Hayasahuliki, hayafutiki JPM we love you even though you are not here with us. Am a Kenyan but it's hard for me to say goodbye to this hero an ordinary man with extraordinary wisdom. ❤️❤️❤️❤️Our hearts will take time to heal from this loss.
Pumzika kwa Amani Mpendwa Raisi, watanzania mumebarikiwaka kumpata Raisi kama uyu, ila kazi ya Mungu ahina makosa, Africa nzima tumepoteza, namlia Raisi tokea 😭😭😭🇨🇩🇨🇩
Ni MUUGIZA Duniani kupata mtu kama magufuli TULIISHI na mdogo wake yesu bila kujielewa 😭😭😭 duuuh magufuli Ana umaa kama kishu mungu tusaidie kusudi lako ni Nini?
Am watching this as a KENYAN from Qatar, he's such a leader to be followed by example, much respect to your president my Tanzanian neighbours. ..take this president back he deserves you
@@melau_tz sana kiuhasilia inaumiza umeona hyo mama amuamini yoyote kumpa documents kashahangaika kutafuta haki lakini imeshindikana. Ila makufuli mungu amuweke
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
Baba nakuelewa sana kwa kweli hivi ulikuwaga wapi eee mtetezi? Hakuna raisi yeyote niliyewahi kumuona akiongea Na wananchi live kama wewe baba mungu akupiganie usiku na mchana anima 👊👊👍👍👍👏👏👏
If its true there is God in heaven, , may you change MAGUFULI into an angel and continue taking care of his Tanzanian people, , 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭rip mtetezi wa wanyonge
Mungu awabariki kazi za mikono yako. Nikawaza nakuwazua kuwa kama huyo mama mbele ya Mkuu wa Nchi anazuiwa namna hiyo je akiwa huko peke yake inakuwaje? Jamani kunauonevu mkubwa sana na hatujui kabisa. Si watafute scanner za kumchunguza mtu kama ana kitu kibaya watakiona kuliko hiyo kuvutana naye namna hiyo😭
Kwakweli Rais wangu anamapungufu yake ila kwenye swala la haki anajitahidi sana Nimefurahi sana alichofanya hakika uyu ni Rais wa wanyonge .I love my country
Eee Mungu sina la kusema ila kushukuru,aki mlipoteza kiongozi,oooh God ulileta kiongozi mzuri kiukweli,na umemtwaa yote twashukuru,wacha waliobaki waige mfano wako,poleni sana majirani zetu
For Sure Pombe was a leader who defied odds and broke protocols to reach the vulnerable in the society. Not once, but numerous. Tutakukumbuka Baba lao.
Mungu akusimamie Mh.Rais Magufuri..... Kipindi cha nyuma sikuwahi kuwa mpenz wa siasa lakni umenifanya nikipende chama cha ccm, na sera zake za ujenz wa Taifa...kutokana na moyo wako wa kipekee wa huruma.....Ulichokifanya kwa huyu mama Mungu naamini Mungu hatokuacha kama ulivyo sasa...atakupa viwango vya juu zaidi ulimwenguni aamin. Kwakipindi hichi ambacho wale wanachuo waliohamishwa UDOM kuja vyuo vya kati wote wameshamaliza mitihani yao ya diploma ningetamani muheshimiwa Rais, katika Mkutano wako ufuatao ulizungumzie na hili maana na mimi ni mmoja wa wahusika hao....Kwasasa nimeamini baadhi ya kauli zinazosema kwamba usipoelewa leo utaelewa kesho.....Mwanzoni kitendo cha kuondoka UDOM niliona kama uonevu hasa ukizingatia maneno ya uchochezi wa baadhi ya wanasiasa lakini kiukweli ukweli na uhalisia nimekuja kuuona mwishoni kabisa mwa hii course