DEREVA WA SERIKALI ALIYEBEBA WAZUNGU ANASWA AKIWA SPEED

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2018
  • Tunayo story kutokea kwa Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Muslim ambapo anaendesha Opareshi Maalum ya kuwasaka madereva wanaoendesha magari kwa kasi wakiwemo wa serikali.

КОМЕНТАРІ • 512

  • @hamzamohamed8297
    @hamzamohamed8297 5 років тому +1

    Hongera sana afande wangu pamoja na askari wengine makini na waadilifu mnaofanya kazi nzuri ya jeshi la polisi Tanzania kwa kazi nzuri.

  • @jamessammy2894
    @jamessammy2894 5 років тому +1

    Woow ,i like this.
    Our brothers in Tanzania you have your own Matiang'i
    ,that's what we need in all East African countries.

  • @johnnjogundegwa9799
    @johnnjogundegwa9799 5 років тому +4

    No excuse for bending the rules. Drive as the law says. Thank you commander for the lecture

  • @nsajigwaseth6152
    @nsajigwaseth6152 4 роки тому +2

    Many of government drivers think they are above the law. Now they can learn a lesson from their fellow. Big up commander keep it up!!

  • @emmanuelmitao131
    @emmanuelmitao131 5 років тому +19

    watanzania tubadilike ,hii tabia ya kuponda mtu akiongea kingereza ndio inatufanya tuzidi kutokujua ,we unaecheka hata kuongea sekunde 10 mfululizo huwezi,pumbavu sana,,,afande kaongea vzr tena saana,heshima kwake sana

  • @hamisifuko4281
    @hamisifuko4281 5 років тому +4

    Kwa kuwa mwendo kasi limeshakuwa janga, mi nadhani kuna sababu ya kuanza kuandaa njia rafiki za kutumia kilometer zilizopo kwenye magari. Maana. Sheria mwisho speed 80 wakati gari zina 160 - 280 mapaka 320. Haya makosa ya mwendo hatuwezi kuyaepuka, mi mwenyewe nikikutaga sehem imenyooka na mimi nanyooosha mguu 😂😂😂. Harafu dereva naina kama gari haikimbii sana, Walio nje ndio wanasema jamaa kapita na mwendo wa ajabu 😂😂😂😂. Waturekebishie miundombinu bwana tujiachie,wasitufanyie hivi hadi tunaomba tuwe chini ya miguu yao 😂😂😂

  • @tiusteng
    @tiusteng 5 років тому +2

    Very good communicator this policeman. "Experts" lives must be preserved even when they are looting our countries in the guide of development aid.

  • @robertakello1666
    @robertakello1666 5 років тому +8

    First of all I appreciate the Good English kamanda, secondly, everyone must follow traffic rules and regulations "BIG UP" good job

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 5 років тому

    Fantastic good JOB! Madereva wa serikali vichwani wabovu. wanaamini wana kinga ya serikali bila kujua hatari haikwepi serikali.

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 років тому +3

    BAADHI YA WATANZANIA SAWA NA BICHWA LA WENDA WAZIMU.SASA UNAPO KOSOWA ETI KAMANDA KAONGEA KI NGEREZA KIBOVU,MI NAMPOGEZA KWA JINSI AIIVYO ITENDEA HAKO CV YAKAZI YAKE BIG UP KAMANDA.TUPATE NAWENGINE WAWILI TU KAMA HUYU NCHI NZIMA MA DRIVER WATAKAA SAWA.

  • @Godcaller77
    @Godcaller77 5 років тому +1

    I respect this officer he understands his work. Kamanda ako juu tu Sana.

  • @omrekjnr6123
    @omrekjnr6123 5 років тому

    Safi sana mkuu. Mbona hao wazungu wasiongee kiswahili?? kiingereza ni lugha tu kama lugha zingine tu! kama kichaga, kisukuma, kihehe n.k. Acheni ushamba ndugu zangu waTz kudhani kuwa kiingereza ndio kigezo cha ueledi.

