RPC Muroto kaja na hii nyingine, Madereva Dodoma wapata tabu sana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2018
  • Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma likiongozwa na RPC Gilles Muroto limeanza operation ya kukagua na kukamata madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani pamoja na wenye magari mabovu ambapo hadi sasa zaidi ya magari 30 yakiwa yamekamatwa huku wahusika wakitarajiwa kufikishwa Mahakamani muda wowote ili waweze kushugulikiwa kwa mujibu wa sheria.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 390

  • @user-br7nc7hw3l
    @user-br7nc7hw3l 6 років тому +3

    Safi sana mkuu wote wangekuwa km ww ni raha sana shukurani mkuu mungu akupe maisha marefu

  • @bakarimdindile1273
    @bakarimdindile1273 6 років тому +3

    excellent RPC Gilles muroto hivi ndivo inavo takiwa inchi yetu iwe bora, lakini watanzania sio dodoma ,watanzania ni mikoayote ya tanzania hivyo kila mkoa ,na RPC wote waige mfano wa gilles muroto hapo ndipo inchi yetu itasonga mbele na itabadilika ,ajali zitapungua ,watanzania tutasafiri salama salimini,eeeee MUNGU ibariki tanzania

  • @charlessarrwat7291
    @charlessarrwat7291 6 років тому +8

    Nice..lazima wapate tabu sana

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 6 років тому +82

    😂😂😂😂 Piga like kama unamkubari G Muroto

  • @bernardchibwana6176
    @bernardchibwana6176 6 років тому

    Vaaa vizuri brother, kamanda mungu akupe nguvu

  • @jacksonmkome439
    @jacksonmkome439 6 років тому +11

    safi sanaaaah Kamanda... coz uzembe Mdgo kama Huuu unaleta madhara makubwa...kisha tunaanza kulaumu serikali..@

  • @treyibrahim3327
    @treyibrahim3327 6 років тому +17

    😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😃😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Etii ilo janga likuendee wewe na ndugu zako 😃😃😃😃😃 Be blessed Kamanda kwa kazi yako

    • @marymarwa8428
      @marymarwa8428 6 років тому +1

      Trey Ibrahim hahahahaaaa nimecheka

    • @ashachitemo7816
      @ashachitemo7816 6 років тому +1

      Trey Ibrahim afu nqona kama kapendezaaa vile

    • @treyibrahim3327
      @treyibrahim3327 6 років тому +2

      marry chacha hata mm hahahahahahahah 😃😃😃😃

    • @treyibrahim3327
      @treyibrahim3327 6 років тому

      😃😃😃😃😃😃😃 Asha uyu mzee nouma aiseee

  • @josephjoseph7348
    @josephjoseph7348 6 років тому +13

    Ila muroto bana unatuma maombi ya kwenda gerezan😂😂😂😂😊😂😂

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 років тому

    Very good kamanda

  • @abdulazizymhando5745
    @abdulazizymhando5745 6 років тому

    kazi nzuri sana afande

  • @juliankuka2496
    @juliankuka2496 6 років тому +4

    i love this officer how he handles stuff bring him to Nairobi...

  • @gabrielgidasangahalamga6875
    @gabrielgidasangahalamga6875 6 років тому

    safi kamanda mngu akulinde

  • @luckychanneltv8762
    @luckychanneltv8762 6 років тому

    Nakukubali sana mheshimiwa mroto, uliinyoosha nyakato national mwanza ,endelea kupiga kazi usiogope

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 6 років тому +1

    Jamani ajari zimezidi cn kwa kweli afande piga kazi, mungu akusimamie.

    • @allyduwa9914
      @allyduwa9914 4 роки тому

      Mumeo angekuwa drive hayo usingesema maana ingekula kwako

  • @jangaboy1877
    @jangaboy1877 5 років тому

    Mm namkubali Sana kamanda

  • @million.onlinetv659
    @million.onlinetv659 6 років тому +6

    Kamandaa wangu hapo nimekuelewaa.....kwaaambaaaa.......'"UNAPELEKA MAOMBI KUINGIA GEREZANI'"..... . ......kiukweli watapataa tabu sanaaa.....nimesemaa ..watapata tabu sanaaa

    • @maulidmustafa3840
      @maulidmustafa3840 4 роки тому

      Ivi KAZI ya huyo RPC nikukamata magari. Kwann asigawe kaz Kwa waliochini yake??

