Polisi Dodoma baada ya kuwakamata matapeli

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 кві 2018
  • Jeshi la Polisi Dodoma linawashikilia jumla ya watu 23 kwa makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo utapeli, wizi wa kuvunja nyumba na maduka pamoja wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 6 років тому +3

    Bangi ni nzuri.....sivuti ila naelewa .....alafu mwonekano wa mtu haujalishi kila mtu na preference yake

  • @anoldbashube7746
    @anoldbashube7746 5 років тому +7

    kazi nzuri makamanda wangu kamata watu hao tia ndani Tz nchi ya amani saruti kwenu makamanda

  • @bm2tv299
    @bm2tv299 6 років тому +1

    Asanteni Polisi wetu ,kazi zenu ni nzuri mno,Mungu Awabariki.

  • @noellema9109
    @noellema9109 Рік тому +1

    Kamanda nikupe hongera kwa kazi nzuri, natamani unge kuwa kilimanjaro moshi kwani biashara ya mirungi imeshamiri sana

  • @hansramadhan8945
    @hansramadhan8945 6 років тому +8

    Big up sana mzeee Fanya kazi

  • @joycesichone6516
    @joycesichone6516 6 років тому +4

    l love u kamanda,mmakonde kwa malavidavi ndo mwenyewe,tanga inasubiri sanaaaa.......

  • @minjacsd1874
    @minjacsd1874 6 років тому +16

    Mzee namuelewa Sana huwa nacheka Sana Sanaa gani inasema I love u

  • @pinchesmbuche4354
    @pinchesmbuche4354 6 років тому +13

    loving Tanzania public justice from Kenya.

  • @babuvmasatu5354
    @babuvmasatu5354 6 років тому +13

    Much respect Kamanda !👍 Dodoma is nw under cctv surveillance ...no escape from udm 😂 😂 😂

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 6 років тому +4

    Huyu afisa kazi yake nzuri Kenya twataka kamahawa

  • @kisoukejothame210
    @kisoukejothame210 4 роки тому +1

    Very good job,go on keep Sir

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 2 роки тому

    Kweli polisi mnafanya kazi nzuri na kweli mnajitahidi kuwasihi vijana lakini hawaelewi.mungu awafungue waweze kuelewa na kuacha uovu🙏🏼

  • @brunokalipesa1339
    @brunokalipesa1339 6 років тому +17

    Police fanyeni kaz vizuri sana

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 6 років тому +17

    Hongera sana mkuu wa police mkoa wa dodoma unafaa kuwa next IGP

  • @edwardkisusuofficial
    @edwardkisusuofficial 6 років тому +1

    Kazi nzuri mzee wangu piga kazi

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 6 років тому

    Camanda nimekupenda sana bravo kwa kazi nguvu. Unaonekana kabisa umemtumikiya rais magufuli. Tunatamani tzt nxima ingekuwa ivo

  • @mathiasmrita670
    @mathiasmrita670 6 років тому +16

    hongera kamanda pambana saivi hakuna namna ata bakuli ukiiba tunaanikana tu ningejua wap kuna wakurugenz wa halmashaur hewa daaah pambana kamanda

  • @africanlove4735
    @africanlove4735 6 років тому +3

    Good job guys didn’t good job thank youb

  • @benymngara7235
    @benymngara7235 2 роки тому

    Hongera sana Kamanda kwa kazi nzuri

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 6 років тому

    Safi sana kamanda, andaa waharifu kisaikolojia wajue Dodoma hakufai

  • @hassankiparamoto8855
    @hassankiparamoto8855 5 років тому +10

    mi naomba askar woote wapmwe weng wao ni wavuta bang fanyen uchunguz tafadhali

  • @cldmichashukim5864
    @cldmichashukim5864 5 років тому +4

    He just respect you police boss the man work he say he smoke weed and he work respect that.Mr police boss know your work tattoos is not a crime it's an Art.

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому

    Kazi nzuri kamanda, fyekelea mbali.