  • @anatorydesdery4593
    @anatorydesdery4593 5 років тому

    Safi sana kamanda kwa kazi nzuri, Mungu akubariki saaaaaaana , na wengine wakuige , HAPA KAZI TU," hakuna mbwela "o

  • @anatorydesdery4593
    @anatorydesdery4593 5 років тому

    Safi sana kamanda kwa kazi nzuri, Mungu akubariki saaaaaaana , na wengine wakuige , HAPA KAZI TU," hakuna mbwela "

  • @kibilawazebanga7455
    @kibilawazebanga7455 5 років тому

    Kamanda kazi nzuri sana, hapo umewawajibisha kwa haki, maana madereva wa serikali, wa wazungu na wa raia wote wanaweza kufanya ajali wanapoacha kufanya sheria. Na umetumia diplomasia kumwelewesha mzungu na superiority complex yake. Kiingereza chako mkuuu kiko standard, kweli ulistahili ukubwa

  • @publicadvisor6952
    @publicadvisor6952 5 років тому +1

    Yupo vizuri kwenye lugha ya kiingereza japo sio necessary na sio point hapa haitumii kila siku. Kuna wabongo marekani miaka 10 na mbado ni some like some like hata kunyoosha setence hawawezi.

  • @willyngailo4549
    @willyngailo4549 5 років тому

    Kamanda yupo very strictly namgongea tano na ninampongeza Sana kingereza sio ishu ya msingi mm na angalia nn kafanya HONGERA KAMANDA

  • @johnjoseph3773
    @johnjoseph3773 5 років тому

    Kamanda Shkamoooo! Nimekuelewa vzr japo tia maji tia maji napenda kuendesha kasi kidogo lkn nazingatia alama za barabarani. Asante kwakuonesha mfano!

  • @daggydavy9201
    @daggydavy9201 5 років тому +6

    I love this traffic police action
    Bravo!!!!!

  • @kessyantoy6223
    @kessyantoy6223 4 роки тому

    Very good job Officer, tukifanya kazi kama ivi inarudisha imani Na Nchi yetu, Safi sana Baba

  • @nicholausmakundi2663
    @nicholausmakundi2663 5 років тому +1

    Pole sana sukaa(dereva) ckuizi Ayo mnarusha matangazo live from traffic police....ila wao hawana hawana Channel.

  • @josephmazuma3143
    @josephmazuma3143 5 років тому +1

    Ally maganga nami pia ni dereva lakini ninafaham A~F maana yake vipengele 6 tu navyo ni (A) kuhakikisha unawezo wa kuona mbele umbali wa mita 70 au zaidi. (B)hakikisha hakuna chombo chochote kinachotumia barabara kinachokuja toka upande wa pili barabara. (C) hakikisha hakuna chombo kutoka nyumba kilichoonesha nia ya kukupita. (D) hakikisha chombo unachotaka kukipita hakijaonesha nia ya kufanya over take pia (E)hakikisha chombo chako kinakuwa na mkubwa kuliko unachotaka kukipita. (F)hakikisha eneo linaruhusu kufanya kitendo hicho na ufanye hivyo bila kusababisha madhara. Asante kaka

  • @LukeUrioNEWS
    @LukeUrioNEWS 5 років тому

    Tusipende kuangali makesa tu.Kamanda wa posi yupo vizuri sana na maelekezo anayotoa hongera sana kamanda wa trafiki Tz,pia hongera kamanda Siro.

