wao wako wengi na wamenifunga Pingu bdo wananipiga..nilipofikia kituoni nikamkuta huyu Mzee anaefanya kazi bila kujua Sheria..akawaambia eti mnamleta mtuhumiwa kilaini nikakimbizwa pale maturubai mbgala mpka nikadondoka wakati huo nahc alikua changombe...kumbe watu wake walishakula rushwa na waliambiwa waaniumize..ningekua raisi ningehakikisha Askari wanapata kozi hata nje jinsi ya kudili na watuhumiwa maana kuna maisha baada ya kazi..bdo nakumbuka marungu waliyonipiga pale kituoni mpka Leo Nina ulemavu ktk mguu wangu WA kulia chini kuna uvimbe wa rungu usioisha..mungu atahukumu kwa wakat wake.

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 3 роки тому +1

      POLE SANA KAKA HII NDIO SERIKALI YA RAIS ANAEMUOGOPA MUNGU .TUNA WAKATI MGUMU SANA

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 3 роки тому

      Mbona wengine hawajapigwa hizo no chuki tu we ishu kistarabu utaheshimiwa ukihalibu watakushugulikia Ila kunabaazi tu ya Askari ndio huleta stofahamu ni Kama raia nao hivyo hivyo ndio maana kukawa na hawa watu waspo kuwepo Napo wababe watafurahi kamawewe ulipigana usisingizie at we mwema uongo

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 роки тому +1

    Mengine uonevu bana na kudhalilishana tu. Alafu sio wezi ao .tafuta majambazi .10000 ×30 mshahara wa serikali.mengine hapana mengine ndio.

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 3 роки тому +1

    Wewe Mzee,Kwani Ukiwa Na Watoto Na Familia Hutakiwi Shinda Stendi Tafuta Riziki Yako?? Acheni Kudhihaki Na Kudhalilisha Watu Kwenye Macamera Kuwapigisha Magoti Kifala Afu Mnaona Raha Sana! Hata Kama Ni Waharifu Sheria Ifuate Ila Sio Kuweka Macamera Kifala!

  • @samwelshija2112
    @samwelshija2112 3 роки тому +2

    Not fair

  • @dulaabdallarashid
    @dulaabdallarashid 3 роки тому +6

    Mstaafu hoyee😂😂😂😂

  • @habibuhabibuzahoromakamezahoro
    @habibuhabibuzahoromakamezahoro 3 роки тому +2

    Huyu kamanda hafai anawazalilisha hawa watu wawatu

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 3 роки тому +3

    KAZI YA ASKARI POLISI SIO HII HII NI KUTAFUTA KIKI

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 3 роки тому +3

    Afu watu wenye kazi mzuri wanaichukulia poa kazi ya kuuza karanga raha ya ngoma ingia uicheze

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 3 роки тому +2

    Ha ha ha ha huyu afande hatari jamaa na vitambi vyao ndio kawaweka mbele

  • @andreakulisha5144
    @andreakulisha5144 3 роки тому +8

    Udhalilishaji hautokoma ikiwa mambo hayatokemewa... Mtu akiwa na hatia apelekwe panapostahili, haya mambo ya media hayafai kwa ustawi wa jamii yetu.

    • @fadhiliignusy3790
      @fadhiliignusy3790 3 роки тому +2

      Wewe nae achakuleta siasa kwenye vitu vyamsingi makosa madogo kama hayo watu wananonywa nakusamehewa unataka wapelekwe wakarindike makesi huko polisi ndio sawa kwako au .....mnajifanya mnapenda protoco zakijinga hata kwenye vitu vidogo vidogo

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 3 роки тому +4

    Muroto anapenda kudharirisha sana kwenye media.Hayo masifa yake ni ya kishamba.kwa hivyo anadharau elfu kumi kwa siku ,hajui Kuna wengine hata wakipata buku inatosha.

  • @shenyabizzo6787
    @shenyabizzo6787 3 роки тому +4

    Daaah mstaff 😭

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 3 роки тому +2

    So unawashtaki kwa waandishi wa habari? Kwani kanuni na taratibu za jeshi la polisi zinasemaje unapomkamata mtuhumiwa? Bila shaka ni kumpeleka kituoni kwa mahojiano ikithibitika ametenda kosa anapelekwa mahakamani vinginevyo anaachiwa huru. Lkn si kuwapigisha magoti mbele ya watu, wake zao na watoto wao wakishuhudia, unaturudisha enzi za ukoloni Baba kucharazwa viboko mbele ya familia yake kisa kodi ya kichwa.

