"NENDA KAMKAMATE SASA HIVI, UMUWEKE NDANI HARAKA" - JPM
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- "NENDA KAMKAMATE SASA HIVI, UMUWEKE NDANI HARAKA" - JPM
Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 06, anaendelea na ziara yake Nchini, ambapo leo Oktoba 06, ameanza rasmi ziara mkoani Rukwa na kutoa maagizo ya watu kutiwa ndani kwa kufuja fedha za mradi wa maji!.
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEWS:www.youtube.co....
Category
News & Politics
Kuanzia Leo natangaza Mungu anisamehe sana nilikuwa na ukakasi na rais wangu ila sasa namkubali aendelee hata miaka 50
Kihiyo Edith pamoja sana
Pole kumbe ulichelewa kumjua
Na mimi pia kupitia propaganda za wapinzani nilianza kudhani Rais wetu ni dictator.Maghufuli oyee
Mimi nilikuwa hivyo hivyo lakini sasa natamani atawale miakayote
Kihiyo Edith vizuri sana
Yani mm ni mkenya ila ndani ya moyo wangu natamani niwe mtanZania nilipe ushuru kwa ridhaa ...kwa ajili ya kazi ya MAGUFULI...anae mpenda magufuli like hapa
Da rais pole sana
Karibu
Mimi natamani ningekuwa Mkenya 😎
Utanzania ungekua uraia wangu na sio Kenya.
Wakenya wananchi wamejitenga kwa ukabila ndio maana atutawai pata kiongoz vizaz na vizaz
Kama unamuelewa huyu mzee wetu gonga like hapa tafadhali ✍️
Ako sawa
naomba uraa watanzania jamani nihame kenya...kenya inanuuuka kwa ufisadi...we love u baba
Rais nakupenda kweli kweli bila kuficha rais uko vzr huu ndo ukweli mungu akuzidishie maisha
This is the kind of President we need in Kenya, Magufuli woyee!!
yow how is your country kenya?
Sikh hizi nimezeeka ingekuwa zamani hiiiiiiiiii...,..
Weka like kama unamkubali jpm
Kweri
Sina swali na mh rais.
Asante Sana mh Rais wetu fanya kazi Tunazidi kukuombea kwa Mungu akupe maisha marefu Asante Sana baba
Anointed present sure
May God protect u indeed
More grace
Amen Amen
آمين
انت سعودي؟؟؟
I love my second president since independence,the first one was J.K.nyerere
True u are like me
I think Tanzania had more than two presidents since independence
dominico makungwa What a coincidence, that’s how I feel about Magufuli. - The 2 are what a president should be like.
Not true at all he is just trying to show public I'm good but is not like that
Mzee uko sawa mno.Mungu akulinde.jinsi unavyotushep ndivyo tutakavyo kuwa.kaza baba.
Nema ya kristo ikufunike baba magufuli yani jembe toka chato
Mungu aendelee kukuweka mahali pema peponi. Kama ulikuwa ni mfano wa uongozi na kiongozi bora basi Ma Samia ni sifuri kabisa.
Mr.continue rip 😢from Kenya we loved you so much mchapa kazi wa africa
mzee magufuli mimi ni mkenya napenda style ya uongosi wako,.you are really
a true president, i wish you well mr president,i admire your wisdom and the way
you put God first.wakenya wanakupenda mno baba,tunakuombea mungu aendelee
kukupa afya njema na hekima.
I like you meheshimiwa pombe magufuli.god bless you excellence
kama watanzania tungekuwa na shukrani basi tungetoa sadaka za shukrani kwa Mungu kwa kutupatia mtoto wa kiume Uncle Magufuri
@Dolo. maneno hayo uliyasema mwaka jana mwanzoni lakini impact yake ingekuwa kubwa sana,pengine tungekuwa nae hadi sasa Daddy wetu, kama tungefanya hivyo!!!RIP Daddy.
