MGOGORO GHOROFA LA KARIAKOO/MTOTO AMKANA MAMA/MAMA AOMBA RAIS NA WAZIRI KUINGILIA KATI''ANADHULUMU''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • #JAMBOTV
    MGOGORO GHOROFA LA KARIAKOO/MTOTO AMKANA MAMA/MAMA AOMBA RAIS NA WAZIRI KUINGILIA KATI''ANADHULUMU DADA ZAKE''
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 190

  • @harounali9057
    @harounali9057 Місяць тому +34

    Inna lilahi wainna ilayhi rajiun Allaah subhanahu wataala amrehemu mzee Abdallah Bahshuwan namjuwa vizuri niliwahi kufanya kazi kwakwe mwaka 1991 kabla sija ondoka 1992.
    Mashallaah mzee alikuwa habaguwi mfanyakazi na nilikuwa ana nipa kila siku nauli ya kurudi nyumbani ya dala dala na alikuwa aki I tazama kama mtoto wake Mohammad pale Morogoro Road na kuondoka kwangu kuna mchango wake.
    Mimi nilikuwa mfanya kazi wake tu.

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 Місяць тому +7

      Mashaaaaaaallah watu wema utajwa kwa wema wao Allah amrehemu

    • @ahz6907
      @ahz6907 Місяць тому

      ​@@zainabzain3434amyn

    • @gervas304
      @gervas304 29 днів тому +1

      ❤😊

    • @gervas304
      @gervas304 29 днів тому +2

      😊

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 Місяць тому +24

    Waende kwa Waziri, huyo Arafat ataitwa na kukomeshwa, Slaa hana mchezo.

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Місяць тому +15

    Dunia ni mapito muomgope aliekuumba na uwaombe radhi mamayako na dadazako muishi vizuri Mali ya dhulma haidumi

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 Місяць тому +13

    Anamkana hata mama yake huyo sio binadamu wa kawaida

  • @shuwanaliloka3816
    @shuwanaliloka3816 Місяць тому +4

    Kosa la kwanza lilikua ni kumruhusu asimamie jengo wakati nae ana Mali zake. Poleni sana.

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Місяць тому +9

    mi sichangii chochote kwanza...mpaka nimsikie na uyo araphat 😊,,

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Місяць тому +10

    Hizi mali pamoja nyumba, mashamba, viwanja zitawapeleka watu wengi jehannamu, Ewe Mwenyezi Mungu tupe moyo wa kinaa na turidhike na unachoturuzuku. Lakini ktk haya mbaya zaidi huyo kijana amemshitaki mama yake, huyu ana laana

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l Місяць тому +33

    Ndo faida ya kusoma, huyu dada anaonekana amenda shule,

    • @PCNaz007
      @PCNaz007 Місяць тому +1

      She was my class mate together with twin Amin

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 Місяць тому

      ​@PCNaz007 who is twin

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Місяць тому

      ​@@ashuraomar4935Pacha wake, ndie anaitwa Amin

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t Місяць тому +6

    Jamani nini maana ya ndugu Arafat unamjua Mungu aliyekuumba kweli

  • @MariaCassian-e2i
    @MariaCassian-e2i 29 днів тому

    Wazazi wangu nawaehukuru kwakuturithisha mali kabla hamjafa kilamtu anatumia urithi wake sisi nikuwatunza tu hongereni sana kwa hekima mliyo jaaliwa na mwenyezi Mungu❤❤❤🎉🎉🎉

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 Місяць тому +8

    Shule muhimu sana ndugu zanguni

  • @bongo39
    @bongo39 Місяць тому +6

    Huyo mtoto ana laana kubwa ila haki wataipata tuu hawa kina dada

  • @aliborafia5710
    @aliborafia5710 Місяць тому +1

    Poleni sana ndugu zangu mwenyezi mungu awasaidie

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Місяць тому +7

    Hii mirathii hii mwisho wa ck huyu arafat ataanza kuwaroga dada zake ila kwa uwezo wa mungu arafat huta fanikiwa chchte maana unatumia nguvu ya dhulma 😢

    • @rosiehayatta2619
      @rosiehayatta2619 Місяць тому

      Namashaka na Arafat anaweza kuwadhuru especially huyu msomi anayejielewa na mama yao ambay Arafat alikana sio mama yake anaweza kuwaua, ni jambazi

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      🤝

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 Місяць тому +3

    Nashukuru Baba angu aliniambia ananipa urith wa elimu tu na hakutaka niguse mali zake hawa watu wanaogombania mali hua nawashangaaa hata mm sitak watoto wangu waguse mali zangu wasome watafute vyao sitak mazoea yaaan mtoto nitampa elimu tu asome asisome shaur yake ila changu akiache

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Місяць тому +7

    Huyo sio kijana ni jinni

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 Місяць тому +10

    Nchi hii ina viongozi matapeli sana unasaini vip document bila kujiridhisha ??????????

