ASKALI POLICE ALIYE WASAIDIA MAJAMBAZI KUFANYA UHALIFU, ASIMULIA TUKIO ZIMA HADI KUFUKUZWA KAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 бер 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @user-dy5fn6qj1q
    @user-dy5fn6qj1q 4 місяці тому +7

    Huyu bwana arudushwe kazini atasadia mamboo kuzidi kumwacha uraiyani ni hatari sana wezetu markani huwatia kwenye kazini maalumu

  • @user-fz1ph3cn4s
    @user-fz1ph3cn4s 4 місяці тому +6

    Pole saba afabde. Huyu ni muelimishaji mzuri sana. Apewe platform nyingi zaidi.

  • @daimofrancisco-fn1mg
    @daimofrancisco-fn1mg 4 місяці тому +4

    Elimu nzuri sana ni muhimu ukapewa kipindi cha kuelimisha hata katika TV ya taifa ....

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 4 місяці тому +2

    Mapito yako ni noma,jeshi la police likuajiri upya ,ww ni super man,wizara husika ww ni dhahabu

  • @gombeeernest4473
    @gombeeernest4473 4 місяці тому +3

    Pole sana Afande, Maisha sio mstari mnyoofu, huwa yana makonakona mengi! Nimejifunza vingi kupitia historia yako Afande

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 4 місяці тому +4

    Big lesson to young generation

  • @ErickMkasas
    @ErickMkasas 3 місяці тому

    Uko vizuri kaka ambali. Nimepata somo.

  • @user-ek3rm1gz4b
    @user-ek3rm1gz4b 3 місяці тому +2

    Pole Ally kowapi kashinde kiwalani shule

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 4 місяці тому +6

    Sawa Mbengo tv tunashukuru kwa taarifa nzuri
    ila neno Askari usiandike Askali

    • @ahmed-shakirmwamba4992
      @ahmed-shakirmwamba4992 4 місяці тому

      Naona hawa jamaa hawana Editor msomi, sio tu wameandika Askali hata huyu msoma habari anatamka Askali au hawa ndio wale wakimbizi.

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 4 місяці тому

      Waandishi watangazaji wa mtaani hamna kitu apo

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 4 місяці тому +1

      Afande ulikula vya kharam kama kawaida yenu. Waelimishe na maaskari wenzio. Mwishowenu hua mbaya sana. Pole lakini

    • @mkudesimba9518
      @mkudesimba9518 4 місяці тому

      ​@@ahmed-shakirmwamba4992😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😊😢😢😢

    • @mkudesimba9518
      @mkudesimba9518 4 місяці тому +1

      Mbona

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 3 місяці тому +1

    Duhh aisee Mr. AMBALI

  • @aziza9093
    @aziza9093 4 місяці тому +1

    Tamaa bay

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 4 місяці тому +1

    Dah Hatari sana

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 3 місяці тому

    Haya maisha haya,pole sana bro

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 4 місяці тому +3

    Masikin pole lakin tamaa mbaya turidhike na tunachokipata

  • @yusuphmwangalamwene-zs9ee
    @yusuphmwangalamwene-zs9ee 4 місяці тому +1

    Amani kwako ndugu🎉

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 4 місяці тому +1

    Mwandishi unababaisha sana maswali hayabebi maana kubwa unarudiarudia sana maswali. Kama huwezi kujipangilia siyo mbaya ukaandika maswali.

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 4 місяці тому +1

    Pole sana afande

  • @user-dy5fn6qj1q
    @user-dy5fn6qj1q 4 місяці тому +3

    Kufukuza askari kazi sio sawa kuwe na greza lao la kifungo chakijeshi wakimaliza warudushwe kazini mpaka wazeeke huko huko jeshini kuwatupa uraiyani ni shida inaongeza

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o 4 місяці тому +1

    Badooo WApoo wengi dizaini Kamaaa ya uyuu mpakaa sasaa kwenyee jeshi raaaa porisii tunawajua wotee Kama anavosemaa serekari ipoo rikizoo

  • @johnkalubea8555
    @johnkalubea8555 4 місяці тому +1

    Pole sana kaka mkubwa

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 4 місяці тому +2

    Sura ngumu ya polisi

  • @warideadnanadnan9447
    @warideadnanadnan9447 4 місяці тому +2

    Askari sio askali

  • @akhtarmohammed6233
    @akhtarmohammed6233 4 місяці тому +5

    Ebwana huyu jamaa amepangilia vizuri sana hadith yake. Wafikishiwe Netflix watengeneze movie based on true story.