Safi sana baba yetu.Tunakupenda mungu akuzidishie afya njema.utuongoze miaka 40 mingine..Una busara,akili nyingi sana
👏👏👏👏👏👍 rais mpedwa mwenye huruma na maadili mema asiokua na ubaguzi .bwana rais magufuli ...I love you. Mungu akubariki🙏🙏🙏
Sema mheshimiwa waambie hao.vitambi vilikuwa vinaongezeka kwa hao mafisadi.mheshimiwa mungu akupe maisha marefu.wengi tunakuombea mema.
Kama umesikia mafisadi wanyongwe gonga like
Prince Chris' nyinyi wa Tanzaniya, mungu amewapa Raisi ka ma Nyerere!! mushukuru mungu sana !!
Huyu baba nampenda akisema wallah. Hongera sna kwa kazi nzuri
Hapa kazi tu!!
Mimi ni mkenya but ningekubaliwa kumpigia kura ningempa mpaka ya watoto wangu 🙏
Telly Nyaga vlog ,karibu sana, ipo siku mtapata uongozi wa kuwafariji
Telly Nyaga vlog endelea kupiga kazi baba magufuri ndiyo raisi tuliopewa na mungu .
Mm mtz karibu dada angu pia shemeji angu nimeowa mkenya
@@edwardmbonika5102 wow that's good shemeji
@@prospermakela7791 yes I trust God he will give us
Yani mungu akulinde nakupenda mheshimiwa
Hakuna raisi kama huyu Africa nzima aseee😱
Exactly
Kwenaww
Munira Ahmed kwema muzima
Very true... I 100% agree with you. I am from Mozambique but President is number one. Even if he goes to lead in Iraq he will put down all Talibans.
Magufuliiiii my presdent is fireeee
Selemani Kassim m
He is doing this Everything to show public I'm good but is not like that at all
Baraka za mungu ziwe na wewe mahala popote uendapo na uyafanyayo yawe mema mbele za mungu ubalikiwe Sana rais wetu
Jaman MUNGU amtunze utu rais milele kwel MUNGU ametuletea uyu RAIS MUNGU ASANTE SANA 🙏🙏
Jimongo
Najisifia,najiamini pia nafurahia sana kuwa na kiongozi wangu mh raisi magufuli, nampenda pia namkubali sana ,mungu amlinde sana raisi wangu ,naipenda Tanzania nchi yangu
Wanatia uchungu sana hawa viongozi wazembe watakutia preshaa Mzee tumbua tuu
piga kaz Mzee Mungu awe pamoja nawe
Mungu azidi kukupa afya njema na nguvu uzidi kutetea wanyonge👏
MWENYEZI MUNGU AMJAALIE UMRI MREFU RAIS WETU MAGUFULI INSHA ALLAH
Wafisadi hamna haja kuwapeleka mahakamani kuwanyanganya mali yao yote wanzie ziro .
Duuuuh huyu kweli king
OHURU KENYATTA LEARN FROM THIS
Mwabie
Uhuru Kenyatta is better than thiz dictator
@@alloyce3boniphace787 President Mangufuli don't love corrupt leaders so are you you one of them
Uhuru ajawai kutembea na kukagua miradi ya serikali kazi kubwa yake ni kuenda ulaya kukopa fedha ili mafisadi waendele kupora alafu tubabaki na kubwa ya kulipa bure kabisa
Uhuru is the most calm President l have herd. to me l love the man than worst President we have in our country with full of dictator just wanted to be worship like a god and if u disagree u got kiled by non men.
kamua baba kamua jembe kamua inchi iende nakupenda sana kiongozi wangu
Mungu akulinde kwa upendo wake
Safi sana rais wetu mwenyez mungu akupe maisha marefu!!
i wish kenya we had such a President....
Well said Rais wetu , tutakuelewa tu. Nasema tutakuelewa tu. Mungu azidi kukusimamia Rais wetu na afya tele naona nyumbani kunanoga sasa safi.