  • @omanioman8952
    @omanioman8952 6 років тому +3

    Piga kz baba mungu akupe afya na akurinde daima ayataisha ila yatapungua

  • @kassimkazinza8060
    @kassimkazinza8060 4 роки тому

    murotoo nomaaa

  • @sarahkalinga732
    @sarahkalinga732 6 років тому

    naipenda sana kazi zako piga kazi baba

  • @jabirikilagilile9799
    @jabirikilagilile9799 6 років тому +11

    Namkubali sanaa kamanda

  • @abubakarhassan1915
    @abubakarhassan1915 4 роки тому +4

    Mh vip kuhusu magar ya serikali kuvunja sharia?

  • @shaabanabdallah4831
    @shaabanabdallah4831 6 років тому +1

    😂😂😂😂 jamani ningekua dodoma ningehama mimi watapata tabu sanaa

  • @shaabanabdallah4831
    @shaabanabdallah4831 6 років тому +1

    Ukifanya makosa barabarani unapeleka maombi kwenda gerezani 😂😂😂😂😂 jamani kazi ipo kwakweli

  • @cynobaby50
    @cynobaby50 6 років тому +13

    Mambo ni motooo....

  • @bensonisilivery6572
    @bensonisilivery6572 6 років тому

    Noma Sana uyu Mzee

  • @kenedynashon9717
    @kenedynashon9717 6 років тому

    Nchi nzima kungekuwa na maaskari kama huyu tungekuwa mbali sana,chapa kazi kamanda,achana na wapuuzi wanaosema kwamba unatafuta kiki,tushawazoea mazoba kama hao hawakosekani😂😂😂😂😂😂

  • @richardsonmanjira7315
    @richardsonmanjira7315 5 років тому

    Goood muroto

  • @adamwaziry2253
    @adamwaziry2253 6 років тому +7

    Yote hayo kuficha mambo wanayo fanya.badala watupe majibu ya watu wasio julikana badala watupe muafaka kwann wanapiga raia mpaka wanawaua.badala watupe ripoti ya lisu kupigwa risasi.mpaka leo kimya.

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 6 років тому +4

    Haaaahaaaaa..Eti sasa unakwenda Mahakamani Brother..

  • @davidmajula5518
    @davidmajula5518 6 років тому

    Unakwenda mahakamani brother😯😀😀😀
    Piga kaz #kamanda saryuti kwako

  • @AliBaba-zb3tg
    @AliBaba-zb3tg 6 років тому

    Simamia paka wanao jamba ovyo siwapendi mimi jitu linajamba 24hrs bila ata kuonea huruma wezio walio mzunguka 😂😂😂

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 6 років тому +10

    Hahahaahha uyu kamanda nampenda

  • @evancesimbaya2056
    @evancesimbaya2056 6 років тому

    Piga kazi kamanda G.Muroto "Mchuma janga hura na ndugu zake" hapa nimekuelewaa kamandaa.

  • @alimakaba6170
    @alimakaba6170 6 років тому +3

    Kati ya ajali mbaya sana nizile zinazo husishwa na magari ya michanga.

  • @johnsanda4931
    @johnsanda4931 4 роки тому +1

    Ndomaana juzi kawa mnyonge kwa mkuu wake utafikiri siyo yy

  • @davidkilolelo8212
    @davidkilolelo8212 6 років тому

    Nafurahi sana nikimuona tu afande muroto

  • @ahmadkibamba7245
    @ahmadkibamba7245 6 років тому +1

    Siyo kila kosa faini na kesi ukisoma sheria hipo sehemu.inaelekeza kumuelekeza dereva kosa lake kwa mara ya kwanza na mara ya pili ya tatu unamchukulia hatua

  • @latasimon9303
    @latasimon9303 6 років тому

    Kwann brother unaendesha bus bovu😀😀😀

  • @allybomba4125
    @allybomba4125 6 років тому

    dah huu mtihani maana wasio soma na tulitegema ajira ugera sasa imekuwa kazingumu sana kwa sasa

  • @cassianndunguru3560
    @cassianndunguru3560 6 років тому

    Huyu kwanini asichukue uku wa jeshi la police tz IGP...... anapiga sana kazi.