  • @venturejackson6357
    @venturejackson6357 3 роки тому +1

    Hpna mheshimiwa rais liangalie vzr ili hii ni nch yetu watu tuwe huru na nchi yetu mbna kama manyanyaso hyu askar anadhalilisha watu hii siyo sawa

  • @beatusjolijo4813
    @beatusjolijo4813 3 роки тому +4

    Sijaona mantiki hapa yaan Kama ana Ela yake anaamua kuja kukaa kijiweni yanakuhusu nini?

  • @lovvy854
    @lovvy854 3 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣naomba kusaini 🤣🤣🤣 watuwazima wanaigopa jela 🤣🤣wanajitetea Kwa dhati wasamehh

    • @godcompeter9844
      @godcompeter9844 3 роки тому +1

      Uyo wa kusaini kesho unamkuta apo

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 роки тому

      @@godcompeter9844 haswaa🤣🤣🤣 hii yote nikwaajilia kujitetea

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 роки тому +8

    Si tabia njema kbisa hiyo kuzalilisha watu

  • @johnmalambo1738
    @johnmalambo1738 3 роки тому

    Upo sawa lakini kwaishu Kama hiyo ungeenda kuwahoji lakini wanasubua Sana abiria ila mazingira ulio wahoji sio sawa

  • @hermescash9463
    @hermescash9463 3 роки тому +2

    Hahaha Dakika ya 4:06 Hahaha Jamaa kanichekesha.

  • @allyndingo1812
    @allyndingo1812 3 роки тому

    Daaaah htr xana life hili

  • @penetronadvancedwaterproof664
    @penetronadvancedwaterproof664 3 роки тому +1

    kama umesikia njoo na upara wako like

    • @edern8803
      @edern8803 3 роки тому

      Hahahaha kaja anaupara na kitambi

  • @harunafillipo8584
    @harunafillipo8584 3 роки тому

    Yeye ana kazi elfu kumi kubwa kwa wenzake

  • @johnmgodi7545
    @johnmgodi7545 3 роки тому +6

    Huyu kamanda mbona hana point ya msingi anapenda kuhuza sura kwenye camera bt hakuna inshu ya maana.. sa mambo ya mwili mkubwa mambo ya mtu kutafuta elfu kumi mwili mkubwa yanakujaje!! au mroto bange zimekuzidi🚶🚶

  • @mariamika2834
    @mariamika2834 3 роки тому +5

    Mbona cjaelewa kwan kuna shida gani MTU kujitafutia kipato anapoona inamfaa yy ..unataka wawemajambazi au

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому +2

      😀😀😀😀na mm ndio nashangaa mfano kuna wenzangu kama wanne hv nlimaliza nao bachelor in Telecom pale UD mpk sasa hawana kazi kuna boda boda kuna wa mabas pale ubungo mwingine yupo kkooo kwenye maduka ya simu anaishi kwa udalali hlf leo uwakamate uwaambie waende kulima wakat hata nafasi ya jesh kuipata ni shida khaaa mm sitakuelewa kbs...acha tutafute kula yetu kwa jinsi tunavyojua ili tusiibe

    • @mariamika2834
      @mariamika2834 3 роки тому

      Huyu mzeee naazingua kishenzi unakamata watu wanaotafuta ridhiki eti wamekaa stend alitaka wakakae kwake awalipe au nyooooo

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому

      @@mariamika2834 😀😀😀😀ndio wenye nchi tena dada unafikiri raia tutafanyaje sasa zaid ya kuwatii tu😀😀😀😀ila nmempenda askari mstaafu anaonekana alikua askar kweli maana rudia kuona yale majibu yake😀😀😀

    • @lodrickmwambene3722
      @lodrickmwambene3722 3 роки тому +1

      Serekali ndio shida sio wananchi nani atawajili bila mchongo watu wazima wanaomba msamaha kama watoto aibu gani Tanzania

    • @mariamika2834
      @mariamika2834 3 роки тому

      Ni upumbavu sana wazee wanapiga magoti kwa kosa lipi jamani huu sio utu hata kidogo ..ww mambo sasa stafu na ww uje uone mambo yakoje jifanya tu huelewi shida za watu .

