DEREVA MBISHI AKUTANA NA MOTO WA RTO KIGOMA "JAMBAZI ANAELEKEZA"

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 432

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 3 роки тому +7

    Huyo Dereva ni rafiki yangu, Sabi wa Burundi😂😂
    Mbishi kweli kweli

  • @boyhamimboy5384
    @boyhamimboy5384 5 років тому +10

    Unaelekezwa kwakua umesoma kama alivyo soma dreva ebhana dreva wa adventure upo sawa

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 4 роки тому +6

    Dereva anamsimamo nimeipenda hiii😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @oscarbablonbeez6663
    @oscarbablonbeez6663 5 років тому +3

    uyu dereva nmempenda sana,,anajisimamia

  • @bakariamiri8343
    @bakariamiri8343 5 років тому +15

    Afande anajiona nabii hataki kuelekezwa

  • @simonmkondya1115
    @simonmkondya1115 5 років тому

    Hongela deleva hongela sanaaa deleva askali katumia cheo2 kazi ngumu

  • @MegaVenance
    @MegaVenance 5 років тому +7

    Kaka Millard Ayo kwenye Kamusi yetu ya kiswahili sanifu TUKI toleo la 13 hatuna neno Balalani tuna neno Barabarani naomba zingatia marekebisho vizuri.

  • @ibrahimbaamer5737
    @ibrahimbaamer5737 5 років тому +14

    Duh anasema gari haiwezi kukata kona ikiwa imesimama na mtu mwingine asiejua anachoongea anasapoti, hii ni shida kweli!!!! Gari inatakiwa ikate hata kama imesimamia rim ili mradi liwe limewashwa

    • @ngenzisaid4958
      @ngenzisaid4958 5 років тому

      Ibrahim Baamer hawa trafic wakuda sana

  • @user-dx9gf7vx1r
    @user-dx9gf7vx1r 5 місяців тому

    Hongera sana kamanda kwa kazi yako nzuri. Natoa ushauri acheni biashara ya cheti, cheti ni karatasi tu. Tukirudi nyuma tulipotoka enzi ya leseni ya kitabu ajili ilikuwa nadra, kwanini umri wa kupewa leseni claass c. Mimi mwenyewe nilianza chini hadi kufikia class E ambayo kwa kipindi hicho imeandikwa To drive all type of motor vehicles except PSV and motor cycles ya mwaka 1990 na kurudi nyuma mpaka leo. Rudini kwenye mfumo wa zamani.Nilipata leseni class C mwaka 2000 June tafakarini kwanini sijapewa class C Mwaka 1999? Ukomavu wa kumudu kuendesha gari la Abiria

  • @eliudymhapu1750
    @eliudymhapu1750 4 роки тому

    Opareshen uchwara dereva asitoe maelezo kweli polisi force

  • @hellbentz9890
    @hellbentz9890 5 років тому +1

    Huyu dereva yuko sawa sio kila anachosema polisi kiko sawa dereva ndo anaendesha gari anaiona gari iko sawa ww utamlazimishaje akubali unachokisema? Huyu dereva ni mfano mzuri sana

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 5 років тому +6

    Trector za sasa pia zinayo steering power kwa taarifa tuu

  • @yasiniali9511
    @yasiniali9511 5 років тому +14

    Unaposema abilia washuke, unawapa gari? Au mmezoea kusumbua watu, kwanini gari isikaguliwe kabla haijaanza safari?

    • @omarymbuguni4164
      @omarymbuguni4164 5 років тому

      Wataonekanaje kua wanafanya kazi bila kukagua gari ikiwana abiria

    • @hawaali8107
      @hawaali8107 5 років тому

      Washenzi sana hawa punda askar sasa hawa abiria mumewapa cheo gani kuwashusha

    • @abuuhudhaify5195
      @abuuhudhaify5195 4 роки тому

      hhh

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 4 місяці тому +1

    Ofisa kashindwa majibu kakimbilia poleka gari police drive yupo sawa lkn police anatumia cheo chake na ofisa hataki kuelekezwa sheria iagalie huku nahuku tz bhana

  • @lazarombala5320
    @lazarombala5320 5 років тому +6

    Kiukweli madere saizi hatuna hakii kabisa mimi ninacho kijua gali yoyote ikiwa imezima kukata kona huwa ningumuu mpaka gari uwashe ndio adrolic iisaidie staring power kuwa rainii afu pia hiyo nigali yakizamanii pia miundo yake sio ya kisasaa zaidi kuchekecha gali sio kona kuwa ngumu ni tairi kukata kwa kiasi ganii .. Gari za kizamani kona huwa hazimalizi ka gari za toleo jipya.