Asante kiongoz wawanyonge pumnzika kwaaman
Nakupenda Rais wetu Mungu akupe maisha marefu uwe rais Wa nchi yetu miaka 50
Hongera mkuu kwa uwazi na ukweli
Thanks my president that was my home land
Dah😭😭😭😭😭😭najiskia kuliaaa kwa nguvu Kila nikikukumbuka baba nikiangalia na maisha tunayoishi kwasasa maharge kilo elf4 nazid kuumia hakuna wakusikiliza shida zetu pumzika kwa amani kipenzii Cha watanzania masikini umeenda umetuacha na wakati mgumu ila ipo siku Mungu atatusikia ulitusihi tumtegemee Mungu Kila wakati 😭😭😭😭😭
Mungu akubariki Rais wa tz.
Keep on moving Mr President..
Kudadadeki huyu ndo kiongoz mtaisoma mwaka huu
Absolutely, corruption is a cencer should be eliminated from the society to allow the development 👍
Nakukubali sana Magufuli,,
CCM Oyeeeee
👍👍👍👍👍
Umeyumba
Ccm uozo mtupu
Ila maghufuli yupo sawa
dah am so proud to have u my President JPM
Hongera hongera muheshimiwa magufuli mungu akueke akupe nguvu na uwezo wakuchapa kazi
Asante baba
Mh; magufuri nakutakia maisha marefu na Mungu akuzidishe hekima.
Kenya president and rest of African leaders should learn from this
Ndugu, ubarikiwe kwa kusema kweli.
Na Zanzibar rais shein angalikuwa kama magufuli ingalikuwa raha sana tuna ziki vijijin ya maji
Huyo sheni mwenyewe tamaa mwiz tapeli mkwubwa yule sheni mwanga. Hajakinai wala imani hana ndio wale wanaotaka uongozi kwa ajili ya maisha ya mkato ale kwa wakat upate pesa na kunyanyasa raia na sio la kutaka uongozi kwa ajili ya kuondowa umaskin
Koma zanzabar akuna shda ya maji acheni ujinga wengu wazanzibar ushawai kutembea atua ngapi kuyatafuta maji
بيم الزدجالي kwa Zanzibar usahau, maana viongozi wengi wao ni walafi
Seif Said Tembelea Michamvi ndipo utajua km IPO au haipo
Zanzibar niyengine inchi ama ni tanzanie tu. Samahani nauliza tu
Kwa kweli Watanzania wamepoza kiongozi wa watu....poleni sana.....
President Kenyatta should go for "Corruption fighting lessons" to JPM.
Crispin Nguru• Uhuru cannot do that.. bcoz he is protecting his government..all government is Corrupt
I really miss you Mr President. ❤️❤️Continue Resting in Peace Sir
Na Dar Rais
Bunju A njoo uone mwenyewe
Nishamtumia msg Mkuu wa Mkoa,
wanakata maji makusudi!
Nimemueleza Injinia Dawasa Basiyaa, hanipi ushirikiano!!
Nakukubali sana Rais wangu piga kazi baba
Baba magufuri mungu akupe maisha malefuuu!
I miss you sir. Ungekuwepo bandari zetu zisingefikia bei. Amka uongee na watu wako hata kwenye ndoto. RIP Rais wetu wa mioyo yetu Fighter.
Maguful mingu akuklz pepn❤❤
mashallah kazi nzuri
Nakuelewa sana mheshimiwa Raisi. Naipenda kasi unayokwenda nayo! Tulicheleweshwa sana kufikia maendeleo haya. Big up President Magufuli.
Mungu ibariki Tanzania mungu mbariki RAIS wetu wa Tanzania Magufuli
Wemzeee mungu Akulinde Sana Tena Zaid Yasana Kiukweli Nawatukamahao Wanakwamisha juudizako Mh Watimue
Usizeeke mapema mkuu..wananchi wako watakufa....usikate tamaa...ww ndio mkombozi wa taifa hili kamanda wetu...kazi ni kubwa sana bado mbeleni....usituvunje nguvu kwa kuzeeka.....africa kwa ufupi imeoza kama mzoga...inahitaji ujasiri wako....
Huyu ndo rais wa TANZANIA . TZ OYEEEEE
Ndio tz nia yetu
Hoiiiiii !!