  • @kiemenasensei2541
    @kiemenasensei2541 3 роки тому +2

    Unaelikea nawewekustafu mzee kunamaisha baada ya kustafu naweweunaelekea huko

  • @ellyswema2113
    @ellyswema2113 3 роки тому +8

    Waonekane ili iweje? Acha kudhalilisha watu mzee

    • @fabianndimanya2055
      @fabianndimanya2055 3 роки тому +2

      Haswaaa ni ushamba tyu wa Askari wa Bongo

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 роки тому

      Inafaa maana katiayao wengine ni ma Conman kuzunguka zunguka Tu kupima watu wanaojisahau wawanyoroshe

    • @ellyswema2113
      @ellyswema2113 3 роки тому

      @@lovvy854 wafuate utaratibu tu na si kudhalilisha watu

  • @herymsese
    @herymsese 3 роки тому +3

    Kazi nzuri

  • @lolanimals7206
    @lolanimals7206 3 роки тому +1

    Afande Bana, Lazima Aongelee Swala La Mwili 😆😆😆

  • @omaridodo9992
    @omaridodo9992 3 роки тому

    Safi sana kamanda, njoo na Arusha wasafiri tunasumbuliwa utafikiri hatujui mabasi kero tupu huku Arusha

  • @yusuphkassimu227
    @yusuphkassimu227 Рік тому

    Huyu kamanda mungu anamuona ipo siku atajutia hiki

  • @agustinoezekiel367
    @agustinoezekiel367 3 роки тому +2

    Mroto namjua saana,ni mkali saana ila anapenda sana masikilizano na watu anao watuhumu

  • @fctlinesfactlines2817
    @fctlinesfactlines2817 3 роки тому

    Silani kama wanashinda stendi bure Embu waache wakatafute riziki zao na kuwadhalilisha na Mheshimiwa shukuru Mungu unaiyo nafasi.. Ipo siku maisha yatabadilika naww unaweza kujikuta huko

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 роки тому +4

    Kweli kamanda. Mvua zinaishia hewani. Kuna vibarua vingi vijijini msimu huu. Kupalilia, kusafisha mashamba

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому +1

      Vipi wewe unaweza kwenda kulima shamba ?

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 3 роки тому

      @@lirastanley390 . Of course. Kama Hakuna kingine chakufanya mjini na mashamba yapo kwanini ni ishie kuomba na nguvu ninazo. Ukiangalia hawa ni wa vijijini ila kujishughulisha hawataki. Nimeona vijana wengi Sana wameishia kwenye kucheza draft na pool table wakati wenye akili wanapiga kazi vizuri tu. Msimu huu kwa watu wamashambani pesa ziko nje nje. Ni nguvu zako tu. Kuna kupalilia, kusafisha mashamba ekari moja sio chini ya 30000. Na hiyo ni kazi ya siku 3 tu kwa eka moja. Unakuta kina mama wanalima na watoto mgongoni mwanaume yuko kijiweni

  • @kenicemkaka2824
    @kenicemkaka2824 3 роки тому +1

    Tunaogopa kutoa maoni lakini hii siyokazi nikutafuta kiki, kumbuka kunamaisha baada ya kazi kuisha.

  • @sebastiansimeo9030
    @sebastiansimeo9030 3 роки тому +1

    Mungu anakuona

  • @roggersnathan2592
    @roggersnathan2592 3 роки тому +8

    Everyone has a right to earn a living as long as it is Legal...They are not criminals

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 3 роки тому +5

    Huyu dingi anadhalilisha watu sana kwann makamera kibao wakat wanawatoto

  • @stn4873
    @stn4873 3 роки тому +1

    We faza ngoja ustaafu.😂😂😂

  • @mbuzimbuzi1943
    @mbuzimbuzi1943 3 роки тому

    Wasamehe mm nalia nikiwaona wasaidie kuna maisha baada ya kufanya ajira ukistaafu huku mtaani kugumu watu wanalia vijana wanalia kuna watu wamewasomesha watoto wao hadi madaraja ya juu ili waje wawasaidie watoto zao lakini ajira ndio hivyo biashara hata wakifanya watamuungisha nani,kulima wakilima mazao bila pembejeo hayaendi napo watasumbuka tuu maisha ni magumu kamanda usione upo kazini

  • @Theironrod9373
    @Theironrod9373 2 місяці тому

    Kwa nini police huwa hampendi kusikiliza watu.. yaani nyie ndio mnaelewa sanaa kila kitu auuuu!!!!

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 3 роки тому +1

    Alisha katazwa na IGP kudhalilisha watu kwanza tena sifa huyu jamaa

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 роки тому +2

    Eti wewe na tumbo lote hili! Jamaa anapenda kudhalilisha sana duh! Ndo maana mkubwa mmoja alisema huo ni ushamba.