  • @charlesjoseph1806
    @charlesjoseph1806 6 років тому +6

    safi san,kamanda yupo sawa

  • @emanuelmigire2611
    @emanuelmigire2611 5 років тому +5

    hongereni jeshi la polisi

  • @temesjames8867
    @temesjames8867 6 років тому

    Kazi nzuri kamanda kwa kuwaweka wazi ni vizuri zaidi kwani kuwaficha si vema kabisa.

  • @basilisamsaka1221
    @basilisamsaka1221 6 років тому

    Vita hiyo ni nzuri ifike hadi maofisini pia wapo wengine mnao humohumo,hongera mkuu

  • @tandamtalii4008
    @tandamtalii4008 6 років тому +8

    Bora umewaonyesha hao matapeli kamanda,wanaotapeliwa ni wengi mnoo kazi yako inaonekana mkuu🔥🔥

    • @josephchaki3572
      @josephchaki3572 3 роки тому

      Raisi watanzania makufu John pombe huyo m kubwa wapolisi na wa fanya kazi wake wa ongezwe mshaara mkubwa

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 5 років тому +4

    Kijana mzuri Afya nzuri.. hahaa😂😂😂😂😂

  • @dianaalfredy3790
    @dianaalfredy3790 2 роки тому +2

    Nimecheka kumuona Prosper Nchembele,kitambo sana

  • @victoriakasiani9410
    @victoriakasiani9410 5 років тому

    Hongera kamanda kazi nzuri piga kazi Na kufuata sheria

  • @mafyamedia8315
    @mafyamedia8315 6 років тому +28

    hongera jeshi la polisi, ila tattoo sio bangi.

  • @mchunguzikutokatz9643
    @mchunguzikutokatz9643 6 років тому +8

    Mueshimiwa kamanda njoo uku dar uwakamate na mastar wakibongo kutokana wana makosa yakuji chora mwilini

  • @thomasalphonce4249
    @thomasalphonce4249 4 роки тому +1

    Hongera polisi hata huku kwetu wapo wanatusumbua sana ksw

  • @kennedyolang1175
    @kennedyolang1175 Рік тому

    He is the police and he is the judge at the same time, asking very silly questions . Welcome to Africa .

  • @jofreysanga9520
    @jofreysanga9520 5 років тому +12

    Duuuh naona jamaa amejilimbikizia vyeti kibao, daa matapeli sio watu wazuri

    • @ashuramshenu1159
      @ashuramshenu1159 4 роки тому

      Daaaa!!!!!! matapeli nomaaa vitambulisho vyote noooooaaaa????

  • @tamalimuhsin4450
    @tamalimuhsin4450 6 років тому +6

    Usiombe mzee wa ku touch bega akukamate😂😂😂

  • @0stadhramadhan377
    @0stadhramadhan377 5 років тому +2

    Ahaaahaa eti mbona hakuandika kimakonde hongera afande kwakaz zuri

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 років тому +1

    Kamanda safi sana...Mungu yupo naye kuokoa vijana wengi wanaotamani mafanikia ya shortcut

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 5 років тому +8

    makonde 2anajua I LOVE YOU

  • @elivtv5444
    @elivtv5444 6 років тому +9

    Mbona watu wenyewe wameshiba wana mbavu wanaongea wanajiamini angaria usije ukapigika kamanda

  • @hoseakaponya5070
    @hoseakaponya5070 6 років тому

    Shikamoo Kamanda! Hongera kwa kuwanasa hao jamaa ila tambua kwamba kukiri mbele ya polisi siyo sawasawa na kukiri mbele ya mahakama, "retracted and repudiated evidence" kwa hiyo maonesho hayo yatakuwa na maana zaidi endapo watakiri mbele ya makama s.27(2) &(3) of TEA/1967

  • @jeanettemsaamba2496
    @jeanettemsaamba2496 6 років тому

    fanya kazi usijali wana ichi wanao kunyima raa kajili yakukuvunja moyo achana nao uta sikia mengi kwasasa kwakuwa ume kuwa policy mchapa kazi asante Tanzania

  • @moriceemma9158
    @moriceemma9158 6 років тому +6

    hivi tundu lisu alipopigwa risasi Mkuu wa polisi alikuwa naniiii

    • @charlesnoafekwalipibayaali2662
      @charlesnoafekwalipibayaali2662 4 роки тому

      Alikuwa mama yako. tundu wako na dereva wake mpaka leo wewe umeshawahi kuwaona wamefungua jarada? au kuzungumzia kwenda huko na kutoa maelezo? wanakimbia kwenda Polisi sasa waulize kwa nini kwanza ndio ujue mkuu wa Polisi alikuwa nani

  • @castromontana2112
    @castromontana2112 6 років тому +11

    Kenyan police have no time with media they just take action unless it's reasonable. Media in tz is cheap.