    • @rafiaahmad168
      @rafiaahmad168 3 місяці тому

      Yan kaeleweka vizuri sana💯💯💯

  • @user-md7ug5dd9r
    @user-md7ug5dd9r 4 місяці тому

    Elimu nzuri .

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 4 місяці тому +3

    Wahalifu wengi wanashirikiana na ma 5:06 skari

  • @yusuphmwangalamwene-zs9ee
    @yusuphmwangalamwene-zs9ee 4 місяці тому +1

    Amani kwako ndugu

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 4 місяці тому +2

    Wasambazaji wakubwa ni vigogo wakubwa Sasa itakuwa je.

  • @user-vg2uc3hw1v
    @user-vg2uc3hw1v 4 місяці тому +3

    Mungu akufanyie wepesi

  • @user-uq6hn4vf3i
    @user-uq6hn4vf3i 4 місяці тому

    Mungu amxaidie😊

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 4 місяці тому

    Pole sana afande🤲

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 4 місяці тому

    Duu pole sana!😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @user-is4xx1nz8k
    @user-is4xx1nz8k 4 місяці тому

    Pole ambali

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 4 місяці тому +1

    Kwa Nini asioneshe sehemu moja aliofanya tukio na thamani yake alipe

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 4 місяці тому

    Mungu akufungulie milango ya mafanikio

  • @saimondede6044
    @saimondede6044 4 місяці тому

    Pole

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 4 місяці тому +1

    Huyu kwanza ana kauhongo flani umeenda Ccp moshi mwaka 1990 na hapo una umri wa miaka 49 ina maana polisi ulikuchukua ukiwa na 15 kwa hiyo jeshi linatumikisha watoto kweli ngada aijatoka kichwani

    • @Heismasai
      @Heismasai 4 місяці тому +3

      Huyu inawezekana umri wake ni 52 au 53 nadhani kazi Alianza na 18 huko ila umri atakua alipunguza kwaajili ya mambo ya kikazi😂😂😂

  • @nashonkibayayu3776
    @nashonkibayayu3776 4 місяці тому +1

    Pole sans! Unapaswa kumpa Yesu maisha Yako Sasa! Yuko tayari kukusamehe.

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 4 місяці тому

      Usilete udini hapa, kwani Yesu kama kweli yuhai, basi kwanini anaachia mambo mabaya yaendelee kufanyika dun?!

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 4 місяці тому

    Umelipwa na Mungu mwenywe

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 4 місяці тому

    Kweli maisha hayana kanuni dunia rangi rangire

  • @user-ds3oi3tt8u
    @user-ds3oi3tt8u 3 місяці тому

    Na bado Anatumia Hawezi kuacha huyo mpaka Abadili na damu maana damu yake ishakua chafu

  • @agapemajoya3234
    @agapemajoya3234 4 місяці тому

    Duh

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 місяці тому

    Kuachishwa kazi bila malipo yoyote ndio kwanza anakuwa jambazi sugu.

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 4 місяці тому

    😢

  • @josefchacha4457
    @josefchacha4457 4 місяці тому +2

    Afande Ambali anasema uongo, kasema anatimiza miaka 49 mwaka huu 2024? Hivyo alizaliwa mwaka 1975? Alijiunga chuo cha Police mwaka 1990 akiwa na miaka 15?? Aliajiriwa kama Police mwaka 1991 akiwa na miaka 16?? Mbengo TV muulize alisoma Secondary gani akaishia form three? Alianza lini Shule ya Msingi? Shule gani??