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      Huwezi kuamini kuna familia naifaham mkoani imeuzwa na muolewaji na wanae tena inasemekana aliyenunua hiyo nyumba na Hati feki ni mstaafu wa Serekali kwenye kitengo ambacho huwezi kuamini anaweza kushiriki huo utapeli

  • @bongo39
    @bongo39 Місяць тому +5

    Mtihani huyo arafati anaonekana ni mkorofi sana tunaomba waziri hii kesi uwatendee haki hao kina dada ili wapate haki yao na huyo kijana anaeitwa arafat afungwe kabisa jela ni dhulma mkubwa mshenzi

  • @AllyBoko
    @AllyBoko Місяць тому +1

    Mueshimiwa siraa wasimamie wapate aki zao mama amekuamini nawewe upo vizuri kakaka

  • @user-xy8ev8dp5w
    @user-xy8ev8dp5w Місяць тому +4

    Mtauzaje mali ya familiy bila makubaliano ata mm sikubal

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j Місяць тому +15

    Hão ndio wanaouwa ndugu zao Kwa sababu za mali

    • @user-to4jw7tm1j
      @user-to4jw7tm1j Місяць тому

      Mali ni zao kushatumia sana wenyewe wanazitaka wape Kwa Armani utaazirika bure

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Місяць тому +3

    Huyu mkurugenzi nae achunguzwe

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 Місяць тому +3

    Huyo kaka jambazi na mwizi

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi Місяць тому +1

    Tamaa mbaya

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 Місяць тому +2

    Huyu arafati atiwe ndani Kwa wizi

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud Місяць тому +2

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah JAMANI mama ni mama bila ya mama usinhekua mpaka Sasa umshukuru mungu sana Léo uko na mamã ako usimnyanyase mamã ako ndiyo mamã ako huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana Mali ni pambo lá duniani tu mnagombaniani Mali hhhhhhhh

  • @Ericzdeking24
    @Ericzdeking24 Місяць тому +1

    Mama samia kuna wakurugenzi wako huku wananyanyasa wanawake wenzio huku.Mama ingilia kati.

  • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
    @TOUNDISELASSIE-xj8oy Місяць тому +3

    Watendaji mliotajwa na mlalamikaji mjitahidi kufuata sheria. Ili kupunguza watu kumuomba rais awasaidie katika matatizo yao.

  • @abdulmgassa7848
    @abdulmgassa7848 Місяць тому +1

    Asalam Dada pole sana nina wajua sana poleni ndugu wajaabu sana usipokuwa wangalifu huyo jamaa atawaua hatari sana kuweni wangalifu sana Allah awasimamie dada tafuta walimu ndio ninacho kushauri alafu pia ibada mshitakie kwa Allah kila siku huyo isimuonee huruma huyo kashakuwa shetani

  • @saidbhanji4234
    @saidbhanji4234 Місяць тому +1

    DUH !! NOMA HAPO AMEFELI DADA YAKE KALISANUA NA ANAJUWA HAKI ZAKE.

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 18 днів тому

    Dkt slaa yupo Insha'Allah kheir

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 Місяць тому +1

    Jamaa mkorofi, kabla sijamsikia poyoyo zake.

  • @shuwanaliloka3816
    @shuwanaliloka3816 Місяць тому +1

    Yani kamshtaki mamake mzazi mahakamani jamani kweli😢

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po Місяць тому +3

    maheremu Alikuwa mfanyabiashara maharufu dar,Alikuwa rafiki yake mzee Kenya

  • @jameschristian5876
    @jameschristian5876 Місяць тому

    Mkewangu anasumbuliwa sana,itabidi nifanyejambo

  • @erickkayumbo5669
    @erickkayumbo5669 Місяць тому

    Mama Samia,ona wanyonge wanavyoonewa,tusaidie wanyonge😭😭😭, Mama Samia kuna watu wanaonewa sana.

