"RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI? - JPM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,5 тис.

  • @peoplepeople416
    @peoplepeople416 3 роки тому +118

    Nalia machozi sana nikiwa hapa Nairobi, Kenya 🇰🇪. RIP bingwa....🙏

  • @سهيلالزهراني-ض5ي
    @سهيلالزهراني-ض5ي 4 роки тому +49

    Piga like hapa ya rais dkt magufuli twende sawa

  • @jacoblusana1082
    @jacoblusana1082 3 роки тому +129

    Napitia izi video naskia kulia ,tutakumiss Sana hapa Kenya tulikupenda🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @szyjr3148
    @szyjr3148 3 роки тому +561

    Kama na wewe bado unafatilia hizi video za hayati raisi wetu gonga like hapa 😥😪😥😪 hakika tutakukumbuka sana jemedari wetu dah😭😭 safiri salama baba sisi tupo njiani pia.

  • @pascalpembamoto8611
    @pascalpembamoto8611 3 роки тому +42

    NEVER HAPPEN AGAIN, WE HAVE LOST A MAN, GOD BLESS JPM.

  • @justinegichana6693
    @justinegichana6693 5 років тому +27

    am watching from nairobi kenya,,rais magufuli is the best i can assure you ,,,anafahamu haki za wananchi wenzake

  • @ibrahimmhesi949
    @ibrahimmhesi949 5 років тому +418

    Hatutafanya uchaguzi kwa nafasi ya Rais huyu tuliye nae anatosha,kama akili yako inafanana na mimi LIKE

    • @josephsoka1565
      @josephsoka1565 5 років тому +6

      Ibrahim Mhesi yani hiyo hela ya uchaguzi wangetumia kujengea double roads chalinze mpaka tanga

    • @allykassim9826
      @allykassim9826 5 років тому +2

      Tatizo katiba ibra... 👍👍👍

    • @ibrahimmhesi949
      @ibrahimmhesi949 5 років тому +8

      Ally,mbona Rwanda waliweza.Katiba ni makubaliano tu

    • @allykassim9826
      @allykassim9826 5 років тому +2

      @@ibrahimmhesi949 . yaa. Inawezekana ila ni process kidogo.

    • @odirajerad2808
      @odirajerad2808 5 років тому +12

      Hata Mimi haina haja ya kuchagua rais huyu anatosha kabisa

  • @elizampeter5958
    @elizampeter5958 5 років тому +23

    Ninayofuraha sana ya kuja kumpa kura JPM, 2020 I'm in the way ! From Qatar!💪💪💪

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 5 років тому +458

    Hakuna raisi kama magufuli hapa Tanzania. Anae amini hili agonge like hapa

  • @hajingangila1558
    @hajingangila1558 3 роки тому +7

    Haupo tena Baba yetu mwenye huruma mweke pema peponi Amina 🙏

  • @ibrahim1939
    @ibrahim1939 5 років тому +61

    This is very impressive. Our type of govt. Simple effective.

    • @joearm5551
      @joearm5551 4 роки тому +1

      Yes Tanzania are very lucky

  • @obedikyajimba1057
    @obedikyajimba1057 3 роки тому +26

    Nikisoma comment za nyuma moyo waniuma adi machoz yanilengalenga. Nilikupenda,,, Nakupenda na Nitazidi kukuenz.
    RIP MFALME WA AFRICA.

  • @lusianasanga3010
    @lusianasanga3010 3 роки тому +30

    tutakukumbuka sana wewe nimteule wa mungu😭❤

  • @eliasgachuna8431
    @eliasgachuna8431 3 роки тому +39

    This man was the real deal ,a true blessing to the people of Tanzania.a rare jem .

  • @abubakaromarkhan1398
    @abubakaromarkhan1398 3 роки тому +50

    Indeed Tanzanians lost the Big fish RIP kiongozi wa Africa we loved you but God loved you more

  • @aby21111
    @aby21111 5 років тому +8

    The best I've ever seen. I am a tourist who came there twice have something to say.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 5 років тому +114

    Safi sana Rais wetu kwa kuzidi kutenda haki, mwenyezi mungu azidi kukujalia afya njema.

