Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Wezi wa mitandaoni walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 сер 2024
  • Jeshi la polisi Dodoma limewakamata watu wawili wanaofanya matukio ya wizi wa fedha kwa njia ya mitandao ambapo pia wamekuwa wakitumia usafiri wa pikipiki kusafiri katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuiba bidhaa za dukani na fedha.

КОМЕНТАРІ • 240

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 5 років тому +1

    Kwa kweli RPC Dodoma anapiga kazi, kweli anastahili hicho kiti hajakaa kwenye kiti hicho kwa bahati mbaya Mungu ambariki.

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 5 років тому

      Huyu mm namkubali,Kuna mmoja Yule sijui wa mwanza au sijui Ni geita huwa anatetea ujinga wa maaskari wake simpendagi kabisa

  • @user-gj6ie7kl6g
    @user-gj6ie7kl6g 12 днів тому

    ❤kamanda wezi Awana adabu wakafungwe wakafanye kazi

  • @helenamwaipopo967
    @helenamwaipopo967 5 років тому +1

    Safiii kamanda kazi nzuri,unafanya kazi nzuri kama kamanda wa mkoa wa Mbeya Munguu awabariki

  • @MemsapSaum
    @MemsapSaum 6 років тому +2

    Safi kwa kazi zuri

  • @angelusilljujalijuja9852
    @angelusilljujalijuja9852 6 років тому +10

    haaaa watapata tabu sana mkuu upo vizuru sana.

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 6 років тому +32

    Mzee wa #UtapataTabuSana. Gonga Like Kama unamkubali sana 😂😂😂😂

  • @ariffaizal8006
    @ariffaizal8006 6 років тому

    Safi sana kamanda safisha uchafu ,,tena musafishe tanzania nzima tabia zote tanzania iwe shule ya maadili

  • @omanioman8952
    @omanioman8952 6 років тому +1

    Yani nampenda uyu kamanda anatuonesha
    Mambo live👌👌👌😁😁😁😁

  • @thomasenockgogomoka6056
    @thomasenockgogomoka6056 5 років тому

    Hongera SNA Kamanda Mruto kwa kazi nzuri

  • @dovicochristopher5388
    @dovicochristopher5388 6 років тому +7

    Ety unaendashaje, kwamba naendesha kawaida hahaha u can't be serious brother

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 4 місяці тому +1

    😢kosa siyo lao kosa ni huduma kwa wateja kurudisha pesa kiurahisi ivyo kila siku

  • @tendatanzania8358
    @tendatanzania8358 6 років тому +4

    Hapo KAMANDA Leo kama nimekuelewa sasa..
    SAFI sana

  • @fravianpapian9194
    @fravianpapian9194 Рік тому

    Asante sana jeshi la polisi kwakuwa kamata hao matapeli

  • @johnshirima4547
    @johnshirima4547 6 років тому +3

    Ni mekupenda sana kamanda mtoto watapataa tabu sanaa 😀🤝

    • @judicateshuma3688
      @judicateshuma3688 Рік тому

      Huyo mwita ni jambazi wa miaka mungu mi simpendi alishawai kuniibia mwaka1994

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 6 років тому +1

    Safi Kamanda watapata tabu sana

  • @timuwakupinda8490
    @timuwakupinda8490 6 років тому

    safi sana kamnda piga kazi

  • @omanioman8952
    @omanioman8952 6 років тому +1

    Yani uyu wamuongezee mshaallah yeye na kikundi chake maana ananikosha roho yangu kwa matukio anatuonesha live

  • @matayolaizer5734
    @matayolaizer5734 6 років тому

    safi kamanda uko vizuri

  • @jenniferzakaria3884
    @jenniferzakaria3884 2 роки тому

    Wakubwa ovyo,hongera Sana kamanda wa dodoma

  • @gilbertpaul371
    @gilbertpaul371 6 років тому +1

    We ndo kamanda safi sana

  • @cyprianbernard907
    @cyprianbernard907 6 років тому

    Safi sana command

  • @mwanakwetu6472
    @mwanakwetu6472 6 років тому +1

    Huyu Kamanda anapiga kazi hasa!!