    • @emmanuelimushi7413
      @emmanuelimushi7413 5 років тому

      huskiii hapo gari imewaka

    • @danielphares3089
      @danielphares3089 5 років тому

      Acha uongo ndugu gari unakata kona hata ikiwa imezima wenda uwe mvivi wa kuzungusha steringi maana inakuangumu alafu kukata kona tuangaria bearing adjustment brother

  • @saugetvchanner
    @saugetvchanner Рік тому

    Na ndomana katika maisha ukipenda Sana kufatilia Sheria kila kitu utaona si sawa na ndomana ata vita wanakufundisha namna ya kujiongeza kwaiyo na asikali wa usalama wawe wanafanya na ubinadam nao kwa sababu kila kitu ukitaka kufanya kishelia mh

  • @mohamednyenyema997
    @mohamednyenyema997 5 років тому +1

    Hilo dereva ni chizi

  • @godblessemanuel8869
    @godblessemanuel8869 5 років тому +3

    Sterling power haiwezi kufanya kazi gari ikiwa imezimwa. Inafanya kazi pale gari inapokuwa imewashwa. 🤔🤔🤔

  • @anwaryabdallah7782
    @anwaryabdallah7782 5 років тому +3

    Adventure Oyeee

  • @selemanimkonga8150
    @selemanimkonga8150 5 років тому +11

    Nilichogundua mh unatumia nguvu dereva anatumia akili

  • @EmmanuelMajele-ny2hk
    @EmmanuelMajele-ny2hk Місяць тому

    Dereva ❤

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 4 роки тому

    Upo vizuri kamanda

  • @jerrykasekasebula5107
    @jerrykasekasebula5107 5 років тому +27

    Ubishi watu wa kigoma ni kawaida yetu

    • @mayajon7011
      @mayajon7011 5 років тому

      Jerrykase kasebula Hahahah watuache

    • @Jeff_Tz
      @Jeff_Tz 5 років тому

      😀😀😀ubishi tuuu namba moja

    • @shabanialiy1038
      @shabanialiy1038 5 років тому

      Kabisa

  • @roseandrea5573
    @roseandrea5573 5 років тому +4

    MUKESH WW HATAR KGM HATAR UYO NI FUND WA MDA MREFU

  • @furahinmtunguja9439
    @furahinmtunguja9439 5 років тому +4

    Duh yaleo Kali😂😂😂

  • @comrademcena6511
    @comrademcena6511 5 років тому +2

    Makamanda wengine ni wastaarabu sana wangekuwa wa kung'ata kingenuka hapo hpo stend.

  • @georgejoseph2295
    @georgejoseph2295 5 років тому +5

    Wewe unajua gari kuliko alietengeneza

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 5 років тому +11

    We dereva shukuru camera.. hivi hivi ungechakaa...

    • @laurentsunta5169
      @laurentsunta5169 4 роки тому +1

      Hahahaha hiyo kweli

    • @nuhuvyamana55
      @nuhuvyamana55 2 роки тому

      Huyo msenge hasumbui,sisi tunabishana na askari akiwa na chuma sembuse Hugo yupo na kirungu

  • @mayalaluhende9405
    @mayalaluhende9405 5 років тому +13

    Hapa inshu ni pale gar litakapo acha njia na kuua wa2 mnageuka tena ku2pa lawama kwa askal we2 usalama barabara acheni ulmbuken wa kulaumu polic wakat wanaokoa maisha ndg ze2 tajr au dereva hutawaona hospital au msban na baada ya cku yy anaendelea kudunda mtaani nyie mnapka baba au mama

    • @hemedwow8802
      @hemedwow8802 5 років тому

      Ni kweli lkn dereva pia yuko sahh huwez kata kona kwa gar kubwa kama hilo likiwa limezima. Kwa nn hapo hamtak kukubali??????