  • @josephkoskei465
    @josephkoskei465 4 роки тому +14

    From Rwanda u guys u really have a good gorvement keep up

  • @nahiyahamdan5281
    @nahiyahamdan5281 3 роки тому +53

    Tumemupoteza mtu muhimu saaana Tanzania,mukombozi wawanyoge,baba wa Africa nzima,tunalia saaana😭😭😭😭😭😭 R.I.P

  • @rodgersodhiambo1892
    @rodgersodhiambo1892 3 роки тому +41

    Currently addicted to watching Magufuli's clips.
    RIP Magufuli

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 років тому +112

    huyu mama ana bahati,asingepata haki yake mpaka afe ,,wanalindana,zimewatokea puani,big up Preez...alowaona wote wangefukuzwa..

  • @kittygirlarmy2651
    @kittygirlarmy2651 3 роки тому +29

    Tanzania will never be the same again he was good human being rest in peace

  • @thulanicele7843
    @thulanicele7843 5 років тому +101

    U love u mr president.
    Let him lead for the next 30 years. Tanzania oyeeeess.hit like if y love the Tanzanian president and his leadership philosophy.

    • @taniahsasha7826
      @taniahsasha7826 5 років тому +4

      kenya tutahamia tz

    • @cassiusniyimpagaritse5347
      @cassiusniyimpagaritse5347 5 років тому +5

      Me i from Burundi namupenda sana magufuri best président of african

    • @marymabubakary1561
      @marymabubakary1561 5 років тому

      kura ya ndio kwa magufuli Mzee wa papo kwa papo nga! kwa nga! muheshimiwa rais police mifugo kuna shida

    • @mansurahmed2176
      @mansurahmed2176 5 років тому +2

      He deserves presidential till his last breath

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 4 роки тому +13

    The heart of serving the poor...God bless you

  • @galeebkhan0138
    @galeebkhan0138 5 років тому +79

    This is how we call it good leadership

  • @icetruth
    @icetruth 5 років тому +33

    I love President Magufuli. It is a shame for us Kenyans doing nothing for Kenyans other than corruption and fighting for leadership.

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 5 років тому +175

    Kura yangu haikupotea ilienda sehem sahihi Mungu akubarki sana Rais wangu 😂😂ukila unaliwa

  • @mullamtupa9116
    @mullamtupa9116 5 років тому +255

    Kama umeskia mama mwenyewe mzuri mzuri naomba like zangu apo

  • @Bigboy-nx3nc
    @Bigboy-nx3nc 5 років тому +74

    Only if such kind of leadership existed in Kenya 🇰🇪

    • @mussaamisse7613
      @mussaamisse7613 5 років тому +1

      True kenyatta is just sited and enjoying

    • @lucasmkui3160
      @lucasmkui3160 5 років тому

      Mh Raisi uposafi napendekeza uwe Raisi wamaisha, hongerasana tenasana udumu Mh nakufananisha na Yesu, wenimkombozi wawanyonge, fukuzakazi wotewenyematatizo halafu nakuomba Mh uchunguze account zote za askari polisi wapo wengiwanamiliki mamilionimengisana nawamefanya visingizio vyakuanzisha makundiya Security guard. Chunguza Mh hadi Zanzibar maduduyapo .

    • @christophervundeli4946
      @christophervundeli4946 5 років тому

      @@mussaamisse7613 kamata na viongozi wa sacos ya walim urambo, wameiba mamilion, zaidi ya milion 350, uishi milele rais wetu,HAPA KAZI TU!

    • @bendettakatumbi5252
      @bendettakatumbi5252 4 роки тому

      Sisi uongozi wetu ni wa ufisadi paaaaaaa bona wasiangalie mfano wa TZ president

    • @Bigboy-nx3nc
      @Bigboy-nx3nc 4 роки тому +1

      Bendetta Katumbi leadership full of corrupt individuals

  • @wycliffeworkdone926
    @wycliffeworkdone926 4 роки тому +10

    That's what we call President with authority, big up Mr. President. You are one of a kind.