Oyeeee
Very true
Khajum Khamis oh
Mungu tunaomba umuwekee uliz wakutosha Rais wetu magufuli
John Pombe unatisha.
Hongera sana.
Ila naona bado hujapata dawa ya hayo majinga
2023 ..Miss you Sir. Nyakati kama hizi ambapo taifa letu linakosa kiongozi mwenye dira ni wakati tunakumiss sana JPM.
Tunamiss matokeo kama haya ya kiongozi kujichanganya na wananchi na kuchukua maamuzi bila unafki. Continue resting in peace
Mimi sko muTanzania ila huyu President naona ni number moja Rais mwenye kujali wana inchi wake 👍👍👍👍
Hongera bb. Wa taifa
Mungu akulinde baba.
Mzee kes Nakupenda sana Wallah Umesema ukweli.Hao wanyongwe tuuu
Subira Mohd kituo cha afya kabeba mgongoni kakimbia nacho
hivi kupiga dili huku watoto Wa wenzsko wanakufa!
Hongera rais awamu ya tano hapa kazi tu
He is best African leader that cares about human being at this moment
Ukweli hakuna raisi mwenye hekima na kupenda kweli kama makufuli
Hakika hapa ni kaz tu Mungu akupe afya njema Naiyona Tanzania mpya
"Fuatilia wote hata Kama ni kunguni kwenye kitanda, aende akatoboke huko, ni hatareee
HhahahHH.
Noma
Safi sana rais wetu , watanzania 99% tunakupenda
Jamn hao wanae taka Tanzania irud Yuma nani..mbona mnapa kaz rais we2.?
Nimekuelewa Baba piga kazi naomba pia wakumbushe watendaji wako wajitahidi kuifikia jamii na kuisikiliza siyo kila kitu ufanye mwenyewe wapo viongozi wanafanya kazi vizuri na tunatambua michango yao ktk jamii lakini wengi wao wanafanya maigizo tuu kwenye media wakumbuke kuwa wanakuangusha na kufifisha jitihada na kazi kubwa unayoifanya Mh.Rais wakumbushe tena na tena kuwa watanzania wanaona na wanaelewa.
Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Raisi wetu Dr.John Joseph Pombe Magufuli
Baba ujazeeka bwana wewe ni jembe walipe watafutwe wengine wanaofanya kazi kweli maji ni shida kwa tz we love you rais wetu
Rip Daddy 💖💖💖💖💖 tume ku miss mzeee
hakuna ale salama mbele ya PREZ...BIG UP
Umejificha utafichuliwa tu JPM 👏👏👏😍😍😍
Sikuizi nimezeeka tuuu ingekuwa zamani hiiiiiii😂😂😂😂
Yaan had nmecheka aisee😂😂😂😂
May zumo
John mwiburi tena usiwaache mkuu
I wish ningekua mtu wa Tz njuu ya raisi mungu saidia Kenya yetu isome na waanze kazi kwa kuogopa mungu
Waongo hao mzee hao walizoea na watu wanaokufa wanaona kama mbuz tu ndio kafa na wauaj baadhi yao wanaachiwa...dhulma sana RUKWA.... HAKIKA ARUBAINI ZAO ZIMEFIKA.hakika lenye mwanzo hapakosi mwisho...na mwisho wao umefika.acheni mungu aitwe mungu..wao ni nani.
Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba sio msahafu ibadilishwe!!!!!!
nakuelewa sana Mzee nataman utawale mpk kufa kwako
I love you JPMagufuli
Rais Lazima utakaa katika watakatif kwa moyo uu,ur fantastic for sure ww ni mtu sanaaaaaa
I wish kenya had such a president
Dah'nmemuona Mzee nyangee
Baba hujazeeka bhado tusaidie nchi izid kunyoooka . Mungu akusaidie
jembe
Baba anaongea kwa Uchungu San Mpaka liniiiiiii Daah Mungu akuwekee sijui km ukimaliza mud wako Baba sijui km tutap Raisi km wew Baba etu
Watanzania tumwombe
Mungu azidi kutulinda na kuilinda amani tuliyonayo