  • @samymdundu
    @samymdundu 5 років тому

    Daaaaah kiukwel madereva wa serikal wanasifa sana wachukuliwe tuu hatua ila kwa uyo Jamaa anavyo omba msahaaa daaaaah jaman asamehewee tuuu aiisee anatia huruma daaah chezea kibarua kuota nyasss ze ngerii iz ngumuzz soz dontz kunicheka mee

  • @allychiamba9126
    @allychiamba9126 2 роки тому

    yaani we kamanda mungu amekuona hao madereva wa selekali nafala kweli nandio wanao tuletea sisi madeleva wa plaivet matatizo asante sana kamanda

  • @barakalukumay
    @barakalukumay 5 років тому

    Hua wanakera sana hawa maderee wa sirikali wanakupita speed kali mpaka unasema ina maana wao hizi sheria haziwahusu ama nene hongera kamanda kamata hao wazembe kabisa

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 5 років тому

    Hongera sana Jeshi la Polisi pia Kamanda kwa kazi nzr..Tuwe wazalendo

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 5 років тому

    Uko vizuri kamanda wangu.hata kingereza kina eleweka babaangu, wataelewa tuu.💪💪💪

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 5 років тому +2

    Good kamanda Muslim...endelea hivyohivyo!!

  • @abasibogga4798
    @abasibogga4798 5 років тому +3

    we dnt want to loose u my frnd.

  • @andikimanasebadonavine9490
    @andikimanasebadonavine9490 5 років тому

    I really really appreciate this Officer big up

  • @Gab217
    @Gab217 3 роки тому +1

    Dah kama movie la akshekumar india
    Tanzania is onfireeee

  • @3venture180
    @3venture180 5 років тому

    Ayo TV imezidi kuchimba vitu mpaka kero,ila kamanda yuko vizuri sana nimekubali kazi yake

  • @johnfrancis1826
    @johnfrancis1826 5 років тому

    Eti we don't wanna lose u
    Ooh ur doing a gud jobu
    Ur an expert ..... Anampa sifa zote na Leo ndo amemwona kwa mara ya kwnza

  • @rowdyrondarouseyfire9476
    @rowdyrondarouseyfire9476 4 роки тому +2

    Also me nimemuona Mtaaram😅😅😅😅

  • @moses-ee4ej
    @moses-ee4ej Рік тому

    Amanda nimefurahi sana kwa msimamo Wako kwani madereva serikale wamekuwa chanzo Kirkuk
    Cha ajali . Tanzania inaitaji watu wengi kama we we.

  • @hagaizakayo9605
    @hagaizakayo9605 5 років тому

    Saf sana kamanda wanaokuponda kingereza wao hata darasa la saba walifeli

  • @user-hu5vc1wz2q
    @user-hu5vc1wz2q 5 місяців тому

    Safi kamanda na hao muwe mnawadaka wapo lafu sana good

  • @karnerashid9504
    @karnerashid9504 5 років тому +1

    Wengine et lugha ya kuunga unga, we kaaa na likingereza lako, wakati upo mtaani tu na kingereza lako nyumbani kwenu unaomba had I sabuni ya kuoga

  • @hanschuma7734
    @hanschuma7734 3 роки тому

    Mzee ur doing great job kind of this people their a lot so do ur job mzee

  • @hosseamelikioli9410
    @hosseamelikioli9410 5 років тому

    Safi kabisa ningekuwa kalibu ningemopa tano kamanda hhhhh wanauwa baba zetu wakati bodo tuna waitajii .

  • @novathsere846
    @novathsere846 2 роки тому +1

    Fukuza huyo,wao ndo kujua hata mijini tunawaonaga mfano mzuri kwenye mataa wanapitaga tu ovyooo sana

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 роки тому

    Safi sana kamanda mzungu lazima akahadithie kwao jeshi letu linavyowajibika kulinda usalama wa watumia barabara wote

  • @leolaswai5784
    @leolaswai5784 5 років тому +4

    trafic yuko vizuri! sio mchezo, one in a thousand!

  • @psitz4378
    @psitz4378 5 років тому

    Kamanda safi sana...sie tunaokua mda mwingi barabarani tunaonaga mambo ya ajabu na kipumbavu kuliko upumbavu...hasa madereva.....Overtaking and speed za hovyo kabisaaaaa

  • @nicholouskihombo1507
    @nicholouskihombo1507 5 років тому

    Sitaki uwe chini miguu yangu, nataka ufuate sheria. Safi sana Kamanda, na huyo mzungu umempa zake hata Kama angekuwa anakikao na rais dereva lazima afuate sheria, otherwise wangewahi kuondoka Kama kikao ni muhimu hivo.