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 6 років тому

    Iendelee tu ni safi sana

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 6 років тому +4

    Gilles Muroto jembeeeeee

  • @shkonlinetv1756
    @shkonlinetv1756 6 років тому +2

    nadhani ingefaa kupewa elimu kabla ya kupelekwa mahakamani.. ukimfunga sio kumsaidia.. unafanya kazi njema ila hekima itafutwe badala ya kwenda kumtia mtu jela aache kuzalisha na kuendesha familia.. please sheria ni mawazo yetu na utu ni wetu ambao ndio wa thamani zaidi..

    • @hassanimazila2054
      @hassanimazila2054 6 років тому

      wazo jema

    • @obbymiles277
      @obbymiles277 6 років тому

      Bro unadhani hawajui,ndio maana inaitwa kuvunja sheria ya barabara means wanajua fika.watu kazini

  • @meshackjackson3262
    @meshackjackson3262 6 років тому

    Kama hutak kufanya kaz utapata taabu sana kaz kaz tu kamanda tanzania ya mafanikio ileee naiona inakujaaaa

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 6 років тому +2

    Hadi rais ongee ndio mnafanya kazi zakuonea na sio zakuepusha ajari..inakela hadi Magufuli alalamike ndio nanyi mnaonea watu...Barabara mbovu na finyo.na kibaya gari hazna service rekod...anzieni garage na used spare parts. Na barabara then mtoe mafunzo sahihi...mfano mnapopishana dereva wapunguze speed.na upepo kwenye matairi ni muhimu sana..tyrod end.lake end.ball joint. Driving shaft.. Toshen bar.hivi muhimu sana

  • @tembeletadei7136
    @tembeletadei7136 6 років тому

    Braza utaenda mahakaman sawa

  • @omanoman1576
    @omanoman1576 4 роки тому +1

    navitabu vinasema ukimzallisha mtu hufi naww hadi uzalilike

  • @alengeswedi6962
    @alengeswedi6962 5 років тому

    Wanyooshe babu nakuona kwa mbali unawapa funzo tamu

  • @modeystaraxy3440
    @modeystaraxy3440 3 роки тому

    AO waendeshaji wamagari makubwa wangetengenezewa jia zao mapolini uko Cz wanaua tu watu kwa ushamba wao wa matumizi mabaya ya barabara siyapendi kuyaona

  • @gilbertpaul371
    @gilbertpaul371 6 років тому +7

    Kamand njoo na huku mwanza kuna gari zinatembea upande huku

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 6 років тому

    Mzee anavowadisplini kwa kuwatoa mikono mfukoni vijiti mdomoni anafurahisha..

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 4 роки тому

    Haya makosa Ni kupiga faini ili wakatengeneze magari kwenda mahakamani Ni kupotezea muda mahakama na kila mtu

  • @venanceroman5113
    @venanceroman5113 4 роки тому

    Mimi nomeona magari yamagereza mabovu lakini yanatembea haya kuna yanayo beba taka hayana hata taa waniruhusu nikae hapa barabarani niwakamatie mawili tu yakwao wanatuonea tu magari yanabeba mawe lazima libondeke bwana

  • @aikajuma6855
    @aikajuma6855 6 років тому +1

    watapata tabu sanaaaaaa ila uangalie na trafik wanachukua rushwa wao ndio wanayaona hayo yote lakin hawafanyi kitu ....ajali kila siku

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 років тому +3

    Kamua mzee kamanda

  • @jacksontesha7997
    @jacksontesha7997 5 років тому +1

    Bongo Kazi na Kamera bhana....tutauzaje Sura sasa ....Kazi haziuziki....