  • @lawrencechacha7863
    @lawrencechacha7863 Рік тому

    Mungu akuzidishie afya njema na maisha marefu uweze kusaidia jamii ya tanzania.

  • @hillariyusatefaphanohiliyu4337
    @hillariyusatefaphanohiliyu4337 2 роки тому

    Asante kwa kazinzuli

  • @elijahlongoy1944
    @elijahlongoy1944 5 років тому +3

    Peer groups killing the youths' powers, congratulations Tanzania police for your good work

  • @bwakilamychanel5951
    @bwakilamychanel5951 6 років тому +8

    I love you si Sana'a jamani duuuuuh

  • @johnmwambungu7434
    @johnmwambungu7434 6 років тому +1

    Gives the advice!

  • @elizabethmichael1431
    @elizabethmichael1431 5 років тому +4

    hahahaa jaman ati ilove u inamaan gani😂😂

  • @ramadhanikhaji800
    @ramadhanikhaji800 5 років тому +3

    Uyo aliyejiandika I love you amenifurahisha sana😂😂

  • @davidmwashiozya150
    @davidmwashiozya150 6 років тому +1

    Thanks alot of

  • @omariswafuru9399
    @omariswafuru9399 3 роки тому

    Mofuta bangi😄😄😄😄😄🤣🤣🤣mutaniua na tsheko.Kazi safi sana police ya Tanzanie 👋👋👋

  • @goodluckmrosso486
    @goodluckmrosso486 6 років тому +5

    I love u

  • @alal277
    @alal277 6 років тому +4

    Jamani I LOVE YOU si nakupenda

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 7 місяців тому

    Safi kamanda wetu mungu akusaidie ktk KAZI hiyo ❤❤❤😂❤😂

  • @laurencemwanga6441
    @laurencemwanga6441 6 місяців тому

    Huyu askari yafaa awe na cheo zaidi. R CO. Hongera sana Baba

  • @kikameme5054
    @kikameme5054 6 років тому +3

    uyo rasta ni kicha full na hao wezi INA manisha hawawezi kuji shulisha waka lime mashamba ya jeshi

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 6 років тому +17

    Bora wamewakamata maana ni too much hongereni jeshi la polisi

  • @alexyohana5624
    @alexyohana5624 Рік тому

    Aisee tumesha tapeliwa sana very good kamanda point kwako

  • @dangotethomas3586
    @dangotethomas3586 Рік тому +1

    Hatari sana wezi Wana akili sana inabidi njia nyingi sana kuwasoma

  • @mahamoudgaas2611
    @mahamoudgaas2611 6 років тому +6

    Any one who can explain what that officer has said and his interview aswell? Thanks

  • @wazirehalima4566
    @wazirehalima4566 5 років тому +3

    makonde wanajua I love you Hahahaaa

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому

    Kazi nzuri afande

  • @lazaromagaho8604
    @lazaromagaho8604 Рік тому

    Good job

  • @rutashubanyuma4546
    @rutashubanyuma4546 6 років тому +32

    Ndo ujikute umemtia mimba binti yake wa chini ya miaka 18 hayo mabega yatakavyopigwa!! 😀

  • @alladin2548
    @alladin2548 6 років тому +9

    ONLY IN TANZANIA WHERE POLICE ACT LIKE COMEDIANS

  • @lamayanasabore5690
    @lamayanasabore5690 2 роки тому

    Hongeren xana

  • @jacobmbukwa4409
    @jacobmbukwa4409 2 роки тому

    Nasshukuru. Jeshi kwakazi njema naomba namba ya porice ya hapo dodoma Kuna wengine wamebaki nataka muwatafiti nao ili wakamatwe nao