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 5 років тому +95

    Magufuli nakuvulia kofia you're the Best

  • @lukemelyemwenga2910
    @lukemelyemwenga2910 5 років тому +170

    gonga like hapa kama unamuelewa mheshimwa wetu@jpm ,,, tujuane kabisaaaaa

  • @abdullahpongwa1537
    @abdullahpongwa1537 5 років тому +7

    Aisee Mungu akulinde na akusimamie katika uongozi.
    Amiini

  • @mozasaid8072
    @mozasaid8072 5 років тому +13

    😍ilove u my prsdent

  • @christophercheruiyot5755
    @christophercheruiyot5755 5 років тому +23

    Thanks mr president for starting with your people 🙏🙏🙏🙏

    • @lucianna4326
      @lucianna4326 3 роки тому

      Mungu akulaze Mahal pema

    • @victoriabayo7704
      @victoriabayo7704 2 роки тому

      Daima tutakukumbuka mtetezi wa wanyonge Mungu akuweke mahali pema peponi Amina

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 років тому +5

    Mungu akulinde Mh Rais kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge .Asante sana kwa kumsaidia huyu mama pasipo wewe haki yake ilikuwa imepotea .

  • @tumtumkhan3115
    @tumtumkhan3115 5 років тому +40

    Natamani ningekuwa ni mtanzania nikapata Rais mwenye imani kama magufuli

    • @sideboy1299
      @sideboy1299 5 років тому +1

      We ni kutoka wapi

    • @olelendoya3952
      @olelendoya3952 5 років тому +1

      Magufuli ufke katka wilaya zingine hasa monduli na kata zake tuna kero nyingi

  • @nadiahussein5892
    @nadiahussein5892 5 років тому +33

    Allah akulinde anko magu kweli wewe ni mtetezi Wa wanyonge

  • @nicksonmgale4699
    @nicksonmgale4699 5 років тому +244

    Hatari sana Rais Magufuli hakika wewe ndiye Rais Bora

  • @nicknakola5024
    @nicknakola5024 4 роки тому +5

    Am from Kenya.....I like you magufuli go on to fight corruption

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 5 років тому +37

    This why I pray for my President 💪😍

  • @emmanueldavidy2783
    @emmanueldavidy2783 5 років тому +6

    Timu magufuri tujuane kabisa hapa💪💪💪

  • @Hasha-zt2oy
    @Hasha-zt2oy 5 років тому +75

    Mungu mueke huyu mtu 🙏🙏

  • @saumusaliimu3086
    @saumusaliimu3086 3 роки тому +28

    Mtetezi wetu atatokea tena kama ww kweli wakuangalia haki za wanyonge😭😭😭😭😭😭

  • @leshasky8893
    @leshasky8893 3 роки тому +4

    Dah this man had authority ....he solved the problems on the sport no divergence ...... R.I.P Magifuli

  • @saidatkhamis4633
    @saidatkhamis4633 5 років тому +8

    Mtetezi wa wanyonge this is a true leader honourable mr.magufuli may u live longer

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 5 років тому +127

    Eee mungu sina cha kukulipa kwaajili ya magufuli naomba tu umpe ulinzi wa juu ya mbingu na chini ya ardhi

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 5 років тому +5

    Safiii jpm oyeee!! Mungu baba ndani yako anafanya kazi, tumbua tu wamezidi kutuonea.

  • @evelynemachange5305
    @evelynemachange5305 5 років тому +123

    Hakika hii ni kwa viwango vingine tumepata Rais jamani CCM HOYEE🙏🙏🙏🙏

    • @mariamustapha1677
      @mariamustapha1677 5 років тому +2

      Oyeeeeee

    • @soloartist_ivanvespalusind1609
      @soloartist_ivanvespalusind1609 5 років тому +4

      Magufuli oyeeeee! Haya mambo chama fulani oyee haya mi siyaelewagi vizuri hasa wakati kama huu wa kuhudumia na kuleta maendeleo ya wananchi na nchi kwa ujumla. Huyu raisi ni wa wote, hapa kazi tu hakuna cha nini wala nini.Magufuli oyeeeeeeeeee! Tanzania oyeeeeeeeeeeee!