  • @tentofgracechurch3504
    @tentofgracechurch3504 5 років тому

    Good I love this

  • @detectivejeffrey6401
    @detectivejeffrey6401 5 років тому +31

    Chezea kingereza weweee .. Wewe unafikili hayo mawe hapo begani yamejiweka... Safi kamanda chukua particulars zake huyo mtoa roho.

    • @adhnanhassan7512
      @adhnanhassan7512 5 років тому +2

      Huyo kamanda badala aseme let me take his details ati let me take particulars....hahhahaha kamanda ningeomba urudi shule....

    • @jacksonmollel5157
      @jacksonmollel5157 5 років тому

      hahahah😂😂eti mto roho

    • @baleleelias9269
      @baleleelias9269 5 років тому

      J K 😀😀😀😀

    • @modestusnguruwe8623
      @modestusnguruwe8623 5 років тому

      Acheni dharau nyie kingereza kinatafsiri nyingi sana taja sehemu zote unazohis kakaosea ili nikueleweshe vizuri

    • @mapsfa8563
      @mapsfa8563 5 років тому

      Kamanda yuko vzr sana. Wanaojua lugha hawawezi kumponda kamanda. Ila wanaojifanya wanajua kumbe maji matupu ndio wanaokosoa

  • @tzdrama255
    @tzdrama255 5 років тому +7

    Millardayo kwa saabu kamela iko apo duuuuhhhh naona kwa mbali anaichungulia kamera uyoooo

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 5 років тому

    Nmecheka sana aisee

  • @maombitv4118
    @maombitv4118 5 років тому

    Hongera kamanda kwajitiada zakufatilia maisha ya huyo mzungu kwani angekufa watu wengeanzakusema gari lilikuwa mwendo mkali

  • @remedymoody
    @remedymoody 5 років тому

    Kazi nzuri Kamanda!

  • @jerrywilhelm
    @jerrywilhelm 5 років тому

    Asee utaratibu ufatwe...
    Naona mzungu anaelezewaaaa 😁😁😁
    La sivyo mawaziri na maofisa wengine wa serikali wako hatarini.
    Mpaka sasa magari mengi sana ya serikali yashakula mizinga sana.

  • @joelkaruga8696
    @joelkaruga8696 5 років тому

    Kamanda ameongea lugha vizuri sana alafu waswahili waliozoea kibanyamulenge na kihutu mko busy kumkosoa.

  • @sihabahussein8940
    @sihabahussein8940 5 років тому

    Wanaosema kamanda anaungaunga lugha wenyewe hata kujielezea hawajui. Acheni hizo tabia za kuanglia watu na kuwakosoa pasipo kujiangalia ww upo wapi. Big up kamanda

    • @vicentthomas5279
      @vicentthomas5279 3 роки тому

      Haka kalugha si kakigeni kwani mzungu si kaelewa

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 5 років тому +3

    Najiuliza ayoTv walitoka wapi muda huo mpaka walikutana na tuki hilo!? Nisaidieni jibu.

    • @alumberashidi4157
      @alumberashidi4157 5 років тому

      Ayo tv wamefaamika sana mpak wana wa invite kumatokeo kama hayo w hona hata rais akiwa akisema utakuta ni ayo tv tu

    • @muniradady4881
      @muniradady4881 4 роки тому

      Wanatembea nao

  • @cleofasnyoni3836
    @cleofasnyoni3836 3 роки тому

    Siku tukijua maana halisi ya uzalendo sidhan km tutakuwa hivi. Mtanzania unamkatili kujieleza lakini Mtaalamu unamsklizia 😂. Mungu ibrk Tz na watu wake.