  • @mimahtv2974
    @mimahtv2974 Місяць тому +1

    Hao ndy wanaotia uchizi ndugu zao kisa mali na kaliakoo mtindo huo upo sanaaa…!😭😭😭

  • @EDWINMAPUNDA-de4ds
    @EDWINMAPUNDA-de4ds Місяць тому

    I wishes a all good jobs

  • @saidmohd7240
    @saidmohd7240 18 днів тому

    Baba wa familia/marehemu ndie aliesababisha mgogoro kwa watoto wake! Kurithisha kabla hajafa na kuandikia watoto! Mirathi imeshagawiwa na Allah Mtukufu!

  • @Farryunique
    @Farryunique Місяць тому

    Subhaana Allah

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 20 днів тому

    Haipendezi ndugu kugombana

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 20 днів тому

    Mimi bana mali yangu ni yangu mtoto atafute mali yake ndio mana now nawapa elimu coz hata mimi babayangu hajanipa chochote alisema nibcha mamayangu

  • @pidibegashe768
    @pidibegashe768 Місяць тому +2

    Tamaa ndio shida ... Kama pesa kapigia dance hapambane na haliyake

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 20 днів тому

    Mimi siwezi kugombania malia ambayo siiijui hata mzee aliipataje mtu mzima ushaolewa ushaoa unataka mali za marehem kkkk hebu fanyeni mambo yenu

  • @mahmoudhaji3526
    @mahmoudhaji3526 Місяць тому +2

    Uislamu kuna kurithi sio kusimamia

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Місяць тому +2

    Ndugu bongo kwenye Mali hawaaminik hata sekunde

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 Місяць тому

    Dada yupo sahihi kabisa apewe msaada kutetea hakiyake

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 26 днів тому

    Huyo kaka ajitahindi Ajishushe kweli kuomba Msamaha kwa dada zake kama sio atakuwa na Laana kweli

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Місяць тому +2

    Tatizo shule,yaani mtoto wa kiume unashindwa kutumia nguvu zako mwenyewe kutafuta mali zako za halali unaanza kudhurumu mali za dada yako😢😢

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat Місяць тому

      Eti ana nguvu si mlemavu atafute mali yake na baya zaidi kuwa na laana ya mama

  • @alhabibsudi7997
    @alhabibsudi7997 Місяць тому +1

    Mtoto wa Kiume unaenda kudai Mali za wenzako Pambana utafute zako shuwaini mmoja na Ingekuwa nipo kariakoo ningekupiga vitasa mchana kweupe, shenzi sana, mtoto wa kiume Fanya kazi utafute mali żako sio kudhulumu wenzako tena ni Wanawake unaowaonea

  • @user-lt2qh5dj1b
    @user-lt2qh5dj1b Місяць тому

    Dada nakubar sana❤

  • @taflamohsin2195
    @taflamohsin2195 Місяць тому

    Lahaula wala quwata illah billah, mashakil kama haya ni mengi sana,hasa kwa ndugu wenye roho mbaya na ndugu zao,ni kweli kabisa mwisho wake ni kurogana na udugu unavunjika.huwezi kula mali ya dhulma,kila mmoja keshapewa chake,duh tamaa hio.Allah atufanyie wepesi ,

  • @haikaelkiwia9705
    @haikaelkiwia9705 Місяць тому +2

    Sasa kwa nini anaficha uso wake?? Bado ana hofu, kuwa wazi kwani ni haki yako

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Місяць тому +1

    Mkurugenzi iiiiiiii.

  • @ThatGuyKRXZY
    @ThatGuyKRXZY Місяць тому +3

    Shame on u Arafat Bahshwan.Hata pepo hutoiona katika maisha yako 😡

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 Місяць тому

      Kabisaa yaani anatusikitisha sanaa huyu Arafat ni mdogo sana kwa ndugu zake. Ana tamaa ya wanawake ndio sababu anakuwa tapeli

  • @khamis9187
    @khamis9187 16 днів тому

    Mali na watoto ni mtihani na changamoto.,

  • @zulfahaji91
    @zulfahaji91 Місяць тому

    Huyu jamaa noma hafai kua kiongozi

  • @user-tm5jl5ym8q
    @user-tm5jl5ym8q Місяць тому

    Pole dada zangu mola hatawasaidia

  • @salmanmagwe222
    @salmanmagwe222 Місяць тому +1

    MUHESHIMIWA RAIS WIZARA YA ARDHI KWA SASA INAHITAJI MUIFUMUE KWA KUIONGEZEA NGUVU ZA KIUTENDAJI,NA PIA IWEZE KUSHIRIKISHWA NA MAHAKAMA ILI IKITOA MAAMUZI YAHESHIMIWE KWANI MAHAKAMANI NDIO KIMBILIO LA VIBAKA WANGI,MKILIZIBA HILI PENGO MTATUSAIDIA WANANCHI.