    • @ernestlaiza9489
      @ernestlaiza9489 5 років тому

      @@soloartist_ivanvespalusind1609 ndi me Niko chadema Ila huyu no rais yetu sisi wrote Tanzania hakuna cha ccn wa nani

    • @ernestlaiza9489
      @ernestlaiza9489 5 років тому

      huyu ni rais yetu yetu sisi wote wala sio wa wana ccm tu Ila me chadema chama changu nakipenda ila magu ni wetu sisi wote

    • @soloartist_ivanvespalusind1609
      @soloartist_ivanvespalusind1609 5 років тому

      @@ernestlaiza9489 umeona, mi ndo kabisa sina chama ila namshukuru Mungu kwa Magu japo sina ajira lakini utendaji wake unanishangaza,kwanza kabisa maadili na pili kufanya vilivyowashida wengi tatu maendeleo yanayyoonekana na yenye viwango vizuri. naamini kwa utendaji wake nitapata tu fursa hata kwa kuendelea kujiajiri.

  • @chatoonline9352
    @chatoonline9352 5 років тому +15

    Kama unampenda raisi wetu gonga hapa

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 років тому +35

    Nimecheka😂 asante mungu kwa kutenda haki

  • @VincentMule
    @VincentMule 3 роки тому +2

    Lala salama magufuli I wish ungekuwa rais wa kenya,.

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 роки тому +22

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!

  • @cecilialekorere9444
    @cecilialekorere9444 4 роки тому +5

    I've shed my tears akhi

  • @zinaibrahim7004
    @zinaibrahim7004 5 років тому +44

    hongere sana rais wetu mwenyezi mungu akupe umur marefu inshallah

  • @rayzersaid2611
    @rayzersaid2611 5 років тому +23

    😁😁😃😃Kama umeamini Gaddafi wa Libya kaamia Tz like

  • @aminaamina3035
    @aminaamina3035 5 років тому +21

    watanzania aki mshkur Mungu sana aliwachagulia kiongoz mzur....MashaAllah

    • @sansiro6174
      @sansiro6174 5 років тому

      eeh mungu tunakushukuru kwa kutupatia kiumbe huyu huyu ni kiumbe wa ajabu Sana hakika mungu utabaki Kuwa mungu jpm oyeee

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 3 роки тому +2

    Hakuna wakututetetea now tummeisha eti unamplekea mwajuma ndala ndefu kesi ambayo wameishindwa maafisa wake nayey anakuambia ataifikisha kwa maafisa wake yaani madudud tupu kwa mwajuma ndala ndefu Mani mjinga hayasahau mazuri na utu wa magufuri mungu akuwek sehemu salama

  • @joyjo2115
    @joyjo2115 3 роки тому +5

    Mungu hatutaacha kukulilia,mioyo yetu imeumia Watanzania,Mungu wewe wajua😭😭

  • @peterhano8706
    @peterhano8706 5 років тому +1

    Hongera mtukufu Rais wetu Ubarikiwe kwa kazi yk nzuri

  • @mwaminimashaallahalhabibsh7992
    @mwaminimashaallahalhabibsh7992 5 років тому +7

    Mungu azid kukulinda Rais wetu

  • @lukemelyemwenga2910
    @lukemelyemwenga2910 5 років тому +1

    Tunakushukur mh Rais hiyo hak kabisaa ya mama adhulumiwe hiv hiv daaah,, Mungu akubariki mheshimiwa

  • @feisal38
    @feisal38 5 років тому +4

    Great leadership congratulation jpm

  • @janethjacob6676
    @janethjacob6676 3 роки тому +1

    Kiukwel nilikupenda sana ila Mungu amekupenda zaidi rais wangu

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 5 років тому +66

    Mama mzuri mzuri tu munamsumbua hapa😂😂😂😂😂😂😂

    • @frolamrema3683
      @frolamrema3683 5 років тому +1

      Huhuhuuuu

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 5 років тому +2

      Hahaaaa nafwaaa mh. Harembi unahamisha ugonjwa kutoka Kansa na kuwa ukimwi

    • @eugenyraphael4334
      @eugenyraphael4334 5 років тому +1

      Andika no ya cm yake

    • @romanambelle6356
      @romanambelle6356 5 років тому +3

      @@eugenyraphael4334 hahaaaa ss wabongo aliandika namba ili amfuatilie ka amelipwa. Au wewe umeonaje hahaaaa

    • @mnyakitz2007
      @mnyakitz2007 5 років тому +1

      Na mume wako yupo wapi?
      Polee Sanaa😄😄😄😄😄

  • @edwinotiatomarwa.6361
    @edwinotiatomarwa.6361 5 років тому +2

    I wish tungekuwa na Rais kama Magufuli hapa Kenya.