    • @nellywizzy7034
      @nellywizzy7034 5 років тому

      Kwan hyo askar utamwon apo mcbani?
      Mnapokubali kitu mue na uelewa kwanza yajue mabas meng sasa ni ya kisasa na unajua kwamb likizma vitu km hvyo avifany kazi sasa unang'ang'aniza nn kisa yy ni askar? Hyo ndo talanta yake na mwenzie ni dereva wakasomeag na wenyew ndo wajuage

    • @rahmaomary7000
      @rahmaomary7000 5 років тому

      Anachokisema dreva yuko sawa, kwani kuwa askari ndo unaelewa kila kituuu......k

    • @nelsonlukondya7110
      @nelsonlukondya7110 5 років тому

      Kaa kimya ww unajua nn

  • @peterkivyake5543
    @peterkivyake5543 5 років тому +3

    Unatumia cheo jamaa yupo sahihi mbona unajifanya utaki kuelekezwa wakat ujui afande

  • @issaissa8047
    @issaissa8047 5 років тому +43

    Dereva yupo sawa uwezi kukata gari ikiwa imesimama na ikiwa imepakia mzigo Kwa sababu wao ni wamesomea kuonea ndio sawa

    • @sharifumniachi1864
      @sharifumniachi1864 5 років тому +2

      Acha uwongo wewe nini maana ya steering power na hydraulic inafanya kazi gani...kama gari itakuwa imezima sawa ila inawaka steering iwe ngumu sio kweli

    • @melkizedeckkimaro2094
      @melkizedeckkimaro2094 5 років тому

      Oya unaakili zote wewe

    • @sharifumniachi1864
      @sharifumniachi1864 5 років тому +2

      @@salmasebastian1340 hiyo gari imekaguliwa wakati imewashwa,kingine dereva hajui mfumo wa steering ya hiyo gari,anachojua ni gari ikitembea steeting inakuwa laini,hapo kwa tafsiri ya dereva ni kama landlover 109 ukitembea kwa kuwa steering ni mechnical inakuwa sio ngumu ila ukisisima ni ngumu,,kule chini jamaa wanakagua pipe kuanzia kwenye mitungi,fuller mpk kwenye steering power,piah kuhusu upepo basi mara nyingi mfumo unabadilishwa kwa kuwa kama hiyo ni fuso 16 au 17 inamtungi mmoja ambao honi,steering,brake,clutch ingekuwa tipper ningesema na pto gear
      So mfumo unabadilishwa na kuweka retarder so hata steering power inaweza badilishwa kwenda mfumo wa umeme na hydraulic

    • @ramadhansalimin1594
      @ramadhansalimin1594 5 років тому +2

      Askari wa awamu hii ni kutafuta umaarufu tu.. Ye n nan asieleweshwe? Anahisi anafahamu kila kitu? Elimu ya darasani n tofauti na uhalisia wa mambo kazini

    • @emmanuelimushi7413
      @emmanuelimushi7413 5 років тому

      hahaha et huwez kata kona gari ikiwa imesimama duuh kama hujui vunga mzee

  • @mstafagehonde5158
    @mstafagehonde5158 5 років тому

    Kuna steering aina mbili makeniko steering na pawa steering sasa hatujui hiyo Gari ina sistim gani ili tuhukum vizuri.

  • @kelvinvenance1483
    @kelvinvenance1483 5 років тому +2

    Hhahahaha jamaaa anamuelekeza polisiiiii

  • @kitwanamohammedi5625
    @kitwanamohammedi5625 5 років тому

    Usielekezwe we mungu

  • @justinesagaya371
    @justinesagaya371 5 років тому +13

    Waacheni wenye taaluma zao wafanye kazi zao......mtu hujawah hata kumiliki licence class d ila unasupport upuuzi wa huyo dereva........ Afande good

    • @hemedwow8802
      @hemedwow8802 5 років тому

      Dereva yuko sahihi...kwanini hampendi kuambiwa ukweli!!?utakataje kona gar kama hilo likiwa limezima!?

    • @hellbentz9890
      @hellbentz9890 5 років тому

      Dereva yuko sawa upuuz ni wa huyo anayeng'ang'ania kisa ana cheo

    • @nellywizzy7034
      @nellywizzy7034 5 років тому

      Wengi huku youtube tumekaa km majinga tu watu awajui gar km ilo alwez kata kona lkw off mm niliwah fanyiwa upuuz na maaskar kitu kikawa kikubwa mpka nikaenda pata msaad mahakaman. Maaskar walkua awana taalum ile nnayofanyia kazi mm wakang'ang'ania upuuz