    • @user-bq2zn1wy1q
      @user-bq2zn1wy1q 4 місяці тому

      Huyu ana 55 huko.

    • @mrambadiana9678
      @mrambadiana9678 3 місяці тому +1

      Itakua anataka kuoa anazuga apate kigoli 😂

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 3 місяці тому

      Kiukweli Eneo la miaka kadanganya huyu yuko 55+

    • @treasurerussel3422
      @treasurerussel3422 23 дні тому

      Wanaajili darasa la saba pia kwa vitengo mfano bigla wale wapuliza buruji ni kawaida alafu form four ni siku hizi

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 4 місяці тому

    Kweli tamaa ni mbaya o

  • @omegaanyitike3263
    @omegaanyitike3263 3 місяці тому

    Wapo wengi sanaa hao

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 4 місяці тому

    Umejifunza kitu agement wangu ila pole sana

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 4 місяці тому

    Nimependa namna kamanda anavyoelezea, amenyooka sana

  • @TinahFrank
    @TinahFrank 4 місяці тому

    Bina damu embu tusaidiee maana maisha ay😢😢😢

  • @mussamtalika243
    @mussamtalika243 4 місяці тому

    Palikuwa na disco la nguvu miaka hyo mi nilikuwa meneja pale

  • @user-sj3il5hr8h
    @user-sj3il5hr8h 4 місяці тому

    Wengine wamejifunza kupitia hiyo njia

  • @stn4873
    @stn4873 3 місяці тому

    Hadi leo watu wa namna hii wapo majeshini humo.

  • @user-ds3oi3tt8u
    @user-ds3oi3tt8u 3 місяці тому

    Ajila bila Elimu husababisha tamaa na hata watu wanaopenda rushwa ni wale Ambao hawajasoma na limbukeni kama huyu

    • @allymoshi2053
      @allymoshi2053 3 місяці тому

      Elimu sio ishu ndugu tatizo watu wengi wanakuwa na tamaa na hawaridhiki na wakipatacho wala hawataki kufanya biashara halali

  • @user-ou8sp5bb7n
    @user-ou8sp5bb7n 4 місяці тому

    Kiswahili chenu kibovu, jirekebisheni

  • @mubaonemubaone3249
    @mubaonemubaone3249 3 місяці тому

    Arudishwe Kazin Akabidhiwe kitengo hicho Cha madawa amesha jifunza mengi
    Japo nusu mshahara Apewe
    MWANDISHI MTAG MAMA SAMIA HIYO STORY

  • @user-uq6hn4vf3i
    @user-uq6hn4vf3i 4 місяці тому

    Keri kabix

  • @mussamtalika243
    @mussamtalika243 4 місяці тому

    Nakukumbuka miaka ile ulikuwa unakuja msasan pale ccm

  • @aziza9093
    @aziza9093 4 місяці тому

    Kweli tamaa nibay

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 4 місяці тому

    Vya kharam mwishowake hua mbaya waelimishe na maafande wenzio wasiburuze watu iyo ni kazi tu

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 4 місяці тому

    Mbona humuulizi mke yaani yule waliozaa naye wakati anatumia madawa alimtafuta?

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 4 місяці тому

    Hiro ndio tatizo la mwanadamu kutoridhika na anachopata sasa ona kesho yako imeharibika pole

  • @user-uq6hn4vf3i
    @user-uq6hn4vf3i 4 місяці тому +1

    Mungu akurinde

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q 4 місяці тому +6

    Kaka mzuri ulijiingiza kwenye mambo ya ushetan pole brother lkn kwakuwa ujitambua nakuacha mrudie mungu kaka ndo kila kitu usijekuishia pabaya

  • @issakisalu9237
    @issakisalu9237 4 місяці тому

    umetoa code

  • @shamisalmahruqi1527
    @shamisalmahruqi1527 4 місяці тому

    Sio askali . Ni askari

  • @AllyYomba
    @AllyYomba 3 місяці тому

    Fikiria kabla ya kuamua

  • @mussamtalika243
    @mussamtalika243 4 місяці тому

    Panaitwa sis club

  • @user-uq6hn4vf3i
    @user-uq6hn4vf3i 4 місяці тому

    Waomba muvi

  • @user-rk7vt2km2b
    @user-rk7vt2km2b 4 місяці тому +2

    Jifunze kumuachia MTU Muda wakujieeza , usimkatishe katishe mtu

  • @bahatimahone4922
    @bahatimahone4922 3 місяці тому

    Mwandishi ulisomea kweli hii kazi?