yetu....Kimsingi waliostahili kuitwa special diploma ni wale waliochagilowa kusomea diploma ya sekondari maana kule ndio kuna masomo ya sayansi kama vile BAIOLOGY,CHEMISTRY,PHYSICS NA MATHEMATICS huku kwetu shule za Msingi tunaamini Mwalimu anauwezo wa kufundisha somo hata zaidi ya moja ili kutimiza wajibu wa mwanafunzi na kumpa haki yake ya kufundishwa na kupata Elimu hasa kwetu sisi walimu wa diploma. Sisi wa msingi yamkini ni siasa tu na yamkini watu walifanya hilba za kupiga pesa tu.....walipaswa kutupeleka mahali husika kwakuwa nasisi tulikua ni miongoni mwa waliofaulu kuanzia GPA 2.0,GPA 1.9 na kuendelea.......kimsingi hao ndio wametupotezea mwelekeo na muda wetu lakini kwa huruma wako Mh.Rais umeona bora ukubali lawama lakin utafute namna ya kutusaidia ili tufikie lengo letu salama.....Tunashukuru tumefikia hatima yetu salama...kwa uvumilivu na unyenyekevu wa hali ya juu.....na uzalendo mkubwa sana.....haijalishi ni miaka mingapi imepita tunahangaika na hii diploma maana tangu tumalize kidato cha nne 2014 mpaka sasa ni miaka mingi sana imepita bado tunakomaa na diploma tu....ila naamini kukaa miaka mitatu kusomea hii diploma imetufanya tumeiva ipasavyo na tunautayari wa dhati wa kuendana na kauli mbiu yako Mh.Rais ya HAPA KAZI TU tupo tayari kupiga kazi tusaidie Wadogo zetu ambao nao wanamalengo yao na wanahitaji kuyatimiza na lakini pia tusaidie Taifa kupata wasomi wa kutosha sisi kama walimu....Tunaamini kama umeweza kutuzingatia ukatusimamia mpka tumeikamilisha course hii basi utaendelea kutuzingatia hata katika ajira za 2018-2019 ili kwa hari tunayotoka nayo vyuoni sasa tuende tukaionyeshe kwenye vituo vya kazi bila kupumzika bila kupoa.....KAULI MBIU YETU SISI KAMA VIJANA WAKO WA TAIFA HILI.....AJIRA NI ZETU NA MAZINGIRA NI YETU.....Tukiwa tunamaanisha kuwa kama tunazitaka ajira basi tunakubaliana hata na mazingira yoyote ambayo ajira hizo zitaelekeza tukapige kazi. Naomba ujumbe huu umfikie Mh.Rais maana nimuhim sana kuusoma kama ulivyo na sio kuhadithiwa. Asante, By MWALIMU TARAJALI, KASSIMU MWINYI MIKIDADI...Kutoka chuo cha ualimu Marangu.... Kada wa ccm.
Uyu ndo rais muzuli mungu akubaliko mnipe like kwawo mnakubali
Mimi ni mkenya, lakini daima sitamsahau hayati Mzee john pombe Magufuli. Mwenyezi mungu ailaze roho yako mahala pema
Alikuwa mwema sana
Me too
Atutoweza msahai daim😓😓😓
Amin
@@mwangangi.martha7121 Sana tena
Muheshimiwa Rais Magufuli. I salute you from my heart.
Baba wawa nyonge umetuacha wanyonge tunaumia baba baba baba amka amka baba
Kwakweli Mungu amlaze Rais John Pombe Magufuli mahala pema. Nitamkumbuka daima alivyotutetea waking mama katika haki zetu.
Ooooh my God, TZ you are blessed. Kua na kiongozi mtetezi wa wanyonge sio jambo la kawaida
I have never seen a president in this world like him may almighty have mercy on you 😭😭😭😭
Hayasahuliki, hayafutiki JPM we love you even though you are not here with us. Am a Kenyan but it's hard for me to say goodbye to this hero an ordinary man with extraordinary wisdom. ❤️❤️❤️❤️Our hearts will take time to heal from this loss.