  • @gtonngeta9523
    @gtonngeta9523 5 років тому +2

    Umebeba mtaalam🤣🤣🤣🤣, unamwona huyo? Huyo mtaalam huyo

  • @mohamedbinfadhil1396
    @mohamedbinfadhil1396 5 років тому +42

    Kamanda unawajibika ipasavo usijali kuhusu ngeli sio lugha yako so ataelewa tu huyu kama alikuwa na haraka angeondoka jana yake kuja dsm

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 3 роки тому

    Good job Afande Muslimu.

  • @mbishitrump5621
    @mbishitrump5621 5 років тому

    Kama umegundua kamanda hajui kizungu.. Gonga like

  • @mgykaboza5601
    @mgykaboza5601 5 років тому

    Safi sana kamanda umeonesha msimamo wako uko sawa

  • @flacksonnkhoma1895
    @flacksonnkhoma1895 5 років тому

    Good cop thanks

  • @sudyreacts5889
    @sudyreacts5889 5 років тому

    Mzeee anapiga kazi safiiii

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 5 років тому +2

    we nchi yangu weee mweeeh.,haya bhna napita tu!

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 4 роки тому +2

    Hahaahahahha anamkimbiza mtaalamu,, hahahah atamua mtaalamu aisee

  • @abdulisinga1597
    @abdulisinga1597 5 років тому +1

    Gonga like kama umemsikia kamanda kajiitaidi ngeli yake.

  • @tarcktarckysg628
    @tarcktarckysg628 4 роки тому

    Chapa kaz baba

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 5 років тому

    Thank you Commender its real driving crazy same government drivers overtakes line not allowed over drive speed at 50 sign

  • @Officialshadrackjohn
    @Officialshadrackjohn 5 років тому +38

    Gonga like kama umemuona kamanda akiunganisha na kizaramo kny ngeli

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 роки тому

    Kazi nzuri, ila bongo ninavyo ifaham usikute huyo dereva ana cheo kuliko huyo askari, na yupo na kazi maalum ya ku monitor hao ndugu zetu, Mungu ibariki Tanzania

  • @husseinkarim7839
    @husseinkarim7839 5 років тому

    Hongera afande.

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 років тому

    Afande yupo kwenye msimamo kbs hajakosea kitu kazi moja Afande

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 5 років тому

    Kingereza huwa hatuelewani sisi watu weusi lakini kama unaongea na wenye lugha huwa wanaelewa haraka unacho Manisha.waswahili wanadaut sana

  • @fanueledmund6408
    @fanueledmund6408 5 років тому

    Mara nyingi wakuu wa mikoa makamanda wanatembea na waandishi wa habari ktk magari yao

  • @bisekoc.k.jenjela7936
    @bisekoc.k.jenjela7936 5 років тому

    Safi sana. sheria pale pale....Kamanda kakukamata sasa unategemea nini.

  • @samihaahmed9134
    @samihaahmed9134 5 років тому

    Huyu yuko sawa kabisa , i support him

  • @muhidinshafii9253
    @muhidinshafii9253 5 років тому

    thank you so much

  • @mako331
    @mako331 5 років тому

    Safi kamanda, tumepoteza ndugu zetu wengi kwa uzembe tu

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 роки тому

    Msamehe. Mkuu atakoma harudii tenaa

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 6 місяців тому

    Big up commander!

  • @dicksonluena3266
    @dicksonluena3266 2 роки тому

    Wafatilie Misafaranayo,,,Hatari

  • @njau.8055
    @njau.8055 5 років тому +1

    Ivi huku ni hamna sehemu ya vibango kwenda speed 70, 80, 100 ni vibango 30, 40, 50, 60....

  • @mussachuo3910
    @mussachuo3910 5 років тому

    Safi kamanda

  • @robertnoel5232
    @robertnoel5232 4 роки тому

    Kazi nzuri kamanda

  • @methodgallus4056
    @methodgallus4056 5 років тому

    Upo vizuri kamandaa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 роки тому

    Hata hao wazungu wenyewe wanajua huku kwao dereva hawezi kuendesha kama mwehu. alipishwe faini ya kutosha huyo. ili wajifunze.