  • @zak5065
    @zak5065 6 років тому +4

    Ulikuwa jambazi! Mbona unasema ulikuwa jambazi 😂😂😂🤣🤣🤣 utafia jela mzee

  • @jimmyjoyouz4219
    @jimmyjoyouz4219 6 років тому +1

    Safi sana
    Huwa wanatusumbua sana hana na msg zao "ile ela 2ma kwa no. Hii"

  • @vedsonrwamzigu3743
    @vedsonrwamzigu3743 6 років тому +7

    Kamanda mloto. Aky mtaniwetu kumkamata. Mshamba.mwenziee. Wata. Patatabu

  • @hasanoowaziri3247
    @hasanoowaziri3247 5 років тому

    Sim inaita toka hapa.Pikipiki unaendeshajeee?Mruto bg up sana

  • @killerbona5018
    @killerbona5018 6 років тому +4

    HAYA UNAENDESHAJE???
    Sasa hili ni swali la kuuliza kweli??? 😂😂😂😂😂

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 6 років тому +3

    Hehwhee eti Hawala zao 😂

  • @manjaruujr6504
    @manjaruujr6504 6 років тому +4

    Daaaah dodoma yangu inakuwa safii sanaaa

  • @paschalmartin7714
    @paschalmartin7714 6 років тому

    Safi sana kamanda waazibiwe kisheria hao watapeli

  • @salummkumbalu5212
    @salummkumbalu5212 6 років тому

    Conglatulation mkubwa

  • @victustemba
    @victustemba 6 років тому +6

    Giles Muroto..! Kamanda shida sana.. 😁

  • @omanioman8952
    @omanioman8952 6 років тому

    Mungu akupe maisha marefu kamanda
    Unatugea raha ivyo ndivyo inavyotakiwa wezi wakikamatwa waoneshwe

  • @destiny4life439
    @destiny4life439 6 років тому +4

    camanda safi sana

  • @thomasgodwin3975
    @thomasgodwin3975 6 років тому +3

    uyu mzee ukiiba Dodoma bx jiandae kuonekana Kwa you tube

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 6 років тому +9

    Kwanini unafanya ivo una iba kwanini una endeshaje pikipiki 😂😂😂

  • @ashakichinda7704
    @ashakichinda7704 5 років тому +1

    Jamani wapigeni risasi hao wasumbufu sana

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 6 років тому

    Unafanya kaz sana mkuu. Asante sana

  • @fibioko8916
    @fibioko8916 6 років тому

    safi sana

  • @mohamedselemani393
    @mohamedselemani393 5 років тому

    Mzee nakukubali sana

  • @jofreysanga9520
    @jofreysanga9520 5 років тому

    Mzee unakwenda wapi mzee?? Huyu mzee vitu vyote viwili anapiga!!! Mzee utafia hela mzee acha ujambazi... Wee mzee unafanya kazi gani!! Umestaafu ujambazi!! Hahaaaaa!! Hapa kazi tu, safi sana jeshi LA POLISI

  • @issaabdi9129
    @issaabdi9129 4 роки тому

    Hiyo ni kali mzee atafia jela......

  • @NdongaKichwa-hz7jf
    @NdongaKichwa-hz7jf 9 місяців тому

    Mzee mbona unamvyonya Asikari wako na kumfukuza kwa kuita simu kwa Bahati mbaya aloona ilo agonge like hapa

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 6 років тому +1

    Iyoooo mbona kama cyo

  • @sayibahati7316
    @sayibahati7316 6 років тому +2

    Njooni patrol pia maeneo ya nkuhungu west, vibaka wanatupora simu zetu!

  • @josephkajanamafuru3581
    @josephkajanamafuru3581 6 років тому +1

    Mwaka huu watapata taabu sana

  • @enocktanu8693
    @enocktanu8693 6 років тому

    Kamanda safi sana

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 років тому +2

    Kamata ao kamanda wananisumbua sana kwenye sm

  • @mwanaidisimoni79
    @mwanaidisimoni79 4 місяці тому

    Ao washenzi nawatamani sana nikiwapata watajuta

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 5 років тому +2

    Usiombee kunaswa na rada za kamanda muroto!