  • @langatouch4677
    @langatouch4677 3 роки тому +1

    Dereva uposawa

  • @myself4128
    @myself4128 5 років тому +3

    Rudisha pesa kwa abiria
    Hawana makosa ni wenye mabus dereva ndi akamatwe

  • @RAMADHANAllykibanga
    @RAMADHANAllykibanga 2 місяці тому

    Dereva safi hao niwaonevu

  • @nyandaboyagayaa2964
    @nyandaboyagayaa2964 5 років тому +1

    Ujue kwa Umasikini wa Nchi yetu ni Ngumu sana Tajiri kununua gari Mpya zote..afu isitoshe Hiyo gari inapita kwenye barabara mbovu..so sometimes Askari wetu wangekuwa wanatambua hayo..sasa anapoelekezwa yeye anatumia wadhifa kukomandi iwe hivyo wakati Driver ni Fundi mtaalamu kuliko hata yeye Mwenye wadhifa so inabidi wawe fair sometimes hawa Ndugu zetu

  • @sadickrajabu1191
    @sadickrajabu1191 5 років тому

    Iyo ni sawa gar la abilia isipakie mizigo kwan tulitakaga kuwaka moto kisa mkaaa amvao aukuzimwa vizur shamban na ukapakizwa ktk gar la abiria

  • @saadashomary3815
    @saadashomary3815 5 років тому +3

    Gari kubwa hilo kwanini usielekezwe kwamba halikati kona likiwa limesimama

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 5 років тому +1

    Tena boss aje kusafirisha abiria mbona police hamjali mda wa abiria.Wapatieni ninyi gari wasafirishwe alafu gharama walipe dereva na mwenyegari na si kusubiri gari hadi ajae boss.Eboo mlikuwa wapi kulikagua kabla ya kuondoka uzaifu mkubwa sana huo mnayumba mno.

  • @sehemunzuri
    @sehemunzuri 5 років тому +5

    big up dereva

  • @msonjoaden3260
    @msonjoaden3260 5 років тому +1

    Jamaa mbishi sana

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 5 років тому

    Polisi hamjui magari kbsaaa msikataee ... kwa sabab hamtaki kujisomea ...mjishakuwa polisi mnaona mnajua kila kitu ....

  • @omaruledijuma9293
    @omaruledijuma9293 5 років тому +1

    Sasa unamnyang`anya lessen alafu unampa gari alipeleke polisi ni sheria za namna gani hizi

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 років тому +5

    mnatumia nguvuu nyiiiingi baada ya kuwekana sawa kwan ww asikali si binadamu tu kama mwingine achen kutuonea watanzania

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Рік тому

    Dereva Yuko sahihi

  • @davidcurtis8556
    @davidcurtis8556 5 років тому

    Mtu anamtetea dereva halafu anasema kuna aina mbili halafu mojawapo ndio hiyo inaitwa makemiko sasa haya sijui ya madawa au yanini maana ya madawa ni machemical ok kiswanglish sio mbaya ila ni mechanical then halafu kwa ufupi tu kuna aina kuu tatu na sio mbili nazo ni hydraulic power steering (HPS) na yapili ni electric power hydraulic steering (EPHS) na ya tatu ni Electric and electronic power steering (EPS) aina hii zote zinafanya kazi kwenye mfumo mmoja, tusiwe tunatetea upuuzi hapa tushindane kwa hoja watanzania sisi tunajua sana kuliko wenye taaluma zao ndio mana tunafeli.

  • @jonathankyando2698
    @jonathankyando2698 Рік тому

    Huu ndo ujasiri tunaotaka polisi hawezi kunipanda kichwani😂😂😂😂

  • @fivemabala6037
    @fivemabala6037 2 роки тому

    Safi sana hyo ndo inatakiwa

  • @DADYTV2067
    @DADYTV2067 5 років тому +1

    Jamaa ashukuru iyo camera iyo ndo imemuokoa 😆😆😅 nauko kituon ataelekeza vizuri

    • @Crownvalz
      @Crownvalz 5 років тому

      Ki Do yani angekula mbata kusingekua na camera...😂😂😂

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 3 роки тому

    Rumonge-Burundi na Kigoma-Tanzania wabishi mpaka basi

  • @user-ce8iw6in4q
    @user-ce8iw6in4q 5 років тому +1

    Kwani afisa ni mungu tanzani a bwana

  • @bonifasbonara9323
    @bonifasbonara9323 4 роки тому +1

    Dereva upo sahihi

  • @MasterRegan
    @MasterRegan 5 років тому +1

    Najaribu kutafakari hiyo gali kama mbovu steering haikati imewezaje kwenda kiyuoni