  • @frankilovesongchengula4672
    @frankilovesongchengula4672 6 років тому

    uyu father namuerewaga sanaaaaa yani huyu na Media wana undugu

  • @geofreymatengo9746
    @geofreymatengo9746 4 роки тому

    AFANDE moroto huka haki ya kumuagiza mtu kupelekwa mahakamni wewe kazi yako ni ulinzi na usalama acha kudhalilisha watu

  • @petermim
    @petermim 6 років тому +2

    Kufa kibudu dag😂😂😂🙌🙌🙌😂😂

  • @athumanimafugalo9917
    @athumanimafugalo9917 5 років тому

    Huyumwenye asili ya kiarabu alipoambiwa kapakia watu 21 alistuka na kumuangalia kamanda in kama MTU aliyesingiziwa kosa.

  • @omarrashid6215
    @omarrashid6215 5 років тому

    Sheria ipi jaman inasema huna kiakisi mwanga unapelekwa mahakamani naombeni elimu juu ya hilo kwa mwenye kujua

  • @sss3s867
    @sss3s867 6 років тому

    mkuu Wewe ulifaa uje usimamie mkoa WA daresalaam. yaani barabarani town city center bus zinajaza abiria mpaka inakuwa hatari Kwa afya sio tu Kama itatokea ajali. hasa hayo MA bus 🚌 ya mwendo kasi wao wanapakia tu na speed Kali Sana.

  • @rockystnaftali3490
    @rockystnaftali3490 6 років тому +31

    Jamani mtu akikaa tu ofisini mtasema akipiga kazi anatafuta kiki eeh mwalimwengu mnamazito sana

  • @deniswilson9069
    @deniswilson9069 3 роки тому

    Nilini mtaanza kuwabana wamiliki wa maabasi na maloli wawalipe madereva wao mishahara mizuri ili sisi abilia tunaotegemea usafiri huu uwe wa uhakika na kuondoa hofu za kimazingira

  • @modestusndunguru4479
    @modestusndunguru4479 6 років тому

    mikoa yote wangekuwa kama huyu safi.. sana... hawa ndio makamanda wanao endana na kasi ya prsidaaa... viva

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому

    Pigeni kazi ndugu, kila cku ajali jaman

  • @januariponera388
    @januariponera388 6 років тому

    Mtasema sana kama anasifa ila ndo anachapa kazi angekua anakaa ofisini tu mngesema mzembe hapa Tanzania tunaonekana wapumbavu sababu y majing michche

  • @silimumwamba6279
    @silimumwamba6279 6 років тому

    kama umechuma janga utakula na Ndugu zako Aiseee kaz kaz

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 6 років тому +1

    Kweli mi ni dereva.kuvunja sheria nikituma maombi kwenda gerezani

    • @million.onlinetv659
      @million.onlinetv659 6 років тому

      Imma Mlowe.............. yeah hiyooo ndo kauli mbiu...kuvunja sheria nikutuma maombi ya kwenda gerezan

  • @aleyslaim4935
    @aleyslaim4935 6 років тому

    Hio yakuzidisha Abiria ndio wanapenda Sana hao MA Askari wabarabarani wakiingia ndani kukagua wanaona kabisa watu wamezidi lakini hawachukui hates yoyote

  • @jumabakari6451
    @jumabakari6451 6 років тому

    Bradha utakwenda mahakamani sawa

  • @shaksbinsalim453
    @shaksbinsalim453 3 роки тому

    Ndiyo maana lGP siro akakupakazia kwa kupenda sifa hikukamata na wandishi wa habari imekujalini na ww unajisikiaje hasa

  • @muussamapunda673
    @muussamapunda673 6 років тому

    Noma sana

  • @soldiersjinny4146
    @soldiersjinny4146 6 років тому

    sawa

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 6 років тому +8

    Watapata Tabu sana

  • @mohamedmsuya707
    @mohamedmsuya707 6 років тому +1

    Ghafla nmejikuta napenda kumfuatilia kamanda Moroto!