The president of Tanzania, you are the best,be blessed magufuli,kwakumsandia, huyo mama,mungu hakupe maisha,marefu. I in USA.
💔💔😭😭😭😭
This guy... have never seen a leader like him, and i dont think if there will be any. RIP Mr. President. Much love from Kenya
Asante rais nataman ungedumu miaka yote mungu akupe nguvu na moyo wa huruma zaidi
I LIKE IT BIG UP .WE WANT LEADERS WITH EXAMPLE👏👏👏👏
Rais ambaye ni bora Afrika mashariki.... endelea kutetea wanyonge mob love from Kenya
Ubaba ananitowa machozi. Be blessed Mr President 👏👌🙏🙏 wewe ni Musa wawa Tanzania.
😭💔Kabisa
Baba magu mungu akuzidishie imani iyo iyo na moyo uwo uwo kuseidia wangonge
Dah magufuli nakupenda baba yangu wewe mungu akutunze sana
Pumzika kwa Amani Mpendwa Raisi, watanzania mumebarikiwaka kumpata Raisi kama uyu, ila kazi ya Mungu ahina makosa, Africa nzima tumepoteza, namlia Raisi tokea 😭😭😭🇨🇩🇨🇩
Hatutapata kamwe
mungu akupe maisha marefu...mtetezi wa wanyonge rais wetu..
Hayupo tena rais wa wanyonge katangullia mbele za haki 😭😑😭😭rest in peace rais wetu ...kkutoka Kenya nashindwa kuzuia machozi😭😭😭😭😭😭💔💔
Mateso hayarud tena jaman?
Ata mim nalilia
Ni MUUGIZA Duniani kupata mtu kama magufuli TULIISHI na mdogo wake yesu bila kujielewa 😭😭😭 duuuh magufuli Ana umaa kama kishu mungu tusaidie kusudi lako ni Nini?
More videos
😭😭😭😭🇹🇿
Hapo ndio naposemaga anaekuchukia ni mchawi jaman, yaani sijutii kura yangu na inshallah 2020 Nakupaaa
magufuli oyeeeeeeeeee😘😘😘😘
Kenya twamuenzi Sana Rais Magufuli
Kabisa
Maombi yenu nimuhim kwani ana adui wengi sana kutokana na moyo wake wakupenda kufanya haki
Am watching this as a KENYAN from Qatar, he's such a leader to be followed by example, much respect to your president my Tanzanian neighbours. ..take this president back he deserves you
I wish kenya tungekuwa na rais kama Mafuli
Ebhana we
Hamia Tanzania uje ujidai na Magufuli wetu.
Mwenyezi mungu akulinde rais #JPM
He was a True Definition of a True HERO...R.I. P Magufuli
Ameniliza
Pumzika kwa Amani baba yetu mtetezi wa wanyongo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
u made it our lovely President Honorable JPM, wanyonge tunakuombea daily yaan, move on....
Chalamila mnafiki yuko hapo nani amemwona agonge like
Wish pia raisi wetu pia afuate huyu raisi magufuli,,,,,, you'll remain in my history
Hadi nimelia asante Mungu akupe maisha marefu raisi wetu
Pumzika kwa Aman baba umefanya Mambo meng sana yenye kutia moyo katika hii dunia Mungu akupokee😭😭😭
Our president bobi wine much thanks
Amina
Love this raisi wa wanainji na wakusikiza Kila mwanainchi. Kenya ingekua hivi tugekua mbali.
Mwanzo nimecheka bt alipofika kwa rais nimejiskia mnyonge
Dah nimelia sana pole mwanamke mwenzangu dah
Mimi mwenyewe nimelia .