  • @adampaul5708
    @adampaul5708 3 роки тому +1

    Yani uyo kamanda kanikela yupo stend lakini anafanyakazi ndio mana kakwambia kwasiku anapata elf 10,we kamanda ulifikili alipata bule,amepiga kazi ndio akapata hele yake,embu achakuonea umewapigisha magoti bulee tuu hapo ujinga huo,😤😡😡😡😣😣😠😠

  • @beatriceluhende4671
    @beatriceluhende4671 3 роки тому +2

    Unyanyasaji huu wa hali ya juu rusha vipindi vya kujenga jamii hii imagine familia zao zinajisikiaje. Vipindi vya kipuuz usiruhusu kwenye blog yako .sio sifa hii

  • @kassenavictor1662
    @kassenavictor1662 3 роки тому +3

    Kamanda muroto Acha watu wa MUNGU.

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 3 роки тому +2

    Akitafuta hta kidogo Kwani wameiba? Mpe kazi jaman

  • @anjelamathiasmafa7498
    @anjelamathiasmafa7498 3 роки тому

    Mmmm huu. Ni udhalilishaji kamanda mungu anakuona

  • @novathkavishe8420
    @novathkavishe8420 3 роки тому +2

    Watu wanajieleza vizur t lakin huyu s mwilewa

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 Рік тому

    Muroto umenyanyasa Sana watanzania

  • @user-pk2ch7lu5e
    @user-pk2ch7lu5e 6 днів тому

    Watu wazima wanadhalilishwa hii nchi nyie 😮😮😮

  • @axdomician4785
    @axdomician4785 3 роки тому +2

    Nataman huo mkakati ungeendeshwa nchi nzima.!

  • @alextercisio
    @alextercisio Рік тому

    True such people should be in another sector

  • @fatmamatuma4073
    @fatmamatuma4073 3 роки тому

    Usijione una kibarua wengine hawana kila mmoja anajishughulisha anachokiweza ,usiwanyoshee wenzio kidole kwa kua wewe una kazi unawadhalilisha wenzio hivyo sio vizuri.

  • @omarinyero3689
    @omarinyero3689 3 роки тому

    Wajanja wa mjini ao wavivu sukuma ndani kamanda matapeli ao wafundishe kaz kamanda

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 3 роки тому +1

    😀😀😀😀hv hapa ndipo nchi ilipofikia hadi kupangiana maisha au tunataka waje kuwa majambazi???mh.Rais tunakuamini sana kwa kazi kama kawaida pia hili ni fundisho pia kwa wananchi wavivu hahaha tufanye kazi tuiendeleze nchi😀😀😀hlf sasa haya mambo ya kupigana picha na kudharirishana kama hv maana yake nn???Rais alisema hataki mambo ya picha picha na video ila kama kazi unafanya itajulikana tu

  • @muhsinimketo4929
    @muhsinimketo4929 3 роки тому

    Usikute huyo mwanajeshi mstafu alikuwa ananyanyasa raia enzi zake

  • @adrushassan6348
    @adrushassan6348 3 роки тому

    Watafutie ajira maisha ya dodoma ni magumu mnoo ajira hakuna unadhalilisha wananchi kisa wewe ni afande upo ktk ajira na una uhakika wa mshahara

  • @davidjonam3016
    @davidjonam3016 3 роки тому +1

    Hapo kwa magoti sio poa kukoseana heshima

  • @premsingh-dy6zx
    @premsingh-dy6zx Рік тому

    Huyo mkubwa wa polisi hafai hata kidogo haelewi maisha kwa sababu ni askari,bure kabisa

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 роки тому +1

    Zaburi 62 : 9 !! Ukishaisoma sema Amen !!

    • @f.a6043
      @f.a6043 3 роки тому

      Zaburi 62:9
      [9]Hakika binadamu ni ubatili,
      Na wenye cheo ni uongo,
      Katika mizani huinuka;
      Wote pamoja ni hafifu kuliko ubatili.
      Amen

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому

    Jamani mbona anadhalilisha watu, eti unapanga ,hajui kama hawa ni baba na waume za watu kwakua yeye anakaa kwenye nyumba za serikali kodi zetu ndio zinamlipia iyo nyumba analeta ujinga Mkuu wa majeshi na Siro uyu mwenzenu mpumzishe kwanza