  • @kelvinkimisha5518
    @kelvinkimisha5518 5 років тому +22

    Mnaokoment... Hamjui hata hata anachoongea afande....ndo mana mnapata ajali huyu dreva hajui ...kitu...kukata ikiwa imesimama tunaangalia bearing adjustment

    • @davidthomas692
      @davidthomas692 5 років тому

      Watanzania huwa wananiudhi kitu kimoja embu waelekeze bro ,,,MTU anabisha kwakua amezoea kubisha,,,nawanao komenti wote wanafuata tu mkondo,,,hata wengine wanajiita wasomi lakini wasomi wapumbavu,,MTU anashangilia dereva kubisha mbele ya afisa ,, kwaio kuonesha msuli nikitu cha maana kjliko matatizo ya magari dah!!!

    • @hamiduyusufu774
      @hamiduyusufu774 5 років тому

      Wengi mlio comment naona kias gan hamuelew uwiano kati ya traffic na dereva mm ni dereva tena nimesoma askari hapo hana kosa kilicho mponza dereva ni dharau tu na jins ya kuongea na askari hajuw, sasa akitoka hapo anakwenda kumpigia magoti ampe lesen yake wakat huo nyie nitakuwa hamjaona anavoomba sbb itakuwa tena c kweny camera kiburi c uungwana

    • @sportsentertainmentvideo6633
      @sportsentertainmentvideo6633 5 років тому

      Watafahamu vp akt hawataki kufahamishwa shida ya watanzania tunajua kilakitu

    • @edsonndogoro3188
      @edsonndogoro3188 5 років тому

      kelvin kimisha bearing adjustment wap ww? Kumbe na ww ni walewale wasojua kitu halafu mnajifanya mnajua.

    • @yasrisuleiman6388
      @yasrisuleiman6388 5 років тому

      Gari Hata km limetoka kiwandan Leo laweza pata ajali vilevile kaz ya mzungu hyo

  • @charlesbenedctoryassada4868
    @charlesbenedctoryassada4868 5 років тому +9

    Hata trekta kuna zenye starring power na zisizo na starring Power. Tambueni starring box ziko za Aina mbili. Kuna Makemiko na Power starring

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 5 років тому

    Goodjob Jeshi la Polisi

  • @emanuelmwalukasa7723
    @emanuelmwalukasa7723 5 років тому +13

    Ndo maaana watanzania tunapata maajali kibao tunawasupport madereva kuliko wale wanaojali uhai wetu

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 5 років тому +5

    Haha haaa uwiii ukiwa na vyuma viwili km hivyo ukodi fuso ibebe....mhhh ni shida

  • @sorwasoudy6256
    @sorwasoudy6256 5 років тому +1

    Kwnn hujafuata sheria.. Wakat kila kit kinasheria zake...

  • @shabanimoneyshabanimoney2145
    @shabanimoneyshabanimoney2145 5 років тому +46

    Nikweli huwezi kata kona gari ikiwa imezima bhana...Tatizo afande anachukulia kama vigari vidogo ilo bas bhana

    • @husseinsalimmaula4254
      @husseinsalimmaula4254 5 років тому +3

      Huyu afande ni muelewa ila yule dereva wa adventure kilichomkosti ni kutaka kubishana na sio kukubali kosa ili kutafuta suluhu .

    • @abasishaaban6643
      @abasishaaban6643 5 років тому +1

      shabanimoney shabanimoney unajua ukibishana na afande

    • @masoudmasasi1801
      @masoudmasasi1801 5 років тому +1

      @@husseinsalimmaula4254 kweli kabisa kaka huyu afande ni muelewa sana unaona hawa wa basi lingine walikubali kosa mambo yakawa poa

    • @jamalijamali6450
      @jamalijamali6450 5 років тому

      shabanimoney shabanimoney kakurupuka huyo anajua Landover

    • @princesele6209
      @princesele6209 5 років тому

      tatizo hawa askari wetu wanakurupukia hivi vtu bila elimu navyo huyo askar anahc hiyo ni km pikpk waweza kata kona tu hata ikizma af bila ya haibu anang'ang'ana stearing power hivi we askari ucotaka kuelimishwa stearing power itafanyaje kazi bila gari kuwaka em achen kutumia mabavu oneni aib kidogo

  • @zachariangassa3396
    @zachariangassa3396 3 роки тому

    Huo niujinga tofauti yako namtu alivyo kujibu ushushe watu kweli nyingi mmekuawa mafundi garage

  • @idrisanassoro4913
    @idrisanassoro4913 3 роки тому

    Rto yuko sawa

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 5 років тому +1

    ..huyo driver hakupaswa kuonysha ujeuri..mwenzake kamwonyesha kiburi..