  • @mryansoo4217
    @mryansoo4217 5 років тому +6

    Love u dady magu😘😘😘

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 4 роки тому +1

    Hongera JPM inahitajika jitihada ya dhati kuwatetea wanyonge!!

  • @hoawsall4202
    @hoawsall4202 5 років тому +9

    God bless you Rais wetu miaka mia

  • @stellamhambe9103
    @stellamhambe9103 3 роки тому +1

    Aiseee tupate wapi kiongozi kama huyu???? 😭😭😭😭 Pumzika kwa amani tutaonana badae

  • @anawa4326
    @anawa4326 5 років тому +124

    Police 👮‍♂️ walipe ndio watashika adabu na kula Rushwa

    • @chummakame7023
      @chummakame7023 5 років тому +2

      Na Zanzibar tungepata kiongozi kama huyu tungejenga visiwa vyetu

  • @marckozakayo5987
    @marckozakayo5987 5 років тому +6

    My heart ♥ ♥ so wow!

  • @jacquesntabagara3682
    @jacquesntabagara3682 5 років тому +5

    God bless Magufuli love from Burundi.

  • @fortunatajuma5822
    @fortunatajuma5822 5 років тому +2

    Mungu akulinde Rais wetu.

  • @munguaibarikitanzanianawat9254
    @munguaibarikitanzanianawat9254 5 років тому +33

    Rais unanifuraisha sana yako mukuu wa dunia zima fangilia rais wa nyonge❤

  • @saida5091
    @saida5091 5 років тому +1

    Mungu akuongoze na kukusimamia kwenye kazi yako ya wito. Amein.

  • @mayaally2512
    @mayaally2512 5 років тому +10

    Kuna watu wanasema tunauchaguzi 2020 kwa nafasi ya rais .kweli ? Kweli ?
    Ila najua watanzania wanaakili sana wanajua nn wanatka

  • @tolladams396
    @tolladams396 4 роки тому +1

    Tolla dams single kipaji mzaramo siñgo inemile inahega IPO siku you can star

  • @emmanuelbonaventura4258
    @emmanuelbonaventura4258 5 років тому +25

    DAH. JPM MUNGU AKULINDE SANA. UNAPIGA KAZI SAA MZEE, KILA MWENYE MACHO KAONA .

  • @issaomari7277
    @issaomari7277 5 років тому +1

    Muheshimiwa Safi ssna kura yangu iko kwako ila nikuwa naombi garama za bandarini zipungue zitaongeza ajira sana

  • @rebekagurthy891
    @rebekagurthy891 5 років тому +3

    Kuanzia leo nimekubali magufuli ni rais wangu mungu akupe maisha marefu sitaki chama pinzani kuanzia leo

  • @abigaeljohn7000
    @abigaeljohn7000 5 років тому

    Hongera mzee, tungeomba utembee Kenya ufundize uhuru kenyatta kumaliza ufizadi .heko kwa kazi jema

  • @jimmyjuliusofficial4420
    @jimmyjuliusofficial4420 5 років тому +26

    Huyu jamaa ni kiboko...I hope angekuwa Kenya

    • @kulwasalum3597
      @kulwasalum3597 4 роки тому

      Katika kundi hilo , wapo kina mama wengine pasi hawakubahatika .....!!!!!0

    • @patrickmbaji2737
      @patrickmbaji2737 4 роки тому

      Tungepona bri

  • @giftpaul2559
    @giftpaul2559 3 роки тому

    Kila siku genius wetu mzalendo namba moja 1 hongera ngome ya dodoma kumuenzi baba yetu🙏🙏🙏

  • @rahmaninoh7434
    @rahmaninoh7434 5 років тому +52

    Miaka 100 madarakan anko magu 💚💛

  • @ibruzlee9188
    @ibruzlee9188 3 роки тому +1

    Alafu waiguru ohh kemsa scandal wanatembea Tu surely? Tanzania you lost A leader😥🇰🇪♥️

  • @bolyviahkwamboka9370
    @bolyviahkwamboka9370 3 роки тому +4

    His leadership skills will always be remembered😡😭😭😭

  • @juliuskasuni7461
    @juliuskasuni7461 3 роки тому +9

    I think the cancer of corruption bedevilling Kenya can be addressed quite easily if the President adopted the Magufuli style of leadership where the suspect is arraigned in the public arena and asked to explain.
    But the current practice where there is an arrest, one is charged and then given a cosmetic bail can only exacerbate the cancer of corruption.