Duuuu aseee mam wwt jmn adi hurum kweli dunia haina hurma yan saivi watu tu naixhi km wanym jmnn
Jmni nimejikuta tu machozi yananitoka makufuli kiongozi wa kipekee mungu akupe afya njema baba
Grace Kaniki inauma sana nashindwa kuzuia mchoz pia
@@melau_tz sana kiuhasilia inaumiza umeona hyo mama amuamini yoyote kumpa documents kashahangaika kutafuta haki lakini imeshindikana. Ila makufuli mungu amuweke
Asante baba magufuli tutafwata mfano wako daima Tanzania hoyeeee👍👍👍👍👍👍👍
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
Baba nakuelewa sana kwa kweli hivi ulikuwaga wapi eee mtetezi? Hakuna raisi yeyote niliyewahi kumuona akiongea Na wananchi live kama wewe baba mungu akupiganie usiku na mchana anima 👊👊👍👍👍👏👏👏
If its true there is God in heaven, , may you change MAGUFULI into an angel and continue taking care of his Tanzanian people, , 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭rip mtetezi wa wanyonge
Dad let me call you dad cz we una umri like ma dad congratulate for every thing dad & nlimpa lowasa Leo najutia kura yangu let me love you forever
Hapo nime mwelewa RAISI WA WA NYONGEEEEEEEEEE MAGUFULI OYEEEEEEEEEEEEEE HAPA KAZI OYEEEEEEEEEEEEEEEE AHSANTE SANA
💔💔💔😭😭
Mungu angetupa magufuli akatutawala Africa zima
Mungu atakulipa raisi magufuli
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Magufli Baba Mungu akuchukuwe😭😭😭😭
Mtu kama huyo atapatikana wapi Tena jamani Tanzania mumepoteza mtu WA maana sana 😭😭😭lala salama magafuli
Nimejikuta nacheka peke yangu pole saana mama.mungu ampe umri mrefu rais wetu
Kama mm 😂
@@azeezaa519 gfds
@@azeezaa519 ffgfsfh
@@azeezaa519 lgglkk
Mwenyezi mungu ambariki mzee MAGUFULI na kizazi kilichomzaa huyu mheshimiwa.
asante rais wa nchi yangu God bless you
Mungu awabariki kazi za mikono yako. Nikawaza nakuwazua kuwa kama huyo mama mbele ya Mkuu wa Nchi anazuiwa namna hiyo je akiwa huko peke yake inakuwaje? Jamani kunauonevu mkubwa sana na hatujui kabisa. Si watafute scanner za kumchunguza mtu kama ana kitu kibaya watakiona kuliko hiyo kuvutana naye namna hiyo😭
Tanzania has been lucky to get good leaders atleast...Kenya I can't speak...tribalism imetumaliza...Rest in peace best president 🇰🇪2021
Mm. Binafsi nampongeza Sana magufuli
Rais yetu Mungu aendelee kukupigania kwa kazi yako unayofanya
😭😭😭😭😭 Rest in peace Baba wawanyonge Dr John POMBE Magufuli Tutakukumba daima sichoki kusikiliza hotuba zako
Tulikupenda Mungu ameupenda zaidi lala salama
Kwakweli Rais wangu anamapungufu yake ila kwenye swala la haki anajitahidi sana Nimefurahi sana alichofanya hakika uyu ni Rais wa wanyonge .I love my country
Eee Mungu sina la kusema ila kushukuru,aki mlipoteza kiongozi,oooh God ulileta kiongozi mzuri kiukweli,na umemtwaa yote twashukuru,wacha waliobaki waige mfano wako,poleni sana majirani zetu
Nani amekata vitunguu machoni mwangu uwiii Tanzania nchi yangu Magufuli Rais wangu
😭😭😭
Magufuli tumwombee Dua
Wawanyonge wawanyonge atunae teena sijui wanyonge watakimbilia wapi 😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔 r.i.p magufuli wetu hakika uliacha alama ambayo haita futika kwenye nyoyo za binadamu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤦
Jaman machozi yananitoka
Mungu akulinde kiongozi wetu...