  • @saidalguhum1996
    @saidalguhum1996 5 років тому

    Mkubwa kamanda wa usalama barabrani natumai huna neno kwa hakika kazi yako ni nzuri kaza kamba hivyo hivyo Mungu akubariki. Mimi ni Mkenya nilifika juzi kutoka Tanzania na nilikasirishwa sana na Hawa watu wako wa usalama barabarani niltoka Dsm kuelekea Tanga njiani kabla kufika Tanga nilinunua Mkaa gunia mbili ndogo yamatumizi nyumbani nikaenda vizuri mpaka Tanga tarehe 17/12/19 asubuhi naondoka Tanga nilipofika njiani kabla ya DUGA MAFORONI kilometer 3 au 4 saa tano kasorobo mpaka tano na nusu nikasimamishwa na trafiki watatu mtu mzima Alikuwa afande Ana tepe mbili nawapili mnene mweusi Hana tepe yoyote na watatu mwembamba kijana Hana tepe yeye ndie aliyekuja garini akasema mkaa hauruhusuwi njoo kwa mkubwa Mimi nikasema Kama hairuhusiwi nitauteremsha hapa hapa niende wakasema hatuwezi kuipokea na Sheria tukupeleke kituoni na utalipa milioni na gari lako walizuwie namimi Niko na familia hata hawajali wakataka niwahonge alfu 60,000/= Tshs nikasema Sina mwisho wakachukuwa rushwa ya Tshs 40,000/= bila risiti ndio wakanipa leseni yangu nikaondoka. Na mkaa nikampa mwenyeji mbele ya safari hapo DUGA MAFORONI . Jee nihaki hao matrafiki wenu wenye magwanda meupe kunyanyasa wageni hahuku munasema rushwa haifai.na isitoshe walipiga simu kwa kituo Cha mbele hapo DUGA kijijini na Askari aliyekuja kavaa uniform ya kijani kaniuluza mkaa umeupeleka wapi nikamwambia nimempa mtu sadaka kwani yule afande alitaka niweke Mkaa petrol station ya Duga ili aende baadae kuuchukua. Basi hayo ni yote Kamanda wa Usalama barabarani nataka uyachukulie hatua wawache kusumbuwa wageni na Kula rushwa Asante Sana.

  • @kwilasangwala201
    @kwilasangwala201 5 років тому +1

    Safi Sana

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 5 років тому

    Kamanda yuko vizuri sana huyu. Na ni mchapa kazi sio utani.

  • @husseinyusuph9392
    @husseinyusuph9392 Рік тому

    Good afande

  • @mbishiwakitaa2590
    @mbishiwakitaa2590 5 років тому

    Nyoooosha hao mpk waelewe sheria inasemajee

  • @musakhamis6906
    @musakhamis6906 4 роки тому

    Boss mwenyewe anaomba samahani we Askali acha kuwaminya watanzania wenzioo boss mwenyewe anajua kama jamaa yuko speed

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 роки тому

    Kumbe ulikua una ripotiwa tu hujui. Hata abiria wangefanya hivi na muwasikilize ajali zingepungua. Ila ni Kama mnawajali wataaalam tu

  • @Theironrod9373
    @Theironrod9373 2 місяці тому

    Unatafuta nini kwenye miguu yanguu😂😂😂😂😂

  • @gladyskendi4282
    @gladyskendi4282 4 роки тому

    Huyo askari amenifuraisha sana kwa kujali maisha ya watu

  • @mswanawamswana3129
    @mswanawamswana3129 5 років тому

    Umenikosha sana kamanda

  • @rashidkassim7836
    @rashidkassim7836 5 років тому

    😀😀😀 iam laughing silently. . huyo kamanda Mzee mkavu

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 5 років тому

    Dah aisee nacheka sana

  • @khadijahassan3761
    @khadijahassan3761 3 роки тому

    Wew usiseme basi kwa sababu ya huyo mzungu inamana mtanzania hana umuhimu