  • @laitaa8832
    @laitaa8832 5 років тому +39

    Mueshimiwa Rais wa inchi ya tanzania ombi langu mimi ni kumshirikisha Rais wa inchi yangu Burundi naye awe kama wewe maana wewe ni mfano wakuiga
    Mueshimiwa Rais Mungu akubariki kwa kazi unayo yifanya kwa wanainchi unao waongoza ninamatumainj asili 100% Nao wanakupenda kama unavyo waonesha upendo wa dhati

    • @samoramdemu2834
      @samoramdemu2834 5 років тому

      RAFIKI YANGU WA BURUNDI ELEWA KUWA WATU WANAFANANA KWA SURA NA UMBO TU LAKINI KWA MATENDO HAWAFANANI!!!!.

    • @brobdidgdihdu4322
      @brobdidgdihdu4322 5 років тому

      Mwishimiwa rahisi wa tanzania Allah akuzidishiye uwe na umuri murefu kwakweli unaroho ya uruma na unatenda haki

    • @lazizerujanabose8802
      @lazizerujanabose8802 5 років тому

      Lait Aa 8 sasa Rais wa Burundi akifanya mnasema anaubagizi wa kimakabila sababu kabila ndogo ndio wa dhulumati na wa wuji alafu wakifanyiwa kazi eti ni gonicide ili wasifatiliwi wee haoni ilo kigezo

  • @blackfacemrblackninja7840
    @blackfacemrblackninja7840 3 роки тому +1

    plo lumumba can do this to kenya ...but kenya wengi niwajinga . wanaomba magufuli awe wao .lakini wanawachagua matajiri

  • @estheradriel9829
    @estheradriel9829 5 років тому +72

    Hii number nyingine yani bado tu watu hawaisombi number 😂😂😂nyakati hizi sio za kucheza

  • @Timoclement
    @Timoclement 5 місяців тому +1

    Kama Bado unamkumbuka shujaa weka like yako

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 5 років тому +11

    Huyu ndiye Rais wa anyonge😭😭
    Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania🙏🙏

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 5 років тому +6

    👏👏👏👏😀😀pongezi sana. Rais magufulu .mbona Mimi nampenda saaaaaana ! Huyu rais. Ni MTU asiepena maonevu ni mwenye huruma na unyenyekevu....pongezi saaaaaaaaana .baba taifa wa tazania.👍👏👏👏👏👏👏👏❤❤❤💕💕💕💕💕

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 5 років тому +51

    Natamani tukupe miaka 20 utunyooshee hawa watu wako. Wanatunyanyasa sana watendaji wako. Maneno mengiiii vitendo zero!!! Mungu akulinde mkuu

  • @annetkhakasa8571
    @annetkhakasa8571 3 роки тому +1

    May God bless makufulu I wish one day in Uganda we get a president like you in jesus name

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 5 років тому +11

    Mtu akifanya uharibifu mahali na yeye aharibikie hapo hapo,,,,asante sana rais wangu

  • @modanayeye
    @modanayeye 5 років тому +1

    Maskini mama amepeta haki yake, mungu akulinde rais magufuli,toka Kenya

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 5 років тому +5

    Lazima tumalizane tu hapa hapa.gongs LIKE kama umemuelewa President.

    • @marymabubakar1646
      @marymabubakar1646 5 років тому

      Kazi ya police ni kulinda rain na Mali zake viongozi Kazi xote afanye msguguli kura yang Nampa msguguli Amalie aliyoyaanza inshaallah

  • @isackyahona
    @isackyahona Рік тому

    Pumuzika kwa amani jembe la taifa letu
    Raisi wa wanyonge
    Amina