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Місяць тому +1

    ,serikali hapa hapa tanga kama haipo

  • @jumasalum991
    @jumasalum991 25 днів тому

    Slaa mama kumwamisha wakati anafanya vzr

  • @KhadijaSalum-nf5mf
    @KhadijaSalum-nf5mf Місяць тому

    Mzee alionaa mbali kwa watoto wake kiasi cha kuwagaiya mali before hajafa ktk matumbo hutoi watoto wote wakawa sawa lazima utatoa mtoto mmoja mkorofi baba yao Allah amrehemu ampe kauli thabit hiko aliko lkn dhulma maisha haidumu haki ya hao dada zake biidhnillah wataipata huyo arafat hajui kulinai na dhulma kaweks mbele

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 Місяць тому

    Dada anahitaji ulinzi uhai utaponzwa Kwa kutetea haki yake

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 Місяць тому +2

    Bwana arafat kama kashapewa chake alafu anataka kufanya manyanganyi na manyungunya yatamponza atakosa mpaka radhi za wazee wake kwa kugombania mali

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 Місяць тому +1

    Nashangaa sàna mnalithije wakati mama yenu yupo?

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 Місяць тому +1

    ,wakuu wa mkoa na wilaya na kamati zote za ulinzi na usalama wanajua lakini mjane mkono wake mfupi wenye watamba hawezi kupata haki zake mbele fulus

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      Wacha tu hao ulowataja ndio mashahidi balaa wa dhulmati wa mali za watu

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN Місяць тому +1

    Wazili kwanza awo walioweka mabango wawekwe ndani saa sita unawezaje weka kalatasi ktk maduka ya watu

  • @shekhamazrui9660
    @shekhamazrui9660 Місяць тому +1

    Mwambie Arafat ajikaze angalie mipango mingine

  • @mkamamapigano1486
    @mkamamapigano1486 Місяць тому

    Pray for this family 🙏

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Місяць тому +1

    Wakurugenzi wa mama

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN Місяць тому +1

    Wewe mtoto wa kiume pambana acha kungangania mali za dada zako

  • @zuenahassan8882
    @zuenahassan8882 Місяць тому

    Ina maana mali alio gawanyiwa haiku mfuraisha..amekuwa na wifu na mali ya dada zake..hizo ni dalili za uchawi yaani huruma mliokuwa nayo wakati baba yuhai tayari umekuwa na roo ya kinyama mpaka umkane mamaako mzazi aah kweli dunia inahadaa😢

  • @SaleheHaji-ne7md
    @SaleheHaji-ne7md Місяць тому +1

    asalamualsykum arfat harakakwamm urazimuhimu,,

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 Місяць тому +5

    Hili librother lijinga sana kwann halikwenda hata shule?

  • @SabryNassir
    @SabryNassir Місяць тому

    Hatari na nusu mungu awe upande wenu wenye hakki nyie nindugu zetu kbs

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 Місяць тому +1

    Rushwa na dhuluma ni zao la ibilisi Hata wakuu wa idara wanapewa rushwa

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu Місяць тому +1

    Arafat unafikia kumkana mama yako kwa tamaa ya pesa? Tafadhali haraka sana nenda kamuombe radhi kwa. haraka sana.

  • @EDWINMAPUNDA-de4ds
    @EDWINMAPUNDA-de4ds Місяць тому

    I LOOK GOOD AND ENJOY WELL

  • @nully123
    @nully123 Місяць тому +2

    Mungu atustiri na atupe nafsi wa kiuridhika za alichotuandikia Allah...Watu wengi wanajua katika hii dunia ndio wamefika milele Hawakumbuki kuna kuonana na Mungu..leo uko tayari kumkataa mzazi wako ilinupate pesa kujifakharisha kwa watu...unajionyesha kwa watu wewe tajiri hujali unatapeli unadhulumu...Je hii itakusaidia nini ukifa...Kuna mtu atakuja kukufata kaburini akasema Arafat nipunguzie adhabu zako...halafu sahivi Arafat Mkubwa kaa ufikirie Mungu zawadi ya kuishi mpaka sahivi wapo watoto wadogo wanakufa leo upo hai mpaka leo tumia umri wako umridhishe Allah