  • @SaviouryKigola
    @SaviouryKigola 4 дні тому

    Huyo mpotezeni hukohuko

  • @shaabans.marijani9659
    @shaabans.marijani9659 6 років тому

    Utapata tabu sana, big up kamanda wa Dodoma hapa kazi tu.

  • @dicksonbenson391
    @dicksonbenson391 6 років тому

    Hahahaahahahhahah kamanda njoo Dar tunaibiwa sana

  • @hambalgullam8178
    @hambalgullam8178 4 роки тому

    Vzr sanaa

  • @helenjonsob5718
    @helenjonsob5718 4 роки тому

    Uishi sana

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 років тому +1

    Watapata tabu sn kwa Dodoma saiv,,,Namkubali sn huyu kamanda hafichi kitu yeye anakueka live ili tuwajuwe wabaya wetu mana saiv mambo magum,,

  • @Saimonamon
    @Saimonamon 6 років тому +1

    Watapata tabu sanaaa😂😂

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 6 років тому +1

    Huyo mzee na penda shows Zake duuu

  • @mariumchima8098
    @mariumchima8098 6 років тому

    haki nimefurai sana

  • @asiakibonge4699
    @asiakibonge4699 5 років тому

    Mungu wangu mbavu zangu we mzee huna watoto kweli unataka kufua jela

  • @kisigaanna3422
    @kisigaanna3422 6 років тому +4

    wez watapata tabu sana

  • @salmajuma3704
    @salmajuma3704 4 роки тому

    Kifungo cha maisha2 aooo

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 років тому +3

    Hiyo ni kweli kuna jirani yangu kaibiwa elfu80.. kwenye simu yake alikuwa na sh.130000 ...alitumiwa elfu 90 mpesa na mtu asiemjua na salio lake likaongezeka likawa jumla zikawa 220000.akapigiwa simu na huyo aliemtumia kuwa amekosea kutuma pesa anaomba amrudishie kwakuwa ni ada ya mtoto.basi huyu jirani akamrudishia kweli elfu 90 yake..kumbe huyo jambazi akapiga tena simu voda kuwa kakosea kutuma pesa kwa mtu anaomba arudishiwe..so.voda wakamrudishia pesa yake na huyu jirani akawa kamrudishia pesa yake.akaliwa elfu 90..aliliaaaa

  • @abelumoja2866
    @abelumoja2866 6 років тому +1

    Watapataaaaa taaaabuuu sanaaa

  • @alimakaba6170
    @alimakaba6170 6 років тому +3

    Dah mpaka jamaa anakubali kuwa pesa anayopata anahonga wanawake ujue kilichompta sio cha kitoto

  • @edern8803
    @edern8803 6 років тому +3

    Mzee rudii musomaa 😀😀

  • @nasibuomary1692
    @nasibuomary1692 5 років тому

    Aisee ni shida

  • @mohamedselemani393
    @mohamedselemani393 5 років тому

    Jino kwa Jino

  • @shedyjr3227
    @shedyjr3227 6 років тому

    Huyo FFU yuko bize na cm dadek.. Atapa taabu sana nae anadharu mkutano wa boss wake