  • @annievibes8794
    @annievibes8794 5 років тому +3

    hahaha bro hiyo i love you ulitakiwa uiandike kwa kimakonde

    • @lizzybahati9833
      @lizzybahati9833 3 роки тому

      😂😂😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @gadielnkuye8495
    @gadielnkuye8495 6 років тому +3

    Kwa kamera hizo afande, lazma uharifu utapungua2😂

  • @nananonananon9819
    @nananonananon9819 6 років тому +1

    Good job, mm ni mkenya

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 6 років тому +1

    Hongera sana serikali kwa kukamata hao wahaeifu ,,,,Lakini kunamambo ambayo si mazuri kwa kibinasamu,,,, sivyema kuwa vua mashati hao watuhumiwa Na kuwaonesha kwenye media.
    Niushauri tu kwa serikali.
    Lakini kuhusu kuwaonesha kwenye media nijambo jema. Hongera sana kamanda

    • @annastaziammary600
      @annastaziammary600 6 років тому

      mussa mkalawa kwan ye ndo amewavua nguo?? Mbn kuna ambao wanq nguo

  • @ernestsinje9221
    @ernestsinje9221 5 років тому +9

    mi huyu RPC nampenda kweli

  • @babranana6857
    @babranana6857 6 років тому +8

    Angalien nywlee zakeee amekuwa syo binadamu wa kawaida😂😂😂😂

  • @muttarutta1963
    @muttarutta1963 5 років тому +1

    Sanaa bob 😁😁

  • @shamsashamsamanara410
    @shamsashamsamanara410 5 років тому

    kazi nzur makamanda wetu

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 6 років тому +3

    Mbona huyu mzee anachefua....mtu kaandika "I love you" eti mbona umeandika....ushamba muuachage

  • @marckozakayo5987
    @marckozakayo5987 6 років тому +42

    Harakati zako sawa ila kasoro ni
    1. Kuvua mtu nguo na kumwacha kifua wazi. (ni inhumanity).
    2. Kumshikashika mwanadamu style ya kwenye soko la watumwa. Yani kumpapasa kichwani kamavile kumsaminisha.
    3. Haki ya mtuhumiwa itakuwa api endapo atashinda mahakamani wakati ushamwonesha kwenye media?
    Otherwise fight more against social evils maana Mungu atakubariki!

    • @abbysauko3725
      @abbysauko3725 6 років тому +2

      marcko zakayo hyo ni sheria ya polis sa unataka mtuhumiwa ashikwe bega au mkono au

    • @abbysauko3725
      @abbysauko3725 6 років тому +1

      Hyo kuvuliwa shat kwa mtuhumiwa wa kiume ni kawaida tu na ndo utaratbu

    • @alexanderkapinga2245
      @alexanderkapinga2245 6 років тому +4

      marcko zakayo katika vitu sitaki kuvisikia ni kitu kinachoitwa haki za binadamu.

    • @marckozakayo5987
      @marckozakayo5987 6 років тому +2

      Kwanini

    • @ashachitemo7816
      @ashachitemo7816 6 років тому

      marcko zakayokhaaa

  • @ramamanagerramso7780
    @ramamanagerramso7780 Рік тому

    Hongera Kamanda lakini samaha ni kidogombona hawa watumiwa hawa kuulizwa wapi wanapata hizo stuff.....

  • @omaryjuma5910
    @omaryjuma5910 6 років тому +1

    Well done commander

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 6 років тому +7

    Mambo mengine binafsi sana. Kujichora inahusu na nn?Mnaturidhisha tu. Yanafanyika makubwa sana nchi hii... Kimyaaaaaaaa.

    • @allysuleiman517
      @allysuleiman517 2 роки тому

      Unaoushahidi Wa moja Tuje Tukuchukue Ukautupe Maelezo kuhusu Hayo Makubwa Yanayofanyika Nchi Hii ?