Tutapata tena wapi mtu kama ww ni zawad Mungu alitupa na sasa kamchukua😚😚
Mungu akulaze mahala pema peponi rais wetu
John Mangufuli and John Garang were God's best choice fir Africa
masikini me ndomana na mpenda magu mungu akuweke rais wetu
Tanzanians had the BEST President ever on Earth! Sorry guys for your loss
Magufuli a true Hero
Daaah tanzaniaaa tumekwishaa tume poteza kiongozi wa wanyongee😭😭
Inauma sana da
Dah jaman mungu mpokee mzee wetu umuifadhi sehem salaama ,na mm uyu sijui yuko kwenye ali gan sahv lazima sahv ataishi kwa ofu sanaa 😭😭😭
For Sure Pombe was a leader who defied odds and broke protocols to reach the vulnerable in the society. Not once, but numerous. Tutakukumbuka Baba lao.
Ubatikiwe baba yetu. Na MUNGU akutie nguvu kwemye kazi uliyonayo. KAZI ngumu
Mungu akuongoze na kukupa ujasiri Rais wetu
Wish all leader could see this...humble n loving president......+254
Kizuri akiishi na Sasa ametuacha 💔💔💔😭😭
Daaah mungu akulaze pema
Rais kama huyu duniani hatatokea kamwe...Mungu Ailaze Roho Yake Mahali Pema Daima
Mungu muweke mahari pema mh.maguri rais wa Tanzania
Mh mm nimeumia kiasi hik najikuta nawaza kwa nguvu hivi kwa mfano huyu mama na wengine walio Wahi kusaidiwa kwa namna hii sijui huu msiba wameupokeaje
Nimekuja humu baada ya rais wetu kufariki kipenzi Cha wanyonge
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 day inauma
😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
Raisi wa aajabu sana ..Mtetezi wa Wanyonge Magufuli
Oh! my God i cried , Rest In Peace our Man Of God, Real President!!!!!!!
R.IP mtetezi wanyongeee tunakulilia sisi wanyongeee mungu mpokeee
I have ultimate RESPECT FOR HONORABLE MAGUFULI BIG UP!!
Umefanya maamuzi ya kiongozi bora! Hutasahaurika Rais wetu. Be blessed President.
😭😭😭🙏💔💔Watu wako watakimbiliya kwanani eee Mungu 😭 😭
He was sent from Above ❤️❤️❤️..#RIP😭😭
True hero nimeona tu nikadondokwa na machozi RIP JPM from Kenya
Mungu akubariki rais uliochaguliwa na Mungu
My president forever in my heart 😭😭😭
Daah naumia
Haleluuuuuuuuya. Mungu akutunze Mh. Rais wetu mpendwa
Mungu akusimamie Mh.Rais Magufuri.....
Kipindi cha nyuma sikuwahi kuwa mpenz wa siasa lakni umenifanya nikipende chama cha ccm, na sera zake za ujenz wa Taifa...kutokana na moyo wako wa kipekee wa huruma.....Ulichokifanya kwa huyu mama Mungu naamini Mungu hatokuacha kama ulivyo sasa...atakupa viwango vya juu zaidi ulimwenguni aamin.
Kwakipindi hichi ambacho wale wanachuo waliohamishwa UDOM kuja vyuo vya kati wote wameshamaliza mitihani yao ya diploma ningetamani muheshimiwa Rais, katika Mkutano wako ufuatao ulizungumzie na hili maana na mimi ni mmoja wa wahusika hao....Kwasasa nimeamini baadhi ya kauli zinazosema kwamba usipoelewa leo utaelewa kesho.....Mwanzoni kitendo cha kuondoka UDOM niliona kama uonevu hasa ukizingatia maneno ya uchochezi wa baadhi ya wanasiasa lakini kiukweli ukweli na uhalisia nimekuja kuuona mwishoni kabisa mwa hii course yetu....Kimsingi waliostahili kuitwa special diploma ni wale waliochagilowa kusomea diploma ya sekondari maana kule ndio kuna masomo ya sayansi kama vile BAIOLOGY,CHEMISTRY,PHYSICS NA MATHEMATICS huku kwetu shule za Msingi tunaamini Mwalimu anauwezo wa kufundisha somo hata zaidi ya moja ili kutimiza wajibu wa mwanafunzi na kumpa haki yake ya kufundishwa na kupata Elimu hasa kwetu sisi walimu wa diploma.