  • @mbisajafar7601
    @mbisajafar7601 5 років тому +1

    Hahahaaa ila waha kwa ubishi hahahah tumeshindikana...

  • @Watema23
    @Watema23 5 років тому

    Hapa Marekani auwezi bishana na polisi, hakisha ku pull over unasubiri ndani ya gari yako ...chakwnza anakuomba Driving licence kitachofata ni ticket ambayo uwenda mbele ya kuilipa unaweza jibu sitaka lako mahakamani.

  • @sabrinakassam9999
    @sabrinakassam9999 5 років тому

    That is abuse of power askari mzima hajui sheria

  • @mkemia_magege5816
    @mkemia_magege5816 3 роки тому

    Madereva wa Kigoma wenye asili ya Kigoma wanaakili mbovu sana wanaendekeza ubishi.

  • @khamardmgoi8800
    @khamardmgoi8800 5 років тому +1

    Duh eti jambazi hawez kumuelekeza piga hapa ! Sasa dereva ni jambazi ! Alafu rto mwenyewe mleeeevi pumbaaaavi

  • @mokilisasunya6990
    @mokilisasunya6990 3 роки тому

    Asikari wa tz wapuuz sana yaani ubabe tuu amtakielekezwa gar kama haijawaka siterng razima iwe ngum.ila kuhusu vyuma yupo sahihi gari ya abiria ni kosa kupakia vyuma au mzigo

  • @rashidibrahimshemlugu7845
    @rashidibrahimshemlugu7845 5 років тому

    dereva mbishi sana huyo

  • @makongoronyerere2595
    @makongoronyerere2595 4 роки тому +1

    Tatizo polic Kila ki2 wanajifanya wanaju, angalia polic bwege

  • @hemedwow8802
    @hemedwow8802 5 років тому +4

    "Ukitaka kuishi vyema na mfalme akikwambia asali ni chungu,mwambie yashinda shubiri "

  • @lwagamwakalinga5276
    @lwagamwakalinga5276 5 років тому +2

    RTO wangu Francis nakufahamu ulivyo msaada na msikivu Sana kwa watu,hakika wewe kufikia hatua hiyo Ni kwamba huyo dereva ameshindikana kabisa,ningekuwa Mimi ndio wewe ameshakula pingu kitambo

    • @Crownvalz
      @Crownvalz 5 років тому

      Lwaga Mwakalinga anaonekana mpole sana na msikivu uyo RTO

    • @boyhamimboy5384
      @boyhamimboy5384 5 років тому

      Kwanza fransi cyo rto pili unaunga mkono vitu ucvyo vijua kiukweli watu wengi hum tuna coment zetu tuu ilikuonyesha kua tumepita ktk page ya Milard ayo niwakumbushe2 karibia madreva wote wamesoma shelia alama za barabarani napia wengineo nimafundi hivyo wanaelim ya gari uzuri acheni kuwapa kasolo watu wa kgm kuaniwabishi bari wasifieni kwakua Niwasomi wanaongea wanacho kifaham.

  • @bunzarisisa1974
    @bunzarisisa1974 5 років тому

    Hapa kazi tu

  • @kimiharun2366
    @kimiharun2366 5 років тому

    Dasiyo powa

  • @evancesollo2469
    @evancesollo2469 5 років тому

    !!!!!!!!!!!!!!!!! Afandeeee... ..!!!!! Kwani kumsikiliza MTU keesiii??????

  • @ahmadmkukila1562
    @ahmadmkukila1562 5 років тому

    #kamanda mstaarabu sana"Anajua anachokifanya

  • @edwardmasangi1214
    @edwardmasangi1214 5 років тому

    Ningekuwa Mimi dereva nishamuwekea bangiri ...yaani watu wa kigoma wabishi balaaa.......sijui kwasababu chimbuko lao ni Burundi..!!!