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 Місяць тому

    Ushauri nenda kwa mkurugenzi wa Takukuru

  • @NanaMaembe
    @NanaMaembe Місяць тому +2

    UYO ALAFATI NI CHOKO TU..... MKUNDU UNAMUWASHA..... AMEONGA VYAKE..... SASA ANATAKA VYA WENZAKE

  • @ChartyCharz
    @ChartyCharz Місяць тому +1

    Waziri amchunguze uyu mkurugenzi

  • @alihussein4303
    @alihussein4303 Місяць тому +1

    Mimi Kaka zangu wamenitumia mapolisi wanne waje wanikamate kwa kudai urithi wangu! Daahhh . Dunia ya kupita tuu .

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 Місяць тому +2

    Mali ni fitna na va duniai tutaviacha tuacheni dhulma

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 Місяць тому

    Arafati arafati mwogope Mwenyezi Mungu ivi leo kama baba yako mzazi angefufuka akaja nyumbani utafichia wapi uso wako na baba akasikia umemkana mpaka mama yako mzazi mke wa baba yako ivi utasema nini

  • @mbwanamtops4936
    @mbwanamtops4936 Місяць тому

    Sabaha ! allah atawasimamia wewe na dada zako na haki yenu haitapotea . Maelezo yako yamenyooka sana . Inaonyesha Kaka yenu Arafat ana mtihani sana na anawaletea Vurugu kubwa . Hakika wahusika, wataiona hii clip na wataguswa kama tulivyoguswa sisi watazamaji tu na majirani pale Agrey . Anatia aibu ndugu yenu Arafat . Hafai kabisa kuwaongoza na kuwasimamia licha kuwa Wakiume .

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d Місяць тому

    Muhim hpo kujua sheriya tumesoma lkn sheriya hatujui mambo hyo yanaenda na sheriya

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh Місяць тому

    Slaa uyompuzi mutiendani malamoja uyo nijambazi anataka kuwazulumu dada zake pigandani uyo usimwonee uluma

  • @aliborafia5710
    @aliborafia5710 Місяць тому

    Arafat arafat arafat mohamed abdallah bahashwan

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd Місяць тому

    Jmn hii dunia hii inatupeleka kasi san arafat acha izo ongea na dada zako kwa wema kama umeishiwa watakusaidia kwa hiar

  • @xcaliber8300
    @xcaliber8300 Місяць тому

    Jina lenyewe arafat (kusambaratisha)

  • @user-cr4th9lr6b
    @user-cr4th9lr6b Місяць тому +1

    Huyu kaka ndio tapeli

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Місяць тому

    Hilo ndio tatizo vijana wengi sana hupenda kurithi hawataki kutafuta chao wala hawataki kusoma kwa sababu baba au mama ana gorofa au mali matokeo yake ni kugombana na kuuana kwa sababu ya mali ya kurithi ( tafuta mali zako hata wewe ni binadamu kama huyo alieziacha

  • @respiciuskabigumila5246
    @respiciuskabigumila5246 Місяць тому +1

    Hivi mtu anaingiaje kwenye mali zangu bila idhini yangu? Namtoa nduki simbembelezi kivyovyote.

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 Місяць тому +4

    Tusomeshe watoto aiseee😢

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Місяць тому +1

      Kwani hao wanaosomeshwa hawagombei Mali? ,,,,Mali ni mtihani tu

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq Місяць тому

    Mwizi huyo.
    Inabidi achukuliwe hatua kali na serikali

  • @user-md7ug5dd9r
    @user-md7ug5dd9r Місяць тому

    Inaumiza sana ila wazira anaweza kuwachukuli hatua waliotoa kibali cha kuvunja jengo ili wengine wajivunze .. Ina maana watoa vibali wanweza kuto kibali bila kuwa na uhalali wa jengo?

  • @user-mz4gx2ek9y
    @user-mz4gx2ek9y Місяць тому

    Kuma Mae hi serikali ya ccm inaajiri wez maana mkurugenzi kalarushwa ndio maana wanakukimbia washitakin wote SI mkurugenzi SI tanesco wote peleka mahakamani

  • @husna34562
    @husna34562 Місяць тому

    Zama zetu mirath inatenganisha ndugu 😢mwenyezimungu atupe kinaa

  • @Ericzdeking24
    @Ericzdeking24 Місяць тому

    Yaani mali hizi zinavyosumbua ambao hawajazichuma.Nimeyaona kwa macho.