  • @liberatusslyvanus916
    @liberatusslyvanus916 3 роки тому

    Hawo jamaa nihatari sana

  • @FurahaManyika
    @FurahaManyika Місяць тому

    Duh hao jamaa sio poa

  • @honestdavid0558
    @honestdavid0558 6 років тому

    Safii sanaa kamanda wafungwee hao

    • @raymondlufungulo4745
      @raymondlufungulo4745 5 років тому

      Safi Sana kamanda was dodoma kwa kazi nzuri ya kukomesha wa halifu

  • @evaristifaustini5399
    @evaristifaustini5399 4 роки тому

    Hao makuma nipeni mmoja nifire washa nikosa kosa mara nyingi sana mamaeeee

  • @binarytanzania
    @binarytanzania 3 роки тому +1

    Naona wezi wamtandao wame amua kudislike

  • @geoffreychurchkayora1230
    @geoffreychurchkayora1230 6 років тому +3

    sm imeita Hahah toka hapa

    • @monicamwaisaka3484
      @monicamwaisaka3484 6 років тому

      Geoffrey Kayora 😂😂😂😂😂😂😂😂nimeskia

    • @alistairelias536
      @alistairelias536 6 років тому

      Hiyo sijui ni simu yake mwenyewe au ya huyo mpambe wake 😂

    • @jamesgadi3034
      @jamesgadi3034 6 років тому

      Geoffrey Kayora toka apa!!!teh teh

  • @alexmlekwa6398
    @alexmlekwa6398 6 років тому +5

    watapata taaaaabu sana! na wapigwe tu maana hakuna namna nyingine tumechoka sasa!

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 5 років тому

    safi kamanda mrot

  • @abodetidings8392
    @abodetidings8392 3 роки тому

    tanzania pabaya sana

  • @geofreyanderson9291
    @geofreyanderson9291 5 років тому

    fungen hao wez nammi walitaka kunitapeli asante sana. jesh la polisi

  • @treyibrahim3327
    @treyibrahim3327 6 років тому

    WATA PATA TABU SANA.NASEMA WATA PATA TABU KWELI NA KIPINGO CHAKE NI CHA UMBWA KOKO..Kamanda etiii Unaendesha je piki piki 😃😃😃😃😃😃

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 років тому

    Wasenge sana hao watasababisha ata hudumu ya kutorudishwa pesa hata kama mtu kakosea kweli kutuma pesa, hao wanastahiri kunyongwa kuma mae zao washenzi hao,

  • @geofreykupenda2147
    @geofreykupenda2147 6 років тому

    toka hapa 😰😰😰

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 4 місяці тому

    Funga kabisa miaka 30

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 роки тому

    Mmmh nini kifanyike sasa kama na mpesa washakuwa na unjanja na wengine kwel hukosea

  • @chumatuma4967
    @chumatuma4967 5 років тому

    sukuma ndani hawo Afande

  • @gabrieldaniel6227
    @gabrieldaniel6227 4 роки тому

    Wanatafuta maish mpovizur makamand wet

  • @eliasjillanga999
    @eliasjillanga999 6 років тому

    Watapata tabu sana dodoma

  • @helenampewa9582
    @helenampewa9582 6 років тому +1

    jamn wanaaribu mkoa wa iringa na njombe tyunapata sifa mbaya sana jmn

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 років тому +1

    Duh

  • @mumybhay6561
    @mumybhay6561 5 років тому

    kundi la cngeli duh😣mzee anabisha wakati2 mwanzo alikubali kua yy ni jjambarika mctaafu 😂😂😂😂sasa utafia jelaa

  • @goodluckmasinde2058
    @goodluckmasinde2058 5 років тому

    ua kabisa vibaka ao mi wameniliza elfu sabini mtandaoni mbwa wakubwa ao

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 4 роки тому

    ukitaka kukaa mjini fanya kazi bana. kkkkkkk

  • @rashiddavid1900
    @rashiddavid1900 6 років тому

    mtapata tabu sana😀😀😀😀

  • @salehalisaleh7685
    @salehalisaleh7685 6 років тому +1

    Watapata tabu sana

  • @mussamalick1045
    @mussamalick1045 6 років тому +1

    Safi sana kamanda mruto.

  • @wilsonwizzo2483
    @wilsonwizzo2483 6 років тому +1

    Unaendeshaje pikipiki😁😁😁

  • @avitusarchard3492
    @avitusarchard3492 5 років тому

    Mbona wanaongea kirahisi sana?? Au mnawafanyiaga counseling ya kipolisi kabla!!😁😁😁😁😁😁

  • @rajabomar6236
    @rajabomar6236 6 років тому +1

    Vipi walio mshambulia tundu lisu?

  • @laurentwambura5072
    @laurentwambura5072 5 років тому +7

    Kwenye dakika ya 4:59 nimesikia kamanda akisema "toka hapa", alikuwa anamuambia nani?

  • @khalifaissa1777
    @khalifaissa1777 Рік тому

    KWAL M C W4ZI KULAHUMU MASHA MAGUMU