  • @benjamindenice53
    @benjamindenice53 5 років тому +5

    Wanaoteseka ni abiria wala cyo ligi ya police na dereva

  • @claralassonn8833
    @claralassonn8833 5 років тому +2

    Waziri alikataza kusumbua abiria

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 5 років тому

    Dereva ndio anaefahamu ... km kweli ww unafahamu isogeze mbele tuu kdg km unaweza

  • @robertkimario6266
    @robertkimario6266 5 років тому

    uyo askari akae akijua kuwa sheria dunian hak ni kwa mungu tu sio vzr

  • @TheAlman
    @TheAlman 5 років тому

    Hahahahahaaa kituoni inaendaaaa hahahahaaaa. Asambona sijaona professionalism yeyote hapo ubabe mwingi

  • @jacksonbohbahck6307
    @jacksonbohbahck6307 4 роки тому

    Affande msengee kumamako unajua gar wew wenzio wameshinda garage miaka kadha wa kadha..?

  • @fabianndimanya2055
    @fabianndimanya2055 3 роки тому

    Huo ndo usenge huwa staki abiria kushushwa bila kutafutiwa gari sometimes Police watumie akili kutatua hilo sababu wenyewe huamua tu abiria washuke bila kpat gari lingn😏😏😏😏

  • @sebastiannzowa5387
    @sebastiannzowa5387 4 роки тому

    SAHIHI KULIKO INGETOKEA AJALI, RESPECT JESHI LAPOLISI

  • @abelmbuya7127
    @abelmbuya7127 5 років тому

    Huyu askari anatutishia madereva, kwani hajui kila gari ina model tofaut kuna zenye sterling power na makamiko, tena anaanika vitu ambavo hata haviingii kichwan kabisa ajali haizuiwi namna hio. Ila simfundishi kazi ni mwisho wa mawazo yangu.

  • @akanmpokeje4281
    @akanmpokeje4281 5 років тому

    Show za diamond mombasa hulet unatuma mambo ya ajabu

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 2 роки тому

    Huyodereva nijeuri sana

  • @ismailmkaima7228
    @ismailmkaima7228 5 років тому +4

    Ni aibu sana dereva hajui hata steering power ni nini.

    • @realtastebakers2855
      @realtastebakers2855 5 років тому +1

      Ismail mkaima, unachozungumza hapa ni ushabiki usiokuwa na maana, sio lazima dreva awe na elimu ya ufundi. Na hata kama wewe ni dreva siamini kama unajua kila kitu kwenye gari unayoiendesha.

    • @ismailmkaima7228
      @ismailmkaima7228 5 років тому

      @@realtastebakers2855 Dhuuuuu! Sasa usipokuwa na ufahamu wa hiyo gari unayoiendesha ni tatizo. Dereva anabisha kitu ambacho kiko wazi kabisa sasa wewe kama unaona ushabiki ni sawa! Ila uhalisia ndio huo.

    • @abdallahkaleja9019
      @abdallahkaleja9019 5 років тому

      Ismail mkaima,huyo jamaa ni dereva alafu ni fundi long time,sidhani kama atashindwa kujua stearing power

    • @nellywizzy7034
      @nellywizzy7034 5 років тому

      Ismail mkaim
      Me naamin ata hyo cm unayotumia ujui kila kitu. Jiongez ss nn unachoongea

  • @amosmwambene9926
    @amosmwambene9926 2 роки тому

    Sijui kama utendaji huo kama mama Rais atawapandisha vyeo mtindo huo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 років тому

    Hatar lakin salama

  • @yasirdahasra3186
    @yasirdahasra3186 5 років тому

    Kigoma Oyee

  • @neemaulomi4020
    @neemaulomi4020 5 років тому

    Hahaaaa this is tz babulay hakuna kuambiwa

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 років тому +3

    Iyo Nondo Inayo Uwezo Wa Kutoboa Matumbo Ya Watu Wengi Ikiwa Ingepata Ajali Nondo Ndani Ya Gali

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 5 років тому

    Kwnn afisa wa polisi asielekezwe ?

  • @vicentmosha8382
    @vicentmosha8382 5 років тому

    sikuizi maafande wanapita greg naninoma hata mzungu hakagui gari kwa kuitizama ikiwa imezimwa kingine sielewi leseni unampa au nikumwonyesha madereva bana alafu ukimpa unaendesha lanini mwambiye aendeshe yeye