Sisi wa msingi yamkini ni siasa tu na yamkini watu walifanya hilba za kupiga pesa tu.....walipaswa kutupeleka mahali husika kwakuwa nasisi tulikua ni miongoni mwa waliofaulu kuanzia GPA 2.0,GPA 1.9 na kuendelea.......kimsingi hao ndio wametupotezea mwelekeo na muda wetu lakini kwa huruma wako Mh.Rais umeona bora ukubali lawama lakin utafute namna ya kutusaidia ili tufikie lengo letu salama.....Tunashukuru tumefikia hatima yetu salama...kwa uvumilivu na unyenyekevu wa hali ya juu.....na uzalendo mkubwa sana.....haijalishi ni miaka mingapi imepita tunahangaika na hii diploma maana tangu tumalize kidato cha nne 2014 mpaka sasa ni miaka mingi sana imepita bado tunakomaa na diploma tu....ila naamini kukaa miaka mitatu kusomea hii diploma imetufanya tumeiva ipasavyo na tunautayari wa dhati wa kuendana na kauli mbiu yako Mh.Rais ya HAPA KAZI TU tupo tayari kupiga kazi tusaidie Wadogo zetu ambao nao wanamalengo yao na wanahitaji kuyatimiza na lakini pia tusaidie Taifa kupata wasomi wa kutosha sisi kama walimu....Tunaamini kama umeweza kutuzingatia ukatusimamia mpka tumeikamilisha course hii basi utaendelea kutuzingatia hata katika ajira za 2018-2019 ili kwa hari tunayotoka nayo vyuoni sasa tuende tukaionyeshe kwenye vituo vya kazi bila kupumzika bila kupoa.....KAULI MBIU YETU SISI KAMA VIJANA WAKO WA TAIFA HILI.....AJIRA NI ZETU NA MAZINGIRA NI YETU.....Tukiwa tunamaanisha kuwa kama tunazitaka ajira basi tunakubaliana hata na mazingira yoyote ambayo ajira hizo zitaelekeza tukapige kazi.
Naomba ujumbe huu umfikie Mh.Rais maana nimuhim sana kuusoma kama ulivyo na sio kuhadithiwa.
Asante,
By MWALIMU TARAJALI, KASSIMU MWINYI MIKIDADI...Kutoka chuo cha ualimu Marangu....
Kada wa ccm.
Rip magufuli🙏🙏🙏🙏🙏🙋❤❤❤
Rais magufuli i salute you
I loved this gentleman,i will always remember him
Kenya yetu sidhani kama.inawezaa hii.
RIP Rain Magufuli I really missed you 💔baba 💔😢
Jamani nipo hii hii Tanzania lakini sikujua watu wana nyanyasika hivi, nimelia sana. Wamama hoyeee, Raisi Mungu azidi kukubariki sanaaaa
Umenifulaisha saana tunajivunia rais wetu anajua kuwa sikiliza wanyonge kura yangu akupotea wala aijaenda bule
That s my President
😭😭😭😭😭MNGU dusaidiye. Tutaona kwl Baba kama MAGUFUL ?? 💔💔😭😭😭
Jembe la chato😭😭😭😭😭💔💔machoozi imetanda wakenya tunalia
Kama umemuona mjeda anapeleka umbea kwa mama Janet baada yakuona mkwanja GONGA like HAPA
Mungu Azidi Kukubariki Rais wetu
i have ever see the president like you Gog bless you
God not that way you write..
sorry it,s God, you know we use chines phones
That was really nice of him....we can see now contry is succeeding