  • @Rastamuslim
    @Rastamuslim 6 років тому +63

    rasta msenge sana anashindwa kusimulia mjani ulivyo

    • @ramadhanibrahim7619
      @ramadhanibrahim7619 6 років тому +2

      comrade kipepe Rasta feck huyo

    • @youngtaiz8359
      @youngtaiz8359 6 років тому +2

      comrade kipepe hahahaha

    • @issamsepwa3278
      @issamsepwa3278 6 років тому +4

      young taiz hayo ni madhara ya wasomi kukosa ajira! Huwez kufanya kaz kama hizo za mihur pasipo usomi

    • @isackisack6703
      @isackisack6703 6 років тому +3

      kaniuzi sana kashindwa elezea ladha ya majani boya kweli yani dah alitakiwa ateme cheche

    • @eliudfaustine3242
      @eliudfaustine3242 6 років тому

      XXX vbeo

  • @mjige9088
    @mjige9088 4 роки тому +2

    Haya hakimu wa dodoma huyo anaedelea na makosa zile zile- IGP alicho wakumbusha mmesahau. Elimu ndogo kwa afisa huyu hata ushahidi anaweza kuharibu mwenyewe. This people are innocent until proven guilty by the court

  • @heavymachineproduction.4613
    @heavymachineproduction.4613 5 років тому +2

    Play your part .... peoples rights should not be questioned 😖

  • @seyyiedaboubakarishakhbaan7601
    @seyyiedaboubakarishakhbaan7601 6 років тому +6

    Mharifu kasema kakamatw na kete nne lkn hazion mkuu Wa police hamskiliz......police wenyew bange tu

  • @soplisjoachim5884
    @soplisjoachim5884 6 років тому

    safi sana , we endelea kutupa updates ili wengi wajifunze, hao wanaopiga kelele achana nao , mi nakupongeza boss wangu , piga kazi .

  • @nelsonmumghamba3767
    @nelsonmumghamba3767 6 років тому +1

    itapendeza wkienda gerezani wafanye kazi za nguvu, coz Huku uraiani wanatumia nguvu kuiba, Hongera sana kamanda mroto. mana hao wakibaki uraiani watatumaliza.

  • @gameonjashewade6352
    @gameonjashewade6352 5 років тому +5

    Mbona niwatoto wadogo

    • @jerryson8973
      @jerryson8973 4 роки тому +1

      gameonjashe wade ila Hawana nepi

  • @BaloMega
    @BaloMega 5 років тому +5

    Unless you set those people free and that become as their warning, otherwise you are abusing them, that's is a public humiliation. You intimidate them and made them confess for unproven crimes. I love my country, but too much abuse of power, makes me sick.

  • @ymusic803
    @ymusic803 6 років тому +1

    safi sanaa Jeshi la police

  • @masunzufilam517
    @masunzufilam517 6 років тому +1

    safi sana mungu atakulinda

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 6 років тому +16

    Amewazinguwa jamaa kweli kweli 🤣🤣🤣

  • @pinchesmbuche4354
    @pinchesmbuche4354 6 років тому +6

    mirungi legal in Kenya.

    • @petibrian6882
      @petibrian6882 5 років тому

      Mirungi Kenya "miraa"its legal Kabisa and we export

  • @fibioko8916
    @fibioko8916 6 років тому

    kazi zuri afande

  • @user-gg8kz1rf3y
    @user-gg8kz1rf3y Рік тому

    Mkuu mimi nakuunga mkono sana unakomesha sana ualifu lakn ninajambo langu mkuu kuhusu awa wasaidiz wako wachin wanao chafua jesh letu la police

  • @fashionertv2408
    @fashionertv2408 6 років тому +10

    mbona hizi report huwa zinarushwa na Ayo pekee.

    • @coleharvey2678
      @coleharvey2678 3 роки тому

      you probably dont give a shit but if you're bored like me atm then you can watch all the latest movies on instaflixxer. Been binge watching with my girlfriend for the last few weeks xD

    • @andrewernest9517
      @andrewernest9517 3 роки тому

      @Cole Harvey definitely, been using InstaFlixxer for years myself :D

  • @janethjackson5370
    @janethjackson5370 6 років тому +26

    Hahahaaaa! Mroto bhana! Eti wamakonde wanaijua I Love you?

  • @isayajohn3259
    @isayajohn3259 2 роки тому +1

    Vijana wengi wanafanya hivyo kwa kukosa kazi vijana wengi wasaidie kuwapatia nafasi ya kwenda jeshini