  • @mwaka43
    @mwaka43 4 місяці тому

    Pole sana Mkuu!!! nimeifuatilia Story yako kwa umakini mkubwa.....Umeeleza mambo mengi sana muhimu

    • @eppiemodest
      @eppiemodest 4 місяці тому

      Kumbe polisi ndiyo wanatuangamiza. Na bado wanawalinda. Huyu anayeongea hakustahili hata awe huru. Ilikuwa awe gereza la askari. Hivi serikali inasikia hivi bado huyu polisi hawajamhoji awataje hao vigogo.
      Kwa kweli nitazidi kushangaa sana kama itaishia hivihivi

    • @mwaka43
      @mwaka43 3 місяці тому

      @@eppiemodest Alishatumikia adhabu Gerezani na adhabu ya Uteja na sasa anatumikia Jamii kupitia Uelishaji kama anavyosema

  • @richzebest2029
    @richzebest2029 4 місяці тому

    Anaonekana kama bado anavuta sigara ama bangi

    • @stn4873
      @stn4873 3 місяці тому

      Kuacha moja kwa moja ni ngumu kwahyo anatoa arosto kwa style hiyo.

  • @user-jx7ot4ru7l
    @user-jx7ot4ru7l 4 місяці тому

    Anaonesha sura yake ya kijambqzi

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 4 місяці тому

      Alishaacha

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 місяці тому

      😂😂sura yake mbona ni handsome tu kabisa yaani hapo ni kama naibu waziri vile.

  • @saidalghafri3111
    @saidalghafri3111 3 місяці тому

    Pole kaka naweza kunipatia phone no yako please

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 4 місяці тому

    Kuna watu wako jela miaka mingi kwa makosa madogo sasa huyu jambazi yuko nje anafanya kazi 😏😏

    • @mwaka43
      @mwaka43 3 місяці тому

      Alishatumikia Adhabu ya Kifungo

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 3 місяці тому

    Naona Yuko kwenye kitengo cha DCEA hongera nyingi kwake pia madawa siyo poa kabisa

  • @user-vx7xu5rz7x
    @user-vx7xu5rz7x 3 місяці тому

    kila kitu sawa sema kwenye hesabu za miaka sijaelewa dakika ya 2:00 anasema ana umri wa miaka 49 ina maana kazaliwa 1975 ,halafu anasema kaajiriwa mwaka 1991 ina maana alikuwa na umri wa miaka 16. je jeshi wanaajiri wenye umri chini ya miaka 18

    • @stn4873
      @stn4873 3 місяці тому

      Hakuna linaloshindikana. Usikariri.

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 4 місяці тому +1

    Angefanya jambo jema kama angewataja majambazi waliobakia ndani ya jeshi la police.

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 4 місяці тому +1

    Kila mtu uvuna alichokipata

  • @jaybrown9338
    @jaybrown9338 4 місяці тому

    Mnampa pole ya nini
    Jambazi sugu mnamtetea😢

  • @JamalMeneja-xd8tq
    @JamalMeneja-xd8tq 3 місяці тому

    Auliwe huyu jambazi hatoacha ujambazi ukila nyama yamtu huachi

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 4 місяці тому +1

    Bado macho yake yanatisha namuogopa.

  • @TinahFrank
    @TinahFrank 4 місяці тому

    Bina damu embu tusaidiee maana maisha ay😢😢😢

  • @samwelpeter5219
    @samwelpeter5219 3 місяці тому

    Dah amejieleza vzuri sana Serikal ikuangalie kwa jicho la pili ikirudishe kazin