  • @humphreymalema3024
    @humphreymalema3024 6 років тому

    napenda sana kamanda

  • @mohammedsalum6376
    @mohammedsalum6376 4 роки тому

    Geleza litajaa madeleva kwani kama mtu hajaweka kiaski mwanga kwanini usimuonye mpaka umpeleke gelezani

  • @givoncekiwelu1896
    @givoncekiwelu1896 6 років тому +3

    Majid katisha,co wamchezo mchezo

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 5 років тому +1

    Kaingia kwenye radar za G.muroto

  • @pambanomwadia4946
    @pambanomwadia4946 6 років тому +1

    mtengeneze na barabara co mnakagua magari tu ajali nyingi zinachangiwa na barabara zetu mashimo kibao

  • @piruuaziz8944
    @piruuaziz8944 6 років тому

    Kamanda usiangalie upande mmoja tu, huko kwako kwa askari wako pia kumeoza, tafuta mbinu ya kudeal nao pia. Wanakula sana rushwa huku barabarani. Notification wanapewa madereva waadilifu ila wengi wanatoa tu KK.

  • @karimmsosa4262
    @karimmsosa4262 6 років тому +2

    mzee posho za barabarani nazo vipi? kwa trafiki? Anakufa kibudu.

  • @fredyjohnwaifakaratz6600
    @fredyjohnwaifakaratz6600 6 років тому

    SAFIIIIII SANAAAAAA

  • @leskarmeikok8956
    @leskarmeikok8956 6 років тому

    Huyu kamanda anastaili pongezi

  • @amiryjanja1746
    @amiryjanja1746 6 років тому +2

    Murota hanaga noma yy kazi yake kutoa ushauli na kuonya kisha anasamehe😂😂😂😂

  • @clerkwayne3190
    @clerkwayne3190 6 років тому

    Mie napenda kuwashauri serikali na uongozi mzima wa ki trafiki nipo nje ya nchii na system yao hapa naona nitofaut na kwetuu huko mnatakiwa muwe na center kubwa gari linapo fanyiwa renewal ya motor vehicle na insurence huwa yanakaguliwa kabla ya hvo vitu police anapotisha kuwa hizo gari ziwe renewed vitu vingine ndugu mapolisi muwe mna fanya ubunifu wa kazi zenu ushauri nilio wapa ufanyieni kazi tengenezeni center za renewal motor insurence gari zinakaguliwa na mapolisi kabla ya kuwa renewed

  • @geoffreymwarabu8323
    @geoffreymwarabu8323 6 років тому

    Mchuma janga hula na nduguze! Nimecheka mpaka basi

  • @innoboo158
    @innoboo158 6 років тому

    Uyu Kamanda anazingua bhana

  • @robartrobart8625
    @robartrobart8625 6 років тому

    Kamanda piga kazi bana

  • @simonmkondya1115
    @simonmkondya1115 6 років тому

    kazi unayoo

    • @muhdmimu8857
      @muhdmimu8857 6 років тому

      Simon Mkondya kiki wanatafuta

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 6 років тому

    Ivi tudu lisu anaedeleaje
    Au bado anapata tabu sana 🤗

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 6 років тому

    Mbona mnanangania mambo za mahakamani tuu, hamuulizi mkataba wa dereva na tajirii au madereva hawana haki

  • @abdullasalim9266
    @abdullasalim9266 6 років тому

    Upo sawa 100% ikiwa utatumia madaraka yako kufwata sheria nayo mkosa ni kufikishwa mahakaman..

  • @johnsanda4931
    @johnsanda4931 4 роки тому

    Kuhusu tairi hata yy ukiangalia hata kiatu chake kimeisha

  • @lastseen6815
    @lastseen6815 6 років тому +5

    Ilo janga likuendee ww na ndugu zako😂😂😂😂😂

  • @oman11oman59
    @oman11oman59 5 років тому

    Uwe mfano wa kuigwa uyu afande anachapa kazi sarut yako mzee fundisho kwa kila mtu ila anapenda kuongea kwa kuwapapasa watumiwa napenda

  • @artsonkimath2917
    @artsonkimath2917 6 років тому +1

    Anataka kuchukuwa nafasi yas Siro sasa na tutapata tabu sana, Hawa waandishi wameandaliwa

  • @rashidlengesela2880
    @rashidlengesela2880 6 років тому

    Pamoja na ubovu wa magari yenyewe,lakin maskari wa brbrn hupenda kukaa sehemu ambazo siyo korofi,sehem zenye miteremko au kona hakuna anae kaa

  • @sebamrope7691
    @sebamrope7691 6 років тому

    huyu kamanda mm nampenda sana